SIMULIZI MPYA - X - PART 01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • “Haya sasa bwana harusi una weza kumbusu bibi harusi”
    Mchungaji wa kanisa hili la KKKT alizungumza huku akitutazama mimi na mke wangu halali kwa sasa katika nyuso zetu. Taratibu nika mgeukia mke wangu huku sote tukiwa tumejawa na tabasamu kwenye nyuso zetu. Nikamshika mashavu yake malaini kisha nikaanza kumnyonya denda, lililo wafanya watu wote kanisani hapa kushangilia kwa furaha, huku matarumbeta yakijumuika nao katika shangwe hizo. “Ina tosha sasa”
    Mchungaji alizungumza kwa sauti ya
    chini na kutufanya mimi na mke wangu kuachiana kwa maana tume tumia zaidi ya dakika mbili kumyonyana denda hilo. Tukamaliza hatua ya mwisho ambayo ni kutia sahihi katika vyeti vyetu vya ndoa sisi na wasimamizi wetu kisha tukatoka kanisani hapa.

КОМЕНТАРІ • 249

  • @ankojay_
    @ankojay_  10 місяців тому +11

    Part 02 Bonyeza Hapa ua-cam.com/video/lYyPdPGa__0/v-deo.htmlsi=l6GRnq3vQeRSUng7

  • @AishaNanzua
    @AishaNanzua 10 місяців тому +31

    Ndipo kuingia jamani mko poa nyote like 2 tu mami nifurahi😊❤❤

  • @user-ed1zb8lw2j
    @user-ed1zb8lw2j 9 місяців тому +9

    Leo msipo nipa like nitalia sana ila anko j unajua sana mpaka unaboa khaaaa simulizi nzuri sana

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 10 місяців тому +76

    Hello wapendwa wote pamoja na anko jy leo nami nimewahi na nataka like zenu

  • @user-qq4zi2ri6l
    @user-qq4zi2ri6l 10 місяців тому +13

    Jamn jamn jamn anko Jay nipe mauwa yang jmn wakwanza leo nimewahiiii san sana♥️♥️♥️

  • @user-zf3eq4le6b
    @user-zf3eq4le6b 10 місяців тому +19

    Hi guys leo nimekuwa wa mwisho 🙆 like zangu basi❤❤❤❤🙏😅

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 10 місяців тому +26

    Hi duguzangu? Leo wa 1 naomba like Zen ata 5
    Ahsante Ankojay acha ni 🪑🎧 jameni 🌹

  • @victoriaedfonss727
    @victoriaedfonss727 10 місяців тому +5

    Like zangu jomon nimewah Leo Anko J,😜🔥🔥

  • @OmanOmz-qg5lj
    @OmanOmz-qg5lj 10 місяців тому +9

    Kwanza leo weweeeeeeeeeeeee nipeni lakii zangu jaman❤❤❤

  • @Rayfortunatus_0
    @Rayfortunatus_0 6 днів тому +1

    TUNAO IRUDIA X TUJUANE APA MAANA SO SIMULIZI NI BONGE LA MOVIE 🔥🔥🔥🔥🔥❤

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 10 місяців тому +7

    Wow mzigo umefika 😊 polen uliochelewa 😅 munatuungwa na waraabu maana.asant ankoj na mwandishi wetu eddazaria g.msulwa❤❤❤❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 10 місяців тому +8

    Anko bana from anapigana ngumi kama jetlee to anapigana kama anko jay waah🤣🤣🤣🤣🤣

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 10 місяців тому +4

    Asente Sana ANKO JAY. Mungu Hana watu wake wenye akili za mungu

  • @user-yl4zp5qd7t
    @user-yl4zp5qd7t 10 місяців тому +3

    My Crasmate na X ni bonge la Simulizi nimeipenda Mmnoo!!!naongea kwa kumaanisha!!Hongera m2nzi na Msimuliaji nikimaanisha ni Anko Jay 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤💕💕💕💕💕💕

