PASAKA USTADH SHAFII na MWALIM KINYOGOLI-UKWELI KUHUSU PASAKA NA UWONGO WA WACHUNGAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 248

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 8 місяців тому +9

    Nampenda sana SHEKH SAID KINYONGORE kwa jili ya ALLAH MASHALLAH YEYE NA SHEKH MAZINGE HaWO NDIYO KIBOKO WAWA PINZANI WADINI YA KISILAM ALLAH awaojaliye neemaa za kila aina zakheri nawawo ameen

  • @williamgabrielmassawe3654
    @williamgabrielmassawe3654 8 місяців тому +1

    Kristu pasaka wetu ,amechinjwa sadaka tuile kalamu yee na tuimbe alleluya.

  • @salimomar-n7s
    @salimomar-n7s 8 місяців тому +11

    Mashallah kwa mafundisho mazuri kutufalanulia zaidi

  • @adamunzeyimana1806
    @adamunzeyimana1806 8 місяців тому +7

    Mashaa Allah
    Shukran kwa kutu elimisha
    Allah azidi kukubariki Duniani na akherah

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 8 місяців тому +7

    Mashaa Allah nawapenda kwa ajili ya Allah sw

  • @arkamali446
    @arkamali446 8 місяців тому +12

    Mnapambana sana na darsa ni nzur sana ALLAH ATAWALIPA KILICHO CHA SAIZ YENU. WALLAH SISI HATUNA CHA KUWAPA.

    • @ISAALMASIHI9823
      @ISAALMASIHI9823 8 місяців тому

      Waislamu maamuma someni korani, unampiga shetani mawe lengo afe au? kiumbe kisichoonekana! inashangaza, nisaidie aya au lengo na dalili tu

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 8 місяців тому

      ​@@ISAALMASIHI9823mkigusiwa ukweli ndio mnatafuta pakufia! Mafunzo hayo mnapewa muache sarakasi, nyinyi makafiri mnaposema mnatoa mapepo uwa mnawaona? Kwani shetani akipigwa mawe wewe unaumia nini? Hau ndio ukweli umekuingia ila ubishi tu,au unaumia maana kwa mujibu wa bibilia zenu huyo shetani ndie aliewaletea mokozi? Nabii Ibrahim alimpiga mawe,na sisi waislam wengine tunafanya hivyo ivyo

    • @salimali3688
      @salimali3688 8 місяців тому

      No

    • @ISAALMASIHI9823
      @ISAALMASIHI9823 8 місяців тому

      @@salimali3688 wewe ni shekh kwelkweli, soma sana Quran hata nami nampenda Yesu kupitia biblia na si hadithi au mapokeo
      Thawabu ya Allah iwe nawe

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 8 місяців тому

      ​@@ISAALMASIHI9823tokea lini kafiri akaelewa hio ni bibilia unaikataa loo

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 8 місяців тому +5

    Masha Allah Mungu akulipen nyinyi ote

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 8 місяців тому +5

    Mashallah Allah awalinde mashekhe wetu

  • @ahmadiKesse
    @ahmadiKesse 8 місяців тому +5

    Allah awape nguvu na ufahamu zaidi watu waelimike

  • @nicholouskavindi8512
    @nicholouskavindi8512 8 місяців тому +8

    Hamjakosea pasaka ya Kwanza n Hyo kuepuka kifo baada ya kuchinja mnyama Sasa pasaka wetu halisi n Yesu Kristo Kwa kumwagika kwake damu Na kufa Na kufufuka kwake Sisi tumepona Amen

    • @ibrahimsaad617
      @ibrahimsaad617 8 місяців тому

      Andiko lipi mpendwa

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 8 місяців тому

      Lete andiko yesu ni pasaka yako

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 8 місяців тому

      ujinga wa wazi

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 8 місяців тому

      ​@@fatumamwalimu5765
      1WAKORINTHO 5:7 "BASI JISAFISHENI MKATOE ILE CHACHU YA KALE MKAWE DONGE JIPYA. KAMA VILE MLIVYO HAMKUTIWA CHACHU..KWAMAANA PASAKA WETU AMEKWISHA KUTOLEWA SADAKA, YAANI KRISTO".

