ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 127

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 3 місяці тому +16

    Hongera sana! Mtumishi wa Mungu ALIYE HAI. Wachungaji wengine ni wasaka sadaka tu. MUNGU WA HAKI AKUTANGULIE.

  • @EliazariKaizilege
    @EliazariKaizilege 3 місяці тому +3

    Bwana Awe Nawe. Kamwe nimefuatia kiini: maendeleo na demokrasia ni nyuso mbili za shilingi. Asante sana!

  • @evaristosanga471
    @evaristosanga471 2 місяці тому +1

    Asante Mungu kutupatia askofu Bagonza.Mlinde daima

  • @AtupeleA.Mpangaja
    @AtupeleA.Mpangaja 3 місяці тому

    Mungu akubariki Mhe. Askofu Bagonza, humugbunyi maneno umesema kweli tupu, hatima ya nchi hii imo mkononi mwa viongozi watawala ambao ndoto zao wanafikiri wataishi milele ! Mungu akulinde Askofu.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 3 місяці тому +2

    Brains Bishop,super,super wonderfuly. Usione vyaelea vimeundwa..

  • @edisonmujwauzi625
    @edisonmujwauzi625 3 місяці тому +3

    Fantastic and resourceful speech to those who are ready to hear.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 місяці тому

      Speech ilitobeba ukuu wa Mungu. Watu wengine wanadhani ktk siasa ni haki kutenda dhambi wanajisahau kuwa wote matokeo ya uumbaji wa Mungu hivyo tunatakiwa tuenende ktk amri zake "..usiibe, usiue, usizini, usiseme uwongo, usimtamani mke/mme wa jirani yako.."!

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 місяці тому +3

    HONGERA SANA BABA ASKOFU

  • @ymohammed963
    @ymohammed963 9 днів тому

    Uko vizuri askofu hawajakosea kukuita as.kofu

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 3 місяці тому

    Askofu Bagonza umebarikiwa sana..kuwa kiongozi wa dini ambaye uko wazi, na mungu akuongezee maisha marefu

  • @Meiruzibwe
    @Meiruzibwe 3 місяці тому +4

    Mungu akubariki SANA.

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 3 місяці тому +2

    Hongera Sana mtumishi wa Mungu. Mungu akubariki sana

  • @user-xh8kd9ze7o
    @user-xh8kd9ze7o 3 місяці тому

    Asante Sana mtumishi

  • @ivanlyimo6727
    @ivanlyimo6727 3 місяці тому

    Huu ni unabii. Kazi kwetu kuamua kunyoa au kusuka. Uamuzi wowote tutakaochukua matokeo yake ni halali yetu. Asante Askofu wewe umenawa mikono yako. Ubarikiwe.

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 3 місяці тому

    Asante sana baba Askofu kwa maneno mazuli na yenye khekima kwa taifa wenye kuelewa tumekuelewa japo najuwa hata machawa wamekuelewa ila watapingana na wwe kwa sababu ya njaa yao tu

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 3 місяці тому

    Asante askofu umesema ukweli mtupu. Raisi Samia Ana dhamana kubwa juu ya mustakabali wa taifa hili. Awe makini sana na hao wanaompotosha Hasa katika msimamo wa awali wa maridhiano. Machawa wake wanamvuruga. Sijui kama anaona hilo. Tunakuomba baba askofu ujaribu kumwona wewe binafsi uso kwa uso ili ujaribu kumfumbua macho ! Ataelewa zaidi !😮

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 3 місяці тому

    Baba askofu Bagonza usivunjwe moyo na watu wanaokubeza ikiwa unayoongea ni ya maana kabisa una msimamo kama Desmond Tutu,ubarikiwe sana baba.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 3 місяці тому

    Maneno mazito Sana mama Samia yupo vizuri Ila Kuna watu wanamuangusha askofu bagonza ipo siku tutakukumbuka

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 3 місяці тому +3

    I believe to You Bishop Bagonza your are Luminous of this Country.

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 3 місяці тому +4

    Askofu Bagonza,umeongea mambo yakiutumishi,kweli wewe ni mtumishi wa Mungu.ubarikiwe.

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j 3 місяці тому

    Well said Askofu Bagonza.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 місяці тому +3

    Askofu umenena ila watasema siasa haichanganywi na dini, itakapofika pabaya watalaumu kuwa mmechochoa kwa kusema wasichokipenda.

