USTADH SHAFII AMLIPUA MWAMPOSA NA UONGO MAFUTA YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 62

  • @MariannaJoseph-uv2sp
    @MariannaJoseph-uv2sp 9 місяців тому +1

    Yeah waislam wapambania kuiyona pepo wakristo wakazania kupata maajabu kwa frimason😮 MOLLA wetu ni mmojatu wa kuabudiwa tu ubarikiwe ostath❤

  • @sambaachristopher
    @sambaachristopher 9 місяців тому +1

    Mwaminini Yesu Kristo Aliyeangikwa pale Msalabani akuokoe na udumu kumtegemea!pasipo YESU KRISTO Mbinguni hakuna kuingia!ewe mtanzania nakualika uje Kwa YESU KRISTO Sasa uachane na dhambi! AMANI YA BWANA YESU KRISTO isikupungukie Kila mwanadamu yeyote aaminiye Neno la Mungu!

  • @JonasAmisiheradi
    @JonasAmisiheradi 9 місяців тому +2

    Allahu Ak'bar, tuna ridhika

  • @sifamanyori
    @sifamanyori 9 місяців тому

    Kubukeni mungu akuzariwa kwenye mitishaba mungu arizariwa kwenyewantama waporini kama nyani sokwe mutu musitwabie sisiviziwi vipofu mara kifua kikuu

    • @Issamuemede
      @Issamuemede 9 місяців тому +1

      Kwani binahadamu wa kwanza Kwa mujibu wa bíblia na kurhani walikuwa ni masokwe?

    • @mjakamjaka5759
      @mjakamjaka5759 4 місяці тому +1

      Upo Kwenye usingizi mzigo Sana ALLAH akupe Hidaya

  • @IbrahimHakizimana-bd2qh
    @IbrahimHakizimana-bd2qh 3 місяці тому

  • @Magreth-r1h
    @Magreth-r1h 2 місяці тому

    Unakeraaaa

  • @ZulekhaSaburi-q2s
    @ZulekhaSaburi-q2s 9 місяців тому +1

    Wallahi njoo Kenya mombasa na hayo mafuta Kenya uchawi uko thele

  • @augustinechitemo8207
    @augustinechitemo8207 9 місяців тому +1

    Unapotosha watu
    Huo ni Ushirikina na uganga!

  • @juliusakilimali9424
    @juliusakilimali9424 9 місяців тому +2

    Mimi ktk Dunia hii napita tu!! Yangu masikio na macho kuona na kusonga mbele kumtafuta Yesu wangu!

    • @Nim68182
      @Nim68182 9 місяців тому

      ati kwa jina la shafiii😂😂😂

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 9 місяців тому +1

      Tizama tel hiyo hapo juu

    • @rayyanothumanmohammed8261
      @rayyanothumanmohammed8261 9 місяців тому

      Yesu atakukataa tu
      Mt7:22

    • @Nim68182
      @Nim68182 9 місяців тому

      @@rayyanothumanmohammed8261 umemaliza kusom japo 23 na kuenderea, nii juu yawatendao maovu,
      Mtu yeyote afanyae maovu atamkana haswaaa

    • @mimimimi-pg5uk
      @mimimimi-pg5uk 7 місяців тому

      @@rayyanothumanmohammed8261 shida yako ray unataman kudanganya wote, not easy
      shuka mstari wa 24
      sio kusoma mstari mmoja halafu ukautumia kukatisha watu tamaa
      and by the way sidhan kama unajua
      umefundishwa ili uje ubishane

  • @CyimanaHamiss-rm5qv
    @CyimanaHamiss-rm5qv 9 місяців тому +1

    Shekh shafii assalam alaikum warahimatullah wabarakatuh mimi binafus huwa napenda kufuwta hutuba zako sasa mimi naka rwanda kamembe hayo mafuta tutapata adje.hatakama itacukuwa garam ngapi tutalipa bila tupate samahani sana binafusi nielekeze natayapata aje?

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 9 місяців тому

      Sheikh watu wanauliza tel iweke hapo kwenye screan,

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 9 місяців тому +2

    Naona umechukia mwamposa kuwanyang'anya waumini

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 9 місяців тому

    Darasa na ushirikina.....ustadh umeua kibabe sana.

  • @samwelluhwago705
    @samwelluhwago705 9 місяців тому

    😂😂😂

  • @TheGame-nz7um
    @TheGame-nz7um 9 місяців тому +1

    Mnaemtaja mwenyewe walaaaa hawawazii kabsaa...huyo jamaa anawashinda mbaali sana..mmekalia uswahili uswahili tu kshindana na kila kitu.