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 10 місяців тому +3

    Marshall 🎉 nmemiss sauti yako wewe ankol jay siku mbili bila wewe

  • @Alya-np7gm
    @Alya-np7gm 9 місяців тому +6

    Jmn hata 3 like naomben😊

  • @user-rw7gt7fn7m
    @user-rw7gt7fn7m 10 місяців тому +7

    Wa 200 Leo nipeni like zang 😅😅😅😅😅

  • @mura-xu9jy
    @mura-xu9jy 10 місяців тому +3

    Oyooo😊 ankojay walisha part 2

  • @alinaswemuziya876
    @alinaswemuziya876 10 місяців тому +3

    Wow ❤❤❤❤

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 10 місяців тому +2

    Jaman Wa mwisho leo🙆Ila asante Anko j🙏❤❤❤

  • @user-iv4kr9kx1z
    @user-iv4kr9kx1z 10 місяців тому +3

    Amazing story ❤❤❤❤❤tenkc anco jay

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 10 місяців тому +2

    Very stor so much ❤❤

  • @user-vq2uw7bd8m
    @user-vq2uw7bd8m 9 місяців тому +4

    tu me manque anko jay je t'aime ❤ et surtout j'aime votre voix,burundi tunakupata 100%turagukunda cane

  • @RehemMosh-io9bt
    @RehemMosh-io9bt 2 місяці тому

    Me nawapenda Sana pia najifunza mengi Sana

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 10 місяців тому +2

    Asante sana kaka yetu anko Jay mapesa 4 a wonderful story mungu akubariki sana twashukuru sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-of9oj7um9u
    @user-of9oj7um9u 10 місяців тому +1

    🌷🌹♥️💖❤️❤️❤️🌷 nzuri sana anko jey ❤❤❤❤

  • @user-hz5bo3mn9t
    @user-hz5bo3mn9t 10 місяців тому +3

    ❤❤❤❤❤ simulizi zimeninogea mpaka kuangalia tv nimesahau jaman

  • @KhadijaKajoli-wm5rc
    @KhadijaKajoli-wm5rc 10 місяців тому +2

    Jamani habari Leo Nami nime wayi

  • @user-qs2kk6zw3y
    @user-qs2kk6zw3y 7 місяців тому

    We Anko Jay ww unapenda sifa ww ety anapigina kama anko Jay 😅😅😅😅😅 ❤❤❤ Sana

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov 10 місяців тому +2

    Mmmh kumbe kuna kibao kipya ,😂😂😂asante Anko j nimechelewa but twende nalooo😊

    • @albertyustasi9103
      @albertyustasi9103 10 місяців тому

      Soph mimi nimechelewa ndio naianza kuisikiliza

  • @violetmulya
    @violetmulya 10 місяців тому +3

    ❤❤❤❤❤❤ from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 3 місяці тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤🥰👌🙌

  • @yonathankyando5078
    @yonathankyando5078 10 місяців тому +1

    simulizi safi Kabsa utupe nyingi kutoka kwa eddy maana ni mtunzi na nusu

  • @NawMi121-lj8cf
    @NawMi121-lj8cf 10 місяців тому +3

    Woow Bona tuna kumiss sana😂😂😂😂😂 Anko Jay mapesa 😂😂😂

  • @user-vj1tf6kg5i
    @user-vj1tf6kg5i 10 місяців тому +6

    Hii story nlishawah kuisoma kitaaambo iliandikwa na eddyzaria msulwa nlikua mdau sana wa sroty zake na leo naiskiliza tena nkiichanganya na sauti tamu ya anko Jay Big up sana❤❤❤❤❤

  • @albertyustasi9103
    @albertyustasi9103 10 місяців тому +1

    UNKLE jey kiukweli simulizi zimenifanya hata tv msikilizaji sitathami niwapo safarini nasililiza sana simulizi aise pongezi
    Kwa kazi nzuri na kimuziki kinanogesha hatari sana😂😂

  • @user-uu2ir4hh1i
    @user-uu2ir4hh1i 10 місяців тому +2

    Asant sana Anko j ❤❤❤

  • @MwajumaHassani-ud2lb
    @MwajumaHassani-ud2lb Місяць тому

    Nzuriiiii❤🎉 iiii itanisaulisha lisaa😂😂😂😂 maan naipend Binti lisaaaa😢

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 10 місяців тому +6

    Anko jaya umwnikosha sana kwa hii simulizi uwe unatuletea hizi ama zakichawi mm binafsi nimechoka na chombezo🤣🤣

    • @christopherernest2316
      @christopherernest2316 10 місяців тому

      Kumbe tupo wengi tunaozipenda😂😂😂, chukua maua yako🎉🎉🎉🎉

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 10 місяців тому

      @@christopherernest2316 asante😘😘

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 10 місяців тому +1

    asante sana my brother from another mother

  • @elradjabubosingwa5026
    @elradjabubosingwa5026 9 місяців тому +1

    Anko jy unatowavizuri
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 10 місяців тому +3