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 8 місяців тому

      ​@@fatumamwalimu5765
      Kazi mnayo... Mwataka kuziba jua kwa ungo😅 KRISTO NI BWANA WA MABWANA. nyie swalini muende kwenye pepo ya uzinzi . Pepo ya mwanamme mmoja kugonga mabikra 72.. Ila waislam😅akili hamna

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 8 місяців тому +4

    Ma Sha Allah elimu nzuri

  • @SalminiSalmini-tf2zd
    @SalminiSalmini-tf2zd 8 місяців тому +3

    Nawapenda kwajil ya allah sheikh shafii na said juma kinyogoli

  • @topeng.1506
    @topeng.1506 8 місяців тому +3

    Ma’ashallah tumeelimika.kwamba pasaka sio Siku ila Mnyama yaani Kondoo ao Mbuzi.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 8 місяців тому +1

    MashaAllah Allah awafanyie wepesi kwa kila kitu

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 8 місяців тому +2

    Masha Allah kwakutukumbusha

  • @makalohassan
    @makalohassan 8 місяців тому +1

    Mashaallah Allah awajaze kheri.

  • @samxx411
    @samxx411 8 місяців тому +1

    Sheikh Said yupo kimya sana siku hizi, huwa nampenda sana akitoa hoja zake na akizifafanua wakati wa muhadhara

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h 8 місяців тому +2

    Jazakallah kheir

  • @KhamisiKelly
    @KhamisiKelly 8 місяців тому +10

    Binafsi nlikuwa nawatafuta sana sheikh shaffi na kinyogoli kwa heshima nawaomba muandae muhadhara na pasta ndacha mumfundishe huku kenya anadanganya watu.

    • @hamidudigogo5863
      @hamidudigogo5863 8 місяців тому +2

      Kenya hapo yupo sheikh ramadhani bin kuriya anamuweza sana huyo ndacha

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 8 місяців тому

      Ndacha ameshaandaliwa mihadhara hapa Tanzania na hakuna aliyeweza kumshinda

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 8 місяців тому

      😂😂😂😂....Yaaani mtaiba kila kitu lakini baaado...ati Pasaka ilikuwa kwa ajili ya Waislam??
      Wala haihitaji degree...pasaka ilianza kabla ya Uislamu na sio kweli wakristo wapo karibu maana quran haisemi hivyo 😂😂

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 8 місяців тому

      @@rockygappi1018Muongo wewe

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 8 місяців тому

      @@rockygappi1018 QURANI 5:82 Hakika. Utawakuta Waliomaadui zaidi Kuliko Watu ( Wengine ) Kwa WAISLAMU ni MAYAHUDI Na Wale MUSHIRIKINA ( Wasiokuwa na KITABU ). Na Utawaona Waliokaribu kwa Urafiki na WAISLAMU ni Wale Wanaosema ; Sisi ni WAKRISTO ." ( Hayo ) Ni Kwa Sababu wao ( WAKRISTO ) Hawatakabari ; ( Wakiijuwa Haki Huifuata ) 🙏🙏🙏@rockygapp1018 Umeona ANDIKO?

  • @salimothmanhoza
    @salimothmanhoza 8 місяців тому +3

    Ulevi wa dini ni mbaya zaidi kuliko bangi,wokovu uko kwa Yesu tu,pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka yaani kristo 1korintho,5:7

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi 8 місяців тому

      Unamfata Paulo unapotea mashee aya wanatoka katika bibilia we puuza na fata mkumbo2

    • @ibrangowo6185
      @ibrangowo6185 8 місяців тому

      UKWELI UTABAKIA KUWA UKWELI TU HATA KAMA WATU HAWAUTAKI AU WATAUCHUKIA.

