Subhana Allah 😭 Al -Malik Quddus YAA Rabb...duuh kumbe ni hivo....ukiachishwa.. baadae anaekuachisha akakuowa kumbe pia ni zinaa.. subhana Allah 😭..habaki mtu... duuu mtihan huu
Subuhana lwah shekh Kuna mzinif namba tano, anakukopa mahali kila siku nalipa kesho nalipa kesho inafikia munaachna anao kwengine, na mahali kwako anasahau kabisa, au munaish HD anafarik mmoja wao je uu si uzinif pia
Hilo linakua deni, na haikua uzinifu. Kakopa mahari hajilipa mpaka kafa, ama mumeachana hapo kunakua na deni, tena inatakiwa udai warathi wake, na kama hukulipwa haingii peponi. Suala la kuo owa owa hilo lipo juu yake.
Shekhe mm nauliza ikwa mwanamke ameolewa na ujauzito na akaendelea kuzaa baada ya hiyo ndoa je bila kujua kama ndoa ya staili hii haifai na daadae baba akawaozesha bint yake na bila ya kujua kama na kama hayupo sahihi na bint akazaa ndani ya hiy ndoa yake je bint huyo atakuwa katika upande gani wa kiislam tafadhali naomba kujibiwa kwa swali hili
Ustadhi apo umenia changanya kidogo kwani mwaliwangu alishawi kunambia mkemwemyemimba unaweza kumuowa ila mtoto akizaliwa siyo mwanao , nawe wasema make mwenyemimba harusiwi kuolewa , apo nikubali lipi ?
Ukatoka vipi, kutoka kwenye ndoa ukazini, ama kutoka nyumbani? Ukitoka nyumbani, hapo inakua umetundikiwa talaka, na ukitoka talaka tayari, hukumu yake mpaka urudiwe.
Talaka mume amtakie mke ama aandike tu, na si kusikia tu. Kwa vitimbi vya wanawake kama ingekua inaswihi takala ya kusikia mke wa kwanza anatangaza tu mke mwenzangu kaachwa, au mke mpya anatangaza mke mkubwa kaachwa, ndio iwe takala tayari? Mume mwenyewe akiri kumtamkia anayemuacha.
@@aminamalilo6605Mdomo una meno 40 sijui 60 mtu ashindwe kuaga, Kwanza mwanaume sisi huwa hatuagi, tunatoa taarifa tu, nasafiri kikazi, mzigo umefika, naenda Dubai kibiashara, maneno yote hayo ni kusema tu 😂😂😂 Hata miaka 3 inakatika, na dhambi hupati, maana pengine huyo wa kwanza kichaa
Nakwamfano uko na mume akushughulikii kwa chochote ukimwambia mambo ya kazi hataki sasa yabidi ww ndio nkila kitu na amekuoa kabisa hii nayo yashauriwa vp
Ndio hata elfu kumi kwa mwezi hakupi? Kama anakupa ndio anakuhudumia huyo, halafu wanawake wa sasa unataka uwe kwenye ndoa, na alfajiri unatoka na kurudi jioni unaenda kutafuta hela, sasa hapo wanaume wasio wachamungu ndio utajihudimia, si mchamungu kwa sababu kakucha utoke alfajiri kutafuta kazi.
Alikua na kazi mwanzo alikua akihudumia vzuri tu lkn kazi iliposimama sai ankua hataki tena kaxi yoyote mpka ilifikia mahali watoto wakawa wamesimama hawasomi nkaamua vile maisha yamekua magumu acha vile mm n mwanamke kusafiri hua n bure wanaume n mpka walipe nkaamua acha nisafiri ndio ili nimsafirishe tusaidiane akakubali nliposafiri tu kutumana pesa aanze process za safari yuaniambia hataki kusafiri na basi ndio ilikua hivyo mpka sai mwaka n wa tatu huu hataki kazi wala hashughuliki na chochote
Haya ndio matupu katika Jamii.Allah atusameh atuongoze ktk njia iliyonyooka.amin
Shukuran shekh wetu mungu akulipe. Ninaswali naomba tuongee inbox
Subhana Allah. Allah awaepushie yapo sio uwongo kweli kabisa
Shukran kwa kutufudisha allah akujalie afya jema undele kutufundisha na mengine
Allah Tujalie kheri waja wake ila kibaya Zaidi ni ukosefu wa elmu na kuto kuamini
Shukran sana shekhe tumepata uelewa kama tupoo ndani ya ndoa au zinaa
Umesema kweli Shekh mme akikuacha hataki uolewe wanatutesa sana Ahasante kwa elimu yako imetufikia
Shukran jazzillah Kwa ukumbusho Al'akhy.
