Mafuta Haya Yanavuta Riziki / Faida Ya Mafuta Ya Mzaituni Na Ndimu / Sheikh Othman Micheal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2022
  • Mafuta Haya Yanavuta Riziki / Faida Ya Mafuta Ya Mzaituni Na Ndimu / Sheikh Othman Micheal
    Mashaa Allah Sheikh Othman Michael akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Mafuta Haya Yanavuta Riziki / Faida Ya Mafuta Ya Mzaituni Na Ndimu / Sheikh Othman Micheal
    tizama mpaka mwisho usisahau kushare
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    UA-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 111

  • @cookinglist1004
    @cookinglist1004 Рік тому +2

    Salama aleku shekh haya mafuta kwa ngapi mie niko Omani na taka chupa 2 shukran mungu akuzidishie elm zaid Ishaalla Amin.

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Рік тому +3

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @RukiaShelukindo
    @RukiaShelukindo 2 місяці тому +1

    Shekh nayaitaji nayapataje

  • @IndorameJafety
    @IndorameJafety Рік тому +1

    Mwenyezi mungu akupe maisha marefu cheh wetu

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому +1

    Mungu akujalie shekhe halafu mimi mkrusto lakin napenda sana duwa napenda nijuwe na wengi wanajuwa mimi muislam nashangaa watu tofaut wananiita iaisha halafu wanasema nimekaa kislam

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq 10 місяців тому

    MashaAllah Allah akupe umri wenye kheri na wewe tuzidi kupata faida duniani na akhera

  • @ZahraShariff-dm2jf
    @ZahraShariff-dm2jf 3 місяці тому

    Nasumbuliwaa na maguu wallah kutembea balaa

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Рік тому +4

    Nami natia Nia ya baraka za MUNGU kwa jina la YESU KRISTO

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 10 місяців тому

      Tia Nia Kwa Mungu c yesu Kwan nabii Issa (yesu) amezaliwa na kumwamudu Mungu ktk msikiti wa sinagogi
      Sifa ya uungu ni kutokuzaa na kuzaliwa

    • @judithnjunwa6668
      @judithnjunwa6668 10 місяців тому +2

      @@NunuKupela kwa Imani yangu YESU KRISTO ndio njia ya mimi kupata majibu yangu Toka kwa MUNGU Baba,,,, huwezi kumtenganisha MUNGU baba na Yesu kristo,,,,,,upo hapo kaka

    • @Mpakistanog
      @Mpakistanog 5 місяців тому

      Dada upo sawa kwasababu umeongelea iman yako

    • @aminathaabubakarmasoud565
      @aminathaabubakarmasoud565 5 місяців тому

      ​Ndo utulie huko na Yesu wako kwani umeitwa hapa?

  • @biashaqtr-xd2mf
    @biashaqtr-xd2mf Рік тому

    Mashallah mashallah mashallah Alhadulilahi Allahu Barik

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l 6 місяців тому

    Nzr sana

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 10 місяців тому

    Amina kaka mungu akupe mwisho mwema

  • @mamdiakite698
    @mamdiakite698 7 місяців тому

    nafata sana darsa zako nashidwa kukupata ntaipataje niko mbali maalim
    nchini malii bamako, ama senegall,

  • @mamdiakite698
    @mamdiakite698 7 місяців тому

    Mashallah ❤

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 8 місяців тому

    Mashaallah tabarakallah shukran

  • @khadijamohamed8919
    @khadijamohamed8919 Рік тому

    Shukran jazakallahu kheir sheikh

  • @user-jk6xk7id3q
    @user-jk6xk7id3q 7 місяців тому

    Jazakallau kheira 🤲

  • @aminasalim7571
    @aminasalim7571 4 місяці тому

    Mashallah nataka ayo mafuta nko malindi

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 Рік тому +1

    Inshaallah kher

  • @user-tu9pe1qn5v
    @user-tu9pe1qn5v 6 місяців тому

    Mashallah

  • @BenardMasereka
    @BenardMasereka 6 місяців тому

    Thanks 4 da teaching bro am watching u from Uganda however am new.

  • @user-hs7jn8vq5i
    @user-hs7jn8vq5i 9 місяців тому

    Masha allah,

  • @meemmeem8
    @meemmeem8 Рік тому

    Samahani shekhe sikumaliziya kukwambiyaninahisi watu wananichezeleya watt wangu kwa uchawi nakila akitaka kupelekwa kwenye duwa hukimbiya naomba watakuja nisaidiye inshaalla

  • @khadijamdemu7972
    @khadijamdemu7972 10 місяців тому

    Maashaallah

  • @NiyonkuruSiyaba-ff1wu
    @NiyonkuruSiyaba-ff1wu Рік тому

    Shukran

  • @mariamjuma5457
    @mariamjuma5457 9 місяців тому

    MashAllah

  • @muniranahimana1540
    @muniranahimana1540 11 місяців тому

    Masha Allah

  • @MeshakiAbdul-sp9uc
    @MeshakiAbdul-sp9uc 5 місяців тому

    Amiin

  • @user-bu7er2qv8d
    @user-bu7er2qv8d Рік тому

    InshaAllah

  • @rukorioyusuf1268
    @rukorioyusuf1268 8 місяців тому

    mashallah nahitaji haya mafuta naomba unitumie hiyo clip nifike huko plz nifanyiwe visimo pia

  • @jeniphertemu8626
    @jeniphertemu8626 3 дні тому

    @shekhe Othoman Micheal dodoma tunayapata je?

