AHMED ALLY APIGIWA SIMU NA WAZIRI MKUU/ALLY KAMWE AINGILIA/"MHESHIMIWA TUMIA JINA LA ALLY KAMWE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • JAMBO LA NCHI Ni zoezi la Uchangiaji Tiketi kwaajili ya kuipa Sapoti Timu ya Taifa Ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye Mechi ya Marudiano ya Kufuzu Afcon dhidi ya Uganda Siku ya Jumanne Saa 1:00 Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
    Cliford Ndimbo Ofisa Habari wa TFF,amewakutanisha Maofisa wengine kutoka Simba Sc Ahmed Ally,Yanga Sc Ally Kamwe na Azam Fc Hasheem Ibwe ili kuendesha Harambee hiyo kwenye Mkutano na Wanahabari uliofanyika Leo Dar es salaam.
    Jumla ya Ticket 10500 zimekusanywa kwenye Hatua ya Awali,Zoezi ilo likiwa ni endelevu Mpaka kufikia siku ya Mechi.

КОМЕНТАРІ • 172

  • @user-dz1me6mt9e
    @user-dz1me6mt9e 11 місяців тому +27

    Mpira uliharibiwa na manara ona hawa vijana wanafnya kazi kwa weredi mkubwa presconference za kuvutia wanatufundisha mpira ni urafiki wenye utani wa kujenga nmefurahi sana sana hawa vijana ni wanafaa kuigwa❤❤

    • @Retina-pm3uj
      @Retina-pm3uj 14 днів тому +1

      Umeonaeee yaani kiukweli tungekuwa mbali sana Tena hao vijana Wana hofu ya mungu matusi hawana nawapenda sana Bora ally kamwe aendee yanga

    • @iddiramadhan
      @iddiramadhan 2 дні тому

      Kabisa kabisa

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +30

    Ukifanya kazi na brand kubwa utakuwa mkubwa tu na utajulikana na utakuwa karibu na wakubwa pia, hongera ahmed ally kwa kuichagua simba kuwa ndio klabu yako ya kuisemea

  • @akwinobenarddy
    @akwinobenarddy Рік тому +41

    Simba na Yanga tumepata wasemaji wa mpira hii ndo napenda bravo Ahmed bravo Ally kamwe🎉

  • @Elizabeth-fu3ze
    @Elizabeth-fu3ze Рік тому +13

    Hongereni sana mmenifulahisha sana leo usimba na yanga pembeni,4000, kupitia kwa Ahmed,🤗💕

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Рік тому +10

    Daaaaah aiseeee nimefurahi SN Hawa. Vijana AA HIZI ALLY KAMWE NA AHMED

  • @noahkajinga7599
    @noahkajinga7599 Рік тому +12

    Tumepata semaji la Caf Bravo Hamed Ally

  • @kingsulyemani2559
    @kingsulyemani2559 Рік тому +14

    hawa wasemaji wa simba na yanga ni watu wa michezo sana kazi wanaiweza

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 Рік тому +24

    Hongereni sana sana sana wasemaji wetu wa club zetu mmetisha mme vibe hii ni kwa mara ya kwanza kusupport hivi 👏 lkn Ahmed Ally ndio umpigie waziri mkuu kweli 😂 na mguu ukaweka juu eti ukimaanisha kazi umemaliza 🤣 sawa bhaana umeshinda 😂🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

    • @kennethnyahoza1806
      @kennethnyahoza1806 Рік тому +4

      Hongereni sana Wasemaji wa timu zetu Simba, Yanga na Azam kazi nzuri sana. Matumaini yetu makubwa tutapata ushindi kwenye mchezo huo wa tarehe 28/03/2023 Bip Up pia TFF

    • @user-me2mu2ub7y
      @user-me2mu2ub7y Рік тому +1

      Uhakika tumepata wasemaji kweli syo masiala wa ndo wasemaji Sasa utani mwingi d safi sana Aise siyo kina hajiz manala lopopot utani hajui ila sifatu ndomaana wakamufungua asijishilikishe na mpila miaka miwali na faini mana hajielewi

