SHARIF MWINYI BABA NA MUFTI WAMWAGA MACHOZI, MWINYI NA SHARIF HUSSEIN BADAWIY CHANZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @abubakarmustwafa8662
    @abubakarmustwafa8662 Рік тому +6

    😭😭Daaah, alhamdulillah,Mungu awazidishie kheri Ulamaa wa umat Muhammad(S.A.W)

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Рік тому +1

    Masha Allah, Jazzaka Allah kheri. Mola awazidishie hekma, elimu na afya tuendelee kunufaika inshaallah.

  • @issajuma3346
    @issajuma3346 Рік тому +2

    subhn llh ,,,allh atujaalie kuwapenda swalihiiiin

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Рік тому +1

    Hakika maneno ya juma faki ndiyo tuyafanyiye kazi inshaallah tujitahidi tusiwekeane vinyongo inshaallah Yaa rabiy

  • @jumafaki1697
    @jumafaki1697 Рік тому +6

    Kuwa mwema,usichoke kufanya wema hata kwa wanaokufanyia ubaya wema wako Daima utakumbukwa na hutosahaulika

  • @swabirattwas6796
    @swabirattwas6796 Рік тому +2

    MASHA ALLAH❤💯🥰

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 10 місяців тому +1

    Masufy ni waongoo sana
    Allahul Mustaan

    • @ahmadsaid4805
      @ahmadsaid4805 8 місяців тому

      Watu wa drama kulia ili wazidi kupptosha watu

  • @abdallahkassim7602
    @abdallahkassim7602 Місяць тому

    Ma Sha Allah

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Рік тому +1

    Maashaallah maashaallah maashaallah

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 Рік тому +2

    MASHA ALLAH

  • @rashidikanyama7227
    @rashidikanyama7227 Рік тому +2

    Mashallah mahabbah

  • @ahmedashfa7318
    @ahmedashfa7318 Рік тому

    Alhadulillahi kwa kupata faida kubwa ktk hadhara.

  • @adamuchenchere7557
    @adamuchenchere7557 Рік тому

    Mashaalah

  • @abdurahimamanye5300
    @abdurahimamanye5300 Рік тому

    Masha Allah

  • @hazirasaid9591
    @hazirasaid9591 Рік тому +1

    Allah akbar

  • @munirusiraji4823
    @munirusiraji4823 Рік тому +2

    🥺🥺

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 8 місяців тому

    Nyie mawahabi kama unamjua shkhe huyu ni wa bid gha kwanni uje kumtazama acheni unafiki nyini ni makopo tu elimu hamna kabsa mnajua makelel tu na kujifnya mnaijua haki ache usenge

  • @nurdinjumaa7825
    @nurdinjumaa7825 Рік тому +1

    😭😭😭

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +2

    Dini ina safari ndefu kutoboa hii kwa hali hii

  • @abdulazizislam1261
    @abdulazizislam1261 Рік тому

    😃😃🤑😅🤑😅🤑😅🤑😅🤑😅

  • @abdulrahmansalim1990
    @abdulrahmansalim1990 Рік тому

    Maulid ni BID'A ....wachaneni na uzushi fuateni Sunnah za mtume.

    • @abubakariyahaya99
      @abubakariyahaya99 Рік тому +1

      Kwani Nini maana ya bidaa kaka yangu naomba nisaidie

    • @myid9554
      @myid9554 Рік тому +1

      Swadaqta .elimu ni nuru ya ngara popote ulipo .tosomeni na Mola atuafikie na atuongoze kwa kutujalia taqwa. amiin

    • @adelinibrahim9283
      @adelinibrahim9283 Рік тому +1

      wahabi hutosimamisha maulid hata siku moya.kasome wahabi wewe

    • @abdulrahmansalim1990
      @abdulrahmansalim1990 Рік тому

      @@adelinibrahim9283 nakuuliza nyinyi makhurafi mwajifanya mwamfata imam shafiy rahimahullah.nakuuliza anasema Nini kuhusu maulidi mumeyatowa wapi

    • @abdulrahmansalim1990
      @abdulrahmansalim1990 Рік тому

      @@abubakariyahaya99 bidaa Iko na maana ya kilugha na sharia
      Hawa makhurafi kazi yao ni kuchanganya watu.bidaa iliyokuja kisheria ni Kila kilichozuka katika dini ambacho hakuna kizuizi Cha kufanyika wakati wamtume.kukifanya hicho kitu ni BID'A

  • @bilaalmuhammad9499
    @bilaalmuhammad9499 Рік тому

    Mashallah