Subhana Allah imefika mpaka ivo kwa masheh
Sheikh Allaah akulipe kheri kwa mawaidha mazuri
Subhana Allah 😭 laa illah haillah Yarrab atatufanyia wepes kwa sote
Allah atufanyie wepesi
Shuklani sanaaa
Allah atuongoze Yarrab
Shukran San kwa elimu 😢
Jazzakallahu kheri
Subhana Allah 😭 Al -Malik Quddus YAA Rabb...duuh kumbe ni hivo....ukiachishwa.. baadae anaekuachisha akakuowa kumbe pia ni zinaa.. subhana Allah 😭..habaki mtu... duuu mtihan huu
Yamekukuta ama
@SalimFondo-s6i hapana
Kwakweli tutubie kwa Allah
Subuhana lwah shekh Kuna mzinif namba tano, anakukopa mahali kila siku nalipa kesho nalipa kesho inafikia munaachna anao kwengine, na mahali kwako anasahau kabisa, au munaish HD anafarik mmoja wao je uu si uzinif pia
Hilo linakua deni, na haikua uzinifu. Kakopa mahari hajilipa mpaka kafa, ama mumeachana hapo kunakua na deni, tena inatakiwa udai warathi wake, na kama hukulipwa haingii peponi. Suala la kuo owa owa hilo lipo juu yake.
Mahari kutolipwa haiwi zinaa, kwani mahari ni faradhi kwa mujibu wa Quran. Kutolipa mahari ni kuaswi amri ya mola.
Inshaallah
Nibora zaidi walimu mwende sawa musituchanganye wanafunzi mutaifanya dini kuwa ngumu sanaaaa
Sheikh jee talaka ya kutundikiwa unakaa eda? Na ukikaa eda ukamaliza akuoe tena kwa mahari mengine?
Mtihan Kwa kweli dah
REKEBISHENI LUGHA . MTU HAZINI NA MKEWE. KUZINI UNAFANYA NA ASIYEKUWA MKE HALALI. UKIONA UNAZINI UJUWE HUYO SI MKEO. MTU HAZINI NA MKEWE.
اللهم انصرنا
Kweli kabisa
😢
Shekhe mm nauliza ikwa mwanamke ameolewa na ujauzito na akaendelea kuzaa baada ya hiyo ndoa je bila kujua kama ndoa ya staili hii haifai na daadae baba akawaozesha bint yake na bila ya kujua kama na kama hayupo sahihi na bint akazaa ndani ya hiy ndoa yake je bint huyo atakuwa katika upande gani wa kiislam tafadhali naomba kujibiwa kwa swali hili
hamna ndoa inayopita mwanamke akiwa na ndoa
Wapo wengi mno pia wanaume hukutakia wamekuacha halafu ukasikia sikumaanisha mtihani mkubwa
Hatari🤔🤔🤔🤔 Hadi naogopa::: sababu mume wangu aliniacha 2 akanirudia ,,sasa Mimi nikaenda nyumbani kutulia MDA wawik,, kumbe huyu bwana anawambia watu Mimi kaniacha wakati alikua amenirejea tayari,, 😢😢😢 ila nikimwambia kwahali hii talaka zimeishaa sababu ulikua emenirejea lkn unarudi nyuma kumsema KUA Mimi umeshaachana na Mimi,, lkn mbishi Nipo nae Hadi Leo,, sasa nifanyejee sheikh 🥲 maana nishaogopa nisijione kama nimo ktk ndoa kumbe nimo ktk hiyo zinaa🤔
Ndio zinaa yenyewe hio
@khatibabass3106 Astaghfrullah,, Nashukur asante
Asalam Alaikum mpigiye simu sheikh huyu 0773155859 muelezee kesi yako
Waislamu wanamchezea allah sana kwenye maswala ya ndoa
Yuko wapi huyu shekhe@@AdilTvOnline
Me niulize talaka ya kutundikiwa inajuuzu?
inajuzu
Ukiwa si msikivu kwenye ndoa lazima utatundikiwa tu.
