KIMEUMANA! KINANA AKALIA KUTI KAVU AJUTA KUMTAJA LISSU,AAMBIWA AACHANE NA SIASA AMEZEEKA .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 тра 2024
  • #kinana #lissu

КОМЕНТАРІ • 226

  • @WillyJohny-hc3pw
    @WillyJohny-hc3pw 2 місяці тому +9

    Ubarikiwe Baba mchungaji kwa kusema ukweli. Hakika

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 2 місяці тому +13

    Hakika watumishi wa Mungu mkisimama hivi ukombozi tunaupata mara moja. Mungu akubariki na akuinue

  • @user-kq7in8gd9o
    @user-kq7in8gd9o 2 місяці тому +8

    Mtumishi wa Mungu Mchungaji ubarikiwe Sana kusimama na kunena haki na ukweli ktk Mungu.

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 2 місяці тому +15

    Mtumishi mungu akubaliki sana akuongezee ekima

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r 2 місяці тому +6

    Utaisikia mijitu mijinga itaanza kumtusi mtumishi wa Mungu anaeongea ukweli hasa kakundi ka watu wachache wanaonufaika na mfumo huu wa kikoloni.Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому +8

    HAKUNA MTU YEYOTE MWENYE MASIKIO ASHINDWE KUMWEELEWA HUYU MCHUNGAJI. HEKO BABA MCHUNGAJI MWENYE ENZI MUNGU AENDELEE KUKUPIGANIA 🙏🙏🙏

    • @rabiakitigwa9120
      @rabiakitigwa9120 2 місяці тому +1

      Wewe ni mfano wa kuigwa mtusaidie kupaza sauti watanganyika tumeshavamiwa na mkoloni CCM

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 2 місяці тому +5

    Ongea mtumishi wa mungu,pongezi kwako,🎉🎉

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 2 місяці тому +4

    Chadema ni chuo cha wana siasa wengi wameibuliwa chadema mwalim mkuu mbowe kazi yake kaifanya vizuri sana

  • @anoldmrosso6680
    @anoldmrosso6680 2 місяці тому +4

    Mchungaji Mungu akulinde na akubariki somo limeenda na limetufikia .

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 2 місяці тому +4

    ✌️ mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa.

  • @ezekielkiduge8730
    @ezekielkiduge8730 2 місяці тому +6

    Kumbe Tanzania kuna watu wanauelewa mkubwa sana ila wako nje ya CCm

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 2 місяці тому +3

      Hata ndani ya CCM wapo watu wengi tu waelewa isipokuwa wanajitoa tu ufahamu kwa manufaa yao binafsi

  • @AndreaAmbros-kw2he
    @AndreaAmbros-kw2he 2 місяці тому +6

    Asante sana mchungaji Kwa kuwafumbua macho watanzania sema bila woga

  • @athumankaswaga605
    @athumankaswaga605 2 місяці тому +2

    Manshallah Mungu akujarie baba yangu kwa nasaha zako

  • @georgemahenge
    @georgemahenge 2 місяці тому +2

    Ubarikiwe mchungaji.wenye masikio wamesikiya.

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 2 місяці тому +3

    Mchungaji uko wapi nakutafuta uko sahiii sana nakupongeza

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 2 місяці тому +3

    Muongeaji mungu Akubariki

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 2 місяці тому +2

    Ubarikiwe mtumishi.

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 2 місяці тому +2

    Nafikiri una roho wa mungu ndani mwako

  • @FredrickKinyaha
    @FredrickKinyaha 2 місяці тому +2

    Mungu akubariki sanaa kwa kusemea watanzania ukweli

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 2 місяці тому +2

    MUNGU akupe maisha marefu mtumishi wa MUNGU kwa kuwa muwazi

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 2 місяці тому +3

    Haki huinua Taifa, bali dhambi niai aibu kwa watu wiwote.

  • @EliyaPaulo-uf6hh
    @EliyaPaulo-uf6hh 2 місяці тому +2

    Mtumishi wa Mungu naomba mpe onyo na mzee wasira ni mzee ambae analazimisha watu wamvunjie heshima sababu ni muongo tena wazi

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 2 місяці тому +3

    Kinana ni msaliti tu, anajilikana tangu enzi za Nyerere. CCM wanamjua fika, na ndio wamemfuga na kufukia maovu yake. Atuambie kesi ya pembe za ndovu iliishia wapi?

