- 314
- 291 051
KALELA ONLINE TV
Приєднався 24 жов 2017
Kalela Online Tv Ni channel ambayo inakuletea vipindi mbalimbali kama vile , Mawaidha,Qur'an, Nasheed na taarifa mbalimbali zinazotokea katika jamii , Subscribe channel hii ili kupata Habari zote za ndani na nje ya nchi.
Відео
TAARIFA YA MUNAQASHA KUUSU TAUHID TATU UST HAJJ UPEPO NA MUHAMMAD BACHO
Переглядів 64619 годин тому
TAARIFA YA MUNAQASHA KUUSU TAUHID TATU UST HAJJ UPEPO NA MUHAMMAD BACHO
MAANDAMANO YA AKINA MAMA WILAYA YA MASASI WAKIAMASISHA KUCHANGIA WATOTO YATIMA
Переглядів 22321 годину тому
MAANDAMANO YA AKINA MAMA WILAYA YA MASASI WAKIAMASISHA KUCHANGIA WATOTO YATIMA
WATOTO WETU AZINA YETU TUWAPELEKE KWENYE SHULE ZENYE MAADILI NA ELIMU BORA
Переглядів 10921 годину тому
WATOTO WETU AZINA YETU TUWAPELEKE KWENYE SHULE ZENYE MAADILI NA ELIMU BORA
DARUWESHI MAWAZO AWATAJA WANAO KWENDA KWA P.DID WANAPANDA NDEGE MPAKA ULAYA KWA P.DID
Переглядів 115День тому
DARUWESHI MAWAZO AWATAJA WANAO KWENDA KWA P.DID WANAPANDA NDEGE MPAKA ULAYA KWA P.DID
SAFARI YA HIJJA NI SAFARI YA KIIBADA TUWE NA UHIFADHI WA PESA KWAJILI YA KWENDA
Переглядів 151День тому
SAFARI YA HIJJA NI SAFARI YA KIIBADA TUWE NA UHIFADHI WA PESA KWAJILI YA KWENDA
SAKATA LA MUFTI MANENO YAKE NI UONGO KABISA
Переглядів 20714 днів тому
SAKATA LA MUFTI MANENO YAKE NI UONGO KABISA
WAKULIMA WA KOROSHO KUSINI WAOMUOMBA MKUU WILAYA MASASI AWALETEE MAMA SAMIA WAMSHUKURU
Переглядів 9621 день тому
WAKULIMA WA KOROSHO KUSINI WAOMUOMBA MKUU WILAYA MASASI AWALETEE MAMA SAMIA WAMSHUKURU
NILIJIONA NIPO KWENYE MAWINGU NATEMBEA SIKU NILIOMSIFU MTUME
Переглядів 9621 день тому
NILIJIONA NIPO KWENYE MAWINGU NATEMBEA SIKU NILIOMSIFU MTUME
Breaking News: Nyumba yateketea kwa Moto Masasi Sokosela
Переглядів 9828 днів тому
Breaking News: Nyumba yateketea kwa Moto Masasi Sokosela
Aswalatu_ wassalaamu_ alaykua_ yaa- rasulallah_ qaswida_
Переглядів 9228 днів тому
Aswalatu_ wassalaamu_ alaykua_ yaa- rasulallah_ qaswida_
ALO KUPONZA ANA HURUMA KAKUACHA UNA LALALAMA QASWIDA
Переглядів 29328 днів тому
ALO KUPONZA ANA HURUMA KAKUACHA UNA LALALAMA QASWIDA
BACHO AMVAA TENA SHEIKH SAID SAFARI HII ATAWEZA???
Переглядів 1,6 тис.28 днів тому
BACHO AMVAA TENA SHEIKH SAID SAFARI HII ATAWEZA???
AKILI NINI🧠 AKILI YAKO NI HAZINA USIACHE UKUTUMIKIE VIBAYA
Переглядів 72Місяць тому
AKILI NINI🧠 AKILI YAKO NI HAZINA USIACHE UKUTUMIKIE VIBAYA
MAMBO 10 YA AJABU USIO YA JUA KUUSU MTUME MUHAMMAD S.W.A. NI AJABU SANA!