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Na nilikuwa napenda sana kila ijumaa kusikiliza mawaidha

  • @zainabukombo411
    @zainabukombo411 7 місяців тому

    Kweli walahi nimejipaka Kuna vitu vinakimbia ktk miguu yangu

  • @abdulragmababdulsalam5107
    @abdulragmababdulsalam5107 Рік тому +1

    Mashaallah

  • @user-ym6hw2ks8x
    @user-ym6hw2ks8x Місяць тому

    Amiiina

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Ata jina lake la zaituni ni nzur

  • @Zaitunibirungi-gl3jd
    @Zaitunibirungi-gl3jd Рік тому

    Shukuran

  • @marywambuijamesnjuguna7946
    @marywambuijamesnjuguna7946 Рік тому

    🙏🙏

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @siwaomary9873
    @siwaomary9873 Рік тому

    asalaam alleykhum mafuta sh ngapi

  • @user-rz5no7us8e
    @user-rz5no7us8e Рік тому

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh mvuje naskia simzuri ukipaka malaika hawakusogelei

  • @user-iu8jo8bq1j
    @user-iu8jo8bq1j 3 місяці тому

    Nayapataje na yanaitew

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Nasikia wengine wanachanganya na mafuta ya mkunazi

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 10 місяців тому

    Nawapenda mashekhe mnaongeaga ukwel wengne utaskia wanaupako

  • @marymolel800
    @marymolel800 6 місяців тому

    Nayapataje

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Рік тому +1

    Asalaam aleykum Sheikh. Nahitji hiyo. Dawa lakini Niko Mombasa

  • @nasramwalami7759
    @nasramwalami7759 8 місяців тому

    Mashallah somo zuri shehe mie ninatatzo la mgong kuwaka Moto mikon kufa ganz kuuma kwa ndani ayo mafuta uloyasema marakwanza mm nayahitaji shingap nayahitaji nisaide shehe ntayapatje uu mwaka unafika nimetumia dawa San mpka Sasa sijapona na dalili ya kupon Sina naumia tu na maumivu naomb unisaide shehe ayo mafuta niyapate nipone na mm Mana cn rah ya maisha

  • @meemmeem8
    @meemmeem8 Рік тому

    Sheghe asalamu alaikum
    Nina watoto wangu

  • @ScloasticaAyuma-jc7kn
    @ScloasticaAyuma-jc7kn Рік тому +1

    Assalam alaykum warahamdullah wabarakatu Sheikh, niko kenya mpeketoni, naweza pata aje?

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Kweli kitunguu maji kikal sana

  • @gasperkimariolesewa8157
    @gasperkimariolesewa8157 9 місяців тому

    Asalaam aleykum, samaan hii dawa ipo dukan kwako, marashi rose na bahatinukus

  • @ZariannaJuma
    @ZariannaJuma 2 місяці тому

    Mimi nipo Tanga nayapataje

  • @user-nr5tj2gq7i
    @user-nr5tj2gq7i 4 місяці тому

    Tulipo Oman tunapataje

  • @salimalharrasi3943
    @salimalharrasi3943 7 місяців тому

    HAYO MAFUTA YANA JINA GANI IKIWA NUT AKIAGIZIA

  • @rajabuvumbi7926
    @rajabuvumbi7926 8 місяців тому

    Sheikh, Asalam aleiykum? Sheikh kuna dawa huwa mara unaitangaza inayohusu upungufu wa nguvu za kiume. Mm nina changamoto hiyo na maumivu ya mgongo na kiuno na nuru ya macho kuona, nitazipata wapi na zinauzwa kiasi gani?

  • @ZariannaJuma
    @ZariannaJuma 2 місяці тому

    Tanga yanapatikana wapi

  • @mamdiakite698
    @mamdiakite698 7 місяців тому

    Nimerudi tena sheh nimechanganyikiwa mafuta ya ndimu kitungu swaumu kitungu maji apo sasa ndio sielewi
    manake ndimu na limao sio kitu kimoja

  • @user-xz3vj1dg3f
    @user-xz3vj1dg3f 11 місяців тому

    Asalam aleikum Niko malindi nitapaje hayo mafuta

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Unayauza bei gani

  • @januarymwaringa2346
    @januarymwaringa2346 11 місяців тому

    Hiyo dawa naitaka Mimi Niko kenya kwale nipe bei

  • @sharondinah3361
    @sharondinah3361 Рік тому

    Nataka mafuta Niko Nairobi

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 Рік тому +1

    Sasa niayo yalosomewa lkn ya dukani hayana nguvu au apa nilipo yapo

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 Рік тому

    ASALAM SHEKHE NJOO TANGA. AU DAWA ZAKO HAPA TANGA ZAPATIKANA WAPI?

