PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 06 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #love #lovestory

КОМЕНТАРІ • 1,6 тис.

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  Місяць тому +1510

    LEO NA MIMI NIMEKUA WA KWANZA NIPENI LIKE ZANGU JAMANI 😂❤❤

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj Місяць тому +142

    Kelvn muoe loveness we ndo chanzo pka kafukuzwa kazi mwenzio usimuache kma wakubali love Ness na kelvn goga like ata6

  • @NeemaLisu
    @NeemaLisu Місяць тому +91

    Maajabu leo nmewahi watu wa like leo mko wapi,Kelvin kaz nzur sana. 🎉🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako pamoja na love❤❤❤

  • @NyandwiAnnemarie-f5m
    @NyandwiAnnemarie-f5m Місяць тому +55

    Kelvin unaweza xn bro naomba hata like moja tuu from Burundi 🇧🇮

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Місяць тому +423

    Ambao tunapenda loveness.....aolewe na Kelvin please...gonga like tujuane....😂😂😂😂😂

  • @user-ec6ow2cx7c
    @user-ec6ow2cx7c Місяць тому +26

    Tuliopo katika upande wa Kevin tuko wangapi bro Kevin umeweza kiukweli mapenzi yanaingililia vip na umaskini jameni ivyo maskini atusitahili kupendwa maua yako kaka 🎉🎉🎉❤❤

  • @user-tq7gp3ue7g
    @user-tq7gp3ue7g Місяць тому +142

    Nanyi hamkawii kufik ila nimewai pia likes bas wenye mtakuja nyuma yangu ila kelvin unachelewesha san adi tunaanza kuboeka ila hongeren kaz nzuri🎉 nawapenda marafik zangu pia❤

  • @Emeraldlady16920
    @Emeraldlady16920 Місяць тому +46

    Wanaomwombea kelvin abak na msimamo wake gonga like tujuani❤❤❤

  • @Saidahkims
    @Saidahkims Місяць тому +90

    Akuna ata kugoja ikiwa motomoto team kelvin na loveness anguka nayoo❤❤❤

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o Місяць тому +1

      Tunaselebukanayo na sio kuanguka tena 😂😂😂😂

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e Місяць тому

      ​@@user-sv6zy3hc8o😂😂😂jmn nyie

    • @Saidahkims
      @Saidahkims Місяць тому

      @@user-sv6zy3hc8o 😂😂kabisaaa Hadi dakika ya mwisho alaaa

  • @Vastieboy_tz
    @Vastieboy_tz Місяць тому +37

    Movie nzur jamaa una aidia mungu azidi kukupa maisha marefu ukavunje rekodi ya Steve kanumba unapita mlemle

  • @RamaOmar-lq1uu
    @RamaOmar-lq1uu Місяць тому +240

    Wa kwanza kutoka kenya nipeni likes zenu japo tano 🇰🇪

    • @dorcaskiragu4306
      @dorcaskiragu4306 Місяць тому +3

      🇰🇪🇰🇪

    • @MaxmillahAdema
      @MaxmillahAdema Місяць тому +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @MaryKijo
      @MaryKijo Місяць тому +1

      🇰🇪🇰🇪🇮🇶🇮🇶

    • @ayaanhassan9536
      @ayaanhassan9536 Місяць тому +3

      Nitakupa, na mimi pia nimetoka Kenya ❤❤❤❤❤❤❤lakini nimezaliwa Tanzania. Kenya yetu hakuna matata.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇬🇧🇬🇧

    • @user-ik4jx7ye5x
      @user-ik4jx7ye5x Місяць тому +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DieudonneSylvain
    @DieudonneSylvain Місяць тому +21

    NJO YA KWANZA MINA TIZAMA FILME ZENU NI ZA BIEN SANA VRAIMENT 7 Partie isi kawe 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @anitamollel8982
    @anitamollel8982 Місяць тому +381

