Haya jaman watoto tafuten kazi yakufanya 😂😂😂😂 na wakubwa tuket na tu enjoy 😊😊😊 kitu kipya kutoka kwa Kitty Fefe na msimuliaji wetu maarufu na mpendwa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Earphones in ever anko jays simulizi watoto waangalie cartoon kwa kutulia mimi na anko tutulizane😂😂 thank you jay kwa binti sherry❤❤, anko binti lissa ipo wapi jamani watu wa regular usitunyime bwana😢
Yaani dakika ishirini na tano mshafika 100😂😂😂kweli Ankojay twakupenda sana alafu anko haya ndio mambo kila siku unatuletea simulizi kama hivi raha kweli🎉🎉🎉🎉🎉
Mi naona ungemalizia tu binti lisa ndo ukaleta hizi zingine kwa kifupi mimi nalazimisha kusikiliza ila sielew kitu sio kwamba nimbaya ila kichwani mwangu panawaza mwisho wa binti lisa tu😢😢😢
Looohhh wale wa viporo tusubiri viporo vyetu mwee jamni jamni nilikuwa nikiingija binti lisa aya bwana😅😅😅😅tufanye nin ndio anko kaamua kutukatili kijinsia
Hello guys samahan kama nitawakwaza pleas naomba msimkatishe tamaa anko jay anajitahid kutuburudisha mashabiki zake naomba mumuelewe kuhusu Lisa jion atawakamilishia
Asante anko jey ❤️❤️❤️❤️ kwa simulizi naona unatupa tahadhári kabla y athari kuna nini tena 🎉🎉🎉🎉🎉🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Hatimae nimekuwa wakwanza 🎉💃 naombeni like 5 jaman
Haya jaman watoto tafuten kazi yakufanya 😂😂😂😂 na wakubwa tuket na tu enjoy 😊😊😊 kitu kipya kutoka kwa Kitty Fefe na msimuliaji wetu maarufu na mpendwa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ndio
Nikweli
Ankojy twakupenda asante❤ kwakutupa fula kla siku inapowezekana naamini unatujal mungu wetu andelee my kukupa afya njema well namfanikio🙏🤝
Haya BINTI SHERY kafanyanini tena tunasikiliza hili tujuwe ila tumemmis LISA wangapi WAMEBOEKA kumkosa LISA LIKE 10 ✌️
😂😂😂😂😂😂😂😂
31 32 33 amesha tuma ziko chini sasa sema ajazituma kwa kupanga yani wewe tafuta tafuta kazituma jana
@@Aziza-gv8tm 🤣🤣🤣🤣yaani sijui umefikilia nini kipenzi 🤣🤣🤣🤣🤣Haya asante kipenzi changu nimeziona mbona 🤣🤣🤣
@@Aziza-gv8tmmmmmmh ametuma wapi labda VIP😢
✌✌
Nikafkiri leo tunapewa Lissa,😔jaman Anko ila Asante kwakazi nzuri pia🎉🎉❤
Tushasusiwa ivo so tukae na tutulize makomwe yetu naenjoy simuliz nyngne za anko wety❤😂😂😂
@@Kimwanadanielmbona makomwe😂😂😂😂
Sisi tupo epsd ya 34 uko mambo ni machozi sanaa na kucheka kidogo😂😂😂
@@Catherinemichael1995 daaah kweli v.i.p 🙌 hongelen tutafika ila haijulikan🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@Kimwanadaniel hakuna hata raha dear maana kuna huzuni sanaa
Ww 34 umesikiriza
Familia ya anko jay atupoi kitu juu yakitu hadi raha jaman😊❤❤
Tupo anko wetu leo wa kwanza jamani like zenu 😊😊
Asanti sana Ankojay kwa kazi yako naona unatujali lakini naomba utuone sisi waviporo please part 31 😢
Ipo ingia kwenye playlists
@@user-xv3rs2ts1kndio ipi hio
@@user-xv3rs2ts1kmbona wa tudanganya wenzio
Asante anko japo twasubili lisa 31 jomon❤❤❤
Mimi pia naisubili kwa ham
Ameshatuma tangaya jana 31 32 33 ingiya kwenye play lists shuka mpaka chini zipo
Wa 10 namm naomba like zangu🎉
Nimewahi asante sana ankojay
