KAMWE AFAFANUA SWALA LA MZIZIE KUONDOKA YANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 36

  • @rajabhassan6966
    @rajabhassan6966 20 днів тому +4

    Yanga waliona mbali sana kumchukua Ally SHABANI Kamwe kua msemaji,
    He is much much talented on speaking
    Much life on Yanga broo🎉

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 20 днів тому +4

    Ally Kamwe nimekuelewa sana bro nami nimeliona hilo acha mwakalobo aendelee na mambo yake

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 20 днів тому +3

    Sahihi sana na ni zaidi ya kipindi Cha Mayele na naamini Mayele pia anaitamani Yanga Africa

  • @erasmuskwayu5643
    @erasmuskwayu5643 20 днів тому +4

    Sawa kabisa ...wape hiyo

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 20 днів тому +1

    sana leo ndo nmegundua ally ana akil san young mko smart

  • @florakawonga7356
    @florakawonga7356 20 днів тому

    Unaongea vizuri sana dogo, nakuelewa Ally Shaban Kamwe

  • @LyatiBahati
    @LyatiBahati 20 днів тому +3

    Wape vidonge vyao 😅😅😅😅😅😅

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 20 днів тому +2

    Kweliiii kabxaaa

  • @zelamwamasangula9184
    @zelamwamasangula9184 20 днів тому

    Asante ally kamwe mungu akubariki SSI yangu kwa neema ya mungu tunabarikiwa wamefanya Kila namba kivuruga yanga wameshindwa ssa wamejileta adharani kusema ukweli tutawaroga tutawahonga marefanamambo mengi tunawahangalia SSI mungu anatusaidia

  • @user-fo9jw2gb2h
    @user-fo9jw2gb2h 20 днів тому +3

    Mzize kwakwenda ni timu za ulaya sio Africa tena itakuwa zalau kwetu nakwake

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 20 днів тому

      Ulaya kivipi kwa kipaj kipi

    • @user-fo9jw2gb2h
      @user-fo9jw2gb2h 19 днів тому

      @@ilynpayne7491 kwani sanogo WA aseno ulimjua alikuwa na kipaji gani ambacho mzize Hana muda ungine ni Taifa wanalotoka sio kipaji tu

  • @BabaNuraty
    @BabaNuraty 20 днів тому

    Kweli kabisa

  • @user-ob2dz1gx4k
    @user-ob2dz1gx4k 20 днів тому +1

    leo umeongea msimamo wa timu nimependa

  • @angetilesamuelmwandambo1344
    @angetilesamuelmwandambo1344 20 днів тому +1

    Sawa kabisa semaji wape za uso

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 20 днів тому

    Mwamba kachafukwa😂wape makuvu,nyambafu hao🎉🎉🎉🎉

  • @fabianlukasi8468
    @fabianlukasi8468 20 днів тому

    Jmn nani kamkwaza msemji wetu lkn ameongea kwahisia kali

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 20 днів тому

    Ally achana na hao wachambuzi maandazi🎉🎉🎉🎉

  • @harounali9057
    @harounali9057 20 днів тому

    Ina onekana mwiba umechoma ndipo.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 20 днів тому

    Dube sio mtu wa kumtegemea injury kila siku

  • @HildaRugee
    @HildaRugee 20 днів тому

    Unabweka kama huna meno mdomoni, Acha inyeeshe, tutaona panapovuja, shenyang type, madeni fc.

  • @user-js9qp1jb3w
    @user-js9qp1jb3w 20 днів тому

    Wanafiki kitoka madunduka km wanataka food way dad wamchukue mukwalaaa

  • @KharidMseswa
    @KharidMseswa 20 днів тому

    Wambie hawo wasiyo elewa et😅

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 20 днів тому

    Eti ukija kupigwa 5 unasingizia watu 😂😂😂😂

  • @user-js9qp1jb3w
    @user-js9qp1jb3w 20 днів тому

    Wakate vilimilimi vyao wachambuzi uchwara

  • @user-ji1mq4sk1n
    @user-ji1mq4sk1n 20 днів тому

    Hawa niwa chambuzi wa matembele

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 20 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ibrahsnipergaming
    @ibrahsnipergaming 20 днів тому

    aweh ukweli mtupu

  • @user-tf4cz2yu4c
    @user-tf4cz2yu4c 20 днів тому

    Mwenye swali la nyongeza?

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 20 днів тому

    TATIZO WATANZANIA BADO WANAWABABAIKIA WAARABU.

  • @EmmanuelMwampamba-m3l
    @EmmanuelMwampamba-m3l 20 днів тому

    Makolo mnasemaje na sisi ndio Tanga,msemaji wetu umesema ukweli Tanga tuna ndoto kubwa kweli za kupambana na virabu kama ariahali baba

  • @KilongolaAbdallah
    @KilongolaAbdallah 20 днів тому

    Wape dawa yao wapone huwo ugonjwa wao

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 19 днів тому

    😂😂😂😂😂

  • @Mic-haelleymepukoriLaizer
    @Mic-haelleymepukoriLaizer 20 днів тому

    Hahahah wajinga wametafuta na kupata Leo hii Ali kamwe anawachafua nyie wachambuzi kabla hamjafanya jambo fikirieni yanga wanaviongozi mashuhuri weledi na wenye mzimamo poleni pia fahamuni akienda kule anaenda kusugua Benji kama kipindi kile Chama na Tk master

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 20 днів тому

    😂😂😂😂😂😂