Ufaransa na USA ndio maadui wakubwa wa Haiti, Naomba toa historia ya Ufaransa kuhusu Uhuru wa Haiti na uingiliaji wa USA katika kujikomboa kwa Visiwa vya Haiti. Shida hiziozote asiliyake ni Ufaransa na USA.
Pasko mwakyomaaaaa❤❤❤ unasimulia kama watu dira ya dunia born ile saa saba.... Dah histolia tam ila ina huzuni ndani yake. Najiuliza huyo BabaQue kwa nini anaua raia sasa kama lengo ni kuwakomboa watu kutoka ktk matatizo??? Angetumia akili na uwezo wake kuwalinda na kuwakomboa watu wasio kuwa na hatia kuhakikisha wanakuwa salama.
Habari za maana kuhusu wakulima na sukari tunafanyaje. Tunawasaidia vipi wakulima? Nendeni kwa wakulima waulizeni changa moto ZAO . Mnatulitea habari hazina hata faida sana sana zinachochea wahuni. Usikie tu Vita kwa wenzio usiombe yakufukie. Habari kama hizi muwe mnazipotezea.
Nikweli kabisa👍 Ilitakiwa waende Kwa MASANJA Mkandamizaji Wamuhoji kuhusu kilimo Cha Mpunga ili tupate Elimu ya Kilimo Pia wamuombe MASANJA wafungue Darasa la kilimo kenye AYO media😆🤔Hizi Habari Za Donieni, Shoko shugi, Komandoo kipensi Marboro Hazitufikishi Popote🙈🥴
Wakati mwingine millard ukiwa unatoa taarifa kama hizi jitahidi mwanzo wa video yako uweke tahadhari kuwa video hii imebeba au inaonyesha picha ambazo si nzuri ili mtu ajiandae kisaikolojia 😊🙏🏻
Ndugu zetu wa kenya 🇰🇪 walitaka kujichanganya kupeleka askari wao et wakalinde Amani Haiti 🇭🇹 ruto akakubali bila shida na mpka wasaini kua wapo tyri. Huyo Biden Kwann kma Ana huruma sna asipeleke jeshi lake😢
Hii media Tunavyo iamini Nakuipenda! Sasa wanatuletea story za Rambo Van dame na Boro yank Sijui wana tuandaa na nini?👺au wana tabiri nini!?🥺🥴 Story Anaijua alie iandaa🙆🙈 Listen & Take Ure time🤔
Sasa Tatizo Africa Watu Wanakua Kama Vichaa Kwasababu Wewe Umeshika Siraa Lakini Cha Ajabu Unaenda Kuwauwa Watu Wenye Maisha Magumu Ambao Wanalia Maisha Magumu Wewe Unashika Siraa Na Kuwauwa Alafu Unatangaza Eti Unataka Kuleta Amani Kwenye Taifa Wewe Nisawa Na Kichaa Asiejua Kama Yeye Ni Kichaa Unaenda Kupambana Na Watu Wenye Kutaka Ukombozi Wewe Ufai
Kuna cha kujifunza hapa kwenye hii video. Steve Biko aliwahi kusema "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed" na ndo haya sasa yanayo tokea Haiti.
Millard Ngoja Nikudokeze Kidogo Baba Q Yupo Nyuma Ya Baadhii Wanasiasa Maana Nchii Ya Haiti Ina Mipasuko Ya Kisiasa Cha Chama Tawala Na chama Pinzani Hawa Makundi Yapo chni Ya Wanasiasa Wenye Misimamo Mikali
Haya yote n matatizo ya marecan kufadhir wahun ili auze siraha nakuiba Mari za Africa afadhar mahakama ya Kenya ilivostukia mtego huo nakuzuia jeshi lake wangeingia kwenye tamaa ya izo B alizotangaza marecan wangeliwa kichwa
We nae umetumwa kutu aminisha jimmy ni mmbaya shida iliopo wakubwa ndio wanaokula minofu na maisha ya wananchi kua magumu na ajira hakuna safari Bado sana huyu mi namuona kama kamanda baazi ya viongozi wa nchi za kiafrica waenderee kujitafakari
Siyo kweli umeongea uongo hao wanapigania kuikomboa nchi yao dhidi ya ukolon wa magaribi. Wafrik sijuw tuko vp watu wanajikomboa nch yao et wanaitwa wahuni aisee
Bora habari hii naweza kusikiliza kuliko habari za mashoga ..... Mm mwenyewe naweza kuwa Barbaque plus.
