Waelekum msalam warkmatulahi wabarakatu Nampenda huyu sheik walahi kwa ajili ya Allah yeye ndio alinifanya nimrudie Allah Allah akuhifandi sheikh wetu ❤❤ nampenda walahi
❤❤❤❤ Ma sha Allah our beloved brother!!! Always keep shining and may Allah grant you the best of akhera en dunia!!! Ur Best sheikh that have came across. May Allah blessings be upon you and ur family at large ❤❤❤❤❤
Salam Alekum warkmatulahi wabarakatu Nampenda huyu sheik walahi kwa ajili ya Allah yeye ndio alinifanya nimrudie Allah Allah akuhifandi sheikh wetu ❤❤ nampenda walihi
Masha Allah, tabaarakallah Sheikh tunakupend kwa ajili ya Allah, Allah akujalie jannahfirdaus karib na mtume wetu kua makaz yako ya milele , Allah akulind na akuhifadh tunasom na kufaid mengi through u
Mashaallah samahan San sheikh nurdin kishki nilikuwa nina mazungumzo na ww sasa cjajua ntakupata vip maan me nipo nje ya Tanzania samahan n muhimu san naomba unisaidie
Asalam Aleykhum warrahmatullah wabarakatuh Shekh ALLAH akuhifadhi Wallah nisipo sema hili nitakuwa na la kujibu mbele za ALLAH wewe ndio sababu ya mie kumrejea ALLAH kupitia mawaidha yako kupitia radio imani saa kumi na mbili asubuhi enzi za nyuma Alhamdulillaah hakika najivunia ALLAH kukuumba na kukupa uhifadhi wa dini Alhamdulillaah
Hata mie wallah tenA natamn niipate Ile auidio yake apo nilikuwa siswali ila Kila siku saa kumi na moja niliamkaa kusikiliza Yale mawaidha yake nilikuwa nikisikiliza mpka nalia lkn ALLAH kulihali mie nilianza kswali miaka sita nyuma ila yy ndoo sababu pia kumbe tuko wengii alhamdulillah maashallah tabaraakallah Rahman
Shekhe nilimjumjua kupitia CD.Nilikua na cd ya uharam wa nyimbo.alhamdulillahi tangia hapo niliacha upenzi wa nyimbo alhamdulillahi.mungu akuzidishie kheri uzidi kutuelimisha.
Tuko pamoja na wewe ss baba.ulipo tupo.mti wenye matunda siku zote ndo wenye kupigwa mawe.wala usjali sheikh wetu kishki.ni fitna,choyo na hasad ndo kinachowasumbua.Allah akukinge na maadui wa siri na wadhaahiri.tunakupenda kwa ajili ya Allah.Allah akupe shahada wakati wa kufa inshallah.wewe na ss yaa Rabby🤲🤲
Asalaam Alaykum Warhamatullahi Wabarakatu Nime kifata Sheikh wetu mpendwa ila mimi namuomba Allah aniwezeshe nifike dar hapo nimuone mkeo na wanawo nitafurah Sana Sheikh wetu
Yani we wakosea hadharani afu ufatwe pembeni hhhhh la hasha usisubiri hilo alhamdulillah masheikh wa kisalafi watabainisha uzushi wako na wenzako ukijibu ni saw usipojibu pia ni sawa watakua wametekeleza uwajibu wao
Waelekum msalam warkmatulahi wabarakatu Nampenda huyu sheik walahi kwa ajili ya Allah yeye ndio alinifanya nimrudie Allah Allah akuhifandi sheikh wetu ❤❤ nampenda walahi
Sheikh kishk una tabasam zuri mashallah Allah azidi kukupa nuru katika paji lako la uso mpaka jannatul firadau
ameen
Kwa kufuatilia Ibada za kiislam Wallah ulichangia pakubwa sana ktk kujua kwangu juu ya dini ya uislam Mola mlezi akuhifadhi InshaAllah ❤
Mashallah vipi umesilimuu kupitia hilo
Mashaallah mashaallah Shekh wetu mungu akuzidishie tuzidi kupata elmu
Allah Akbar. Allah Akuhifadhi
Wewe kweli wafaa Kuwa Professor wa Waislam
Mashaallah Allah akubariki sana maana watu wengi wanaelika sanaAlihamdulillah
Waelekum msalam warkmatulahi wabarakatu Nampenda huyu sheik walahi kwa ajili ya Allah yeye ndio alinifanya nimrudie Allah Allah akuhifandi sheikh wetu ❤❤ nampenda walahi
Sheikh kishk nakupenda mno kwa ajil ya Allah, Allah azid kukupa umri mrefu wenye faida na sisi
❤❤❤❤ Ma sha Allah our beloved brother!!! Always keep shining and may Allah grant you the best of akhera en dunia!!! Ur Best sheikh that have came across. May Allah blessings be upon you and ur family at large ❤❤❤❤❤
Salam Alekum warkmatulahi wabarakatu Nampenda huyu sheik walahi kwa ajili ya Allah yeye ndio alinifanya nimrudie Allah Allah akuhifandi sheikh wetu ❤❤ nampenda walihi
Allahmma amiin 🤲
Mungu akubariki Sanaa sheikh nurdini kishkih
Jazackallahu kheir yaa sheikhana wa barackallahu fiika....Allah akupe taufiq, ikhlas na akuzidishie ilmu yenye manufaa❤❤❤
pole sana shekhe allah akutie nguvu kuondokewa na wazazi
Masha Allah tabarakallah Allah akuifadhi Sheikh wetu mpendwa Nurdeen kshk
Mashallah twakupenda sana kwa jili ya Allah.