    • @sayidabdillah8505
      @sayidabdillah8505 8 місяців тому

      Na hawa wabrania wanatokana na nabii Ibrahim amabye asili yake anatoka mashariki ya kati katika nchi ya iraki yaani waajemi or warabu kwa hiyo yesu or nabii issa ni muarabu si mzungu wala Hana asili ya kizungu km ambayo mumedanganywa na wazungu

    • @sayidabdillah8505
      @sayidabdillah8505 8 місяців тому

      Lakini km unaamini kifo cha yesu msalabani basi amini kuwa hakikusadii kitu kwa sababu kifo cha yesu hakikusadii ww or mtu yoyote hakuna mtu anayebeba dhambi ya mtu kila mtu anabeba dhambi yake

  • @JonasAmisiheradi
    @JonasAmisiheradi 8 місяців тому

    Walaykoum salam, Tume musalimu Mwalimu Saidi Jumaa Tokea Lubumbashi Wantashi DRC CONGO, tupo pamoja, Ramadan Mubarak kwa wote

  • @QofSaidiKbsk01
    @QofSaidiKbsk01 8 місяців тому

    Maashallah ma ustadh wetu

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 8 місяців тому +1

    Mwapotea kwakuwa hamuyajui maandiko wala uweza WA Mungu. Mtafuteni mwalim Francis Ndacha awasaidie maana anapatikana.

    • @AthumaniPuchu
      @AthumaniPuchu 8 місяців тому

      Ndacha haamini pasaka maana yule ni msabato

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 8 місяців тому

      Ndacha muongo anatoa tafsiri anazotaka yeye sio vitabu vinavosema

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 8 місяців тому

      Kwani hico.kitabu wanaco soma si bibilia? Mpaka ndaca aje labsa kama wanaongea kizungu aje atafasiri?

  • @gasorekassim5499
    @gasorekassim5499 8 місяців тому

    mashaallh from 🇨🇵

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 8 місяців тому +5

    Vyuma 2 vimekutana 😂😂😂

  • @mrsab303
    @mrsab303 8 місяців тому

    MashaAllah ❤❤❤❤

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 8 місяців тому +2

    Uislam mzuri sana

  • @servantofgod4340
    @servantofgod4340 8 місяців тому +2

    1WAKORINTO5:7
    "BASI JISAFISHENI MKATOE
    CHACHU YA KALE MKAWE DONGE JIPYA. KAMA VILE MLIVYO HAMKUTIWA CHACHU..KWAMAANA PASAKA WETU AMEKWISHA KUTOLEWA SADAKA, YAANI KRISTO

  • @meekman1805
    @meekman1805 8 місяців тому +1

    Maashallah

  • @abdallahassan2983
    @abdallahassan2983 8 місяців тому

    Mashallah

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 8 місяців тому +2

    Wewe pasaka sio yako wewe huijui, utaumia tu😅😅😅😅

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 8 місяців тому

      sawa yako ww tuambie imeandikwa wapi mpaka uifuate?😂

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 8 місяців тому +2

    Nambona huku ulaya watu waweka mayai rangi rangi na vifaranga toys na chicolate ziko kama za mayai ya rangi rangi nivipi hivi tuelezeni tafadhali maanake nini mayai ni wapi kwa wapi

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 8 місяців тому

    good movie

  • @wakwetuluanda965
    @wakwetuluanda965 8 місяців тому

    Yesu wakati anakuja chakula na wanafunzi wake akatoa kikikombe anasema hinidamu yangu damu ya agano jipy kwajili ya ondoleo la dhambi fanyenj ivi kwa kunikumbuka mimi someni vizuri walimu bibilia pana sana