  • @ZephaniaNdaki-vq1ti
    @ZephaniaNdaki-vq1ti 2 місяці тому +2

    Ahsante mtumishi wa Mungu. Yafaa watanzania wafikie uelewa wa uharisia unaooneshwa na watu kama hawa! Viongozi wa CCM wapo tu kulinda maslahi yao binafsi hawajiuliza ni kwa nini viongozi karibu wote wa kidini hawakubaliani na ccm inavyoendesha nchi hii. Kilio cha watanzania na maonyo ya viongozi hawa wa kidini muda si mrefu vitaiweka ccm pabaya.

    • @rabiakitigwa9120
      @rabiakitigwa9120 2 місяці тому

      Safari hii tumewabana kwenye kona hawatoboi tuendelee kupaza sauti watanganyika tumechoka

  • @WilliamSENYE-yk8pb
    @WilliamSENYE-yk8pb 2 місяці тому +2

    Ccm itambuwe tulozaliwa kutokana na siasa y chadema tuko wengi wasijichanganye kwakua wao hawamchi mungu,

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 2 місяці тому +2

    Facts and Truth!

  • @ladslauskonjani9090
    @ladslauskonjani9090 2 місяці тому

    Hakika maneno haya ukitulia yanaingiza jambo kubwa aiklilini.Hongera sana kwa kufunguwa vichwa vyetu kisiasa.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana mchungaji ninyi ndio mutaivusha inchi hii Kwa mawazo yenu ila Mimi naamini bila kuiweka ccm pembeni matatizo ni Yale Yale maana wamekataa kubadilisha hiyo katiba ya mwaka 1977 hawana lolote

  • @user-eg1fi6gi7b
    @user-eg1fi6gi7b 2 місяці тому +2

    Hakuna mwanasiasa wa hovyo kama kinana.na huyo mzee atazeeka vibaya sana

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 2 місяці тому +1

    Mungu akusimamie mtumishi wa mungu

  • @chezariboy
    @chezariboy 2 місяці тому +1

    Hiii imeendaa, uko sahihih mtumishi, sema neno labda ccm itapokea wokovu maana ina lishingo gumu sana kama shetwaani

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 2 місяці тому +18

    CCM ni wagumu kuelewa na huwa wanajitoa ufahamu wanapokuwa na jambo lao ovu.

  • @ThomasElias-jo4vg
    @ThomasElias-jo4vg 2 місяці тому

    Hongera baba angu mngu akuzidishiie tunakufatilia kutoka Zanzibar

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 2 місяці тому

    Watumishi wa Mungu hii ndiyo kazi yenu
    Umesema vema baba Songa mbele
    Ila wachungaji wa 4G wachumia tumbo hawatathubitu kueleza ukweli kama wewe na Mbarikiwa huku wakijidhani wanafundisha ukweli tusiouona ila ukweli tunaouona hawasemi
    Hovyoo
    Songa mbele baba Mungu akupe hiyo haja ya moyo wako🙏🙏🙏

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 2 місяці тому +1

    Waziri wa kudumu ktk Baraza la Mawaziri Tz ni pamoja na George Mkuchika.

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 Місяць тому

    Tumekuelewa baba uko vizuri

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga Місяць тому

    Haki ya Mungu wewe mtumishi leo umeukonga moyo wangu balaaa,hakika wewe una maono mnoooo.

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 Місяць тому

    Hongera sana mtumishi

  • @fabianmnyenyelwa8752
    @fabianmnyenyelwa8752 2 місяці тому +1

    uko sahihiiiii baba tufungue vichwa

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 Місяць тому

    Balikiwa sana mtumishi wa Mungu baliki

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana mchungaji Hakika CCM wengi wako hivyo siyo kinana tu wanapotosha ukweli wakilindana na kulinda maslahi yao kuliko kusimama na ukweli na wananchi wamesahau kuwa watanzania wa sasa siyo wa enzi za mwalimu Nyerere wamesahau kuwa lissu anayoiongea ndo hoja za watanzania wengi kwa ujumla wao lissu ni mwakilishi wetu

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 2 місяці тому +1

    Mchungaji unasema kweli kabisa naomba uwambie na wachungaji wenzake watuambie ukweli ili tubadilike la sivyo tutakuwa masikini maisha yote

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 2 місяці тому +1

    Angekuwepo huyo rais nchi hii ingekuwa mbalimuno kimaendeleo hasa materialdevelopments.

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 2 місяці тому +1

    Amen 🙌🙌🙏🙏

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 2 місяці тому +1

    CCM ,please come to reality;times have changed.

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 2 місяці тому +1

    Nimemuelewa sana huyu anaitwa nan plzzzz nimependa alivyoeleza

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 2 місяці тому +1

    Ccm inazidi kupoteza imani kwetu watanzania wanashindwa kujibu hoja za wapinzani.

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

    Asante mtumishi wa Mungu kwa kututetea.