Masha Allah, tabaarakallah Sheikh tunakupend kwa ajili ya Allah, Allah akujalie jannahfirdaus karib na mtume wetu kua makaz yako ya milele , Allah akulind na akuhifadh tunasom na kufaid mengi through u
Mashaallah samahan San sheikh nurdin kishki nilikuwa nina mazungumzo na ww sasa cjajua ntakupata vip maan me nipo nje ya Tanzania samahan n muhimu san naomba unisaidie
Mashaallah❤ sheikh Kishki unatuwasikilisha vyema waislam Tanzania,Africa Mashariki Africa nzima na nje ya hapo
Asalam Aleykhum warrahmatullah wabarakatuh Shekh ALLAH akuhifadhi Wallah nisipo sema hili nitakuwa na la kujibu mbele za ALLAH wewe ndio sababu ya mie kumrejea ALLAH kupitia mawaidha yako kupitia radio imani saa kumi na mbili asubuhi enzi za nyuma Alhamdulillaah hakika najivunia ALLAH kukuumba na kukupa uhifadhi wa dini Alhamdulillaah
Kweli kabisaa hata mimi pia mpaka nikawa naitwa kishki
Hata mie wallah tenA natamn niipate Ile auidio yake apo nilikuwa siswali ila Kila siku saa kumi na moja niliamkaa kusikiliza Yale mawaidha yake nilikuwa nikisikiliza mpka nalia lkn ALLAH kulihali mie nilianza kswali miaka sita nyuma ila yy ndoo sababu pia kumbe tuko wengii alhamdulillah maashallah tabaraakallah Rahman
Miye ndo nilikuja naandika ktk daftar Kila siku asubuhi miaka ya 2009,nilbadirika kupitia sheykh kishk Allah atupe mwisho mwema..Allahumma Amiin.
Wa alaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Amiin Amiin Amiin
@@SophiaMafazyulisilimuu
Shekh kish mashaallah allah akupe umri mrefu huzeeeki alhamdulillah mimi tangu nikufaham upo hivyohivyo
kweli mm tangu nina mwaka mmoja adi sasa nina miaka 17 yupo ivi ivi
Nakupenda sana shekh wangu kwa jili ya Allah allah akulipe Kila la kheir
MashaAllah Allah akuzidshie kheer na akueke mbal na mahasidi wako hakika sheikh wetu si mbabaishaji hata ktk kujielezea❤
😢 Allah akukubalie KATIKA harakati za dini.ishaallah. daa nafaidika mno kwa nasaha zako.
Namuomba Allah akulipe fildunia wal akhera akusamehe madthambi yako shekh akuzidishie subra kiongozi mzuri sikuzote anapata mtihani Allah akulinde akuepushe na hasad
ALLAH akuhfadh nakupenda sana❤❤❤❤
MASHAA ALLAH tabaarak
ALLAH
Sheikh wetu ALLAH azidi
kukulinda duniani mpaka
Akhera akujalie afya njema umre mrefu uzidi kutufuza THUMMA AMIN 🤲🏼
Shekh KISHKI M/Mungu akupe umri mrefu Inshaallah tunakupenda sana shekh wetu
Shekhe nilimjumjua kupitia CD.Nilikua na cd ya uharam wa nyimbo.alhamdulillahi tangia hapo niliacha upenzi wa nyimbo alhamdulillahi.mungu akuzidishie kheri uzidi kutuelimisha.
BARAKALLAHU FIIKA SHEIKH WETU.
Mimi nilitambushwa ya SHEIKH Kishk na rafiki yangu wa kitambo Rahma.
Allaahumma Ammiyna,jazakallaahu kheri...