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 8 місяців тому

      Biblia yenye kupachikwa maneno?soma ww upotee peke yako

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 8 місяців тому +1

    Masha'allah Masha'allah

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 8 місяців тому

    Waislamu ni wapinganji maanake wakafili, kila kitu kilico kuwa agizo la Mungu, kwa waumini wa islamu wanapinga, hawa wanaonekana ni wapinga kristo, wa masijali , tena huyu kinyogori anapinga anaco kijuwa, ni memusiya akisema Yesu hafai kufatwa ni mwenye dhambi , kinyogori emekufulu hafai kusikilizwa, aliyo ya pinga , ukisoma injili yohana 13:1-17 mustali wa 17 Yesu aliwambia mukiajua Hao mutakuwa heli mukiyafanya . Hawa makafili waislamu wakija wakapinga , kwa sasa mumeumbuka , wa naofata njia ya wislamu wa mepotea walimu wao wa mewapoteza nawo walipezwa na majini nao wakapoteza watu , kujeni kwa Yesu na sasa anawasubili , yeyote akija kwake hamufukuzi anasema njoni kwangu mimi ni munyenyekevu wa moyo .matayo 11:28-30

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 8 місяців тому

    ukweli kuhusu kifo cha Muhammad kuhusu kufa kwa sumu

  • @benadi6254
    @benadi6254 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂hizi comedi show ni mingi sikuhizi

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 8 місяців тому

      Zipi hizo fungua masikiio na uelewwe chukua kalam na karatasi andika hizo point hapo alaf kaa chini utafakari upate knowledge 😢

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 8 місяців тому

    Ukweli kuhusu mwezi nanyota ukweli kuhusu Muhammad kupasuliwa kifuwa malasaba kutowa fungu la shetani

  • @hassanhategekimana4526
    @hassanhategekimana4526 8 місяців тому +1

    Na hio pasaka ilitajwa kabla ya Yesu kuja duniani! Je wanaosema pasaka inamanisha kufufuka kwa Yesu wanatoa wapi wakati ilitajwa Yesu hajazaliwa?

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 8 місяців тому

    Hakika mnatafuta kumjua Mungu WA biblia lakini mmekutana vipofu watupu hebu mtafuteni mwalim Christopher Mwakasege atawasaidia Sana kama hamumtaki mwalimu Ndacha

    • @aishakhamis-kr7ed
      @aishakhamis-kr7ed 8 місяців тому

      Innalillah wainna ilaih raajiun chukua nukta kasem mwnyew

    • @bashirumbua9809
      @bashirumbua9809 8 місяців тому

      Wafundishe wewe kama unajua😢

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 8 місяців тому

    Mtu yoyote Asiye elewa mafundisho ya mchungaji Fransis Ndacha Basi wewe so muelewa wà chochote, Haya Ni mahubili ya Pasaka Kama Ni sahihi Pasaka Ipo, Na Ndacha ndie peke yake anauwezo wà kufundisha kinachoeleweka,

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 8 місяців тому

    Taratibu tuu mtaelewa

  • @SalumHaji-wj2ht
    @SalumHaji-wj2ht 8 місяців тому

    Nawatakia afya jema muendelee kutoa darasa hili watu welewe

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 8 місяців тому

    Ukristo ni tolii jamani hupati Christmas kwenye kitabu wala pasaka wanayosherekea hupati kwenye kitabu wanachoamini hukuti neno ukristo wala biblia kwenye kitabu wanachofuata msiba

  • @JumaHamad-n4f
    @JumaHamad-n4f 8 місяців тому +1

    Muhim San Kam hii

  • @johnpetro378
    @johnpetro378 4 місяці тому

    Shafi na kinyogori, Qruan imewaelekeza kama kuna jambo hamrijui basi ulizeni kwa wakristo,
    Hapo ulipokuwa unasoma ( body language of the bibble)
    Huna chochote ulichoeleza kuhusu spirtual knowledge ya hizo contents
    Tafuteni walimu wakikrsto mufu dishwe,

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 8 місяців тому +1

    Kama mmeujua ukweli WA biblia kwani mnakuwa na shingo ngumu kumkubali Bwana YESU enyi waislamu?