  • @samwelluhwago705
    @samwelluhwago705 9 місяців тому

    Tatizooo bongoo siasa kila mtu mjuajiii 🤔

  • @hassanhamis2244
    @hassanhamis2244 9 місяців тому

    mbona km biashara hiyo sasa,ningeona ni jambo la maana kwa kua waisilamu wanazijua hizo aya,kwa maelekezo uliotoa ni elimu tosha kwa wao kwenda kuiandaa,na sio kuwauzia,sio kwa ubaya ila haijakaa sawa

  • @ExcitedCrab-ph5kp
    @ExcitedCrab-ph5kp 9 місяців тому

    Sheikh mimi naomba kuuliza kuhusu ufahamu hata mtu mzima ambae hafahamu hiyo dawa itamfaa au naomba jibu

  • @ConfusedChicken-ze9fz
    @ConfusedChicken-ze9fz 9 місяців тому +1

    Sasa uo si uganga?acha uongo wewe utakufa vibaya

  • @shabanimaijo9148
    @shabanimaijo9148 9 місяців тому

    Uchawi gani??anasema kweli huyu,hao wachungaji wa uongo ndo wachawi

    • @mimimimi-pg5uk
      @mimimimi-pg5uk 7 місяців тому

      mwamposa pamoja na huyu wote ni kitu kimoja..
      kumbuka Ukristo sio mwamposa.

  • @FadiAhmed-zw1cu
    @FadiAhmed-zw1cu 7 місяців тому

    Nko kenya nayapata aje

  • @AdolfinaSebastian
    @AdolfinaSebastian 9 місяців тому

    Aaaaaaa sasa wewe unshindana na nguvu za mungu ila mwamposa kiboki yenu ndomana hamuishi kumpiga vijembe😅

  • @joycebongo9275
    @joycebongo9275 9 місяців тому

    Shee.shafii mimi niko kenya jee nitayapataje

  • @geofreyndambo8635
    @geofreyndambo8635 9 місяців тому

    Hawa kila kitu ni wao,utasikia ndege ni waislamu,magari ni waislamu,sasa mbona kwenye Listi za wagunduzi hakuna mwislamu hata mmoja😂

    • @KhamisHaroub-uj5ci
      @KhamisHaroub-uj5ci 9 місяців тому

      Katik kugunduwa pia tulianza muislam kupitiya kiongozi wetu Muhammad kwaio makafir hawana jipya

    • @azizihfarijala5307
      @azizihfarijala5307 9 місяців тому

      mimi na familia yangu tumetumia mafuta ya bwana mdogo mwamposa kwa muda zaidi ya miezi sita lakini sikupata mafanikio ila nilipokwenda tandika katika duaa na kuchukua. mafuta baba mwenye nyumba alitumbia tuhame kumbe yeye alikuwa muhusika . kwa hiyo mwamposa hayakufaa

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 9 місяців тому

    Mwamposa ni kiboko yenu

    • @mimimimi-pg5uk
      @mimimimi-pg5uk 7 місяців тому

      ni kweli ila ni kiboko yenu nyinyi
      YESU NI BWANA SIO MWAMPOSA
      Wewe ni binadam umepewa akili sio mbwa.
      huyu mchawi anaefundisha pamoja na mwamposa wote wanatekeleza jambo moja tu.

  • @adamomar9382
    @adamomar9382 9 місяців тому

    Shehe haya mafuta ya pangusa znz yatakuja lini

  • @zahorokasentisenti6761
    @zahorokasentisenti6761 9 місяців тому

    Achane fitna bhana tengenezen na nyie tuje kununua Kwa buku tu

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 9 місяців тому

    Nitaka napataje

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 9 місяців тому +1

    Kwa mwamposa waumini wengi ni waislam ndio wamejazana uko

  • @SalimuMbonyumukiza
    @SalimuMbonyumukiza 9 місяців тому

    Marimu tapataje mafuta hayo shekh shafi

  • @masumbukomoussa977
    @masumbukomoussa977 9 місяців тому

    Subhanallah hakuna tofauti Yako na mwamposa kabisa nyote matapeli tuu na katik ujinga huyo utwakuta wanawake ndio wengi

  • @darbychannel354
    @darbychannel354 9 місяців тому

    mafuta aina 14 + haltiti kisha chemsha

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 3 місяці тому

    Acha uganga wewe uchawi huo

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 9 місяців тому +3

    Mimi nakushukru kwa sababu unatambua mafuta ya nwamposa yanaponya, sasa wewe unafundisha watu uchawi