Asante sana kwa makala inyo elimisha nn maana ya uongozi ulio bora
Nchi Kama iyo atamimi ningeweza kuitawala Mana imeanza kupigana vita nawa huni 1986 nchi aijawai tengamaa😢😢😢 Serekali ya Hait aiko vizul
Duuh isee hii isikie tu kwakweli 😢😢😢😢mi vita naogopa jmn 😭 😭 😭 😭
hata mm 😢
I Congratulate You Millard Ago✔✔.
Well narrated, thanks
Ufaransa na USA ndio maadui wakubwa wa Haiti,
Naomba toa historia ya Ufaransa kuhusu Uhuru wa Haiti na uingiliaji wa USA katika kujikomboa kwa Visiwa vya Haiti.
Shida hiziozote asiliyake ni Ufaransa na USA.
Wachache watakuelewa
I love Tanzania naipenda nchi yangu Toka nimezaliwa mpaka Leo nikisikia mlipuko basi ni WA baiskeli
Mbagala na Gongo la Mboto
Jeshi na Polisi wa huko ni Mafala
😂😂😂 U so crazy bro
😂😂😂😂
Kifungulia wafungwa hata Mimi nadhani ni good idear😂
Thanks for your report
Mh jamaa anatisha kwa huo msimamo wake.Lakini raia wasiokuwa na hatia ndiyo wanauliwa bila huruma.
Poleni sana wana Haiti.
Hili ni funzo kwa viongozi wasichukulie powa
Napenda vile unasimulia 💯💯💯💙💙#Ke
Marekani,ufrasa,ugermane ndo mitandao yao.
Malipo ni hapa hapa duniani ukifanya vizuri utalipwa mazuri na ukifanya mabaya utalipwa vibaya
Kweli kabsa
Komando komando komando wambie sisi ndo vipesi komando
Inatamkwa barbeque siyo babaque. Sema BABE siyo BABA
Ruto ni Kiherehere Sanaa 😂😂😂😂😂😂
Hela nono
@@kitwanathabiti😂😂😂
Hana hela anataka kujenga ikulu mpya ile ya zamani ina ufa.
Huyo mkuu wa polisi anajisikiaje huko alipo😔😔😔
Kuna mataifa yapo nyuma ya jambo hili, mambo yakienda Sawa watamgeukia na kumpandisha mahakamani kwenye haki za binaadamu hata amini macho yake.
noma sana
Pasko mwakyomaaaaa❤❤❤ unasimulia kama watu dira ya dunia born ile saa saba.... Dah histolia tam ila ina huzuni ndani yake. Najiuliza huyo BabaQue kwa nini anaua raia sasa kama lengo ni kuwakomboa watu kutoka ktk matatizo??? Angetumia akili na uwezo wake kuwalinda na kuwakomboa watu wasio kuwa na hatia kuhakikisha wanakuwa salama.
Aisee 🤔
Bado kuna nchi moja hvi cku inakuja.
ushindwe katika jina la Yesu kristo
@@neziajoseph9726 hyo nchi wewe unaijua au ndyo unalopoka tu
Inchi gani iyo tena
Usiseme hivi Mungu asaidie
Sasa utajiuliza izo silaha anazipata wait kama kuna watu wanampa
Habari za maana kuhusu wakulima na sukari tunafanyaje. Tunawasaidia vipi wakulima? Nendeni kwa wakulima waulizeni changa moto ZAO . Mnatulitea habari hazina hata faida sana sana zinachochea wahuni. Usikie tu Vita kwa wenzio usiombe yakufukie. Habari kama hizi muwe mnazipotezea.