  • @FeristaKoku-it9nx
    @FeristaKoku-it9nx 8 місяців тому

    Shafii na kinyogoli mgefundisha kuhusu hidi na sio pasaka maana mnadanganya

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 8 місяців тому

      Unasemea chumbani.watafute ukafunzwe uwache kukata mauno kanisani😂

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 8 місяців тому

    Nyie NI manafiki Tu , kila MTU NI haramu cha mwenzake.

  • @canmakoye547
    @canmakoye547 7 місяців тому

    Woote wango hapo hamjui kitu

  • @mwesi527
    @mwesi527 8 місяців тому

    Wap katika quran allah wenu anaitwa BABA,?ili pasaka iwe ya waisilam

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 8 місяців тому

    Jamani hayo majina ya Mitume… mnayatamka vibaya mengine. Yakobo basi???

  • @edwardpeter9014
    @edwardpeter9014 8 місяців тому

    Kwaiyo Iddy ndiyo yakweli

  • @jumamajid7557
    @jumamajid7557 8 місяців тому

    Nabii is_ haka alikua na mtoto wakike jina lake ni faa- iqa

  • @AlfredZacharia-of3je
    @AlfredZacharia-of3je 8 місяців тому +1

    Kwann waislam wanampiga mawe shetwan wakati nae ni muislam maana mhamad alimsilimisha, ukisoma kitabu Cha kiislam ulimwengu wa Majin ukurasa wa 20 kinasema Adam na Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha shetwan na wanawe kuomba msamaha Kwa Allah na kuwa waislam, ila ni mtume mhamad ndiye aliye mwombea msamaha shetwan na kuwa muislam na waislam wanafundishwa kupendana wao Kwa wao sasa kwann kumpiga mawe shetwan ambaye muislam?Ila katika biblia shetwan kasharalaaniwa na hukum yake ni moto wa milele soma. Ufunuo 20:10 na matayo 25:41.

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 8 місяців тому +1

      Safi sana iyoo, na wanapinga YESU KRISTO hakufa na hajafufuka nimewapa kifungu 3:55 koroani wasome iyoooo

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 8 місяців тому

      Wachana na hilo kwanza jibu hili la pasaka kwanza 😢

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 8 місяців тому +1

      Asant sana kaka

    • @AthumaniPuchu
      @AthumaniPuchu 8 місяців тому

      Ndio mada au umelewa😂😂😂

    • @AthumaniPuchu
      @AthumaniPuchu 8 місяців тому

      Unajitaidi kuitetea pasaka lakini Auna Aya 😂😂😂😂

  • @maase2023
    @maase2023 8 місяців тому +1

    Nyie mbn visirani sana lkn? Si muwaache wafurahike na sherehe zao ziwe kweli au si kweli waacheni nyie yawahusu nn visirani wakubwa basi kukalia majungu tu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 8 місяців тому

      Kwa hyo kama mnaingia kwenye shimo msitahadharshwe? Kumbuka ukifanya unayoyataka kuna jahannam

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 місяців тому

      Tukiwaacha mnapotisha waislam wenzetu ndo mana tunasema ukweli

    • @AthumaniPuchu
      @AthumaniPuchu 8 місяців тому

      Huutaki ukweli😂😂😂😂

    • @maase2023
      @maase2023 8 місяців тому

      @@AthumaniPuchu zungumzeni sikukuu zenu mwatakia nn sikukuu za wengine? Ni uhasidi tu huo

    • @AthumaniPuchu
      @AthumaniPuchu 8 місяців тому

      @@maase2023 Lakini ingekuwa amekosea mngemkosoa lakini inaonesha yupo Sahii Sawa kwakua Amtaki Ukwel bac

