Pr naomba uniombee nilipata ajari 2021 mwezi wa tisa nilivunjika miguu yote mapaja yote na mikono yote mguu wa kushoto nilivunjika mara 3 mguu wa kulia x2 ,mkono wa kushoto x 1 na mkono wa kulia x2 lkn kwa neema ya Mungu hakuna kiuongo changu kilichotoka lkn baada ya hapo nilipogwa tukio ambalo lilinifanya niyumbe kiimani niombee mchungaji saivi najiandaa kwenda India kwa matibabu maalum lkn vikwazo nivingi naimani kwa maombi yako na yangu Mungu atatenda jambo
Amina mchungaji niko japan Naomba uniombee leo nitaanza kazi night shift kwahivyo miguu yangu isiniume nifanye kazi kwa jina la yesu mimi ni mshindi wachawe na makafara ya mbuzi majini yao wateketezwe kwa jina la yesu Amen
Naomba Mungu anisaidie nabambana na uzito huu nashindwa kuvumilia ninapodharauliwa nakutusiwa najikuta nimejibu Niko uarabuni naomba msaada wa Roho mtakatifi
Pasta hio ya kunawisha miguu na kunywa maji hayo madogo. Mi najua mtu aliefanyishwa zaidi ya hao tena machafu alitusimulia mpaka tukachoka , afu mtu mwenyewe aliemfanyisha hivo hata darasa la kwanza ajaingia , eti ni mtumishi wa Mungu. Kwakweli Mungu aturehemu !!
Pastor nikweli unachosema Mimi nishanyimwa kuhudumu ,nikahuzunika,nikalalamika lakini kila nikiomba Mungu nitoke kanisa hilo Mungu huniambia baki hapo maana kunamambo ambayo nataka kukufundisha
Niko na swali pastor?,kama mungu ametusamehe dhambi tukimwomba msamaha,zile dhambi zitafunuliwa siku ya hukumu ni gani kama kristo akisamehe ,ukumbusho pia inawekwa Kwa vitabu vya ukumbusho?
Soma Zaburi ya 103. Mungu akisamehe anaziweka mbali nasi dhambi zetu kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, wala hazikumbukwi tena. Tunakuwa kama hatujawahi kutenda dhambi. Isaya 1:18 -19 anaziosha dhambi zetu zinakuwa safi kuzidi theluji.
Nakwamini sn jinsi Mungu anavyokutumia kutuelemisha juu ya Ukuu wake. Ila je vitabu vya Enoki na vingine inasadikika vilikataliwa na kuondolewa je ni kweli
Amina mchugaji ❤❤ Mimi huwa nakukubali sana, I wish siku moja nikuonee, naishi US New York Buffalo
Ubarikiwe
@@MahubiriPrMmbaga Asante, nawe pia
Hili limo kanisani mwetu, tunaitaji ubatizo wa roho mtakatifu, kwa kuwalea wengine ipasavyo, tuwe na hekima ya kimbingu jinsi ya kuwaona wote sawa
Nashukuru leo nimemwona iringa hapa na nimemsalimu Yeye ni mwalimu wangu wa saikolojia asante Mungu ambaliki kwa kazi yake
Amina pastor, tuombee sisi tuko Turkey, tumetokewa na earthquake mbili kubwa, nchi nzima tunaomboleza
Poleni saana. Mungu awe faraja yenu. Tuna waombea walio jeruhiwa
Bwana awatie nguvu,
Poleni Santa,BWanna awape faraja
Poleni sana Yesu awafunike na kuwatetea
Hello @flonce vipi mama,? So far how is the situation Turkey??
Nabarikiwa sana na mafundisho Pastor Mungu azidi kukutumia
hubiri zuri sana ubarikiwe pastor.
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa kila siku
Pastor mungu ni mwema
Pr naomba uniombee nilipata ajari 2021 mwezi wa tisa nilivunjika miguu yote mapaja yote na mikono yote mguu wa kushoto nilivunjika mara 3 mguu wa kulia x2 ,mkono wa kushoto x 1 na mkono wa kulia x2 lkn kwa neema ya Mungu hakuna kiuongo changu kilichotoka lkn baada ya hapo nilipogwa tukio ambalo lilinifanya niyumbe kiimani niombee mchungaji saivi najiandaa kwenda India kwa matibabu maalum lkn vikwazo nivingi naimani kwa maombi yako na yangu Mungu atatenda jambo
Napenda saana mahubiri Yako yamenitoa mbali, I need to share my dream with you pastor so that you guide me to protocol kamili kindly
Amina mchungaji niko japan
Naomba uniombee leo nitaanza kazi night shift kwahivyo miguu yangu isiniume nifanye kazi kwa jina la yesu mimi ni mshindi wachawe na makafara ya mbuzi majini yao wateketezwe kwa jina la yesu Amen
Mungu akutendee muujiza
Mtumishi Mimi nipo tanzaniA dar ila natamani Mimi nakwaya yetu tuje tupige injili mtumishi tunafikaje huko
MUNGU akubariki sana padri masomo ni mazuri sana yanatukuza kiroho🙏🙏
Nabarikiwa sana na neno la Mungu kupitia kinywa Cha mtumishi wake D. Mbaga🙏
Nabarikiwa sana kupitia wewe mchungaji mmbaga.