    • @AlexMzumbwe-h3i
      @AlexMzumbwe-h3i 10 днів тому

      Ally kamwe umetisha

  • @SadockNtagaye
    @SadockNtagaye 2 дні тому

    Daa naflahi sana Ahmed All na All kamwe jinsi mnavyo ishi mnaflahisha kwel kwel

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 Рік тому +4

    Naam!! Soka sio uadui.Soka hujenga umoja na mshikamano.Kongole kwa Hashim Ibwe,Ahmed Ally na Ally Kamwe.Kinachopendeza zaidi wote watatu ni matunda ya AZAM MEDIA

  • @yonawilliam9419
    @yonawilliam9419 29 днів тому +2

    Kiukweli napenda kuona wasemaji mnashirikiana kwenye mambo muhimu kama haya. Mpira si uadui. Kiukweli mpo vizuri.

  • @rizikijustin4747
    @rizikijustin4747 Рік тому +18

    Haya ndy mambo tunayataka kwenye mpira wetu siyo waropokaji mpira umepata wasemaji

  • @thomaskulwa425
    @thomaskulwa425 Рік тому +11

    Jeri muro na manara walileta uadui🙆 na Hawa wasasa wameleta utani😋 hongeleni sana vijana wenzangu🙏🤝📌🔨

    • @alisenipeter4307
      @alisenipeter4307 Рік тому +1

      Tatizo shule Ahmed na aliy kamwe ni wasomi

    • @beatricemsophe9839
      @beatricemsophe9839 13 днів тому

      Kumbe Jeri alikua msemaji wa timu gan maana mpira nmeanza kufwatilia mwaka juz 2022😂😂

  • @serekachacha-zg2vp
    @serekachacha-zg2vp Рік тому +6

    Semaji la migoli mingi mingi semaji la caf mimi niwaombe wanasimba wenzangu tumuunge mkono semaji letu wachezaji viongozi na bechi la ufundi kwa ujumla wake kwa hakika tutafika mbali kwa umoja wetu

  • @Football-ze9du
    @Football-ze9du Рік тому +5

    Good improvement ya football ad wasemaj wanakaa pamoja

  • @Retina-pm3uj
    @Retina-pm3uj 14 днів тому +3

    😂😂😂😂raha sana wasemaji wetu wanajielewa mnooo na wanapendana sana

  • @drogbalodrigue9550
    @drogbalodrigue9550 Рік тому +5

    Kiukweli kama mimi nashukuru sana kutokana mwenye kiti wa simba ❤

  • @sniper93999
    @sniper93999 Рік тому +8

    AZAM TV hapa ilizaa sana

  • @nathanmmasi3890
    @nathanmmasi3890 11 днів тому +1

    Alikamwe unachekesha sana yani nimecheka sana alivyo mkata semaji laazamu

  • @championtv255
    @championtv255 Рік тому +8

    Napenda sana hali hii nchini kwangu.mpira sio vita jamani

  • @abelmussa5061
    @abelmussa5061 Рік тому +3

    Huu ndiyo Mpira tunaoutaka Tanzania Nchi yenye Amani furaha iliyoje kuwa na Wasemaji mahiri kama hawa big Up kwenu vijana🤣😂😂💪💪💪

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 Рік тому +3

    Ally Kamwe bhana,ninamkubali sana.Ibwe na Ahmed Ally pia ni wasemaji wazuri.Hongereni vijana kwa kulisogeza mbele soka la Bongo.