    Walio kuwa wanaisubir kwa ham kama mm tujuane kwa like nyingi ❤😅

  • @Ednakim-fu1wc
    @Ednakim-fu1wc Місяць тому +9

    Team kelvin na loveness anguka nayo kazi nzuri sana❤❤❤

  • @user-vb2co6cs9k
    @user-vb2co6cs9k Місяць тому +35

    Loveness umenifany nilie jamani... Nakupenda we dada❤

  • @ZainabuAlly-e3l
    @ZainabuAlly-e3l Місяць тому +7

    Na mimi leo nimewaiii🤣 nipeni like moja

  • @RashidKhanOmar
    @RashidKhanOmar Місяць тому +68

    Wakwanza leo jamani wapi like zangu kwa mashabiki wa DONTA TV🎉🎉🎉

  • @Mamygumbo
    @Mamygumbo Місяць тому +8

    Wooow ni nzuri sana japo nimechelew lkn mwenyez mungu azidi kuwatia nguvu kila iitwapo leo mtuletee mamb mazuri penda sana hii movie❤❤❤❤❤

  • @jobsimpamba71
    @jobsimpamba71 Місяць тому +124

    Wangapi wanataka kelvin amuowe lovnes nawomba like hapa asante❤

  • @ayaanhassan9536
    @ayaanhassan9536 Місяць тому +5

    This Kevin is a man and a half. What a gentleman. Straight forward. Very handsome with dignity. Who wouldn’t love him. I’m watching from. London UK❤❤❤❤❤❤.

  • @JoyceMutua-eu5nw
    @JoyceMutua-eu5nw Місяць тому +53

    Ata kama nmechelewa aji ntieni nguvu na like jameni ata kumi tu

  • @user-kx2kr8mp3e
    @user-kx2kr8mp3e Місяць тому +14

    Kumfukuza love sio suluhisho nafuuungemwacha tuu akae kwasababu we mama ulishaambiwa walikutana kabla hakuna kwako kwahiyo hujafanya kitu kabisa kumbuka hisia zakev zipi kwa love nasio Tina nakupenda Sana kevi nalove❤❤❤❤

  • @user-rr4sq6mu8g
    @user-rr4sq6mu8g Місяць тому +51

    Wakwanza jmn naombeni like zangu 😂😂❤❤

  • @Shaahamedy
    @Shaahamedy Місяць тому +4

    Jamni anaemkubali loveness tujuane hapa make huyu dada sio kwa kuigiza yupo selious na kazi tunaomkubali tujuane❤️🌹

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg Місяць тому +29

    Hii movie inafundsha ktu kkubwa sanaaaah hatujuw tu,

  • @LUKASNGOMBANIZA
    @LUKASNGOMBANIZA Місяць тому +6

    Kazi yenu nzuri naipenda sana. Ila mjitahidi muda usiwe mrefu sana episode 1 kwenda inayofuata. Najua si rahisi kama ambavyo wengi wetu tunatamani iwe lakin kupitia maombi yetu watazamaji pamoja na juhudi zenu zapamoja tunaamini kila jambo linawezekana kwauwezo wa mungu. Ahsanten nawatakia kazi njema. MR KELVIN KEEP IT UP NICE TOO.

  • @SaidiKiemke-g2k
    @SaidiKiemke-g2k Місяць тому +148

    Leo mm ndo wakwanza nipeni like

  • @user-fq4ts8gd8h
    @user-fq4ts8gd8h Місяць тому +1

    Loveness ..u r the best actress,,alafu unajua ku switch to n frm diffrnt characters,,unlike the rest wana maintain tu character moja kila movie🎉

  • @KijanaMwepexi
    @KijanaMwepexi Місяць тому +93

    Kutoka Kenya nipeni likes zangu watu wangu nawapenda sana

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml Місяць тому +7

    Nani kasikiya kama mimi maneno ya Kelvin kwa kendi, ❤❤❤mimi natafuta mke, sitafute mkwe kwenye hi familia🤔🤔🤔💪💪

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Місяць тому +60

    Wa kwanza team fulus mko wapi unategea ukiwa wapi mpendwa 🇰🇪🇸🇦🥰🥰🥰❤️❤️ team donta family Gen z ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰❤️❤️❤️❤️

  • @user-ix8hj8zf4h
    @user-ix8hj8zf4h Місяць тому +4

    Nilikua. Imesuniri sana,mola awabariki kwa huu umaarufu familia yote kwa jumla

  • @ReyJuma-xn4ux
    @ReyJuma-xn4ux Місяць тому +49

    Yeap!!! Na sisi tuliochelew mnipe like jamn

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb Місяць тому +1

    Napenda sana vyenye Kelvin anamjibu dadake ama kweli mpenzi sio wa kwa mtajiri tu na moyo upenda umeshapenda nawapenda bure Kelvin na loveness from Kenya❤❤❤

  • @GeoffreyNyachae-gj1eg
    @GeoffreyNyachae-gj1eg Місяць тому +50

    Kenya 🇰🇪 wa kwanza leo wapi like yenu guys.