Переглядів 104Місяць тому
MAMBO 10 YA AJABU USIO YA JUA KUUSU MTUME MUHAMMAD S.W.A. NI AJABU SANA!
TUANGALIE MALEZI YA WATOTO WETU NDO TAIFA LA BAADAE KUUWANA KUTAISHA IKIWA MAADILI YATAPATIKANA
Переглядів 48Місяць тому
TUANGALIE MALEZI YA WATOTO WETU NDO TAIFA LA BAADAE KUUWANA KUTAISHA IKIWA MAADILI YATAPATIKANA
SIRI_ ZA_ WACHAWI_AINA_ ZAKE_ SEHEMU_ YA KWANZA_
Переглядів 61Місяць тому
SIRI_ ZA_ WACHAWI_AINA_ ZAKE_ SEHEMU_ YA KWANZA_
KILA JAMBO TUNALO LIFANYA TUNATAFTA FURAHA AKUNA ZAIDI YA APO
Переглядів 55Місяць тому
KILA JAMBO TUNALO LIFANYA TUNATAFTA FURAHA AKUNA ZAIDI YA APO
DUA KUBWA YA KUSAMBARATISHA MATATIZO 🤲
Переглядів 49Місяць тому
DUA KUBWA YA KUSAMBARATISHA MATATIZO 🤲
Qaswida endeleeni na ubaya wenu kwetu ni bure!
Переглядів 220Місяць тому
Qaswida endeleeni na ubaya wenu kwetu ni bure!
Mzuri sana nabiyya wallah twafurahiyya
Переглядів 61Місяць тому
Mzuri sana nabiyya wallah twafurahiyya
SAUTI ILI KOSHA NYOYO ZA WATU SURAT YUSUFU AYA 108-111 SHEIKH ISSA MTIOLI
Переглядів 194Місяць тому
SAUTI ILI KOSHA NYOYO ZA WATU SURAT YUSUFU AYA 108-111 SHEIKH ISSA MTIOLI
MASALAFI WANASHANGAZA SANA WANAPENDA SHARI KULIKO KHERI
Переглядів 247Місяць тому
MASALAFI WANASHANGAZA SANA WANAPENDA SHARI KULIKO KHERI
MAISHA KABLA YA SIMU NA BAHADA YA SIMU SMART PHONE
Переглядів 1012 місяці тому
MAISHA KABLA YA SIMU NA BAHADA YA SIMU SMART PHONE
KILIO CHA UCHUNGU SANA SWALA YA MTUME NI JAMBO KUMBWA SANA
Переглядів 872 місяці тому
KILIO CHA UCHUNGU SANA SWALA YA MTUME NI JAMBO KUMBWA SANA
MJUE DARUWESHI NI MTU WA AINA GANI UWEZI KUSHIKA BENDERA UKALALA NA NJAA
Переглядів 1272 місяці тому
MJUE DARUWESHI NI MTU WA AINA GANI UWEZI KUSHIKA BENDERA UKALALA NA NJAA
RAHA SANA KUOA MKE KAMA UYU FAIDA DUNIANI NA AKHERA
Переглядів 3512 місяці тому
RAHA SANA KUOA MKE KAMA UYU FAIDA DUNIANI NA AKHERA
HAKIKA UKISHIKAMA NA KITABU CHA ALLAH UMEFANIKIWA DUNIANI NA AKHERA
Переглядів 1362 місяці тому
HAKIKA UKISHIKAMA NA KITABU CHA ALLAH UMEFANIKIWA DUNIANI NA AKHERA
USIJIFANYE MJUAJI KAMA KITU AUJUI ULIZA
Переглядів 8542 місяці тому
USIJIFANYE MJUAJI KAMA KITU AUJUI ULIZA
Awa ndo masheikh tunao wataka duniani apa
Maashaa'allah ibnu bachu ni dhidi ya majadida na kila kundi potovu,allaah amkinge dhidi ya mahaasidi wake na mahaasidi wetu kk wa ujumla,
@@HassanIddy-v1b kwahio IMAM suyuutwi na kundi lake ni kundi potovu?!
Acha ujinga haji upepo ww nimhunitu
Acha matusi kijana
matusi mnayo nyinyi mawahabi
Nyny si ndio mabingwa wa matusi?