Nikweli kabisa👍 Ilitakiwa waende Kwa MASANJA Mkandamizaji Wamuhoji kuhusu kilimo Cha Mpunga ili tupate Elimu ya Kilimo Pia wamuombe MASANJA wafungue Darasa la kilimo kenye AYO media😆🤔Hizi Habari Za Donieni, Shoko shugi, Komandoo kipensi Marboro Hazitufikishi Popote🙈🥴
Dunia mtihani watu wakipigania haki yao wanaitwa wahuni na USA na Ulaya wanaovamia nchi zingine mnawaitaje?
Habari za bbc na cnn ndo hatutaki fanya utafiti kwanza ndo utuhabarishe bro,jamaa anapigania uhuru wao
sio mchoma nyama...ni nyama choma!
😅😅😅hii ni maajabuuùuuuuu hiiu niatar
Wakati mwingine millard ukiwa unatoa taarifa kama hizi jitahidi mwanzo wa video yako uweke tahadhari kuwa video hii imebeba au inaonyesha picha ambazo si nzuri ili mtu ajiandae kisaikolojia 😊🙏🏻
😂😂😂😂
Haya mambo sikiaga tu kwajirani
Kweli kabisa ni zaidi ya hatari
Hafai kuwa kiongozi
Ndugu zetu wa kenya 🇰🇪 walitaka kujichanganya kupeleka askari wao et wakalinde Amani Haiti 🇭🇹 ruto akakubali bila shida na mpka wasaini kua wapo tyri. Huyo Biden Kwann kma Ana huruma sna asipeleke jeshi lake😢
Izi Habari Jitaidi Kuachana Nazo Azina Tija Kwa Mwana Habari Anaejitambua Kuitangaza Kwakua Ni Habari Za Kishenzi
Ukisikia habari za kujuza jamii unapinga ili watu waendelee kuwa gizani au lengo lako nini
Acha tuishi nazo sisi washenz, ukishindwa kuziepuka basi nawe u mshenzi
@@faustinedeogratias4337 Ww siyo m as henzi tu bali ww ni msenge na shoga
@@miltonjohn9779 wapigwa nyuma kutukana ndo hua siraha yao kwakua washaathiliwa kissikolojia na mitulinga
😂😂😂😂 viande
Aje tz
Nchi ni ya wananchi siyo ya watu wachache wanaojiita walamba blueband
Huyu nikibaraka wawafaranza ma marekani
Kumfundisha mtu silaha halafu unamuacha n hatari zaid
Hii media Tunavyo iamini Nakuipenda! Sasa wanatuletea story za Rambo Van dame na Boro yank Sijui wana tuandaa na nini?👺au wana tabiri nini!?🥺🥴 Story Anaijua alie iandaa🙆🙈 Listen & Take Ure time🤔
Sasa Tatizo Africa Watu Wanakua Kama Vichaa Kwasababu Wewe Umeshika Siraa Lakini Cha Ajabu Unaenda Kuwauwa Watu Wenye Maisha Magumu Ambao Wanalia Maisha Magumu Wewe Unashika Siraa Na Kuwauwa Alafu Unatangaza Eti Unataka Kuleta Amani Kwenye Taifa Wewe Nisawa Na Kichaa Asiejua Kama Yeye Ni Kichaa Unaenda Kupambana Na Watu Wenye Kutaka Ukombozi Wewe Ufai
Huko ni Haiti. Sio Africa.