Earphones in ever anko jays simulizi watoto waangalie cartoon kwa kutulia mimi na anko tutulizane😂😂 thank you jay kwa binti sherry❤❤, anko binti lissa ipo wapi jamani watu wa regular usitunyime bwana😢
'Sijachelewa naombeni hata 5 vipenzi❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 like msininyime mbon mm nawap 😂😂😂
Tunataka bint lissa banaaa mbona watunyanyasaaaaa😢😢😢😢
Mwambie..aki c fresh cku ya tatu leo
Wow kaz nzur sana asanteh msimuliaj wetu anko Jay❤ebu tuwaze kidg 🤔 sa itakuaj shery in new lover😮
Wa kwanza leo laki zang anko jay ❤️🥰
Team binti shery tujuane, kwa sasa binti Lisa simuelewi elewi 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hatasijasikiriza ninzur kwel wapendwa
Nzuriii@@magrethjilya7663
😂😂
😂😂😂😂😂amejua kukomesha wanyonge Anko 😢😢😢
Ank jay tunataka binti lissa jmn 31🙏🙏tunakuomb sana ank jay
MashaAllah Niko powa anko jay of kwako anko jay wetu🎉🎉🎉mmh umalaya uwo sijapenda
Leo wa kwanza like zenu . Usitusahau Anko j tupe lissa 31pls
Mbona ipo
@@user-xv3rs2ts1k sjaiona pls nitag kama hutojali dear
Wapi mbona hatuioni ipo kwa vip tu😅😅
@@saumunyadzuaipo kwenye chanel yake ank j ingia kwenye playlists yake utaona
@@user-xv3rs2ts1k nmeisaka sjaiona
Napenda sana anko nasikiza nikiwa Saudia riadhi
Asante anko Jay kwa simlizi but umetususa sana upande wa lisa jamani
Mh atar Jaman Aya sisi wanyonge atuna chakusema ACHA tuskilize bint Sheri wajina wa mama Lisa
Yaani dakika ishirini na tano mshafika 100😂😂😂kweli Ankojay twakupenda sana alafu anko haya ndio mambo kila siku unatuletea simulizi kama hivi raha kweli🎉🎉🎉🎉🎉
Mm sijapenda Ankojay, unatupa shakula alafu kingine bado Hatujamaliza, vibaya ivyo. Mm nmtaka Binti lisa 31
Mi nlimwambia akaniadikia message hataki kupagiwa simulizi
Good job nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
Nipo mwenyew naskiliza sauti mzuri sanaaa🔥👌
Kazi nzuri sana Ankojay mungu akubariki sana tu
Acha tuburudike na simulizi ya anko jay,🎉🎉 asubuhi yaleo❤❤❤
The first
Leo nimewahi😂😂,Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii mpya,bado tuko pamoya.
yeah nipo good sana kwajili yako anko jey
Wakubwa tu jamani 😅nakupenda sanaa ❤anko j ❤
aisee we dada shery kuwa makini na mimba uwiiiiiiiii anko asante
Musemehe mpezi wako ambaye amekuonyesha mahaba jamani shery❤❤ plzzzzzz ankojoy Lisa part 33&34
Much lv❤❤❤anko from kenya
Binti Lisa vip brother
Jamani anko j ungetuletea bint lisa
Ww ankojay Lisa bhnaa ❤
Hello ankojay natumai uko salama naona kimya Hadi Sasa hatukupata sehemu ya 31 Hadi saaa❤❤❤❤
Ipo ingia kwenye playlists
Mi naona ungemalizia tu binti lisa ndo ukaleta hizi zingine kwa kifupi mimi nalazimisha kusikiliza ila sielew kitu sio kwamba nimbaya ila kichwani mwangu panawaza mwisho wa binti lisa tu😢😢😢
Upo kama mimi jmn binti lisa😂😂
Yani akili angu inawaza Lisa hii nasikiliza tu nisiboeke Ila sijapenda
Dda mmi nlimwambia hivyo akaniambia hapendi kupangiwa simulizi anapanga mwenyewe
Mmh ngoja tusubirie mana sisi ndo wenye shida
Jameni tulidhini tunaendelea😂na Lisa na Alivini Ankojay haya hata hii pia ni nzuri ❤❤🎉
Nakupenda sana ankojay chukua love 💕 you
Ankoj shery ni mam wa Lisa wa Alvin ,lete chap ya Binti lisa tutaisahau😅
🤩🤩🤩🤩🤩🤩listening when I'm sleeping slowly 😴😴