Maa Sha Allah shukran sana kwa ilmu Allah akujaze kheri
Sasa mtamjua Alhad....
Kama historia aliyoelezea sheikh Alhad siyo ya kweli ni yapi alafu sheikh alikugusia tu wala haikuwa mada mada ni kuhusu watu kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi alaf izo tume zilizo mpitisha mufti si ni watu kwani na yeye hakuwemo mbona hamsemi alaf mbona mnamsemea mabaya tu kwani yeye hana mema au ndo ukiondoka bakwata na mema yako yanaondoka
Kalela nakupata from honking china
Unakeraaaa
Saivi nimeelewa kwanni wazee wetu walikuwaa hawawapi kipao mbele vinaja kwa sababu walijua ni wachafusi wa dinii ndo leo tunayaona yaaani hawa mashehe vijana wameigeuza dini ya Allah kama simba na yangaa inapelekwa kiushabikii tuu 😢 haya ndio madhara yake na wenyewee wanaona sifaa wala hawaoni tabu kumtoa mtu ktk uislamu na hawa laiti wangelipewa madaraka basi wallahi wasoma maulidi wote wangechinjwa kama kuku 😢
Haka nako kajinga sana
We nae ni mpuuzi tu ushakosa lakufanya? Kila mjadala unashidwaa
Leo mashekhe wamekuwa watu wa maigizo kama huyu anapenda Sana sifa yaani yeye Hana Kazi nyingine nikuwachimba mashekhe wenzake Leo mashekhe hawana Kazi zaidi nikushambuliana nakujionyesha .
Nawachukia sana na hizi tabia zenu
Sisii tuna akili timamu ww usitufanye wajinga , uwezo wako tuliuona mjadala wa kwanza nguvu yako ilikua ndogo kijana wa Bachu .
Et sisikilizi mambo ya kipuuzi .kwa kauli hizo labda ufanye mjadala nawanawake.mwenye akili hawezifanya mjadala nachizi
Subhanallah
Mijadala yenu yawe yenye kutuongoza sisi sio mashindano tu
NA NYINYI HEBU TUWACHENI KWANZA NCHI INA MASHAKA YA MAISHA WATU WANAPOTEA OVYO MAISHA MAGUMU NYINYI NDIO KWANZA MNATULETEA MIJADALA.WATU WENYE ELIMU ZAO WALIO BOBEA KIMYAAA NYINYI VIJANA WAPENDA CAMERA NA UMAARUFU NDIO KWANZA MNATAKA MIJADALA HEBU MUTUWACHE KIDOGO
Hyo imekaa vizuli sana
Hyo imekaa vizuli sana
Wewe sio Shekhe ni Mkora......
Kwenu umekataliwa wewe babako alikuwa na heshima na watu
Usitukane miji ya watu kama kweli Una elimu unatharau ww
Kwani mabrui kuna nn basi utapelekwa makkaa
Wewe watufuta maendeleyo yako binafsi huna elimu
Kwahivo wasikiza upuzi ukiletewa nawatu Fulani au soma kwanza vizuri kisha tafuta mijadala usiwe naharaka usijisifu Sana
Huwezi ulikimbia twende Tena acha uwongo mbona ulitoka acha utarumbeta huna oja Kama kweli wewe ni mwananaume Rudi mumbasa
Illa muhamadi unanakelele mengi kuliko elimu ifike wakati utulie watu wanaojielewa wanakuona kama umepiswa. Mimi nikikutana na wewe tutauangusha mjadala hapogapo ila tu hatujulikani iwenye mitandao illa wallahi bamuomba allah kithati siku moja kuingie kuminanane zangu
Wewe humuwezi saidi chokooo wewe ungejuwa hana uwezo usingemtaka kama ulivo mkataa sabbaasi wajuwa saidi alikushinda ndomaana wataka mrudie
Atcheni Ayo! Muogopeni ALLAH wassomesheni watu wafundisheni watu dina na kadhalika
Muogopeni ALLAH Muogopeni ALLAH, malengo ya ilm na Dini sio Ayo! Ganhei dawat Ayo mnayo Gafanha sio malengo ya ALLAH kumba subia!