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 8 місяців тому

    Kinyogoli achaga kuijikanyaga wewe unakuwa mwongo mpaka uzeeni

  • @aloycekayanja1756
    @aloycekayanja1756 8 місяців тому

    Hapo nyie Islam hamuelewi baada ya wayahudi kumkataa YESU mungu zie ahadi zote za waizrael zilipewa watu wote hata kama si mwizrael au muyahudi,Nandi o maana wakristi ni wa8zrael wa kiroho Sio WA kimwilli KAMA KITU HAMKIJUi WAULIZEÑi WAKISTO KA MA MTUME WENU ALIVYO WAAMBIA.

  • @abuibra
    @abuibra 8 місяців тому

    Je?kuna mu'israel yeyote mkristo,hapo Jerusalem .

  • @maase2023
    @maase2023 8 місяців тому

    Mmekalia kuwasakama wenzenu tu juu ya furaha zao mahasid wakubwa nyie mbn wao hauwasikii kukejeli au kukashifu sikukuu au furaha yoyote kwenye dini yetu? Kuweni wastaarabu nyie acheni majungu yenu ya kujuha hayo! Kwani sisi tumekamilika mpk kupita kukashifu na kukejeli wengine???

    • @lapozzydone5203
      @lapozzydone5203 8 місяців тому +1

      Dini imewaruhusu kufanya hivyo kukemea maovu kama unao uwezo wakukemea ama kuchukia.. Wewe unae tetea batwil kua makini Usije jikuta pabaya..
      Hata wao kama wanaona sikukuu zetu pia azina ushahidi wanaruhusiwa kuzikosoa kwa ushahidi.. Maana wao wamekosolewa kupitia kitabu Chao..kama niuongo waje wajitete ama wewe unaweza watetea kimaandiko kama uko nayo.

    • @maase2023
      @maase2023 8 місяців тому

      @@lapozzydone5203 wenzetu hawana majungu kama sisi ! Ww kemea mambo maovu yaliyopo ndani mwetu waislam ndio mungu anavoelekeza hao wenye dini zingine waacheni mungu ndie atakaewaongoa sio ww! Uchofu wa roho na majungu tuyaache

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 8 місяців тому

      @@lapozzydone5203 Swadakta

    • @AthumaniPuchu
      @AthumaniPuchu 8 місяців тому

      😂😂😂😂 Shida mnadanganyana sana

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 8 місяців тому

    Wajinga wawili wamekutana hamwezi kutufundisha wakrito nyie kizazi cha shetani

    • @AbediMadjaliwa
      @AbediMadjaliwa 8 місяців тому

      Kwanini umewafatilia wajinga, wewe na wawo nani mjinga😅😅😅😅😅😅😅😊

  • @ISAALMASIHI9823
    @ISAALMASIHI9823 8 місяців тому +3

    Dini ni ulevi
    Akili mbovu sana, unampiga mawe shetani?
    Nahisi hata shetani anawashangaa waislamu

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 8 місяців тому

      Ndio mana bible inasema kitu cha enzi cha shetani kipo kanisani na nyinyi mumenyamaza kimnya ndio Mana watu wakienda kanisani mapepo juu juu lakini wakiwa majumbani mwao kimnya

    • @DavidJohn-i2d
      @DavidJohn-i2d 8 місяців тому +2

      Wewe unataka apigwe mawe nani? Waislamu wanampiga mawe shetani, Wakristo wanamkubatia shetani.

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 8 місяців тому

      Acheni uongo huwezi kudanganya wenye wenye akili ila utadanganya wenye Majini make nyie ndio mnayo, mtume wenu alisilimisha Majini lkn YESU KRISTO aliyakemea majini,

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 8 місяців тому

      Koroani yenu yenyewe inasema YESU atakufa na atafufuka, 3:55

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 8 місяців тому

      Ama kweli mnajuaga kutunga hadithi sijui mnapata nn kwenye hii dunia jmn,