  • @user-eo9iy1vw1o
    @user-eo9iy1vw1o Місяць тому +3

    Jaman mbona sa mnachelewesha muendelezo m natak nione loveness akiwa na kelvin❤

  • @basheerunurdeen5113
    @basheerunurdeen5113 Місяць тому +28

    SHE PLAYED HIS CHARACTER VERY WELL ❤ @Loveness

  • @JabanFranklin
    @JabanFranklin Місяць тому +15

    Mm wakwanza kutoka Uganda nipen like jaman

  • @petersiengo8040
    @petersiengo8040 Місяць тому +61

    Leo wa kwanza jaman nipe like zangu hata 20😢😢

  • @zubedamae-ro1jx
    @zubedamae-ro1jx Місяць тому +1

    Mpk nimetokwa na machozi 😢vile house girls hawana nafasi wala kauli kwa maboss 😢 MUNGU tubariki ss wote tunao hustle kwa manyumba ya watu ili nasi tumiliki zetu 🙏🙏 bigup sana wana Donta TV 🎉🎉🎉

  • @FelisterMukina-rk4th
    @FelisterMukina-rk4th Місяць тому +33

    Mnipee likes jameni😊walio upande wa loveness

  • @CollinsNyamweya-jg6oj
    @CollinsNyamweya-jg6oj Місяць тому +3

    Kutoka Kenya nipe likes zangu plz am the topest guy commenting to donta TV movies

  • @AsiaJasphone
    @AsiaJasphone Місяць тому +22

    Hakika Kelvin ni mwalimu bora Sana wa maalifa wane mkubali Kelvin tujuwane🎉🎉🎉🎉

  • @shedy_marie
    @shedy_marie Місяць тому +1

    Huu mwaka mtachukua tuzo walah 🎉🎉🎉 naomba isiishe

  • @Inglide-star
    @Inglide-star Місяць тому +46

    Leo kita waka kbx nawaomba muwe muna yitowa kwa siku munipe like zangu🎉🎉🎉

  • @user-iv8bo2he7c
    @user-iv8bo2he7c Місяць тому +2

    Loveness jamani nakuoenda mdogo wangu,Mungu aendelee kukuza kipaji chako unajitahidi sana kwenye nafasi yako❤❤❤❤❤

  • @GerrardNdola
    @GerrardNdola Місяць тому +18

    Safi sana bro unafanya kazi nzur sana ❤ nimewamwagia like nying na mm naomba ata kumi tuh from USA

  • @user-xs2yr3zd1j
    @user-xs2yr3zd1j Місяць тому +1

    Loveness umeniliza kwa raha mamako❤❤❤ good job ❤️ my lovely daughter 😍

  • @MoniqueIrakose
    @MoniqueIrakose Місяць тому +15

    Habikuwagi tena gucaguriyana kelvin fata isiya zako Nami naomba like zangu toka congo🎉🎉

  • @NgomanzizaIssa
    @NgomanzizaIssa 23 дні тому +1

    Hiyi kabs ni noma labda niseme hivi
    Félicitations
    I'm issa from🇧🇮🇧🇮

  • @GladysOmwando
    @GladysOmwando Місяць тому +22

    Pia nmewayi nawatch nikiwa 🇸🇦like hata kamoja 🎉🎉🎉😂

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 Місяць тому +2

    Jamani nyie mbn hii episode ni tamu mno ongereni Kwa kweli na mung abariki Kwa kazi zenu wape nguvu Kila kukucha 🎉🎉🎉

  • @user-lz8kb9ds8k
    @user-lz8kb9ds8k Місяць тому +26

    Kama unampenda love gonga likes hapa

    • @ZaharaAbdalah
      @ZaharaAbdalah Місяць тому +1

      Nimekupenda sana love 💘 ❤

  • @patriciawakio-yy7gm
    @patriciawakio-yy7gm Місяць тому +2

    leo mm ni wa tatu likes zangu jamen😂😂😂❤❤❤

  • @MetodMakungu
    @MetodMakungu Місяць тому +14

    Love nes wewe hauna mfano kwahii dunia uko pekeako enderea kupambana ww ni mtu mkubwa ❤❤❤❤❤❤😭😭😭😪😪😪😭😭♥️♥️♥️♥️😭😭😭😭😪😭😭😭😭♥️♥️♥️😭😭😭😪😪😭♥️♥️♥️😭😭😪😪♥️♥️♥️😭😪😪😪😭♥️♥️😪😪😭♥️♥️

