MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI KWENYE VURUGU ZILIZOTOKEA GEITA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 дні тому +4

    Imani ikiondoka kwa vyombo vya usalama haya ndiyo matokeo yake. Mungu atusamehe watanzania

  • @user-rz1bj1yj3z
    @user-rz1bj1yj3z 5 днів тому +8

    Duuuh polisi mnashindwa kutuliza fujo Bila kutumia silaha za moto

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 5 днів тому

      Yaaan jmn juzi juzi tu wametoka kuua kijana wa watu Leo tena

    • @qunjantv6105
      @qunjantv6105 5 днів тому +2

      Watu 800 unafanyaje

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 5 днів тому

      Watu 800 wana mawe ulitaka wawafanye nini?

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 4 дні тому

      @@lailatmalik7515 wangewapiga hao waliokuwepo hapo ndo walenge nyumba za watu,au na shabaa hawana

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 5 днів тому +4

    Akili zetu zimejaa mihemko na kukosa tafakari Kila Leo tunakurupukia mambo baadae tunakuja kujutia vifo kama hivi tunapoteza watanzania wenzetu asiokua na hatia inahizunisha sana Yaani polisi wakikamata watu wanaohamasisha hizi fujo iwashitaki kwa madhara yanayopatikana kwenye Hilo tukio washitakiwe wamesababisha kifo jamani

    • @stanleykimbulu8431
      @stanleykimbulu8431 4 дні тому

      Poleni wapedwa inasikitisha sana kuona nguvu kazi ya familia na taifa imaondoka

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 5 днів тому +2

    Polis hamjitambui kabisa mpaka lisasi zamoto kengenyie fala nyie afai

  • @user-gp7es3sg3k
    @user-gp7es3sg3k 5 днів тому +2

    Pole Sana mungu akupe subra

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 5 днів тому +5

    Nchi inaenda kubaa

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 5 днів тому +2

    Hicho ni kituo cha polisi kweli ? Au ni masela camp. Daaaaa

  • @pastorjameswatersoflifechu1227
    @pastorjameswatersoflifechu1227 5 днів тому +1

    Damu zinazomwagika bola hatia, zinadai damu nyingine. Tusipoomba sana damu itaendelea kumwagika.

  • @ValentineFrisch
    @ValentineFrisch 4 дні тому

    Poleni Sana ndugu zetu kwa matatizo makubwa yaliowakuta pia ninapenda kutoka ombi kwa polisi kuwa makini na silaha wanapokua kazini sidhani kama kupiga risasi hovyo ni kuzuia fujo na sidhani kama angepiga juu isingeleta madhara

  • @DominicaShio
    @DominicaShio 3 дні тому

    Mnamdhalilisha rais wetu sana tu hii ni nchi ya amani jamani

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 5 днів тому

    Innalillah waina ilayhi rajiun, pole sana mama

  • @LupakisyoKapenja
    @LupakisyoKapenja 5 днів тому

    Pole sana mpendwa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 дні тому

    Hilo jengo sijalielewa. Polini sana wazazi, ndugu, wanafunzi wenzake na walimu.

  • @DouglasMkude
    @DouglasMkude 4 дні тому

    Nani atafuata ndio unaweza kusema,
    Mm nishaona hii TZ hakuna amani bali ni tunaishi kwa kuogopa ifike wakati tuwe kitu kimoja tudai uhuru kutoka kwa MAKABURU WEUSI

  • @user-jl1lu2qk4u
    @user-jl1lu2qk4u 5 днів тому

    jeshi la polisi lifutwe waajiliwe wengine. wazamani hawana binu za kutuliza fujo. wao wanajua kuuwa tu.

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 4 дні тому

    Inauzunisha sana poli wenyewe ckuiz ni walevi walevi tu uckute alikuwa Bado pombe zipo kichwani

  • @DouglasMkude
    @DouglasMkude 4 дні тому

    Mnauwa harafu mnakuja kuzika daaah naumia sana

  • @DareAziz-g3s
    @DareAziz-g3s 4 дні тому +1

    Ee MUNGU wangu

  • @alsia_1
    @alsia_1 3 дні тому

    mama

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 5 днів тому

    Polis wasikuizi hawajuwi sehem pakutumia bunduki inatakiwa muludiswe shuleni ilimukajifunze utalatibu

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 4 дні тому

    Raia wakiisha mtapigana wenyewe 😭

  • @user-kn6oh4dd5k
    @user-kn6oh4dd5k 5 днів тому

    Mjomba ppot ulipo hakikisha unalala saa 12 jion saw# visit busokelo

  • @rechomoris1325
    @rechomoris1325 5 днів тому

    Sio vitoto ni watoto

  • @MathayoMagavilo
    @MathayoMagavilo 4 дні тому

    Dah! So sad

  • @emilyKassiano-oo5iy
    @emilyKassiano-oo5iy 5 днів тому

    Shida hofu imezidi nchini ukitembea barabarani na mtoto wako watu wanajua unamteka . Utakaji umezidi nchini hivyo ni lazima watu wajilinde

  • @dreahmed2336
    @dreahmed2336 4 дні тому

    Natoa rai kama mwananchi, serikali iwakate polisi wote fedha ya bima ya maisha ya watu wanaowauwa katika mazingira ambayo kifo kingeweza kuepukika, na kwa yule askari aliefanya kosa hilo basi ichunguzwe hatua aliochukua je ilikua ni muwafaka?
    Pia serikali iweke utaratibu wa kuwaruhusu askari kwenda mazoezi ya shabaha mara kwa mara, ili waweze kujenga mazoea na silaha na pia wajue madhara yake inapotokea silaha ikitumika kwa mtu hasa maeneo ya tumboni na kifuani. Wengi katika askari ni kama watoto tu katika silaha za moto, wengi hushika silaha miaka mingi bila kuzitumia na hivyo huwa na subira ndogo sana pale inapotokea taharuki ambayo inaweza kudhibitiwa kwa diplomasia ama nguvu ambayo haitasababisha kifo.
    Mungu ibariki Tanzania. Amin!

  • @JosephElikana-j1y
    @JosephElikana-j1y 5 днів тому

    Poleni sana😭😭😭😭

  • @MathayoMagavilo
    @MathayoMagavilo 4 дні тому

    Hawa polc vp mbona hawatumii akir kutulza gasia xx huyo mtoto anakosa gan ila mungu anawaona

  • @rachelmfeti3465
    @rachelmfeti3465 5 днів тому

    Mbona nyumba ya vioo sioni na geti

  • @user-vx5sb6ew5q
    @user-vx5sb6ew5q 5 днів тому

    Ivi polisi ndo wamekua ivi siku izi au hii kazi ya upolisi inahitaji kuajili wasomi zaidi iache haya ma form four

  • @norobo205
    @norobo205 5 днів тому

    Kuna watu kama wanamchafua bimkubwa kiana

  • @DavisEnglishTv
    @DavisEnglishTv 5 днів тому

    So sad

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 5 днів тому

    Hao walio sababisha vurugu wakamatwe wafungwe

  • @FaruJonh
    @FaruJonh 5 днів тому

    Duuh inatisha sana