Mzee kafanya kazi kubwa sana kusambaza dini amefundisha malaki ya watu huyu ndio ameplay bid role katika uislam ila sasa umkute mtu kama Mazinge hivyo anavyojisifia daah
Allah amrehemu Shekh huyu mfano bora sana kwa Mashekh wa sasa. Anajuvunia kufanya kazi ya Kusomesha Dini ya Allah na Ma sha Allah alipata mafanikio ambayo kila Muislamu makini anaiona kwa kushuhudia Mashekhe wengi wa kutegemewa hapa Tanzania na nje ni wanafunza wake mfano: Shekhe Mkuu Abubakar Zubeir Shekhe Walidi ,Shekh Kassim Mafuta ,Shekhe Muharram Mwaita ,Shekh Muhannah a.k.a Baba Kiruwasha ,Shekh Muhammad Iddi na wengine wengi Mamia kwa Mamia nchini. Yeye alofanikiwa kwakuwa alijikita kusomesha na si Kupinga kila kukicha.. Tumuombee kheri na Rehema za Allah na tumuige mwendo wake In sha Allah
Allah agreement sheikh Muhammad Ayoub,alikuwa alim asiyejitukuza bali alikuwa mwanazuoni wa kweli na athari za kuwepo awake zinaendelea hadi siku ya kiama.
Allah mrehemu shekhe Mohamad Ayubu.Msomi alieitumikia Elimu yake.Akawafaa waja na miji ktk nchi yetu
Allah akupe maisha mema Sheikh Muhammad bin Ayyub insha Allah Allah atujaalie tukutane huko Allahumma Aamiin
Allah amrehemu shekhe huyu na amuingize ktk pepoyake tukufu aamina
Allah Akuhifadhi Sheikh Wetu.
Umetoa ...mchango mkubwa sana kustaarabisha watu
ALLAH KAREEM amraham atupe na sisi barka zake tufuate njia zao.. ameen
Allah amjaalie kauli thabit yey pamoj n sis Isha Allah
5:33
Mashaallah, Allah Akuhifadhi Sheikh!
ahifadhiwe au arehemewe
Alah awerehemu masheikh wote muhmmad ayoub nawote waliotangulia
Mungu atupe nas kaultthabit kwabaraka zake sheikhe muhammad ayubu kupitia jaha ya mtume msw
اللهم اغفر له و ارحمه وانفعنا بأسراره وبركاته
Kamawapo wanafunzi wa shekhe huyu wayachunguze sana maneno ya shekh wao huyu.. Allah amrehem.
b
Mambo yasiyokuhusu achana nayo,hasa ukiwa ni Mhabi,ndo uachane nayo kabisaaa, nyinyi mna Dini yenu nasi tuna Dini yetu.
@@swahibually8349 jazba shehena
ماشاالله اللهم رحمه الشيخنا آمين
Mungu ampe pumziko njema sheikh mkubwa nimesomeshwa na mwanafunzi wake sheikh ally Shafii kinelo
Allah Akurehemu Sheikh !
Allah amrehemu shekhe
Allah amhifadhi na adhabu zakaburi naampe pepo ya juu
ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN
Allah amsamehe makosa yake na amrehemu
Mungu amlipe malipo yalio bora zaidy
اللهم اغفر له وارحمه واسکنه فی الجنة۔
MashaAllah Allah amrehem sheikh
Allahumma aamin
Allah akurehem
Mzee kafanya kazi kubwa sana kusambaza dini amefundisha malaki ya watu huyu ndio ameplay bid role katika uislam ila sasa umkute mtu kama Mazinge hivyo anavyojisifia daah
❤
رحمه الله تعالى رحمة واسعة في الجنة مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Allah amrehemu Shekh huyu mfano bora sana kwa Mashekh wa sasa.
Anajuvunia kufanya kazi ya Kusomesha Dini ya Allah na Ma sha Allah alipata mafanikio ambayo kila Muislamu makini anaiona kwa kushuhudia Mashekhe wengi wa kutegemewa hapa Tanzania na nje ni wanafunza wake mfano:
Shekhe Mkuu Abubakar Zubeir
Shekhe Walidi ,Shekh Kassim Mafuta ,Shekhe Muharram Mwaita ,Shekh Muhannah a.k.a Baba Kiruwasha ,Shekh Muhammad Iddi na wengine wengi Mamia kwa Mamia nchini.
Yeye alofanikiwa kwakuwa alijikita kusomesha na si Kupinga kila kukicha..
Tumuombee kheri na Rehema za Allah na tumuige mwendo wake In sha Allah
Allah agreement sheikh Muhammad Ayoub,alikuwa alim asiyejitukuza bali alikuwa mwanazuoni wa kweli na athari za kuwepo awake zinaendelea hadi siku ya kiama.
Allah amrehemu
اللهم اغفر له وارحمه واس
كنه فى الجنة
Allah mpe kauli thabit
mola amrahamu amuhifadh ampe starehe
Mwenyewezi mungu amrehemu inshallah
Allah ampe makazi mema sheh langu
Kumbe nawewe ulisoma Tamta
Si kweli hii sio khutba yake ya mwisho
Tuwekee ww hutuba yake ya mwisho
TUWEKEE KHORUBA YA MWISHO TUPATE RAHA ZAIDI SHEKH WETU ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN
1997
yamwisho niip?
Amefariki mwaka 1997
Alfark mwaka gani???
Kati ya mwaka 1996 au 1997 ndo alitutoka babu wetu huyu kipenzi نفعنا الله به
1997
Amin mungu atuongoze kwenye nyendo zao
Allah alipe nuru kaburi lake sheh langu