Às, alaikum! Tafuteni njia yakussaidia uislamu na waislamu! Hi njia mnayo piya hii sio ya urith wa mitume, au ni mipango yenu sio mipango ALLAH???
Bachu papara nyingi ikifika wakati watetemeka na kukosa la kuongeya msomi hua hana papara nyingi. Hizo wasi wasi tu zaonesha huwezi.
Ajabu hii aakhir zamani kuna masaaill mengi ya uislamu watu hawajui uislamu wao kutia udhu au kuswali p0mbe kamari uzinifu liwatwi uchawi namengine mengi
Mikwara Yake Sasa Mavitabu Yamemfunika Mpaka Haonekani Lakini Masikini Hana Hifadhi Yaachochote. Zaidi Yamaeno Yasiokuwa Na USHUI NA UDHWUI. Unawezania Yupo Kwenye Duka Lavitabu. Kiilivyo Elimu Inakaa Vifuani.
Ww bachu huna ukweli unatefuta viewers na umaarufu. Lkn kwanza si ujibu ile kilalo ndio tuende mbele
Bacho achana na said .hutamueza kwasababu unaonekana unajazba unamkamia sana hata uso unaonekana
Somesheni watu mna wengi hawana elimu
Muogopeni Allah mutaulizwa kwa allah
Watu wa maulidi wanafitna kubwa sana so wakuwaamini kabisa hawana hoja ila bora wakiona wanashindwa vuruga mada vuruga kuwapoteza wasikilizaji wasione hakki nyumbani kwako bora uketi hata na nguruwe so jitu la maulidi watu wamemzushia mwenyezi mungu na mtume wake wanashindwa kukuzushia ww so watu wanao taka mjadala kiilmu ni watu wavurugu tuuh hasa pale wanaoiona wanaelemewa ubadili mada juuu kwa juuu
May Be Inawezekana Nguruwe Akafanya Mijadala Na Nguruwe Inatutia Shaka Wewe Nibin'adamu Au Kama Mwenzako Huyo Unaemtaka
@@nurdinmfamau3493 Kuketi na watu wa bidaah ni bora umfundishe mbwa atakuelewa so watu Hawa wa maulidi kuniongoza mtu alipotea ni kazi ngumu sana na hata mtume akiambiwa hayo na mola wake huwezi muongoza alipotea ila mipaka atake yey mwenyezi mungu ww ulishaona mkristu akaikubali hakki kuwa kapotea anaona sawa na hivi hivi waislamu nawo wapo waloacha njia ya sawa wakazusha njia watakazo wao utamuongoza mtu kama huyo akati mungu mwenyewe ashasema wale walojiwa na waongofu wakaukanusha wanafata njia isiyo ya waumini tutamuelekeza alikoelekea inamana kama mungu mwenyewe anawajuwa watu wa aina hii wanamioyo ya ukaidi na migumu so kama angetaka wote tuongoke ameshindwa hapana anawacha hivyo makusudi kama mtihani ili akatuhukumu vzr ndo ukute mmoja mmoja ambae Allah atamtaka yeye akamuongoza na ukiona huyo nae alitaka wongofu
Mwenyewe DJ SAID anaongea huko nje baada kutafutwa anajificha alafu ndo kinara wa masufi swali Moja likamshinda Sasa balaa la pili itakua kibunga akapige vinanda kielimu hayumo
Heheheheheheh hiki kidonda bachu atakufa hatokisahau swali moja tu mpk akakojoa hivi wajua kwnn alikataa kusema hajui hahahaha angesema hajui bc angeachia haja kubwa kbsaaaaaaaaaa maana ndo angepewa somo vitabu vifunguliwe lkn alikimbia mtego. Sasa anataka mjadala mwnzo c ajibu swali aliloulizwa au kma amejipanga akajibu tena mbele yake😂😅😂 watu sai wako na shughli zao hawajapata mda nae mtu ashajulikanwa hmn kitu anataka umaarufu tu watarajia kila siku waty waache kazi zao kujakumsikiliza yy muacheni kijana bachu akasome musimpe bichwa na hajui kitu anatutia aibu wa Zanzibar
