PROF.NYANDA;JE NI SAHIHI KUSIMIKA WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 чер 2024
  • Je ni sahihi Wanawake kusimikwa kuwa wachungaji?

КОМЕНТАРІ • 7

  • @joeljailos9846
    @joeljailos9846 21 день тому

    Mungu akubariki sana Prof kwa presentation nzuri inaeleweka vizuri mno ..ni swala la mda tu haya mambo yatakuwa dhahili.

  • @IreneLyse
    @IreneLyse 25 днів тому +1

    prof.jackson Mungu akubariki ❤ kutoka Burundi

  • @user-le1rc7oc6u
    @user-le1rc7oc6u 14 днів тому

    Hakuna 😮😮😮😮

  • @williamntungilahe5598
    @williamntungilahe5598 26 днів тому +1

    Nimebarikiwa kukuona Nyanda.Nilikuona zamani 1984 chuo Cha ualimu Tabora

  • @SusanaSimoni
    @SusanaSimoni 21 день тому

    Mmmmh mmechanganyikiwa kutosha

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs 11 днів тому

    Maajabu. Sasa huyu profesa wenu, amesema mungu wa kike "atemi" aliweka wanawake mbele. Mtume Paulo akayakosoa na kuweka haya ya leo katika Biblia. Swali ni je, profesa... uko wapi? Paulo yuko sawa ama "atemi"?