.....Ukitoka ndio takaka yako.
.....Ukizini ndio talaka yako.
....Ukicheza upatu ndio talaka yako
@@Sheba4651 zinaa tayari huvunja ndoa....mwana ndoa anae zidi haddi yake kupigwa mawe hadi kufa....hata ukaikwepa haddi, ndoa haipo....
Sheikh je mchina amewekwa mimba na mwanaume mwengine kisha kaolewa na mimba na mwanaume mwengine hii ndoa imeswihi au laa maan
Mm ninavo jua mtu ukiwa namimba mpaka ajifungue ipite 40 ndio analuusiwa kuolewa
haiswihi ndoa
Mimba ya kwenye ndoa sio ya zinaa
haifai kuolewa mwanamke akiwa na mimba. so hyo ndoa haijaswihi
Ustadhi apo umenia changanya kidogo kwani mwaliwangu alishawi kunambia mkemwemyemimba unaweza kumuowa ila mtoto akizaliwa siyo mwanao , nawe wasema make mwenyemimba harusiwi kuolewa , apo nikubali lipi ?
Je wewe unakubali mwanao asiwe wakwako? Maan anayo yasema huyu yupo sahihi haifai kumuoa mwanamke mwenye mimba mpaka aikijifungua ndoa inafaa
Kwamm nijuwavyo mtu akiwa na mimba hairuhusiwi kumuowa mpk azae
Akikwambia ukitok ndo talka yko ukatok jee umeachika?
Ndio umeachika talaka moja teali
Hukumu yke ni ipi?
ukitoka talaka tayari
Ukatoka vipi, kutoka kwenye ndoa ukazini, ama kutoka nyumbani?
Ukitoka nyumbani, hapo inakua umetundikiwa talaka, na ukitoka talaka tayari, hukumu yake mpaka urudiwe.
mim nina 12yer tangu tuachane ila talaka kagoma kunipa nikitaka kuolewa n lazima anipe au naoleka mim
Amesha kuacha huyo ukipata mchumba olewa tu kuliko kudhin
Nenda kwamashehe upate ujuzi zaidi
unaweza kuolewa tu
Talaka sio karatasi ni matamshi
Amesema tangu tuachane, ndio umesema hajakupa talaka, ila je kwani alikutamkia kukuacha?
Shekh kama mme amekuoa halafu mii ni mke pili ili amridhishe mkeo anamwambia nimemwacha sipo nae hiyo imekaaje shekh
talaka imetoka hapo
Talaka mume amtakie mke ama aandike tu, na si kusikia tu. Kwa vitimbi vya wanawake kama ingekua inaswihi takala ya kusikia mke wa kwanza anatangaza tu mke mwenzangu kaachwa, au mke mpya anatangaza mke mkubwa kaachwa, ndio iwe takala tayari?
Mume mwenyewe akiri kumtamkia anayemuacha.
Je kama ana mkewe na hataki mkewe ajue wala hana uadikifu hiyo je ni ndoa
Kuowa kwa siri ni Sawa haja Pata dhambi, tuu nikupe ww toka mlango
Kwahiyo akienda kulala kwa hiyo mke mdg atakuwa anaaga vp jamani kweli haya ndo anayoyasema sheikh
@@aminamalilo6605Mdomo una meno 40 sijui 60 mtu ashindwe kuaga, Kwanza mwanaume sisi huwa hatuagi, tunatoa taarifa tu, nasafiri kikazi, mzigo umefika, naenda Dubai kibiashara, maneno yote hayo ni kusema tu 😂😂😂
Hata miaka 3 inakatika, na dhambi hupati, maana pengine huyo wa kwanza kichaa
Nakwamfano uko na mume akushughulikii kwa chochote ukimwambia mambo ya kazi hataki sasa yabidi ww ndio nkila kitu na amekuoa kabisa hii nayo yashauriwa vp
Ndio hata elfu kumi kwa mwezi hakupi? Kama anakupa ndio anakuhudumia huyo, halafu wanawake wa sasa unataka uwe kwenye ndoa, na alfajiri unatoka na kurudi jioni unaenda kutafuta hela, sasa hapo wanaume wasio wachamungu ndio utajihudimia, si mchamungu kwa sababu kakucha utoke alfajiri kutafuta kazi.
@Sheba4651 yeye kakaangu hata shilingi kumi wallah mbele ya Allah hatoi