JOA TV,🎹🎤-_- Tazama mahubili Ya Hayati Moses kulola Aliye kuwa Askofu mkuu EAGT. SOMO IMANI YA KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 10 місяців тому +2

    Huyu bhana huwa namwita Paulo wa nyakati zetu,Paulo wa Tz na dunia kw ujumla maana aliyatoa maisha yke kw bwana,akasahau ht watoto kwaajl y Injili,natamani Mungu anipe utayari na uthubutu km wke!

  • @JosephNyanda-ub3yk
    @JosephNyanda-ub3yk 10 місяців тому +1

    Amina napokea neno kwa jina la YESU Amen

  • @FloraCharles-ls4vk
    @FloraCharles-ls4vk 9 місяців тому +1

    Tunaendelea kujifunza baba etu Mungu akupe pumziko🙏🙏🙏

  • @faithmuthini8826
    @faithmuthini8826 Рік тому +3

    Mafundi ya hekima itokayo kwa Mwenyezi Mungu

  • @danielmwatusekele4231
    @danielmwatusekele4231 Рік тому +4

    Kiongozi Bora wa kanisa la Mungu

  • @geraldhongani8765
    @geraldhongani8765 Рік тому +4

    Uyu mzee bado anaish kwetu🙏🙏

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 Рік тому +2

    I miss you dad, hakika ninakukumbuka sana mbegu uliyoipanda inaendelea kuota duniani

  • @aminamaundu9388
    @aminamaundu9388 10 місяців тому +1

    Amina Baba yangu wa kiroho

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 7 місяців тому

    SHUJAA WA IMANI YA YESU WA KWELI

  • @muhubirirwesapaul3150
    @muhubirirwesapaul3150 8 місяців тому

    Mhubiri wa neno la Mungu la kiroho. Sio kama wale waleo wanahubiri mafanikio ya dunia tu!

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 Рік тому +3

    Napenda mafundisho yake yamejaa kuhusu siku za mwisho,,alili acha kanisa kwenye misingi imara

  • @sirgcomedian4499
    @sirgcomedian4499 Рік тому +1

    Kwa kweli najifunza mengi kwa baba yetu Mzee Kulola🙏🙏🙏

  • @beatusmichael1727
    @beatusmichael1727 8 місяців тому

    Tunapokea baba yetu wakiroho

  • @kennyrushmusic1790
    @kennyrushmusic1790 Рік тому +1

    Amen

  • @beatusmichael1727
    @beatusmichael1727 8 місяців тому

    Ndiyo tunaamini

  • @stellambilinyi5402
    @stellambilinyi5402 Рік тому +2

    Good bless you

  • @BahatEdison-pv6rv
    @BahatEdison-pv6rv 9 місяців тому +1

    Moses wito wako ilikuwa mkubwa sana

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH Рік тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @neemasazia-vg9sh
    @neemasazia-vg9sh Рік тому +2

    Baba tunakukumbuka Sana Imani uliilinda,ila lait kama ungefufuka ungewashangaa wachungaji wenzako A.E.G.T wanakoipeleka.

  • @ruhumurizaalexis7277
    @ruhumurizaalexis7277 10 місяців тому

    Hakika kwangu ame nifudisha mengi

  • @tumeitikamusic
    @tumeitikamusic Рік тому +2

    🔥🔥

  • @urasaomben8641
    @urasaomben8641 Рік тому +3

    Mika 7:7-8 (KJV) Lakini mimi, nitamtazamia Bwana; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia.
    Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, Bwana atakuwa nuru kwangu.
    ua-cam.com/video/aBzYKHfDYhw/v-deo.html