Tulio miss binty lisa tujuwane hapa ❤😢
Tayali amesha tuma
Jmn mnainjoy 34 heri enu
JAMANI ANKO WETU PLS LEO USITUNYIME LISA JAMAN 😢
Kwan Lissa inazungumzia nn jmn mm sijafatilia hiyo
Team Alvilisa, na Sherry tujuane hapa Anko tukumbuke Binti Lisa 😢😢😂😂😂😂 mapenzi yanaumiza 😮😮
Pia hiyo ya shery iko poa, nakupenda ankojai
Anko ukwel unatutesa tunataka bint lisa au unataka mpaka tusahau ilipoishia 😢😢😢
Kazi neuro sanaaa anko jay
Anko 31 lisa sijapata jamani ankooooo❤❤❤❤😂😂😂
Count me in❤❤❤❤❤❤
Kiporo chetu cha Lisa tutakivumilia tu😢wacha tukabiliane na Shery kwasababu hatuna letu😅
😊😊❤ jaman wakibwa tu 😂
Kazi nzuri anko j
Looohhh wale wa viporo tusubiri viporo vyetu mwee jamni jamni nilikuwa nikiingija binti lisa aya bwana😅😅😅😅tufanye nin ndio anko kaamua kutukatili kijinsia
Asante anko but anko plz lisa jamani uwezi amini anko hadi naumwa kwa mawazo ya lisa
Yan Ank umeamuwa ku2leteya nyengine wakat Bint Lisa haijamaliza
Haya anko jay❤❤❤
Wa hamsini nipewe like zangu, Ankojay jamani tuletee Binti Lisa sehemu ya 31 jameni umetususa mno
Kweli kabisa mbona katususa sana Lisa tuletee
Mbona ipo ingia kwenye playlists
Hamna mbona 🤣 au weye ni VIP😊@@user-xv3rs2ts1k
Nilijua leo uhakika loooh.....Inakatisha tamaa jmn sijui wanao nunua wananunua sh.Ngapi mwee
Kweri kabisa ancle
Jmn anko bintii Lisa plzzz
Haaasaante saaana ankojay we love you❤❤
Kwaio lisaaa saiiii niya watu wa vlp
Mmmmh Mmmmh Anko j kingereza hicho daaah 😂😂😂😂😂
Hello guys samahan kama nitawakwaza pleas naomba msimkatishe tamaa anko jay anajitahid kutuburudisha mashabiki zake naomba mumuelewe kuhusu Lisa jion atawakamilishia
Nikweli tutumie bint Lisa jaman sehemu 31
Anko vipi mwenzetu?au wewe na huyu alvin mnahusiana vipi hutaki tumwone akishindwa kesi,😂😂tafathali anko wetu leta lisa part 31
Huna bayaa ankojay unasmulia vzuliiii mnoo ❤❤❤❤
Anko jay tunakupenda muno ❤❤
Wanafunzi Wa anko j mkooo🎉🎉🎉
Ankojay plz tuletee binti lisa mwendelezi woyeeee
Haya binti shery 🪑🎧
Daa na naomba na mimi niwe vip Kwak ajili ya lisa
❤❤❤❤❤ asante kwa simulizi mpya 🥰🥰🥰
Tupo tumejaa tele ❤❤❤
Tuna Subiri binti Lisa
Danganya toto sisi tunaitaka Binti lissa
Wakwaza leo nipeni like zangu🎉
Anko kila wakati nangalia kama binti Lisa imecome Kwa kweli naingoja
😢😂😢😢😂😮😅😅😂
Mbona ipo kwani nyie munatiza wap
Hatuioni jamani mnatudanganya mbona
Mbona zipo 31na 32 ingia plesto zipo
Mm pia Leo jamani wakwanza😂
Sante kwa simulizi nzuri
Asante japo umetususa kwa Lisa
Jamani tu naomba binti lisa jamani
ututendei haki kabisa hata huluma Ankojey
Mambo 🔥 sana jmn 😂😂😂😂
Tupe 31 Anko wetu👊👊👊👊👊👊
Jamani anko naumwa kisa binti lisa😢
Unatuuzi bana kutunyima binti lisa bana nasim nazima
Lisa jamani 😢
Kazi yako nzuri lakini mbona binti lisa part 31 hijatoka kunani? Hilda kutoka kilifi Kenya 🇰🇪
Mapenzinyie! Shikamoo
Wa kwanza leo
Hellow anko jay mm napenda hiyo kizungu2😊😊
Nimecherewa. JaJames 😢😢
Anko usituabie naleo Lisa unatunyima 😂😂😢😢
Na Mimi najitahidi njameni❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Yani dakika 3 tu na kua wa15 daah hii kali😂😂😂😂
Kama unapenda smuliz. Kama iii gonga like
Kasikilize "Alooooh weeh" 😂😂😂utapenda zaid