Alianza na MTAJI wa simu na ELFU 20 tu, sasa anamiliki duka la vyombo KARIAKOO la zaidi ya MIL. 50

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Follow Account ya Instagram ya Boma Kitchen Ware hapa
    / boma_kitcheni_ware

КОМЕНТАРІ • 115

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 3 роки тому +16

    Nimejifunza kitu kikubwa Sana aisee! Hebu tuletee watu wengine kama hawa sio kuleta udaku wa mapenzi! Mapenzi tu! Big up brother!

    • @frezamapunda4273
      @frezamapunda4273 3 роки тому

      Nimejifunza mambo meng sana iseee naomba niunganishe nae nijifunze zaid

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 3 роки тому +19

    Ukiwa na mwanamke supportive kama wa huyu Jamaa ndoa inakuwa tamu sana...

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 3 роки тому +8

    Interview nzuri , ninejifunza mengi hapa leo

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 роки тому +1

    Nina mtaji nilikuwa nawaza ishu ya kuuza vyombo, i got something here. Thanks Bro

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 роки тому +12

    Sns ni channel nzurisana.kweli mwanamke anasaidia sana Mimi kipindi nipo pekee yangu hela sijui hata zilikuwa zinaenda wapi unapata milioni lakini nikitoka out siku 2 tu Sina hata Mia. Sasa nimeoa miezi miwili akili imenikaa naweka akiba, KIWANJA kimenunulika, hiace ya kuingiza hela ya CHAKULA.

    • @husseinmrisho8980
      @husseinmrisho8980 3 роки тому

      Tusaidiane vjana na izo fursa
      Plz🙏

    • @cadhimberec1286
      @cadhimberec1286 3 роки тому +1

      Umepata mke mwema kuna wanawake majambazi wakiona hela wanachanganyikiwa??

    • @salamagat4784
      @salamagat4784 3 роки тому

      @@cadhimberec1286 ww jamani

    • @akshaydavid159
      @akshaydavid159 3 роки тому

      Hahahaaa

    • @tedymwandara5480
      @tedymwandara5480 3 роки тому +2

      Watu wengi sana wanafikiri kua peke Yao ndio watafanikiwa sana kumbe ni kupoteza muda bure.Umoja ni kitu kizuri hata Mwenyezi Mungu anafanya kazi ktk utatu mtakatifu.Vijana msiogope kuoa.Usioe mwanamke sababu ya uziri wake.Oa mwanamke mwenye hofu ya Mungu na anapenda mafanikio.

  • @asiasabua2346
    @asiasabua2346 Рік тому +1

    Mashaallah nimependa kaka kumsifia mwanamkewake wachache wenyekupata wakajuwa sapotizaweziwao upo vizur kaka

  • @advocatekarama4917
    @advocatekarama4917 3 роки тому +5

    Nimeipenda hii interview, God bless you all 🙏🥂

  • @Kulimagolddrc
    @Kulimagolddrc 3 роки тому

    When I started following this interview I thought that you deliver even overseas but not, we miss those products in Australia many thanks

  • @renatuskweyamba6460
    @renatuskweyamba6460 3 роки тому +1

    Yaani nimejifunza kitu kikubwa sana.. Mungu akubariki hata mb zangu hazikwenda bure.. Bless bless bless much.

  • @saumurashid5232
    @saumurashid5232 3 роки тому +2

    👌 mashaallah ♥️nimejifunza kitu hapa 🌟🌟

  • @zakstv7368
    @zakstv7368 3 роки тому +3

    Sky umenifurahisha sana leo umetuletea kitu tunapenda

  • @geraldjoel5727
    @geraldjoel5727 3 роки тому +9

    Brother muite na Sirjeff Dennis

  • @lizzyjulie1604
    @lizzyjulie1604 3 роки тому +1

    Great interview, huyo anaongea ukweli kabisa. Kitu kilichomsaisia kujenga uaminifu kwa wateja wake mwanzo ni kukubali kufikisha mzigo kwanza kwa mteja ndipo alipwe kitu ambacho wauzaji wengi wa online hawafanyi

    • @muhammehusna3384
      @muhammehusna3384 2 роки тому

      Hakika uaminiifu ndio mafanikio y mfany biashaara

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 3 роки тому +1

    Aaaa classmate big up sana Fr Jbmligo hapaa!