  • @kamuogo
    @kamuogo 2 місяці тому

    Kama Kuna mataifa yamesha amka na sisi tuta amka TU na haki itaonekana na mungu yupo na sisi ✌️✌️✌️

  • @ElihurumaThomas-kz8nq
    @ElihurumaThomas-kz8nq 2 місяці тому

    Hongera sana mchungaji

  • @FaresKweka
    @FaresKweka 2 місяці тому

    Si ajabu ukasikia kanisani kwake, kanisa lake limefungiwa. Mungu iondoe Tanzania na huu nfumo mbovu unaoongoza nchi yetu

  • @allonjoseph5467
    @allonjoseph5467 2 місяці тому +2

    kaa na ccm yako one day mutaeleweka tu mungu yupo

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 2 місяці тому +2

    Mchngaji wanakusikiliza

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 Місяць тому

    Hapo kwenye ukweli wa Watanzania umepuyanga. Walishindwa kuonesha ukweli nyakati za ukweli na uzalendo.

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Місяць тому

    Wew ndo mchungaji unae mtumikia Mungu,

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 2 місяці тому

    Mungu anakutumia bila uoga upo upande wa Mungu ubarikiwe miaka yoteee

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 місяці тому

    Mchungaji huyu anaweza kutoa Elimu kubwa Sana kuhusu nchi yetu,
    Pale tu ambapo ataachwa aitoe na Wapo wengi san, sio Wachungaji tu, hata Mashehekh wapo wa aina hii.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 2 місяці тому +2

    Maneno mazito Sana sana inauma Sana mungu akubariki mtumishi inchi hii wapo watu mungu watu kama huyo mzee kinana toka mwalimu yupo tu alisimamishwa na magufuri kaludi nikajuwa atakuwa na huruma na wanainchi wapi mungu tusaidie

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 2 місяці тому

    Safi kabisa mchungaji

  • @PetroSilas-bm2ic
    @PetroSilas-bm2ic 2 місяці тому

    Baba mchungaji eliimu hiyo watanzania tunaihitaji .tunakuombea Mungu akupe ujasiri huo hadi mwisho.

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h 2 місяці тому

    Unaakili nyingi sana mchungaji wana ccm hawata uona ufalume wa mungu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 місяці тому

    Asante mchungaji.

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c 2 місяці тому

    Tunapenda wasema kweli kama nyinyi ,na wakiwemo wengi ,hakika nchi hii lazima maisha au nchi iwe na ubora wa Kila kitu

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 2 місяці тому +2

    Tunakushuru sana mtu wa Mungu, watanzania wengi wana uelewa mdogo sana juuu ya umuhimu wa kufanya mabadiliko ya kweli kwasababu wamekazwa ujinga mwingi na ccm kwa muda mrefu

  • @StevenLuge
    @StevenLuge 2 місяці тому

    Nakuelewa kamanda

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 2 місяці тому

    Tuvushe Mwamba hakika huo moto uwachomo kwa jina la yesu

  • @thomasmgimba92
    @thomasmgimba92 2 місяці тому

    Nimekusikia son, umenena safi tunahitaji watu wengi nguvu

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 2 місяці тому

    Yaani kwa Jenister hujakosea kabisa

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 2 місяці тому +2

    Ccm ni ujinga

  • @sharralucy5231
    @sharralucy5231 2 місяці тому

    Umenena Mtumishi wa Mungu. Ni ukweli tupu. CHADEMA OIYEEEE!!!

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn Місяць тому

    YESU alipambana/ akafundisha umma dhidi ya maovu ya Pilato na serikali yake (makuhani). Mojawapo katika maovu aliyopigia kelele: rushwa, kukosa haki katika umma nk. Mchungaji naamini kilichomtokea wakifahamu. Serikali ya Pilato na mamluki (wachawa) wakamzoa na kumtundika msalabani! Sasa nawe na wanaharakati wenzenu mjiandae!

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 Місяць тому

    Well said

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct 2 місяці тому

    Hawa ndyo Watumishi wenye faida ktk Nchi na DUNIA kiujumla MUNGU akubariki

  • @user-xh8kd9ze7o
    @user-xh8kd9ze7o 2 місяці тому

    Kweli hii nchi wapewe watumishi wa mungu

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 2 місяці тому

    Nchi hii watanzania hawajajielewa siku wakijielewa mambo yatakaa sawa,ngoja tunyoshwe tunyoke hadi tutakapo jielewa

