КОМЕНТАРІ •

  • @SamweliLosingoy-zi8sb
    @SamweliLosingoy-zi8sb 7 місяців тому +5

    Amen sana MTU WA MUNGU SANA NEEMA YA KRISTO IKULINDE SANA NA AKUINUA ZAIDI NA ZAIDI MTUMISHI WA MUNGU

  • @willyane13
    @willyane13 Рік тому +6

    Nakaa Canada, bwana yesu abaliki mtumishi wamungu katekela , samahani sijuwi kuwongeya kiswahili ninaelewa kido nawashukuru sana nyinyi wote namungu azidi kuwabaliki ❤

  • @babbrabartoo3991
    @babbrabartoo3991 Рік тому +10

    welcome to my country Kenya,God bless you so much

  • @lilianwanjala8728
    @lilianwanjala8728 Рік тому +7

    Ameen nafatilia.. kutoka 🇸🇦 lkn mm n 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.. nashukuru mungu akulinde mutumishi

  • @xstn8
    @xstn8 Рік тому +2

    Namwombea huyu Mchungaji Mungu ailinde imani yake, asimame Bila udhaifu wowote hadi siku ya bwana Yesu. Amenibariki sana kwa mafunzo yake. Mungu aibariki promova TV na awazidishe. Mungu ailinde familia yake pia. Karibu kwetu Kenya.

  • @deboramarc3804
    @deboramarc3804 Рік тому +5

    Amen!!!!

  • @gloryabdallah1161
    @gloryabdallah1161 Рік тому +10

    Mungu wa mbinguni awabariki sana tunamuona Mungu kwa viwango vikubwa sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @nelsonjohanes8467
      @nelsonjohanes8467 Рік тому +1

      Mungu akubariki sana mtumishi Wa Bwana. Tumefunguliwa kupitia wewe. Na Mungu alikuwa na makusudi ya kukutuma kuzimu kuona yaliyopo, ili tufungulie. Yesu ni chuma cha leli, na nizaidi

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 Рік тому +3

    Umekuwa baraka sana kwangu mch kweli nimejua haki yangundani ya YESU

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому +3

    Ameen ubarikiwe mchungaji katekela kwa mafundisho

  • @nancykageha2199
    @nancykageha2199 Рік тому +3

    Mungu akubariki muchungaji Nancy kutoka. Kenya nimebarikiwa. Saaan

  • @WillyWbakuju-by1yp
    @WillyWbakuju-by1yp 6 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu endelea kufichua uchafu na mbinu za giza

  • @fatumaadam7970
    @fatumaadam7970 Рік тому +3

    Amina watching from Taita 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bettynjoki5247
    @bettynjoki5247 Рік тому +2

    Mungu hakubariki mtumis wa Mungu am woching u form 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪

  • @folekagohjl2690
    @folekagohjl2690 Рік тому +2

    Amen pastor

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 Рік тому +6

    Zidi kuinuliwa mtumishi wa Mungu hakika nimengi twajifunza toka kwako

  • @Rosemary-dc4jr
    @Rosemary-dc4jr 5 місяців тому

    Barikiwa sana mchungaji amieli katekera, kwanini usifungie kanisa huku dar jaman, kakaangu wakigoma mwenzangu

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому +1

    Aminaa God bless u

  • @gerardineakima1766
    @gerardineakima1766 Рік тому

    Hallelujah hallelujah hallelujah namimi pia nimeshafungulia kupitita ushuhuda wako Pasta Mungu akubariki sana tena sana hakika naivi ningali naomba nifunguliwe Mungu atubariki nanyi

  • @carenatieno561
    @carenatieno561 Рік тому +1

    Amina na Amina ubarikiwe zaidi

  • @NicodemKayuni
    @NicodemKayuni 5 місяців тому

    kutoka malawi mungu akubaliki sana kwamafundisho yako pastar

  • @israelfavour4039
    @israelfavour4039 Рік тому +2

    Watching from Nairobi Kenya

  • @israelfavour4039
    @israelfavour4039 Рік тому +2

    Men of God pray for my ministry here in Kenya Nairobi

  • @gedeonkivisi6895
    @gedeonkivisi6895 Рік тому +1

    Amen huyu ni mtumishi Mungu ametuletea hakika.

  • @SaadaWanjiru-kb1et
    @SaadaWanjiru-kb1et 11 місяців тому +1

    welcome to Kenya

  • @Rosemary-dc4jr
    @Rosemary-dc4jr 5 місяців тому

    Mungu akutunze sanaa utufungue zaid

  • @failanangeso
    @failanangeso Рік тому +1

    Karibu kwetu congo

  • @winrosemakoha4392
    @winrosemakoha4392 Рік тому +2

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @eddyflora3578
    @eddyflora3578 Рік тому +5

    Nawapata vizuri kutoka mombasa Kenya huyu mtumishi ananibariki sana

  • @mercymamuya7844
    @mercymamuya7844 Рік тому +1

  • @marypanwark8132
    @marypanwark8132 Рік тому

    Amen...Mtumishi wa Bwana...naomba umuombee ndugu yangu Donat amefungwa na vifungo vya upareshen wa mara kwa mara...naomba umuombee mtumishi wa Bwana apate ukombozi....