  • @ibrahimmsula201
    @ibrahimmsula201 Рік тому +3

    I like this, hongereni sana Azam Kwa upendo mlioujenga Kwa hao vijana,wanaongeza hamasa na kuvunja uadui, nimefurahi walivyofanya na wanavyotaniana

  • @SadockNtagaye
    @SadockNtagaye 2 дні тому

    Safi sana hawa ndo wasemaji sasa hawana bif wanafanya kazi kwauweled

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Рік тому +6

    Hawa ndio wasemaji sasa angekuwepo Ashura cheupe kingenuka jamaa mshari sana uropokaji kwa sasa wangeondonga hapo wamejazana vifua hongereni sana uongozi wa timu zote kwa kuchagua wasemaji wenye kujielewa

  • @laurentbabu153
    @laurentbabu153 Рік тому +7

    Semaji la CAF umetisha

  • @alexjohn-ff6kb
    @alexjohn-ff6kb Рік тому +7

    Matunda ya Azam hao wote nawakubali sana

  • @user-ib1mg6ic5p
    @user-ib1mg6ic5p 3 дні тому

    Bravo!!!! You are doing well comrades

  • @shabanirajabu251
    @shabanirajabu251 Рік тому +15

    Na hapo tumefany kumshtukiza mwenyekiti 😅😅tungempanga mngefurah😅😅

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 2 дні тому

    Safiii kabisa kabisa

  • @georgebenson3498
    @georgebenson3498 4 дні тому

    Hongeren Kwa kuliongoza soka letu vyema.

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 Рік тому +4

    Naomba Muunganiko huu, muwe nao hata kwa ngazi ya clab hususan vinapo kuja vilabu tuka nje ya nchi ni vizuri kama uzalendo utakuwa mbele kuliko usimba na uyanga.

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +9

    Kiufupi ally kamwe amelowa

  • @user-km1cb1re8b
    @user-km1cb1re8b 3 дні тому

    Mnamsumbua tu ahmedi ally mpiara hauchangiwi bali mngewaambia tu ,mashabiki wa ssc walipie zote . Maana huwa hawapendi kilipiwa hao starehe wanaijua.

  • @NOVATISIYAME
    @NOVATISIYAME 3 дні тому

    Wasemeji wa simba na yanga wamenifuraisha sana sana mpira unaitaji sana

  • @elishamatulanya5539
    @elishamatulanya5539 Рік тому +3

    mmetisha sana wasemaji wetu

  • @Elizabeth-fu3ze
    @Elizabeth-fu3ze Рік тому +5

    Great moment's 🙏

  • @LucasKalembo
    @LucasKalembo 3 дні тому

    Nimependa umojawao mwananchi na taifa stars

  • @MarryKajuga-kv2ny
    @MarryKajuga-kv2ny 4 дні тому

    Safii sana wasemaji wetu t

  • @massoudaly5154
    @massoudaly5154 Рік тому +3

    Nimefrah sana hii ndo tunaipenda sana ktk soka nyny mashujaaa wasemaji wetu watatu nawapenda sanaaaaaaaa

  • @user-ex9ic1cj2k
    @user-ex9ic1cj2k Місяць тому

    Mko vizur sana mwenyez mungu azid kuwabaliki

  • @zakiaabubakar7446
    @zakiaabubakar7446 Рік тому +3

    Well done
    Keep it up

  • @pastormartinshija374
    @pastormartinshija374 10 місяців тому

    Hili jambo zuri sana liendelee tafadhali!
    Pia ni vema liwe linafanyika kwa ngazi ya vilabu!

  • @mikidadikiga90
    @mikidadikiga90 2 дні тому

    Daaah naikumbuka iyo

  • @alvneheritai
    @alvneheritai 5 днів тому

    Nimependa sana ❤❤❤❤❤❤

  • @Ndalolusulo-yt2ol
    @Ndalolusulo-yt2ol Рік тому +3

    Safi sana wote hapo mezani

  • @francemumba5323
    @francemumba5323 Рік тому +9

    Eti nahapo tumemshitukiza daah

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 Рік тому +2

    Shiikamoo Ahmed Aly

  • @mengijose17
    @mengijose17 Рік тому +6

    Nimecheka huo mguu hapo mezani siyo powa

  • @jacklinesimon7544
    @jacklinesimon7544 10 днів тому

    I love you guys to the fullest ❤

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому +6

    PM wetu ni simba fan,anajulikana

    • @segeospatialtechnology7482
      @segeospatialtechnology7482 Рік тому

      Namungooo😂😂

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому +2

      @@segeospatialtechnology7482 ni mlezi wa namungo, anayo mapenzi na simba toka ujana wake