@@LASSUH4947 🤣🤣🤣🤣aliewaambia alikojoa yeye ndo alikojoa then sababu yule hayumo wakasema n yy ila yote tisa ,,kumi hata mkayatetea hayatakua dini itabaki uzushi mwende huku kule bado sana masufi mna kazi ila mtafute majibu kwa Allah subhannahu wa taala mmechafua dini sana
Alafu nyie din mnafanya kama sehemu ktk taarabu achen hayo mamba
Ww muuza pweza huna elim yoyote
Hapa ndipoo mashehe vijana walipo tufikishaa ! Leo dini ya mwenyezimungu inachezewa Kila mmoja anasema anayojiskia ! Acheni ubishani waislamu sote ni nduguu wewe sio kazi yako kuongowa Kwa sababu atakae tuhukumu sisi waislamu ni mwenyezimungu .huenda ukaniona upoo sahihi ila mbele ya mwenyezimungu ukawa mtu wa motoni je huliogopi hiloo? Na huwenda ukamdhania mwenzako yupoo kwenye makosa akawa mbele ya mwenyezimungu yupo sahihi .Kwa kuthibitisha hayaa nyinyi masalafi mbona munahathi kibao za uwongo ambazo munazitumia kwenye itiqadi ?? Simjui mungu anamikono sijui mungu namiguu sijui mungu nashukaa ikisha anakaa kwenye alqaaba na mengineyo mengi ya uwongoo ambayo munaitaqidi Kwa nni unapigishana kelele ety kisa maulidi 😂😂 kwanza rekebisha itiqadi za kiwahabi mulizo nazo ikisha Pinga maulidi .
Bacho we ni mwehu
Na mm nikupashe wewe tarumbeta la wahabi uwe na adabu mambrui ni yangu njoo albiiz anakuita
Bachu aombi mjadala,yani hata kiswahili uelewi
Bachu utaumbuka tena jibu swali la kwanza ulilo pewa na sheikh saidi kwanza ndio udai mjadala mwingine bila kujibu sheikh said wetu usikubali mjadala mwingine kabisaaaa sawa sheikh saidi Bachu hana hoja hana elimu kusoma hataki ulipewa offar ukasome umekataa mabrui kenya Bushu hanamjadala anatakafujo tu
unatakiwa kujibu suali lakwanza wewe hujajibu suali utapewa vipi mjada mwengine husimchezo niitifaki gani ya wana zuoni wamustwalahil hadithi mtu akitumia hadithi dhwaifu isiwe maudhui mtuhuho hitwa muongo jibu wapo hakuna au sijuwi upewe jibu alifu uwombe mjadala mwing8ne
Elewa bachu aombi mjadala,kwani hamuelewi au ndio ujinga?
kwahakika bachu kwamesg hii nadhihirisha kwamba mjadala oliopita wewe ulishindwa kama ulikuwa hukushindwa usingeomba tena mjadala hinidalili kubwa kwamba ulishindwa hahahahaha😅😂😂
Huyu mtu ni punguani hajielewi hata analofanya hivi si ndiyo anawathibitishia watu kwamba alishindwa? Sasa ndiyo anadhani atalipiza kisasi? .mi nashauri huyu apuuzwe hata asijibiwe maana atatupotezea wakati. yeye ni mwehu jitu la kukurupuka lisilo haya lisilo ona vibaya, lipuuzeni hili
Nyinyi watu acheni ushabiki huyo saidi alishinda nini pale wakati walivuruga mada walipoona maswali yanakuwa magumu na wale wazee wakaleta vurugu tuna wajuwa watu wa bidaah so kuwaamini kabisa ndomana bachu anataka maic yake na kiti chake awamu hii nyi watu so wataka hakki ni watu wavurugu tuuh , na pindi mnapoona hii mada tunaelekea kushindwa zitaanza chenga na maswali nje ya mada lengo wakutoe mchezoni tunawajuwa sana watu wa maulidi hamkawiii kuweka vinyamkera pale kwani nyi kwa ushirikina wanaongoza sana watu wa maulidi ushirikina sanaaa na tunawajuwa vzr ndomana mpk leo hukuti kina diwani wana ilmu yeyote ya dini bali uchawi na ushirikina ndo umejaa sasa vijana wakiwatandika raddi wanaona wanaharibu biashara zao, arafu bachu ajaomba huwo mjadala huyo dj saidi ndo anatamba pembeni