Wahuni siyo watu wa zurii man
Sitaki kucoment😂
😂😂😂
Aje Zanzibar tushaichoka hiii ccm hp
😂😂😂😂
Hawa ndo wauni sio wa apa bongo wala sembe wanajiona wa huni
Kuna cha kujifunza hapa kwenye hii video. Steve Biko aliwahi kusema "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed" na ndo haya sasa yanayo tokea Haiti.
Serikali nyingi za wausi ni bovu sana.tunapenda rushwa na ufisadi kuliko ulinzi na amani.
Hizo silaha anapt wap km hana wafadhili wa magharibi n marekani
👊✌️🙏.
Duuh htree
Millard Ngoja Nikudokeze Kidogo Baba Q Yupo Nyuma Ya Baadhii Wanasiasa Maana Nchii Ya Haiti Ina Mipasuko Ya Kisiasa Cha Chama Tawala Na chama Pinzani Hawa Makundi Yapo chni Ya Wanasiasa Wenye Misimamo Mikali
Wanamdekeza tuu hajakutana namaninja walimuweza itra awe yeye takataka 😏😏😏
hatari
Nch ya laana hyo
Iposiku nayeye atakufa tenakwa mateso makali umbwahuyo jimii
Huyu Jimmy inabidi aje hapa kwetu tanzania 🇹🇿 awashughulikie wahuni
Maskini raia 😢
😭😭
Ereza niwainchi gani
Sehemu yenye mafuta na madini mashetani wameingiza mkono ..
hzi ndo habar Sasa,,, sio mnatuletea habari sijui Dem kaachwa na mhuni wake hahahhahha
Hawa Ndio Wahuni Sio Waokota Chupa Wa Kwetu
Hahahaha
Panyaroad
😂😂😂😂
Duuu
Haya yote n matatizo ya marecan kufadhir wahun ili auze siraha nakuiba Mari za Africa afadhar mahakama ya Kenya ilivostukia mtego huo nakuzuia jeshi lake wangeingia kwenye tamaa ya izo B alizotangaza marecan wangeliwa kichwa
Nyoko
Na yeye si atakufa tuu
Huyu ndiyo mwanaume achana na hawa wanaume watu wa chochote kitu😅
Kwan ww ni shoga
Kumbe sio Tanzania 🇹🇿 🤮pombe mbaya nikafikili zanzania
Kwani nchi haina makomandoo na wajeda ina polisi tu???
Hii taarifa mwandishi amecopy maelezo sehemu 4:30
Namanisha hakuna alicho add ni copy na peste
Sasa haiti ilipata uhuru miaka 200 iliyopita
Lakin hapa kuna siri kubwa sana ngoja tuone kuna habari nzito inakuja kumhusu
Wahuni hawakuingia ikulu😂
Propaganda za kumchafua BBQ ,Wambie wasikilizaji wako Haiti ni taasisi ya watu wachache .Wanao baki 90% ni masikini .
We nae umetumwa kutu aminisha jimmy ni mmbaya shida iliopo wakubwa ndio wanaokula minofu na maisha ya wananchi kua magumu na ajira hakuna safari Bado sana huyu mi namuona kama kamanda baazi ya viongozi wa nchi za kiafrica waenderee kujitafakari
😅😅😅😅 tz lini
Acha uchoko
Weeee
Hatari
Leave those cheap news!
Nimekuelewa saaana mwamba mpaka mwenye akili ya tatu ndo atakuelewa
Mwamba
Siyo wahuni hao ndo wananchi
wamebaki wachache sana hawa
Aende SOVIET abaki salama
Siyo kweli umeongea uongo hao wanapigania kuikomboa nchi yao dhidi ya ukolon wa magaribi. Wafrik sijuw tuko vp watu wanajikomboa nch yao et wanaitwa wahuni aisee
Mtu mweusi wakati anatetea haki za nchi yake wanamuita muhuni au gaidi
Nguvu anapewa na nani kuna watu wachache wanangiza pesa
Subscribe
Aisee 🤔
Inatamkwa barbeque siyo babaque. Sema BABE siyo BABA