    Wow interesting 😍😍😍😍keep up Ankojay

    • @ankojay_
      @ankojay_  10 місяців тому +1

      Thanks a lot 😊

  • @JumaAlexandr
    @JumaAlexandr 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤ na kukubar sana

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 10 місяців тому +1

    ❤❤mambo ayo sijachelewa

  • @GeofreySolomon-lp7xl
    @GeofreySolomon-lp7xl 10 місяців тому +1

    Jamaniii😂😂😂❤❤🎉🎉🎉 kwa ajili ya anko jay

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc 10 місяців тому +1

    Hello guys love you always anko jay thanks and God bless you

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 10 місяців тому +2

    Ahsanteee sana Anko J kwa simulizi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Feyzabintihussenibihusse-fq1kg
    @Feyzabintihussenibihusse-fq1kg 10 місяців тому +2

    Heeeeeh❤

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 10 місяців тому +1

    Alhamdhullilah. Leo nimeipata hii simulizi kwa sauti.hongera kwa mtunzi na msimulizi na wanafamilia wa Anco.j simulizi.kudoos nyote❤❤

  • @sirajiyasini536
    @sirajiyasini536 10 місяців тому +1

    Anko j hiki kigongo x tamu sana ❤❤❤

  • @user-vj1tf6kg5i
    @user-vj1tf6kg5i 10 місяців тому +1

    Wa kuwahi tupo❤❤

  • @ZabibuHassan-ci5vz
    @ZabibuHassan-ci5vz 10 місяців тому +4

    Chonde chonde halahala dear ex😂😂😂haya ex ana yap tena jmn😊😊

    • @pascalinaerasto9501
      @pascalinaerasto9501 10 місяців тому

      Hapa tulishafikiria dear ex kumbe x jasusi kukalili huko jamani

    • @ZabibuHassan-ci5vz
      @ZabibuHassan-ci5vz 10 місяців тому

      @@pascalinaerasto9501 🤣🤣🤣banaae tulivyokua na chuki na ma ex wetu

    • @pascalinaerasto9501
      @pascalinaerasto9501 10 місяців тому

      Kweli kabisa

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤ moto sherehe ni watu na mashabiki kila kona

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 10 місяців тому +1

    Here we a🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-hz5bo3mn9t
    @user-hz5bo3mn9t 10 місяців тому +1

    Hongera sana anko j unatuburudisha na kutufundisha sana

  • @user-xy9bh8ri1j
    @user-xy9bh8ri1j 10 місяців тому +1

    Nice from oman

  • @mwanajumamohammed4356
    @mwanajumamohammed4356 10 місяців тому +2

    Kama movie jamani tamu sana simulizi

  • @OmanOmz-qg5lj
    @OmanOmz-qg5lj 10 місяців тому +1

    Nimewai leo weweeeeeeeeeeee nli happy 😘😘😘

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 10 місяців тому +1

    Jamn ankojay kwakujipa misifa ss jmn ila tuna kuku bali san asant sn kwa kutupa burudani🎉😊😊😊

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn 10 місяців тому +1

    Nakupenda sn uncle mungu akubariki sn

  • @anjelinandambuki-fi4ip
    @anjelinandambuki-fi4ip 10 місяців тому +2

    Kwa kumi❤❤❤

  • @lindazawadi732
    @lindazawadi732 10 місяців тому +2

    The 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 10 місяців тому +3

    We anko Jay umepigana ngumi na Nani nimecheka wallah 😂😂😂😂😂😂😂Anko Jay kwa kujisifu ni hatari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 10 місяців тому

      AnkoJ kwakujitia kwenye simulizi ndio mwenyewe😂😂😂

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 10 місяців тому +1

    Waow , MashaALLALH

  • @fentafesh9790
    @fentafesh9790 9 місяців тому +2

    💯👏👏👏👏

  • @user-iv4kr9kx1z
    @user-iv4kr9kx1z 10 місяців тому +1

    Nishamaliza aiseeeee 😊

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 10 місяців тому +1

    Mmmwaaah❤😂😂 wacha nisikilize kwanza nitarudi kucomment baadae ..Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya

  • @user-mg3iv7dd4q
    @user-mg3iv7dd4q 10 місяців тому +1

    Hii ngoma ni kali

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 10 місяців тому +1

    Kupuyanga nimecheka jamani kahaaaa

  • @christopherernest2316
    @christopherernest2316 10 місяців тому +2

    Hizi simulizi za kipelelezi na za kichawi nazipendaga mno😂😂😂😂, hongera ankojey

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 9 місяців тому +1

      😂😂😂ww na mm hisia zetu kumbe sawa..me pia nazipenda mno..ila mungu atusaidie tusiwe wachawi tuwe Wapelelezi.