  • @ilankundatimu3164
    @ilankundatimu3164 3 місяці тому +1

    We are blessed having you Bishop Benson

  • @edesaron9070
    @edesaron9070 3 місяці тому +2

    Mtumishi wa MUNGU aliye hai🙏

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 3 місяці тому +1

    Nyimbo za shangwe na sifa. Ni itikadi mpya ya vyama. Tulipotea njia siku nyingi.

  • @GavyoleJonas
    @GavyoleJonas 3 місяці тому +2

    Ubarikiwe baba,umesema kweli ila hawasikii tatizo

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 місяці тому +3

    Asikofu mungu akulinde ameongea point sana

  • @StephenChilewa
    @StephenChilewa 3 місяці тому +1

    Baba kwanza Mungu akubariki sana Kwa maneno ya hekima na yenye akili ila Kwa inchi yetu mtu mwenye hekima kama wewe hua anapuuziwa na viongozi ila ipo siku Mungu atafanya njia pasipo na njia

  • @knight6757
    @knight6757 3 місяці тому +2

    Sauti mbona zinaingiliana...🤔🤔

  • @gosbertrugangira5414
    @gosbertrugangira5414 3 місяці тому

    Viongozi, viziwi, wabinafsi,waoga , hawana ofu ya Mungu.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 3 місяці тому

    Hawa ndio Watumishi wa Mungu sasa, akina Eliya wa Kileo

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 3 місяці тому +1

    Ukitaka kuua chadema mbowe ajiuzuru apatikane wanaomtaka ili wamununue na mwisho wakiua kifo cha kawaida kama CUF nccr mageuzi tlp ukweri mbowe ni mpinzani wa kweri na tishio la cvm

  • @ignacekiwale7281
    @ignacekiwale7281 3 місяці тому +2

    Huyo mtangazaji anavuruga hotuba / maoni ya Askofu Bagonza.,..

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 3 місяці тому

    Big up askofu Bigonza

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 3 місяці тому +2

    Asente baba bagonza

  • @francismomo7067
    @francismomo7067 3 місяці тому +4

    Bagonza askofu...hua nakuelewa sana.

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 3 місяці тому

    Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)

  • @Uhuru1234
    @Uhuru1234 3 місяці тому

    Baba ubarikiwe

  • @user-cz3gk2op9r
    @user-cz3gk2op9r 3 місяці тому

    🙏🙏🙏Hakuna ukweli zaidi ya hii

  • @rastheunique
    @rastheunique 3 місяці тому

    Asante Askofu kwa kunena uzalendo wa hali ya juu

  • @jumajukikoti8133
    @jumajukikoti8133 3 місяці тому +3

    Mbona speech bora hii inaongiliwa Jamani kwa nini?

  • @Uhuru1234
    @Uhuru1234 3 місяці тому +1

    Utasikia oooh, dini na siasa haviingiliani, ni udhaifu kufikiri tu

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 3 місяці тому +5

    Baba askofu UMESEMA KWELI, umewapiga za USO. Mwenye kukuelewa watakuelewa. Mimi BINFSI nimekuelewa. Kila kitu Kiko wazi KABISA.

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 3 місяці тому +1

    Watu wanyoofu na waadilifu ni wapweke sana katika maisha Yao ya uongozi wake wa Kila siku

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 3 місяці тому +1

    Hawa. Jamaa .watshari bu mambo baadae. Wataandka kakita u kuwa walikosea..halafu Mtasahau. Kwani ndiyo yanayotokea. Wanaamini. Sana uwongo lakini wajue uwongo nimuda.tiu watu wanajua.ila.wajue kivuli huwezi kukikmbia. Watajua hawajii . Waendelee kizima data

  • @user-fk6mt5ib6g
    @user-fk6mt5ib6g 3 місяці тому +3

    Siku zote unaongea maneno ya maana na ya kweli. Ila nchi hii watu wengi wakiwemo viongozi ni wapenzi wa uongo.

    • @Abs-tz8dl
      @Abs-tz8dl 3 місяці тому +1

      Kwani ni upinzania ndo unatawala, unaoeleta umaskini na utumwa kati ya hii Tanzania ?🇹🇿 ccm ni chama amabacho kinatuibia kila mwaka kwenye budget?

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 3 місяці тому

      Viongozi wa dini msiposema haki si vema kuja kuombea wafu huku mkijua kilichofanyika mkiwa na akili ya mbuni Kwa adui wake mbugani.

