Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 2 дні тому +6

    Yeye Mwenyewe kazeeka mapema

  • @patrickjustus6930
    @patrickjustus6930 3 дні тому +6

    Safi sana Dr upo makini Afya muhimu na tunaitaji kutathimini mienendo yetu ya maisha ya kila siku kuanzia kula hadi mazoezi

  • @reginaldmoyo7861
    @reginaldmoyo7861 18 годин тому +2

    Nabii hapati heshima kwao
    Hajakataa kuzeeka but zeeka kulingana umri

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 3 дні тому +4

    Tunashukuru sana kwa kutuelimisha Dr

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 дні тому +8

    Huyu Dr amenifanya nibadili mengi maishani Hasa ulaji

  • @protassilayo4200
    @protassilayo4200 День тому +1

    Janabi anaakili sana..."Kodi iongezwe kwenye pombe,soda na sigara hyo hela ikafinance mfuko wa afya" very bright.

  • @joshuanyamaiswe4327
    @joshuanyamaiswe4327 2 дні тому +3

    Mnamtukuza mwanadamu sasa, wakati Mungu alishatoa sheria yake ya ulaji mzuri. Watu wakakataa maagizo ya Mungu sasa wanaugua kupita kiasi na matokeo yake wanakimbilia kwa wanadamu ili wapate msaada. Tumrudieni Mungu.

  • @Hakuzwe
    @Hakuzwe 3 дні тому +3

    Kutoka Zambia.I salut you.

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 17 годин тому +1

    Hivi Janabi, ule mkakati wa health for all by the year 2000 uliyokumbatiwa na Serikali na kuanzisha project ya Primary Health Care for all by the year 2000 ulifikia malengo?.... Hebu tupe tathmini kabla ya kuhamasisha bima ya afya. 🙏

  • @ruthmmari1540
    @ruthmmari1540 5 годин тому +1

    Asante kutukumbusha Profesa

  • @gracekasambala4712
    @gracekasambala4712 3 дні тому +1

    Namshukuru Dr ninafuata anayofundisha kwa kweli nipo fiti hongera Sana Dr janabi

  • @SmithJamesMalumalu-gj9sn
    @SmithJamesMalumalu-gj9sn 2 дні тому +4

    Mbona yeye kazeeka mapema wakati anayajua hayo!!!

    • @godlovekimaro7167
      @godlovekimaro7167 10 годин тому +1

      @@SmithJamesMalumalu-gj9sn kweli kabisa. Mbona nae Janabi anaonekana mzee. Labda tujue amezaliwa mwaka gani

  • @Fatma-bt7qw
    @Fatma-bt7qw 3 дні тому +1

    Yaani dr mungu akubariki sana

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 3 дні тому +9

    Mwamba unatuelimisha sana, ila wagumu sana kuelewa

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 дні тому +1

    Nampenda huyu baba

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 3 дні тому +6

    Licha ya kula hizo mboga za majani je! Tunajua kuzipika kwa usahihi?Turudi kwenye asili zetu

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 22 години тому +1

    Mbona nae kazeeka au maji yana mzeesha

  • @ruthkyambila397
    @ruthkyambila397 2 дні тому +2

    Jiwekee utaratibu ambao unajua siku zote utakusaidia +na wa Dr=utapata jawabu

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye День тому +6

    Vipi kuhusu dawa ya ukimwi lini tutaipata nimechoka kunywa ma arvs

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 дні тому +1

    Doctor Janabi unanibariki sana. Ongea na mama Samia mwambie wagonjwa wa SLE wahudumie bure kama ilivyo kwa wagonjwa wa TB na HIV.

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 2 дні тому +3

    Je hizo mboga za majani na matunda hazijapigwa dawa za sumu?

  • @RonaldMliga
    @RonaldMliga 3 дні тому +3

    Mzee nakubali

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 День тому +1

    Mimi dk Janabi maswali yako yote 5 nayafanyankila siku. Tatizo langu moja tu. Mawazo yasiyoisha na wala hayana tija ila yananitesa sana

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 3 дні тому +1

    😅😅😅😅😅hatari kubwa

  • @Aviator_daily_signals
    @Aviator_daily_signals 3 дні тому

    Hivi Kuna ukweli kuwa Tr msigwa anatibu UKIMWI ?

    • @jacqueisaac8155
      @jacqueisaac8155 2 дні тому +1

      @@Aviator_daily_signals sio kweli Ukimwi hakuna aloweza kuponya

    • @MsigwaLAT
      @MsigwaLAT День тому

      @@Aviator_daily_signals 🤔🤔🤔

  • @CadiaOnesmo
    @CadiaOnesmo 3 дні тому +5

    Mbona wewe umezeeka sasa

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 дні тому

    Celebrity doctor? I really don’t understand him, watu wanatafuta chakula so wewe unasema they should eat that that! It works if you have $$$$

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 дні тому +1

    Msumsikilize huyu mwongo amepotosha watu sana kuhusu tezi dume achaneni naye

  • @CheonsaDigitware
    @CheonsaDigitware День тому

    😂😂😂🤣🤣🤣

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 3 дні тому +1

    Sikipendi hiki kizee kinajionaga kinaakili kuliko nchi

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 3 дні тому +8

      @@jonfredkewe3451 Wewe ni mpumbavu sana. Haujaugua huwezi kimtusi Daktari tena level ya Profesa. Usicheze na hii taaluma

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 дні тому +3

      Wewe ni mgonjwa wa akili

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 дні тому +3

      Siku utakapopelekwa hospitali ukiwa hujitambui ndio utajua umuhimu wake na utaacha dharau na kashfa

    • @lucykristensen7145
      @lucykristensen7145 3 дні тому

      Kilaza wewe. Zero brain.

    • @suleimanjokoro
      @suleimanjokoro 3 дні тому +2

      Kwani umelazimishwa kumsikiliza,we pumbavu nini?!