  • @mamysarah7071
    @mamysarah7071 Рік тому +1

    Asalam.alaykum.nikoburundi.shehe.yatanifikiyaje

  • @niajepoa1212
    @niajepoa1212 5 місяців тому

    Mafuta yanaitwaje na yanapatikana wapi

  • @stevenkessy7359
    @stevenkessy7359 Рік тому

    Niko arusha bei gani hiyo sheh Mimi nahitaji

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Ndio kibilit upele

  • @StecyBukuru-xm6tk
    @StecyBukuru-xm6tk 9 місяців тому

    Cheih mtu akiwa Burundi haya mafuta anaweza kuyapata wapi?

  • @user-up5ew2ih7y
    @user-up5ew2ih7y 7 місяців тому

    Sheikh tunauliziiya kwasisi tuishi inji jirani Rwanda

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Ndio warabu wanapenda kupikia oman tulikuwa tunapikia kuna alishangaa kuna ya kula nilimwambia ndio

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Kwel hizo dawa nazijuwa karafuu maiti na almiti

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Рік тому

    Kuna sehemu duka mueka hapa mombasa au mtu hapa mombasa Kwa kuuz hizo dawa?

  • @user-rz5no7us8e
    @user-rz5no7us8e Рік тому

    Sheikh mafuta yote hayo chupa 8 ni kiasi gani

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Рік тому

    Asalaam aleykum Sheikh othuman. Mombasa inapatikana?

  • @RamadhanMsangazi
    @RamadhanMsangazi Рік тому

    mafuta n sh ngp maaalim

  • @rosemarysospeter1328
    @rosemarysospeter1328 5 місяців тому

    Yanapatikana wapi kwa dar

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  5 місяців тому

      namba iko kwenye screen piga

  • @amranmwemfula6939
    @amranmwemfula6939 Рік тому +1

    Kariakoo yapo

  • @user-kw8kq8qj5l
    @user-kw8kq8qj5l 10 місяців тому

    Mafunzo mataam sana nipo mtwapa naeza yapata vipi then bei pia ni shilling ngapi???

  • @kemondobukoba2188
    @kemondobukoba2188 11 місяців тому

    Naitaji ayo mafu rakinibniko bukoba napataje ayo mafuta?

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Na mvuje ni dawa kubwa nakumbuka walikuwa wanafungiwa dawa watoto ndio altiti

  • @suhaylasalim9111
    @suhaylasalim9111 Рік тому

    Bei gani hiyo sheikh hayo mafuta na unapatikana wapi?

  • @ZainaIssa-nt8wl
    @ZainaIssa-nt8wl Рік тому

    Beigani hy dw?

  • @ZahraShariff-dm2jf
    @ZahraShariff-dm2jf 3 місяці тому

    Assalamaleykum nitayapata wapi? Niko Msa

    • @ZahraShariff-dm2jf
      @ZahraShariff-dm2jf 3 місяці тому

      Mm naitaji Sana mafuta maguu yanasumbuwa Sana kisingino nimaliza tibaa sipitali

    • @ZahraShariff-dm2jf
      @ZahraShariff-dm2jf 3 місяці тому

      Ama madukani tutasema inaitwaje

  • @najmaali3596
    @najmaali3596 Рік тому

    Sheh napata wapi? Kwa huku Mombasa

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  Рік тому

      piga namba iyo kwenye screen yk

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 місяців тому

    Mafuta yaliyochangajywa na vitu vyote hivyo unauza bei gani

  • @user-tz2xv3mx5r
    @user-tz2xv3mx5r 10 місяців тому

    naomba namba yako tafazar shehe

  • @ZahraShariff-dm2jf
    @ZahraShariff-dm2jf 3 місяці тому

    Sheikh naomba ujibu hio mafuta nitayapata vp

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  3 місяці тому

      namba ziko piga

  • @bakarimohammed2381
    @bakarimohammed2381 Рік тому +2

    Unapatkana was shehe nije ninunue ayo mafuta

  • @user-bu7er2qv8d
    @user-bu7er2qv8d Рік тому +1

    Amiin

    • @dafrosamapunda
      @dafrosamapunda 11 місяців тому

      Ubarikiwe sana maisha marefu kwako shehee

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 Рік тому

    Sasa niayo yalosomewa lkn ya dukani hayana nguvu au apa nilipo yapo