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 3 місяці тому +1

      Viongozi wa dini wangekuwa na uelewa kama wa Bishop Bangenda nchi yet ingekuwa mbali sana ninawashauri watumishi wa MUNGU waamke waitetee haki katika nchi yetu

  • @issaowden4400
    @issaowden4400 3 місяці тому +3

    Fact kubwaa sana

  • @RudelphZabron
    @RudelphZabron 3 місяці тому +1

    Tunahitaji maaskofu na mashehe wa Kariba Yako ili watukutanishe tuwe wamoja .
    Mungu aturehemu na kutusimamia AMINA.

  • @jacksonsilaa415
    @jacksonsilaa415 3 місяці тому

    Bishop kiuhalisia natamani sana angalau tukutane tu

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 3 місяці тому +1

    Baba askofu Bagonza nimekuelewa kwa yote uliyozungumza hakika umedhihirisha kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu,unamtumikia Mungu na watu wake, Hongera kwa maneno mazuri yenye mafunzo na maonyo kwa viongozi wote wa serikali, vyama na machawa pia! Mungu akulinde daima,na mwenye masikio na asikie yale Mungu amekutuma kuwasemea wanyonge wa Taifa hili.Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na sii vinginevyo! Ccm wakatae wakubali,wasikie sma wasisikie utafika wakati wa maamuzi ya Mungu hawatazuia chochote!

  • @eliassumila8173
    @eliassumila8173 3 місяці тому +1

    ❤✅

  • @marwamagere
    @marwamagere 3 місяці тому

    Bagonza saluti kwako unajitambua hongera sana

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 3 місяці тому +2

    Wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli una hekima na busara na maono ya mbele yatakuaje ubsrikiwa sana

  • @shukuruphanuel1729
    @shukuruphanuel1729 3 місяці тому +2

    Among the few elites in Tanzania

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j 3 місяці тому

    Stand up with justice being witnesses for GOD. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)

  • @user-oc3jf3ts5i
    @user-oc3jf3ts5i 3 місяці тому

    Kuna sauti ya mpumbavu mmoja inaingilia speech ya Baba Askofu!

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 місяці тому

    Hakika kuhani wewe ni mtaaluma wa maisha yetu sote

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 3 місяці тому +1

    Wengine tunaogopa watu ambao matumaini yao huzimwa makusudi

  • @prospermiraji8473
    @prospermiraji8473 3 місяці тому +2

    Baba Askofu daima umekuwa mkweli. Mungu akulinde hadi mabadiliko uliyoyatamani nawe uyaone kama mchango wako

  • @enesforosama3008
    @enesforosama3008 3 місяці тому +2

    Askofu Bagonza Dunia ya leo inaumiza sana kwetu sisi wenye Moyo unao fanana nawewe CCM haitakuja kubadilika kamwe maana wabaya na wazuri wamo ndani.

  • @user-jn9gc8ru6v
    @user-jn9gc8ru6v 3 місяці тому

    Nakuelewa sana asikofu

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 3 місяці тому

    Kweli eti CCM wajikute ni wapinzani ni tusi kubwa kwa hiyo tume huru ya uchaguzi ni ndoto za mchana.

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 3 місяці тому

    Mungu akulinde ukweli utaduma

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 3 місяці тому +1

    chadema mwenyekiti wao ni wakudumu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 місяці тому

      Mbowe kadumu, Russia je putin Yuko miaka mingapi, china je kiongozi kakaa mnda kiasi gani, German ni angel alihudumu mda gani?. Vipi tawala za kifalme. Tunalingana nao maendeleo? . Mkwamo wetu ni mbowe?. Tupanue Wigo twende nchi jirani zinazo tuzunguka na huko ni CCM imekaa madarakani mda mrefu?. Tatizo ni kukariri vitu. Ivyo tunakosa ubunifu, na uelewa wa kawaida tu. Zamani awamu ya kwanza kuna kundi liliitwa kupe, sasa leo hii tunadhani chawa neno jipya na ni ufahari. Chawa na kupe wote wanyonyaji. Ukupe au uchawa wa fikira ni mbaya zaidi. Atuwezi kutoka hapa tulipo kwa mawazo ya kumezeshwa tu.