  • @izzynevin3443
    @izzynevin3443 2 роки тому +1

    The best enterview ever seen

  • @harriethkisese3945
    @harriethkisese3945 3 роки тому +1

    Hapo kwenye kusapot account ndio mtihani na ndio maana wengi tunajaribu biashara kwenye mitandao na tunashindwa kumbe kuna kusaport acoustic jamani...

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому

    Hongera sana kwa upambanaji
    Mungu Azidi kukubariki

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому

    Thanks Sns nimejifunza kitu ❤🇹🇿🇨🇭

  • @owlbig
    @owlbig 3 роки тому +1

    Thx a lot boss

  • @cciddccudd2845
    @cciddccudd2845 3 роки тому +1

    Kwahiyo....mwaka na miezi mi4=16 months....50,000,000÷16=3,125,000/=.....bila ya kuwa na duka wala nn!!!Mungu tupe maarifa

  • @shanitito6470
    @shanitito6470 2 роки тому +1

    Kaka napenda sana bishala ya vyombo niganye Nini na Mimi Niko mwanza?

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 3 роки тому

    Mashaa'Allah jaman mm mbona nimependa hlo somo

  • @daktarij381
    @daktarij381 3 роки тому +2

    very educative interview,,,big up sky

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 роки тому

    Thank you 🙏 Kaka Sky tumejifunza.

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 3 роки тому

    Shukran sns

  • @msalikemedia
    @msalikemedia 3 роки тому

    Yaan nimejifunza kitu kikubwa sana asante kaka sky kwa kutuletea watu kama hawa

  • @arestiusbanks7182
    @arestiusbanks7182 3 роки тому +1

    Brother umetema nondo sana be blessed

  • @kizakadafi4649
    @kizakadafi4649 Рік тому

    Uyu brother ni level ingine

  • @phinerjulius8487
    @phinerjulius8487 2 роки тому

    Asante sn kaka

  • @mwajumatwalib260
    @mwajumatwalib260 3 роки тому

    Brother shukran Sana nimejifunza kitu kupitia wewe ongera Sana

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo 5 місяців тому

    Kaka awezekani Mimi myaka18 kwenye gem lakini Bado kutoboa nasijawai kuishi maisha yanasa

  • @diyaosman6268
    @diyaosman6268 3 роки тому

    Asante nimefurahi sana

  • @bensonkaile9606
    @bensonkaile9606 3 роки тому

    Expose those clowns Sky, hao wa marketing networks na online businesses ambao sio waamifinifu uokoe kizazi cha wengi wasio kuwa na uelewa. It might help a lot bro. Shout out to Mapunda for sure he's deserves to prosper also big up to madam on his side, God bless their hustles with you too guys hapo mjengoni SNS. Love!

  • @nikhatkhan8362
    @nikhatkhan8362 3 роки тому

    Allah amjalie ndugu yetu

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 3 роки тому +1

    Huyu kaka kaongea point mno...kubadili marafiki

  • @aminamrisho3620
    @aminamrisho3620 3 роки тому

    Good interview hapana najifunza kitu safi bro

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 3 роки тому

    Thanx🙏

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 3 роки тому +1

    Kuheshimu waminifu imani bidii kazi usikate tamaaa ni kweli kabisa unachosema la kweli kabisa watu wafiri kupewa pesa bdio dili lakini dill la kweli mtu kupa njia kuambia kuhusu maendeleo ubarikiwe zaidi

  • @willymfilima9936
    @willymfilima9936 3 роки тому

    Umetisha bro,uko smart sana

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 3 роки тому +1

    Life is war Big up sana Kaka

  • @twentyacresfarms3464
    @twentyacresfarms3464 3 роки тому +5

    MWAKANI NAMIMI NIITE

  • @muniramunira401
    @muniramunira401 3 роки тому +1

    Mashaallah

    • @shanitito6470
      @shanitito6470 2 роки тому

      Nataman sana niganye biashala na ww kaka lakini niko mkoani na mm naifanya nitawezaje kukupata