Mungu akutumie zaidi ya unavyofkri
Amina,Baba nifundishe kushukuru katika kila jambo
mtumishi uniombee maana nahis loho za mapepo zinanifuatilia Sana yesu uniokoe
Amina pastor mungu akubariki sanaa maana unabariki wengi
Amina pr ubarikiwe sana kwa ii KAZI
Amina mtumishi, umenifurahisha sana Leo, Mungu akubariki sana.
Barikiwa sana,tunakuombea uzidi kutufunulia yanayojili mbele na yanayoendelea.
AMEN! Thank you LORD because all GLORY is yours. Be blessed Pastor Mmbaga for this uplifting message.
Pastor mbaga Dumu kubarikiwa mtu wa Mungu
Naomba Mungu anisaidie nabambana na uzito huu nashindwa kuvumilia ninapodharauliwa nakutusiwa najikuta nimejibu Niko uarabuni naomba msaada wa Roho mtakatifi
Kumupokeya yesu kuna faida
Barikiwa sana mchungaji
Barikiwa sana pr Mungu azidi kukutia nguvu nakusikiza nikiwa saudi pr utukumbuke kwa maombi 🙏🙏🙏🙏
Amina, mtumishi wa MUNGU ubarikiwe
Kumbe nikidharauliwa nafaa kushukuru kushukuru Mungu akubariki Pastor zidi kutufunza nabarikiwa sana
AMEN and may God bless you. Thanks because you have improved on sound quality.
Kwetu kenya amejitokeza anaye jiita yesu alifanyiwa mahojiano i say unabii umetimia
I am hopeful and too blessed 🙏🙏🙏
Najifunza kila siku mambo mapya Mungu akubariki sana Pr.
Amena Amena Mungu akubariki sana Baba yangu
Nakupenda poster, kila ninaposikiliza mafundisho yako napona.. Baba wa mbinguni akutunze😥🙏
Amen
Be blessed my Pastor
Amina Sana mchungaji wa bwana
Amina
Amen
Nabarikiwa sana na BWANA kutokana na mahubiri TV
Ameen postor barikiwa sana
Asante pastor mungu akubariki, unavyo tujulisha ni nini tunastahili kufanyia katika hizi nyakati za mwisho
Amina mtumishi wa Mungu aliye hai
Mtumishi MUNGU akuzidishie ujasiri wakuendelea kututoa matongo ya kifikra. Huwa natamani Sana nikuone live ukiubiri mbele yangu.
I'm ever blessed AK hadi watoto wamegundua Siri glory be to God 🙏🙏 AMEN
Ahsante na ubarkiwe
Nabarikiwa sana nikiwa Saudi barikiwa pastor
Pastor David mfumwa akunke lute lwedi.Uniizija mno.
Ubarikiwe sana mchugaji tuko pamoja
Ameen mchungaji Mungu akubariki sana
Pasta hio ya kunawisha miguu na kunywa maji hayo madogo. Mi najua mtu aliefanyishwa zaidi ya hao tena machafu alitusimulia mpaka tukachoka , afu mtu mwenyewe aliemfanyisha hivo hata darasa la kwanza ajaingia , eti ni mtumishi wa Mungu. Kwakweli Mungu aturehemu !!
Amen Glory to God
Pastor nikweli unachosema Mimi nishanyimwa kuhudumu ,nikahuzunika,nikalalamika lakini kila nikiomba Mungu nitoke kanisa hilo Mungu huniambia baki hapo maana kunamambo ambayo nataka kukufundisha
Amina Mchungaji abarikiwe
Amina pastor 🙏🙏🙏
Glory to God 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Barikiwa pasta
Amina 🙏
Aminaa
Amina amina 3
hata jpm alipenda sana kusifiwa ndio maana hakufikambali
Napenda mahubi yenu sana
Glory be to God
Amen 🙏
Na bado zumaridi, asipobadirika, Mungu atamuonesha kuwa Mungu n nan?
Namshukuru Mungu Kwa ajili yako mchungaji🙏🙏
Niko na swali pastor?,kama mungu ametusamehe dhambi tukimwomba msamaha,zile dhambi zitafunuliwa siku ya hukumu ni gani kama kristo akisamehe ,ukumbusho pia inawekwa Kwa vitabu vya ukumbusho?
Soma Zaburi ya 103. Mungu akisamehe anaziweka mbali nasi dhambi zetu kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, wala hazikumbukwi tena. Tunakuwa kama hatujawahi kutenda dhambi. Isaya 1:18 -19 anaziosha dhambi zetu zinakuwa safi kuzidi theluji.
🙏🙏🙏
Nakwamini sn jinsi Mungu anavyokutumia kutuelemisha juu ya Ukuu wake. Ila je vitabu vya Enoki na vingine inasadikika vilikataliwa na kuondolewa je ni kweli
pastor nambarikiwa sana,,nakusikiza nikiwa saudia arabia
Hapo nkweli kuna kanisa moja pr anaweka maji kwa mabesen kila mtu anaweka miguu ndani kuanzia asubuhi hadi jioni eti ni damu ya yesu
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen