Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni, mnyukano mkali watokea
Вставка
- Опубліковано 29 тра 2024
- Hoja ya Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee aliyetaka Bunge lijadili utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara kwa EPC+F imechangamsha mjadala wakati Bunge likiwa limeketi kama kamati kujadili mafungu ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Mjadala huo umejiri leo Mei 30, 2024 jioni huku Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson akimbananisha Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba afafanue utekelezaji wa EPC+F huku Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akichuana vikali na Waziri wa Uchukkuzi ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa wakishukiana kwenye mjadala huo.
Mwigulu Janja langu sana tiuwasiliane ukimaliza hoja ya mdee
Dada umenifurahisha kumuunga Kokono halima ktk hoja hii, umefafaninua vizuri swali la Halima Mdee, aksante
Mwigulu wewe ni tatizo sana kwenye serikali hii
Wasanii tu hawa wote wako kwenye maskani hawana bunge mijizi, milaghai tu
Namchukia sana mwigulu ,,anatoa majibu kama nchi hiii ni ya babaake
Ameshatununua huyu
Mdee Good
Mh. Kuntu uko vizuri . Hao wakandarasi hiyo ni hasara ni Yao.
@tulia ackson anaakili sana
Anajua kuchezesha shilingi sanaaa huyoo
Mwiguru kajaa upepo safi ajae... Mzee wa Esther express tz
😂huyu Mbunge aliyeko karibu na Mwigulu anashangilia michango yote, Hana baya na upande wowote. Safi sana 😂😂
😅
Halima mdee,Ester bulaya na Ester matiko nawakubali sana
Sipika unatuchanya mbona unawai kukata ya harima hapo tunakuwa na wasiwasi watazamaji
Wabunge siwaelewi mbona wanashangilia hovyo bila kujuwa wapo upande Gani 😢😢
Halima mdee uko vizuri Sana.
Hali a mwanangu nakupendaga. Kwa hoja. Tu. Uko vizuri Sana. Hao wabunge wa CCM wanalindana. Ni philipo mipango tu. Ndiye aliyekuwa bora Sana. Hawa vijana wapigaji tu. Ukimsikiliza maneno yake yanaonekana yamchongo halafu selikali inakumbatia mijizi. Wakati. Kunawasomi wengi wenye. Akili. Na wenye hofu ya mungu. Lkn bado selikali inakumbatia Hao. Hao. Wanachota kwa zam😭😭
Je .umesahau..tozo..kwani..sio..mzingo...kwa..watumia..simu..wavijijni..x😭😭😭😭😭👣👣
Trabo na trati
Mdee safi sana pamoja na Tulia uko vzuri hoja hiyo wake Tena Wala isiptishwe short cut isiwepo wabunge wamebobea kimaswali inaleta mantiki. Pamechafuka pananukaa kama pananukaa vunja mkataba
Nakuona mbunge wetu wa ukweli mama Jenista Mhagama.
Halima mdee anatufungua macho,, ata ile mikataba ya bandari kama tungemsikilza tusingefka hko
alima nakupenda sana kama unge kua ujaolewa ningekuoa
Spika nakukubali sana kwa kisimamia hoja ya fedha
Safiiiii sana tulia na halima mko vizuri ana you deserve to be our leaders ❤
Wah mnatuchanganya wananchi pesa za serikali zipi na naza mh Rais ni zipi?
Kweli Tanzania hii watu wanapindisha kiswahili kilichonyoka ili wasionekane kama wamekula pesa
Kazi nzuri sana speker tulia na Mbunge Halima Mdee
mwegurubwew ni mpigaji 2 akuna chochote unachokifanya kwenye hy sekta
Muheshimiwa halima mdee ikiwa chadema hawajakupokea unda chama chako zanzibar tupo wengivtunakupendaaaa
Bunge linapaswa kuendeshwa kwa mfumo huo wa kuisimamia serikali na kuikosoa pale inapoenda kinyume na makubaliano!
Tulia nae yupo smart kweli
Nampenda sana Mdee Akili sana nakunda sana Alima
HIVI HUKO BUNGENI MNAJUA KWAMBA HUYO MWIGULO HATUMUELEWI KABISA HUKU KITAA.
Samia huyo mwiguru umemuea apo kwa kaz gani anayoifanya apo pg nyama chini mama
Fafanua wew sas maana hamuelewii jinsi mwiguluu anavyojotetea lakn hamtak kuelewa duuh
Tulia safisana
Mjadala ni mzuri hoja kwa hoja, hongereni sana.
Nimependa uimara wenu.
Mawaziri wapigaji hao. Bakubaliano ni wakandarasi watafute hela maana yake wawe na pesa ndio wapate tender. Sasa inakuwaje mawaziri wanawatea makandarasi.
Kwani hakuna efficient person kuliko huyo Mwigilu. Naona anajibu jibu tu. Maana anawrza akaamua kubudilishwa badilishwa na wakandarasi.
Aloo hii kazii ni ngumu mwacheni mwiguluu wetu bana mbona hivooo.
Alima apewe nafasi ya mwiguru ameshindwa kazi
Sipka.uko.juu.waziri.kashindwa.wanamama.juu.huyo.waziri.hana.anachojua.msaidieni
Yani matatizo yote haya nchini chanzo ni mwigulu nchemba ajiuzuru tu akae mwingine kwenye nafasi hii
Mwegulu wew nimswahili Swahili sana kwenye serikali hii
Hivi kwani mna kopa kwani hii nchi hakuna rasilima za kuijenga tanzani wenyewe
Wewe ndio sijakusrewa kabisa kwaiyo mashimo yaenderee magari yaanguke watu waenderee kufaa mtafaidi nn sasa
Wamama mko juu endeleeni kuwabana hawa wababa wenye kuwazarau. Kiti cha mh spika kiheshimiwe.
Hongora Wabunge Wetu Mnachangia Vizri lazima Hapo Ufafanuzi Utolewe.
Sio wote ni halima mdee peke yake konyo
Mh. Spika unatenda haki ktk kulisimamia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mungu akubariki.
Hatumuelewi mwigulu
Ashungwa nae ndy walewale
Tataz madudu yote ya magufuli mama ameyarudisha hao ni mafisadi 2
MIMI nawapenda wote ILA UZALENDO KWA TAIFA KWANZA.HONGERA DR.TULIA KWA KUONGOZA VEMA BUNGE LETU
Badala ya kujdili ugumu wa maisha mnatuchezea 2 akili
Mwiglu Nchemba na Tulia Acson lzm wapambaneeee😅
Mwigulu ana majina ya Zanzibar, uarabuni na Omani. Kwa hiyo kila jambo la waarabu lazima alitetee sana
Tatizo kubwa Tanzania tumekumbatia INCHI za Magharibi na KUBWA ni kujinufaisha na asilinia Kumi ndio kinacho tugharimu.
Wekeni mezani liaze upyaaaaa hilooo
hakuna mtu mwingine wa kukaa kwenye hii wizara ya Fedha ?
mama yenu hawezi kumtoa anajua kula naye
Endeleen hivyo hivyo kutupiga maana wote mnajuana,na hukuna jipya hapo,watz ni maboya vipepeo,ikifika uchaguzi kijani tu
Mbona Mwiguru Anachanganya Habari Wazi
Asante mwenyekiti
Kwa kweli Mdee si familia yangu ila namuelewaga sana tu
Allahah ajaalie kheri yarabi na atuondolee kila fitna majungu amani itawale❤❤❤❤😂
Alaigwanani
Mama ungemtumbua huyu mzee bana
Hongera Sana Spika wa Bunge unasimamia vyema Sana. Hongera Sana pia Halima Mdee
Very nice mama
Tatizo kijani TU,mchanganyiko ndyo afya
Halafu mkataba walishasaini
😢😢😢😢😢 ni Huzuni sana unapomwona mheshimiwa aliyepewa dhamana na wananchi na raisi wetu akampa dhamana kubwa lakini anakosa umakini kiasi hicho kwa hela za walipa kodi.
Waziri wa fedha majibu yake hayaridhishi analipeleka pabaya taifaga,mama mwangalie sana Mwigulu anakuangusha,watanzania wameanza kuamka
Binge.la.kifala.utapeli.wizi.ujinga.2025.piga.chini.wote
Hata yesu alifundisha 😂😂😂 mwigulu kiatu hakimtoshi
Safi mheshimiwa
Mwigulu ni jipu Lililooza
Uyo mdee mbunge wa chama gani?
Sasa serikani an mkataba na mjenaji j/ makandarasi au na finencer..?
NB: Hala za serikali ni za kupunguza makali ya kupanda riba?
Mwigulu anawaza Esther Luxury
Na ukimaliza hoja hiyo nitakaaa paleee nikusubirii
Unajua wabunge wanapiga makofi siyo kwa sababu wamelewa bali wanataka kumaliza ili waondoke na posho zao
Wadada zaeni mapema maana mkiwa wabunge majukumu ni makubwa sana
Wabunge wengi mabwege Halima ana uwezo
Huyo jamaa mnamngangania wa nn
Waelimishwe maana ya iyo secta
Wazee ukweli mnaujuwa
Mwiguru kiatu uricho vaa hakikutoshi na hakikufai .unaharufu ya ufisadi
Kwahiyo barabara ya kiteto -nako imesha ingia mdudu😭😭😭
Huyu tulia kweli maana kawatuliza wote , hilo jina ni baraka
Nikweli Amna bungi chanzo chamatatizo yote waliosoma Wana wanyanyasa ambayo awajasoma Sasa walewatu Wana muabudu mungu Sasa laana ina maliza taifa
Mwigulu mmm kweli
Hapa kazi2
Umechapia mwigulu
Futeni mpango ufutwe ili kuaza upwaaaa
Hili limtu munguru halijui linachokifanya ni wizi tuu
Serikali inaenda kutafuta pesa ili impe nani? Hapo ndio tunachanganyikiwa wananchi. Pesa ya serikali na za Mh Rais.
MH Samia chomoa huyu kashakuwa shida ukweli mwigulu nitatizo
Kila kitu katika nchi hii tabu serikali hii sijui tutafika lini
Kwa mfano kwa kozi ya hotel management and forest
EPC+F ifutwe.
HALIMA UNAFA UNGEKUWA WAZIRI UNGEWANYOOSHA
Huyu Mwigulu PhD yake aliipataje au kafanyiwa kama wengine wengi kiasi cha kufanya taifa kuwa chaka la upuuzi.Hakuna aliyesema F ni msaada na si finance? Mara technicalities mara syndication mara yada-yada-yada. Kweli huyu ni doktari siyo daktari. Nashauri PhD ya Mwigulu ichunguzwe, nini andiko lake, nani chair wake, nani wajumbe wa kamati yake, uhusiano wao, muda aliotumia kuisomea, kuitetea, na kuipata. Kuna tatizo hapo.
Majibu mnayotoa si sahihi!
Mbawala anaongoza kuhujumu uchumi wa Tanganyika. Anatumwa na samia kuibomoa tanganyika