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 3 роки тому

    Nice interview 👌 bless on bless

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 3 роки тому

    Facts indeed big up

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 3 роки тому

    Mashaallah hakika iko vzr

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 3 роки тому

    Ma sha allah

  • @donaldkawacha9875
    @donaldkawacha9875 3 роки тому

    Ubarikiwe kaka

  • @mwajomaessa7513
    @mwajomaessa7513 3 роки тому

    Mashaallah nimeipenda sana🇹🇿🇴🇲

  • @lenatawinchilaus7688
    @lenatawinchilaus7688 3 роки тому

    Nimependa sana historia yake

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 роки тому +1

    Nimependa

    • @athumanimhanga2053
      @athumanimhanga2053 3 роки тому

      jamani tupo wengi sanaa tuliepambana.mm nipo Dodoma.namba yangu hiyo.0717130010.nipigieni.na mm nitakuja.nimjasiliamali pia

  • @queenbhanji7223
    @queenbhanji7223 3 роки тому +1

    Mm nshakutan na mtu mmoja hv nilipenda bidhaa yake akatak ntume pesa fasta yaan ulikuwa ucku lkn nkatuma cku ya pili akantumia mzigo wang lkn alituma mzigo nusu huo ulobak mpaka leo hii tunasumbuana2 kweny cmu had naogop kuorder bidhaa online

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 роки тому

    Kweli kbs

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +3

    Tuletee watu kama hawa wengi

  • @keviombni3289
    @keviombni3289 Рік тому +1

    kaka xhikamo samahani Sana kaka nakuomba namba ya simu

  • @tynercolin5060
    @tynercolin5060 3 роки тому

    Wooow

  • @shadrickmbamba4521
    @shadrickmbamba4521 2 роки тому

    Kitu kilicho nifurahisha amemtaja jamaa nilie soma nae Shule moja Meta Secondary High school nimekaa nae bweni Room moja kwajina la utani tulimwita mseminary jina lake Jeovin

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 роки тому

    Namba za duka plz, nahitaji kuagiza mzigo, nipo Dodoma.

  • @Hustlingqueen254
    @Hustlingqueen254 3 роки тому +1

    Nimewahi Leo🥰🥰🥰

  • @nahengadesempy8555
    @nahengadesempy8555 3 роки тому

    Sky bonge moja la mtangazaji

  • @samangupatrick9960
    @samangupatrick9960 3 роки тому +1

    Wanawake mjifunze hapo na siyo kusema tuma na yakutolea

  • @mkakampole7802
    @mkakampole7802 3 роки тому +4

    Shetani mbaya sana nimefika apo kwenye vyombo vya million tatu si sim ikazima bhana... Kweli kwenye njia ya mafanikio kuna changamoto nyingi

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 роки тому

      ha ha ha!

    • @aminajuma1435
      @aminajuma1435 3 роки тому

      Mkaka mpole 😂😂😂 umesababisha nimecheka kijingasana hahahahaha

    • @mkakampole7802
      @mkakampole7802 3 роки тому

      @@SimuliziNaSauti hahahah!! sio poa kaka sky nusu nizimie yani.

    • @mkakampole7802
      @mkakampole7802 3 роки тому

      @@aminajuma1435 😂😂 ilibaki kidogo nilie et...

    • @fatinasudi3806
      @fatinasudi3806 3 роки тому

      Hahahahaha

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 Рік тому

    Sky embu nisaidie jina la duka la huyu mentor

  • @jamesimsokwa5867
    @jamesimsokwa5867 2 роки тому

    Jamaa yuko poa sana

  • @kathyrinesimbeye4449
    @kathyrinesimbeye4449 3 роки тому

    Mmh xijaelewa hapo kweny kusponsor account ya Instagram

    • @haskao77
      @haskao77 3 роки тому +1

      I think he meant promoting, (kuitangaza page/biashara)

    • @kathyrinesimbeye4449
      @kathyrinesimbeye4449 3 роки тому

      @@haskao77 unaitangazaje Sasa kupitia account ya bank???