  • @user-ju9qw7ik9c
    @user-ju9qw7ik9c 26 днів тому +1

    Kazi nzuri sana Mr. Kelvin💞💕💞

  • @sakinabudi
    @sakinabudi Місяць тому +10

    Naipenda sana hii move ila ombi langu muwe mnawahi kutoa tunasubili sana ,,,ila move ipo 🔥🔥

  • @BennyMabendi
    @BennyMabendi Місяць тому +3

    Loveness unajua kuigiza jamani kazi nzuri sana

  • @MisanaSelemani-fb5xy
    @MisanaSelemani-fb5xy Місяць тому +40

    Jmn sijawah kupat like naomben n mm like jmn

  • @user-kp4yg7sh7j
    @user-kp4yg7sh7j Місяць тому +2

    Poleee sana my dear lovenes 😢😢❤❤❤jmn mama mbona huna huruma 😭

  • @user-eo1qy1zh7r
    @user-eo1qy1zh7r Місяць тому +12

    Movie nzuri sana master ❤❤😂😂🎉🎉😢😢😮😮😅😅😊😊😊

  • @user-pn5sj7qo1l
    @user-pn5sj7qo1l Місяць тому +6

    Maskin lavnec umenitia uruma adi chozi naiyo nyimbo ndio kabisa 😭😭dunian kuna mengi mabaya yarab😢

  • @SophiaMdoe-lk1to
    @SophiaMdoe-lk1to Місяць тому +5

    Mbona mim nachelewa nawakati nilikua naivizia inaonekana tupo maelf tuliokua tukiisubiria😂😂 nawapenda wote🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MbulaMary-qe3ux
    @MbulaMary-qe3ux Місяць тому +2

    Kwani kumkataa shin ngapi😂😂😂😂😂 from kenya here

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu Місяць тому +6

    Mauwa yenu hao 🌹🌹🌹kwa team nzima ya Donta tv 🎉🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @EmmyNemia
    @EmmyNemia Місяць тому +1

    Uyu dada anajuwa kuigiza sana mungu amzidishie kipaji chake kizidi kusonga mbele❤❤❤

  • @johncenamakori2000
    @johncenamakori2000 Місяць тому +12

    Leo mimi mkisii wakwanza ... leo nipeeni likes 5 to❤❤❤ napenda donta tv

    • @user-ec3bz5qp1c
      @user-ec3bz5qp1c Місяць тому

      Pia mm nko hapa ❤❤

    • @JaphetiBless
      @JaphetiBless 27 днів тому

      Nampendaaa. L❤xanaaa kevooo love ndo wakwakooo❤❤❤❤

  • @AgnessLuwata
    @AgnessLuwata Місяць тому +1

    Loveless jamniii mpka umenitoa mchoxiii hongelaaa mungu akuongeze hatua me napendaaa uwe na Kevin mmependezana sana

  • @user-fn8sy3kb1b
    @user-fn8sy3kb1b Місяць тому +15

    Kelvin khan mwambie mtoto ukweli brw

  • @user-zp8um1bx9s
    @user-zp8um1bx9s Місяць тому +1

    Jameni mbona umu munalamukiy😂😂😂alafu wenye wanaon yakwamba dada wakazi atakuja kumpend mtoto wa boss ebu munipe 👍👍👍

  • @MiriamCheptanui
    @MiriamCheptanui Місяць тому +21

    Nimewai Leo wapi like yangu😂😂😊

  • @LevinaRespicius
    @LevinaRespicius 17 днів тому

    Kelvin Iko safi nimekupenda bure!! Mapenzi ni chaguo la mtu sio kuchaguliwa na wazazi. Kelvin na Lovenes nichahuo sahihi. Big up!!