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 3 місяці тому +5

    Askofu hawaccm ni wabishi na wana viburi sana

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 3 місяці тому

      Maaskofu wengi na Mapadre wengi sio wanafiki na wanajiamini wakifanyacho,huku tuliko ni tatizo,kuandama tu kwa mwezi BAKWATA wanagombana nusu watoane roho

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 3 місяці тому

    Asnt askofu nakukubali

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 3 місяці тому +3

    Wee ni mtu wa Mungu kweli kama Maccm yataelewa hayo nadhani tutavuka salama.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 3 місяці тому

      Kweli kabisa. Usalama ndiyo kila mtu anaomba. Tunajenga nyumba moja

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 місяці тому

    Mkapa alikabidhi chuo kikuu Morogoro Magufuli alijenga misikiti tuepuke udini si sote ni Watanzania

  • @user-uq5vm2ge4q
    @user-uq5vm2ge4q 3 місяці тому

    MUNGU akubariki

  • @leonardmartine662
    @leonardmartine662 3 місяці тому +2

    Asko yuko vzuli

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 3 місяці тому

    Ukizaliwa tz unapewa shaada ya ujinga eti viongozi wa dini wanaingilia siasa kweri wewe unajitambua au wewe ni mzimu ulikufa kiakili na ukafufuka kimwili wewe unataka mungu akufanyie Nini kama sio wazili waubili amani upendo watufufue mioyo akili kimwili kama ujitambui nyamaza viongozi wa dini walisaidie taifa

  • @elimika01
    @elimika01 3 місяці тому +1

    Umesema ukweli Kila Kona, Kila alie hudhuria umebarikiwa Kwa kadri yake. Uzidi barikiwa kiongozi.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 місяці тому

    Akili kubwa sana

  • @JoshuaStanley-qu3im
    @JoshuaStanley-qu3im 3 місяці тому

    MUNGU akujalie afya askofu mpenda haki

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 3 місяці тому +3

    Huyu askofu anaijua hii nchi ndani nje....huu ni mtaji wa dira ya siasa bora za kidemokrasia...busara ya kupokezana madaraka kwa amani baina ya vyama ndio namna bora ya kujitawala...

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 3 місяці тому

    Uyo anae ingilia maoni ya msomi na mtu wadini anaakili kweri au ni ujinga mwaache mtumishi asikiwe na waitani wa neno

  • @bilid4128
    @bilid4128 3 місяці тому +1

    Muwe mnaedit video zenu kabla ya Kupost

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 3 місяці тому +2

    Mushemiwa kwa ufupi , ccm ni hovyo

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 3 місяці тому

      Kweli sijui kwa nini hawana feelings. Hivi WAMELISHWA nini???

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 3 місяці тому +2

    Haki ipo ila ccm wanachelesha

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 3 місяці тому

    Kichwa

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 3 місяці тому

    Huwa nakuelewa hujawah kutuangusha kagera

  • @Sangaadam
    @Sangaadam 3 місяці тому

    Akili kubwa!!

  • @evelina9621
    @evelina9621 7 днів тому

    Baba.acha.m
    AMBO.YA.SIASA.SAIDIA.WAAMINI.WAKO.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 місяці тому

    Askofu uko vzr kwenye Siasa sema tu Imani yako inakuongoza mno

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 3 місяці тому

    10 tu kama wewe kijani itakua nyekundu,,na ili nikufaidi vizur naamia hukohuko anglikana

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 місяці тому

    Naviendelee kuwepo

  • @francisaloyce3930
    @francisaloyce3930 3 місяці тому

    Askofu ana kitu serikali imtumie kuivusha nchi

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 місяці тому

    We mwandishi hatutaki makelele acha tusikie nondo

  • @user-cz3gk2op9r
    @user-cz3gk2op9r 3 місяці тому +1

    Huuu ndio ujumbe kamili

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf 3 місяці тому

    Tunako enda siokuzuli

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 3 місяці тому

    Nasikofu uliyoongea ni ukweli mtupu

  • @fwc5552
    @fwc5552 3 місяці тому

    Jabo fake kabisa hizo back sound za nn

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 3 місяці тому

    Ww acha kutudanganya c mtanzania rudi kwenu

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 місяці тому

      Mtanzania ni wewe peke yako.

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 2 місяці тому

      Acha ujinga huyo ni mtanzania mzaliwa wa karagwe Bukoba na tena mzalendo

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 3 місяці тому

    Awana akili

  • @lgf7297
    @lgf7297 3 місяці тому

    He has talked about everything and nothing. Alichoanza nacho kakifuta mwishoini. Hajatoa sera mbadala.