  • @FrenkFransic-vl1oc
    @FrenkFransic-vl1oc Рік тому +3

    Mungu ni mkuu Sana tuendelee kumtaka bwana na nguvu zake

  • @SHADRACKAMANWELE-mq5pb
    @SHADRACKAMANWELE-mq5pb Рік тому +1

    Hakika Mungu anakutumia tunazidi kubarikiwa

  • @SimonLiwawa-ux5cq
    @SimonLiwawa-ux5cq 3 місяці тому

    Mungu akutie nguvu,na akupiganie

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Рік тому +1

    Barikiwa sana baba

  • @Rosemary-dc4jr
    @Rosemary-dc4jr 5 місяців тому

    Mafundisho yako mchungaji yananifungua na kuniweka imara sana na kumuamini sana mungu na yesu kristo

  • @sallyeringo33
    @sallyeringo33 Рік тому

    God blessed you man of God your ablessing to whole world

  • @jojosky337
    @jojosky337 Рік тому +1

    Amen

    • @lamecklaban5198
      @lamecklaban5198 Рік тому +1

      Nimebarikiwa saana mtumishi wa Bwana

    • @WssoroKagiye
      @WssoroKagiye Рік тому

      Mchungaji nilikuw na swali imetokea tabia yawatu wanawaumbuw wachawi jina as lingine wanawaita kamchapee Luna siri ganii APA iliyojificha

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 4 місяці тому +1

    Hallelujah Hallelujahs hallelujah ‼️ hongera Sana

  • @KungwaKiza
    @KungwaKiza 7 місяців тому +1

    Jambo mchungaji!

  • @WssoroKagiye
    @WssoroKagiye Рік тому

    Mungu akulinde namipango yashetani juu yakuiona pepoo au mbingu

  • @MaryNgari-kb1dj
    @MaryNgari-kb1dj Рік тому

    Glory be to God...

  • @shadrackmaingi1882
    @shadrackmaingi1882 Рік тому +1

    Ujumbe wa kiroho unafuja ngone za shetani. Mtumishi akulinde na akufunulie zaidi.

  • @annamwanzia1067
    @annamwanzia1067 Рік тому +3

    Mchungajiumebarikiwa sana sana kukoboa watu,hacha watu waongee wako na mashetani mengi sana

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Anawakoboa kwenye Kinu au Ni Yesu anayekomboa watu??amkeni mwanadsmu hakomboi mtu mtamfanya muungu mtu sasa

  • @annbrendanalech7429
    @annbrendanalech7429 Рік тому +3

    Ushuhuda wako imenifanya nikajiona kwenye kiwango kingine

  • @SamweliLosingoy-zi8sb
    @SamweliLosingoy-zi8sb 7 місяців тому

    MUNGU wa MBINGUNI AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU ILA MAANA YA ICD SIJAELEWA VIZURI

  • @PeninahMwendwa
    @PeninahMwendwa Рік тому +1

    Alelluyah 🇰🇪

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Kule katikati nilianza kukwepa Shuhuda zako

  • @GodwiniKyomo
    @GodwiniKyomo 2 місяці тому

    Ni. Malango gani hayo?

  • @vailetlemenya6576
    @vailetlemenya6576 Рік тому

    🙏🙏🙏💪👍

  • @nancykageha2199
    @nancykageha2199 Рік тому +1

    No ya mpesa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Kidogo na mimi nikuulize kwa nini unafundisha saana mambo ya Huko ulikotoka??sasa leo majibu umeyatoa

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 Рік тому +1

    Mtumishi hiyo style ya kunyoa kichwa chako haistahili kwako. Bwana akusimamishe zaidi ili tujifunze mengi yaliyo ya Mungu kupitia kwako

    • @beniviva5014
      @beniviva5014 Рік тому

      Nani kasema

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 Рік тому

      yan tujisimã mie wenyewee

    • @katundudaudi4444
      @katundudaudi4444 Рік тому +1

      Alishaeleza sababu ya kunyoa hivyo

    • @wemamanikana9791
      @wemamanikana9791 Рік тому +1

      @@katundudaudi4444 Sababu alizozielezea hazikuwa na uzito mpaka akaamua kusema kuwa atanyoa vizuri bila panki, lakini saizi karudia, ajue kuwa yeye ni kioo

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 Рік тому

      @@wemamanikana9791 Umefungwa ktk mwonekano WA mchungaji, umekwazika? Omba Kisha tafuta wasaa wasiliana naye

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Hayo hayakuwa Maombi sahihi kamwe

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 Рік тому +1

    huyo baba yako ndio alikuwa mtumishi wa kweli sio wa leo wanawaza bila peaa hahubiri au bila suti

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому +1

    Katekela naomba nambayako ninaimani naww

  • @RhianShauri-h8r
    @RhianShauri-h8r 6 днів тому

    Uishi milele baba

  • @WssoroKagiye
    @WssoroKagiye Рік тому

    Mchungaji kuna tabia imeinuka kwa baadhi ya mikoe kuwaumbuwa wachaw wanao waumbua ni wakinanani ao au kunasiri gani imejificha jinalingine wanawaitaa kamchapee

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому

    Hapo umefanya vema,Watu wengi ovyo wanafuata mno yale yanayotendwa Na waliopo Duniani

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 5 місяців тому

    Mafundisho yako yananipa ukomando wa kiroho

  • @jojosky337
    @jojosky337 Рік тому

    Mchungaji ninashida na namba yako ninauhitaji wa maombi

  • @mariammulinga9782
    @mariammulinga9782 Рік тому +2

    Amen Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @vumiliapaulo-tx1gv
    @vumiliapaulo-tx1gv Рік тому +1

    Amen

  • @WssoroKagiye
    @WssoroKagiye Рік тому

    Mchungaji kuna tabia imeinuka kwa baadhi ya mikoe kuwaumbuwa wachaw wanao waumbua ni wakinanani ao au kunasiri gani imejificha jinalingine wanawaitaa kamchapee

  • @israelfavour4039
    @israelfavour4039 Рік тому +1

    Amen