Allah akulipe kila la kheri na umri wa kheri na akulipe jannah from msumbiji
Mashaallah sheikhe nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Allah akuhifadhi ishaallah
MASHAALLAH ALLAH AKUHIFADHI
Ma sha allah
Sheikh kishk mungu akubariki na akuhifadhi
Naiman inshallah ikiwa Allah mtukuf atapenda wewe ni pepon moja kwamoj inshallah allahumma ameeen 🤲 thumma Ameen 🤲
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh wg Nurdini Kishki ❤❤❤
Aslm alykm maashaallha shekhe allha akuhifadhi na akupe mwisho mwema
Jazaka'Allah Kheir🙏
Mashaaa llah allah akuhifadh shekh wetu unatuilimisha mambo mengi
mashallah umeanza nikiwa ndio nazaliwa❤😍
Masha aallah tabarak Rahman Allah akulinde shekhe wetu
Maa shaa Allah , tabaarakAllah. Allahumma baarik. BaarakAllahu feek. Tumelipokea ombi lako Sheikh.
Tuko pamoja na wewe ss baba.ulipo tupo.mti wenye matunda siku zote ndo wenye kupigwa mawe.wala usjali sheikh wetu kishki.ni fitna,choyo na hasad ndo kinachowasumbua.Allah akukinge na maadui wa siri na wadhaahiri.tunakupenda kwa ajili ya Allah.Allah akupe shahada wakati wa kufa inshallah.wewe na ss yaa Rabby🤲🤲
Amiin yaarabbli al'amiin
Mashallah tabarakanllah sheikh Allah akuhifazi kweli akupe mwisho mwema
Shukran shekhe wetu tuko pamoja na nyie na ALLAH akupe umr mrefu uzid kutupa elimu inshallah
❤❤❤❤❤ulipo tupo sheikh wetu kipenz
Shekh kishk alllah akulinde na akuhifadhi
Mashaallah Allah akuhifadhi na shari sheikh wetu
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
Alhamdulilah huyu mwamba nilisoma nae markaz , Allah amuepushie fitna za dunia na akhera.
mulisomea wapi
Mashaallah mashaallah Allah akuhifazi
Masha Allah Taabaraka Allah ❤❤❤❤
Asalaam Alaykum Warhamatullahi Wabarakatu Nime kifata Sheikh wetu mpendwa ila mimi namuomba Allah aniwezeshe nifike dar hapo nimuone mkeo na wanawo nitafurah Sana Sheikh wetu
ALLAH akuhifadhi na akujalie mwisho mwema
Allahu akibarr. Maashaallah tabarakallah
Ameen yarwab shikh ombi lako litakubaliwa na Allah
Mashallah mashallah ❤❤❤❤❤❤ kwa Ajiri ya Allah
Mashaa Allah huy mtangazaji napenda saut yake
Kweli kabisa ❤❤
Maashaallah 💗
Asc wallahi ninampenda sana ustaad wangu wa sunna kishki ambaye amebomoa batil sana
Ustaad usitishike na batil ju unajua sunna
MashaAllah ✨
Maanshaa lalh
Maashaallah baarakallah
Allhahuma ameen Ya-rabbi 🤲💞
MASHA ALLAH
Pia akutilie baraka katika familia yako muwe ma hafidth na ma hafidthat
Mashaaallah 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤😂
Maashaallaah
Asalam aleikum sheikh nashukuru sana ARAHIMANI kunifanya nikujue uliniinua kiimani bado unanijenga na ckati tamaakuendelea,sababu nilisilim
Shukran sana
Allah akupe maicha malfu cheikh
Mashaallah
Mm naon mashekhe wengi wanpitia mambo magumu na mazito lkn tunawaombea kwa ALLAH awape Kila la kheir inshallah hapa duniani na Zaid kesho akhera
Ameen thuma Ameen
Maashaa Allah
MashaAllah…
Masha allah
Allah akbar
Maa shaa Allah cheh wangu nakupenda kwajili yaa Allah.rakini cheh na we unajuwa kupika maji? Na unatia cumvi ,na pilipili,na mudarasine?😂
Allah Hafiz
Jina lake haswa uyu Sheikh ni gani
Naomba kupata namba ya shekh
Yani we wakosea hadharani afu ufatwe pembeni hhhhh la hasha usisubiri hilo alhamdulillah masheikh wa kisalafi watabainisha uzushi wako na wenzako ukijibu ni saw usipojibu pia ni sawa watakua wametekeleza uwajibu wao
Waelekum msalam warkmatulahi wabarakatu Nampenda huyu sheik walahi kwa ajili ya Allah yeye ndio alinifanya nimrudie Allah Allah akuhifandi sheikh wetu ❤❤ nampenda walahi
Manshallaah tabarakallah
Mashallah
Amiin YARABB