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg Місяць тому +7

    Love pole uhuska wako mngum daah,

  • @user-uc6ch5fy3l
    @user-uc6ch5fy3l Місяць тому +1

    Mm naiona kabisa ndoa ya kevi na loveness❤🎉

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ Місяць тому +11

    Kaka wenye wivu wakae kwakutulia ww muvi zako unajua kutuelimisha nakupnda sana

    • @saumwaithira
      @saumwaithira Місяць тому +1

      Hawa wazazi wakevin hawajielewi kwaza kama baba hafai kuwa nauamuzi

  • @KubelwaIlungaMardochéeSalama
    @KubelwaIlungaMardochéeSalama Місяць тому +2

    Leo mimi ndio wa kwanza apa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes zangu

  • @Lucy001-j2g
    @Lucy001-j2g Місяць тому +7

    Leo nimejaribu kuingia mapema jamani nipeni like ata moja

  • @kakamama5104
    @kakamama5104 Місяць тому +1

    Saf bro kaz nzuri sana🎉🎉❤❤

  • @HudhaimatHaji-wf8nh
    @HudhaimatHaji-wf8nh Місяць тому +4

    wow donta tv nilikuwa nasbr kwa hamu nawapenda wote sna ❤❤

  • @valentinekemunto6348
    @valentinekemunto6348 Місяць тому +1

    Nimechelewa but naomba likes zenu jamani😅❤,

  • @bakarysalimu7012
    @bakarysalimu7012 Місяць тому +7

    Bravo

  • @MusaninkaFuraha-lj3uk
    @MusaninkaFuraha-lj3uk Місяць тому +3

    Wenye tunamukumbuka kunambi na rashidi tujuwane kwenye like

  • @HappynessMkatika-wm5zl
    @HappynessMkatika-wm5zl Місяць тому +5

    Me wa kwanzaa....naipenda xan hii movie

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w Місяць тому +1

    Pole cn love ❤️ Ness kipenzi mungu Atakusaidia inshahalla Kevin Atakutafuta tuu

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi Місяць тому +4

    Namimi reo wakwaza lak kwa loveness 🎉🎉🎉 from south Africa ❤❤❤

  • @user-wk9dr4uf5w
    @user-wk9dr4uf5w Місяць тому +1

    Naona kelvin atamufwata lovoness tena ndo watakuwa na muda wa kuongea vizuri .❤

  • @user-xr7rr2rf6e
    @user-xr7rr2rf6e Місяць тому +4

    Yan jmn mnachelewexha sanaa, ila anyway mnatufurahixha na kutuelimixha xana hongeren kwa kaz nzr

  • @asiakabingo7052
    @asiakabingo7052 Місяць тому +3

    Lovenes amejua kuniliza Dha kweri anakipaji❤

  • @IsayaTarakwa
    @IsayaTarakwa Місяць тому +4

    First born mimi leo nawakubali wananguu wanguvu

  • @user-su5oi5wb6c
    @user-su5oi5wb6c Місяць тому +2

    Jaman nimechelewa lakin nimefika naomba like hata kumi tu 😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MercyKahindi-go2nr
    @MercyKahindi-go2nr Місяць тому +4

    Wooow Wa Kwanza leooo nimewaiii😂😂 kudadeeki Na sitaki likes zenuuuu❤❤❤❤

  • @user-oj2bd9td6r
    @user-oj2bd9td6r Місяць тому +1

    Waouh ❤napenda sana kevin usiitike maneno ya wazizazi wako 😂na hizo Rupita uwachane nazo mi Niko upande wa lovenes ❤❤❤❤Jaja 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Ased-qy7sh
    @Ased-qy7sh Місяць тому +6

    Jaman haka ka movie 👌👌🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @SiddharthSource
    @SiddharthSource Місяць тому

    Kweli siya nikitu kinafanya mtuu ✅ awe kama chizi
    Movies zako imenifundisha mambo mengi sana kaka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EverlyneRioba
    @EverlyneRioba Місяць тому +6

    Good job wah

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo Місяць тому +1

    Wewe Kelvin unastaili like Mimi wanaonikera ni wale wanaomba like wakati hamjafanya kitu 😂❤

  • @imraniside4327
    @imraniside4327 Місяць тому +11

    Wakwanza ni mm Leo like zangu wajamen 😊

  • @user-vt3zt9cd4y
    @user-vt3zt9cd4y Місяць тому

    Wakwanza leo pia nipeni like za time strong.much love from kenya🎉

  • @IsaacCharo-s5w
    @IsaacCharo-s5w Місяць тому +6

    Sanaa kipaji kipo jamaa zangu Sana hapo SEMA mnachelewesha episode kutoa

  • @user-fy3zy6wc2q
    @user-fy3zy6wc2q Місяць тому

    Mon frère, pour cette travaille, tu me rends heureux ! Je te souhaite un bon travail. From RDC 🇨🇩 always 🇧🇷🌳🇹🇿