    • @user-fn2eg3vn4h
      @user-fn2eg3vn4h 3 місяці тому

      Tofautisha maoni na Sera, maoni ni maoni yanapingwa kwa maoni bora zaidi

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 3 місяці тому

    Video mbovu

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 3 місяці тому +1

    Hiii inchi itakuja tawaliwa kidini maneno haya yakamateni zamani asukofu kanisani na shekhe msikitini sasa Kila siku maasukofu wamejaa siasa sijui kunaajenda Gani hebu chaguweni kama ni siasa au kanisani tujuwe kama mtajaa kwenye siasa kinachofata ni nini?

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 3 місяці тому +1

      Ujinga unakusumbua, kama sio basi udini unakutesa. Msimilize kwa makini utaelewa anachokisema. Yeye hajamkataa mtawala isipokuwa anakataa unafiki uliopo kwenye katiba na wale watendaji wakuu.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 місяці тому

      Ujinga pale Malawi Rais ni Askofu. Kule Zanzibar wapigania UHURU wa mwanzo alitoka Kanisani. Obama kuongoza USA msingi uliwekwa na Martin Luther king tokea Kanisani.Mzee mwinyi atengwi na imani

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 3 місяці тому

      @@GodfreyOsward kwahiyo na hapa tz mnataka tuongozwe na maasukofu au mashekhe hili halitakunalika kama mnampango huo hatukubali Tanzania imebeba wanadini na wasiokuwa na dini acha uasukofu na ushekhe uwe mwanasiasa hili likemeo ni hatari sana kuvunja amani na kupigana kidini

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 місяці тому

      Ni ukweli hauwezi kupata kiongozi asiyetoka katika makundi hayo matatu. Hata na wale ambao hawana dini kuna mambo hûwa wanaamini. Kinacho kataliwa ni tararibu za dini fulani kufanywa sheria Za kuongoza taifa. Ivi ni kwa nini uwanja arusha wa mpira unaitwa shehe amri abeid. Hatuna akika kama alichanganya dini na siasa. Mfano Askofu yote aliyosema nini ni dini yake. Kuna pahali alisema tunnge katiba watu wote tukaungame zambi au watu wate walazimishwe kufuata dini fulani. Kinachoweza Kueneza udini ni watu kutokupata majibu ya changamoto zao. Africa na tz kuna tatizo la ajira, rushwa, unyonyaji wa kimfumo na kitaasisi dhidi ya raia. Ubaguzi na nk. Ukipata mtu wa kutuonya kwa haya udini unatoka wapi? Au ukweli ni upanga.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 місяці тому

      Ijumaa. Hebu jaribu kusoma kitabu Major Events in Africa History. Utaona sababu za vita ya Jihad 1800-1880 kule Africa magharibi. Kodi na namna ya kusanya, haki mahakamani, uadilifu wa viongozi, iman moja kitakatifu kumeza zingine,rushwa ktk jamii, umabavu wa viongozi wa makabila, vilichangia kuibua wasomi wa elimu Quran tukufu kuanzisha jihad ili kutafsri haki ktk jamii kwa kutumia Quran. Hivyo hali yetu hii Africa na tz tukizoea inaweza kuibua makundi ya kiimani kutaka kutoa majibu kwa kutumia vitabu vyao. Hivyo hata kwa upande wetu sio sawa kuchanganya dini na siasa. Ila la msingi tunajikwaa wapi?. Sisi tumeanza kuachana kitambo sana hasa kwenye swala la haki ya kila mmoja wetu. Hivyo lolote linaweza kutoka kulingana kiwango cha maisha ya Taifa lenyewe. Tunaogopa sana kumeza maneno ya watu wengine ili yasituzuie kuona mwanga kidogo unaotokeza katika Giza tororo.

  • @rahimzuberi2673
    @rahimzuberi2673 3 місяці тому +3

    Naona maaskofu karibu wote mmehamia chadema kwa kuwa Rais muislam akija mkristo ccm mtaipenda tena hapo nimewaelewa

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 3 місяці тому +1

      Ni vizuri ukatumia akili yako vizuri kuliko ukatumika vibaya na hiyo CCM yako.

    • @maggiehiza5884
      @maggiehiza5884 3 місяці тому +1

      Akili ndogo

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 місяці тому +1

      Mawazo hayana chama.

    • @RudelphZabron
      @RudelphZabron 3 місяці тому

      Mungu awe nasi sisi sote tu WATANZANIA
      MUNGU IBARIKI TANZANIA AMINA.

  • @prospermiraji8473
    @prospermiraji8473 3 місяці тому +1

    Baba Askofu daima umekuwa mkweli. Mungu akulinde hadi mabadiliko uliyoyatamani nawe uyaone kama mchango wako