    • @mwajumaseifu216
      @mwajumaseifu216 10 місяців тому

      ​@@segeospatialtechnology7482Namungo na Simba hipi ya kwanza kuzaliwa

  • @nathanmmasi3890
    @nathanmmasi3890 11 днів тому +1

    Simba tunatisha tuko juu

  • @jumafundi3133
    @jumafundi3133 Рік тому +3

    Hongereni nyote wakuu wa simba,yanga,azam .pia komed kwawingi😅😅😅

  • @MathiasMatteo-tl8xn
    @MathiasMatteo-tl8xn Рік тому +8

    Nimecheka sana ally kamwe balaaa

  • @user-xz2vl8up5e
    @user-xz2vl8up5e 7 днів тому

    huutatu mtakatifu Sana tulichelewa kupata wa semaji waainahi kwa mda mrefu Sana

  • @dannyjacob4618
    @dannyjacob4618 Рік тому

    Yeah,I appreciate

  • @SalumMballa-tu8lk
    @SalumMballa-tu8lk Рік тому +2

    Thank you

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha Рік тому +5

    Hahahaha hawa jamaa wehu sana Ila kicheko cha ally kamwe cha kikuda

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +8

    Umekuja na silaha nzito kaka kudadadeki🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu Рік тому +7

    Wabongoi badilikeni hiliniswala la TAIFA u SIMBA na uYANGA wekeni pembeni tupambanie inchikwanza msituletee usimba na yanga kwenye comment.

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 Рік тому

      Hawa wapo kwa ajili ya uhamasishaji wote wanatetea taifa

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 Рік тому +7

    Ally kamwe ni comedian san an!!!🤣🤣🤣🤣

  • @ifraimifraimuhusen282
    @ifraimifraimuhusen282 Рік тому +2

    Good moments

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick Рік тому +9

    Naskia wivu kabisa Tanzania muko mbeleee kwaani nchi zingine za Eac usingizini tuuu

  • @adamlyanda9450
    @adamlyanda9450 Рік тому +2

    So funny...mmetisha sana

  • @Kombs-cr2mj
    @Kombs-cr2mj 12 днів тому

    Guys u are good 2024

  • @rachelmwaluko8054
    @rachelmwaluko8054 21 день тому

    Saf sana semaji la caf

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 Рік тому +3

    Ahmed alicheza faulo mwanzo...alipiga mwenyewe ahmed

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Рік тому +4

    Mama katoa ahadi waziri mkuu mfuate kwa mawaziri muanze na waziri wa michezo pia ahamed usisahau spiker wa bunge ni Simba yule

  • @francemumba5323
    @francemumba5323 Рік тому +8

    Muheshimiwa kupitia kupga kwa ahmedi imetia nguvu kwake

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 Рік тому +4

    ahmed ndiye aliyempigia majaliwa rudia tena uangalie

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 Рік тому +4

    Huu ndo upendo unaotakiwa kwetu watanzania.

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Рік тому +2

    Ali kamwe ndo kanogesha press 🔋

  • @ramadhanimtatifikolo7735
    @ramadhanimtatifikolo7735 Рік тому +1

    Safi sana wasemaji sio manala alikua kaziyake kugombanisha watu,

  • @maryhaule5625
    @maryhaule5625 14 днів тому

    Safiiiii sanaaa

  • @zainabmikidad791
    @zainabmikidad791 Рік тому +2

    Ila Ahmed jamani mpole

  • @FaridiMohamed-ou9eq
    @FaridiMohamed-ou9eq Рік тому +2

    Hapa angekuwepo kenge mmoja ivi angejifanya msemaji peke yake

  • @doktmtanga7303
    @doktmtanga7303 Рік тому +3

    Hongera Sana

  • @yakobontigwambukwa
    @yakobontigwambukwa Рік тому +3

    Ali kamwe anakalibia levo ya ahmed ko akazane😃😂

  • @user-wj9cy9bg8u
    @user-wj9cy9bg8u 7 днів тому +1

    kama kuna mtu anateseka hapa ni ibwe

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 Рік тому +3

    Mbona wa azam wanamtenga

  • @samwelkakintwa9702
    @samwelkakintwa9702 11 місяців тому

    Nimefurai sana na sprained ya semaji la kafu.