    • @haskao77
      @haskao77 3 роки тому +3

      @@kathyrinesimbeye4449 kama unatumia Instagram ujue kuna account aina mbili. Kuna personal na business account. Kama account yako umeiset kama business account kila ukipost picha inakupa option ya kuipromote hiyo picha na hiyo promotion inalipiwa kwa kutumia bank card (credit au debit card) na kama ilivyokawaida kupata kadi lazima uwe na account benki. Hopefully umenielewa.

    • @samsungj7pro64gb5
      @samsungj7pro64gb5 3 роки тому

      @@haskao77mh kwakweri inatakiwa upate mafunzo hasaa

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش

    Naitaji namba yake nije nifate vyombo

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 3 роки тому

    Mnambilie nataka machine 2 za juis niko Igunga

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 3 роки тому +1

    Huwezi kuhifadhi pesa bank alafu, ukawa unafanya saving, awa watu wanao fanyiwaga interview kuna vitu huwa hawasemi ,hawafunguki ukweli, kuna mmmoja umu juzi apa kaijiwa akasema alianza na laki tatu na ana biashara kubwa sana ,

    • @isamaboe3495
      @isamaboe3495 3 роки тому

      Naomba unifafanulie

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 3 роки тому

      Kidogo kidogo hujaza kibaba

    • @isamaboe3495
      @isamaboe3495 3 роки тому

      Kwahy ni vyema kuhifadhi kawaida t Na sio kweny bank au una maana gan mkuu

  • @janejohn4704
    @janejohn4704 2 роки тому

    Kaka nipe namba yako

  • @mrmhando9819
    @mrmhando9819 3 роки тому

    Naomba namba bro

  • @advocatekarama4917
    @advocatekarama4917 3 роки тому +1

    SAUT 🥂🥂

  • @lameckmichaelmagazi6345
    @lameckmichaelmagazi6345 3 роки тому

    Wanawake mjifunzekituhapo siyo unakuwa Mwanaume akipata mzigo unaanza kupigamzinga nakujenga kwenu.hiyosiyopoa

  • @esterjimmy7573
    @esterjimmy7573 3 роки тому

    Nimejifunza mengi hasa katika utafutaji

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 роки тому +1

    "NDIVYO ILIVYO...SHIDA UZALISHA FURSA"

  • @LuganoSteven
    @LuganoSteven 9 місяців тому

    ahahaha imenifurahisha history Yako nashangaa unasimulia history ambayo mlie toroka Naye alikua akitusimulia tulikaa bweni pamoja room Moja tukiwa nae META SECONDARY mbeya pale

  • @khadijahajji716
    @khadijahajji716 3 роки тому

    Kama una namba ,za huyu jamaa nipe maan nafanya kitu kama hichi

  • @hopeobeth9806
    @hopeobeth9806 3 роки тому +1

    Mwakani na Mimi niite jamanii

  • @amzamrid3571
    @amzamrid3571 3 роки тому

    Tutajifunza mengi

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 роки тому

    Ina maana hukua na bank accounts

    • @geofreykatangamoyo6806
      @geofreykatangamoyo6806 Рік тому

      Apo nilijiuliza sanaa ila nikabaki najibu la labda account yake haikuwa na pesa labda hivyo.

  • @chamomedia920
    @chamomedia920 3 роки тому

    Alitumia muda gani hadi kufungua duka

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 роки тому

    We jamaa unanikumbusha walimu wa biashara walahi tunazingua.

    • @khadijahajji716
      @khadijahajji716 3 роки тому

      Commerce .bookiping ,enterprenuership ,haaaa hatari

  • @highthemetv7857
    @highthemetv7857 3 роки тому

    ua-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/v-deo.html
    👆👆👆👆👆👆👆
    Kama ni muoga usifungue hii video 😨Tazama Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😨

  • @robertsalu6551
    @robertsalu6551 3 роки тому

    Muite na Jeff Bezos

  • @shanitito6470
    @shanitito6470 2 роки тому

    Kaka napenda sana bishala ya vyombo niganye Nini na Mimi Niko mwanza?

  • @khadijakassim730
    @khadijakassim730 3 роки тому

    Mashaallah