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 2 місяці тому

    Nikweri kabisa. Nchi hii imejaa namajizi arafu wanalindana 😊

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 2 місяці тому

    Hakika umesama kweli la ccm imekuwa ya ajabu sana

  • @PeterMandata
    @PeterMandata Місяць тому

    Upo sahihi sana

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 2 місяці тому

    Nakubaliana nawe kwa 100%

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 2 місяці тому

    Kinana wasira na viongozi wengine mpaka akina nape ni watu wenye hofu kubwa kutokana na matendo waliyo wafanyiya watanganyika na katiba mpya itawatafuna kwakwe ccm inahofu kwazambi wanazowafanyiya watanganyika sasa wajiandae kwa kukatariwa kutuongoza tunajuwa kuwa ccm wanatawara kimabavu bila polisi ccm aipo sasa nyiye polisi muwe na hofu yamungu ndiyo maana mkistafuu mnakuwa ni watu washida hapa nchini mnatualibia taifa letu

  • @amosjoseph7241
    @amosjoseph7241 2 місяці тому

    Mtumishi unaimani, Mimi nilishasema ukimtazama MTU mmojammoja ndani ya uongozi WA CCM utaona shetani ndani yake

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 2 місяці тому

    Mchungaji nakuelewa kwanini wengine hawaongei kama wewe kweli kwa kauli moja Tunahitaji KATIBA MPYA na muda ni huu

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 2 місяці тому

    Wamejisahau sn ziongozi watu kusema kweli wanakela sn

  • @user-dk3ou5yk2f
    @user-dk3ou5yk2f 2 місяці тому

    Ukosefu wa sjira Kuwepo kwa Umasikini kumetengenezwa na CCM ili kujikusanyia Machawa kwa urahisi wakitumia RUSHWA

  • @user-wg3yu5uy4w
    @user-wg3yu5uy4w Місяць тому

    Mtumishi ✈️🙏✈️

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 місяці тому

    Huyu Kinana angetueleza kuhusu ufisadi wake wa makotena. Anaongea uongo ili azidi kuendelea kuwatumikisha watanganyika. CCM karibu wote ni mafisadi. Kinana hata uwa simueli aliibuka kutoka . Kikwete na Kinana wote ni ndumila kuwili. Sasa ndiyo anazidi kuongea uongo. Yeye Kinana anadhani watanganyika ni wale wale wa 19....ajajua hawa anao gea nao 20... wajiahaibisha sana badala ya kuondoka siasa kwa heshima. Acha kuharibu Tanganyika nenda kule ulikokuwa nani amekutfuta tena kuleta ufisadi na uongo na wizi wa CCM.

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 2 місяці тому

    Kiukweli watu walioataafu ata akili imestaafu mnawapa nafafsi kubwa ndani ya chama au serekali ndio wanajiona miungu watu.

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 2 місяці тому

    Hao wangejua ni midaya kutubu ktk uzeewaohuo wajitakase wamekuwa mzigo kwa watanzania

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 місяці тому

    NA HAKUNA CHA MAANA ANACHOKIFANYA KATIBA MKOA WAKE. RUVUMA IPOIPO TU.

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 2 місяці тому

    Watu wakweli km wewe nchi niwachache sana upo sawa kbsaa

  • @2003hintay
    @2003hintay 2 місяці тому

    Umechoka kuhubiri injili unataka sasa siasa, wenzako anina mwamposa wanapiga hela

  • @godwinshoo5032
    @godwinshoo5032 2 місяці тому

    Huo ukweli wa watanzania umeupimaje na ni kwanini iliyowataja walikimbia chadema? Tafakari na utulie akili kama mtumishi wa Mungu!

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Місяць тому

    Tena amechoka kabisa aachie ngazi mwenyewe wamemcoka kabisa humo ndani ya Ccm yao

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 2 місяці тому

    Ongea Mtumishi wa Mungu Tupone

  • @IbrahimYohana
    @IbrahimYohana 2 місяці тому

    Kama CCM ni kinara wa rushwa na CHADEMA lazima inuke rushwa???
    Unapokubali kuwa ndani ya CHADEMA kuna rushwa' je una ushahidi na hilo???

  • @user-fx3xj3on5j
    @user-fx3xj3on5j 2 місяці тому

    Nitoe Rai. Yangu kwamba watumishi wote. TANGANYIKA wakiwa na. Msimamo kama ya huyu mtumishi (MCHUNGAJI) Hakika hawa wakoloni weusi wataondoka mapema sana.

  • @user-ol7nz6ii7u
    @user-ol7nz6ii7u 2 місяці тому +1

    Alah akibar

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 2 місяці тому

    Washukriwe wazazi wako kwa kukuzaa ukiwa timamu wengi wetu vipovu tunaona njia tuu ya kwenda chooni

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Місяць тому

    Hivi mchungaji dini imrkushinda piga siasa ya injili utatupwa lupango