  • @doktmtanga7303
    @doktmtanga7303 Рік тому +3

    Kasimu majaliwa nimnyama piwa na nikocha na nimtu wasoka anaujuwa mpila

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 9 днів тому

    Manara anajuta maana hizo ndizo issue zake,simba imemkuza simba imemmpoteza,yanga wamemtumia yanga imemupa yanga imempoteza

    • @yussufmohammed9299
      @yussufmohammed9299 3 дні тому

      Ila ukweli usemwe Hawachangamshi km Alivyo kuwa Manara , Alivyo kuwa Akihamasishaaaaaaaaa

  • @IsmailOmary-b8n
    @IsmailOmary-b8n 6 днів тому

    Kiukweli awa vijana wanauwezo mkibwa sanawa kutangaza mpila nakuna mwaka tutakuja kuchukua mataji yoye makubea kwa wakati moja ongera zenu wasemaji wete watatu jamani manara sio kabisaaa kwanza tuwashulkulu TFF kwakumfungia nandio chanzo cha kumtoa kwenyenafasi Alli kamwe oyeeeeeeee ila mwamedi ally kubwa lao semaji la CAF

  • @mariamchiga846
    @mariamchiga846 Рік тому +2

    Kama ndo mm Ahmed Ally ningempiga kwel kbao

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Рік тому +1

    Mbona niwatu wasimba tu wanao changia hatujasikia mmewapigia watu wa azam na yanga nyinyi nikuwapigia wasimba tu

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Рік тому

    kiukweli raha sanaa,

  • @emmilianlukaye3125
    @emmilianlukaye3125 14 днів тому

    Nimefurahia sana 😅😅😅
    Eti,hiyo silaa nzito.
    😅😅😅

  • @sanityonline4512
    @sanityonline4512 Рік тому +5

    Ahmed anapigia majalia apo 😂😂

  • @mohamedsuleiman5356
    @mohamedsuleiman5356 Рік тому +1

    Kuna io sehem ally anateta na ibwe tangu babra aondoke

  • @samsonmgeta2345
    @samsonmgeta2345 20 днів тому

    Ila Ahmed Ally ameshindikana

  • @egbartjosephat-gf4oc
    @egbartjosephat-gf4oc Рік тому +3

    Mamb Tanzania
    Kwa ushind!

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava Рік тому +3

    SILAHA NZITO 😅😅😅

  • @user-rt1me6up4e
    @user-rt1me6up4e Місяць тому

    Raha ya mpira ❤🎉🎉🎉😂

  • @erickjohnglobal1536
    @erickjohnglobal1536 Місяць тому

    🔥💎

  • @charleschao9809
    @charleschao9809 Рік тому +4

    Kamwe amekaa kinafki sana 😂

  • @francemumba5323
    @francemumba5323 Рік тому +4

    Simba mfumo wake mgumu sana yanga hers akisema imeisha

  • @Elizabeth-fu3ze
    @Elizabeth-fu3ze Рік тому +1

    🤣🤣mpigie amedi ali kamwe vp tulia semaji la kafu lazima lipigiwe kwanza si mkubwa 🤣💕🤗

  • @KITOLA6666Films
    @KITOLA6666Films 13 днів тому

    ❤❤❤❤ tzs

  • @welsonleonad1743
    @welsonleonad1743 Рік тому +2

    😂😂😂 wajua kabsa kuchekesha