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t 13 днів тому

      ​@@femidayahaya4882😂😂 mnapenda uchawi😂😂

  • @azzahawadh3183
    @azzahawadh3183 10 місяців тому

    Anko jay kwa kweli upo juu❤❤❤

  • @user-hz5bo3mn9t
    @user-hz5bo3mn9t 10 місяців тому +5

    💐💐💐 👏👏👏

  • @user-et8ij1rg5l
    @user-et8ij1rg5l 3 місяці тому

    Napenda simuliz zako anko jay love ❤

  • @Arafahajiamour
    @Arafahajiamour 10 місяців тому

    ❤anko jay unanikosh saut yako jomon ❤❤❤❤❤

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 5 місяців тому

    Ankojey hongera saaaana simulizi x kwani sijuwi nikupongeze aje ❤

  • @roseshijedi8744
    @roseshijedi8744 10 місяців тому +1

    Simulizi mzuri sana

  • @MasikaPacheli
    @MasikaPacheli 10 місяців тому +1

    Ankoj we nikiboko wewe umezaliwa na nini wewe mimi siku moja ningejitoa kunu nuwa mafuta ya jenereta shida ni Niko mbali sana na ishi Uganda ila wewe kiboko ❤ nakuamini mno

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 10 місяців тому +1

    Asante kaka nilikuwa nakusubiri

  • @SalmaSalma-cb2pl
    @SalmaSalma-cb2pl 10 місяців тому +1

    Nzur sana

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 10 місяців тому +1

    🙏🙏🙏😍😍🔥🔥🔥

  • @user-wp5iq2zc4f
    @user-wp5iq2zc4f 10 місяців тому +1

    Nmefka Kwa wakati anko. J simulizi

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 10 місяців тому +2

    Wa kwanza leo,naomba likes zanu wapendwa,asante Anko jay kwa kazi nzuri,mungu akupe nguvu.

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 10 місяців тому +1

    Asnte anko jay

  • @CharlotteBuchumi-rf7fb
    @CharlotteBuchumi-rf7fb 10 місяців тому

    ❤🎉 iko vizuri sana nimeipenda

  • @salmasasha
    @salmasasha 10 місяців тому +1

    Mashallah 🎉🎉🎉🎉❤

  • @khadijamohd5741
    @khadijamohd5741 7 місяців тому

    Hongera anko j kwa kusifiwa kwa kiarabu

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 10 місяців тому +6

    Wow amazing story , Mr jay we want more of this ujasusi stories ❤❤❤❤

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 8 місяців тому

    Mashallah ❤❤

  • @user-cs5hg9el7y
    @user-cs5hg9el7y 6 місяців тому +1

    Nilikuwa wapi jamani mbna tamu sanaaa ❤❤❤❤❤😮😊

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 10 місяців тому +1

    Woooiii yaan kwa nilivyokua nimeipania alafu nimechelewa😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 10 місяців тому +1

    Duu,😂😂😂😂😂😂usilolijua ni kama usiku wa giza😂😂😂😂😂

  • @shukururamadhan6721
    @shukururamadhan6721 10 місяців тому

    asnte saana anko jay wetu kwa kuzidi kutufurahisha❤

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤ Asante San

  • @AshaAbedi-nw9xd
    @AshaAbedi-nw9xd 10 місяців тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 10 місяців тому +1

    ❤❤❤ 🔥🔥🔥🔥🔥🎉

  • @user-np8ol7bd4r
    @user-np8ol7bd4r 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤

  • @cadeaualiza
    @cadeaualiza 10 місяців тому +1

    Ankojay wewe unavituko,eti ilipiga ngumi kama Ankojay😂😂😂😂

  • @swalhamaduwa7172
    @swalhamaduwa7172 10 місяців тому +1

    Anko jay Kwanin ukutupa raha kidog useme kiyaramu 😂😂

  • @mwajabumuya5914
    @mwajabumuya5914 10 місяців тому

    Ankojay unatisha huna mpinza asante sanaa kwa story nzuri🙏🙏

  • @NkengurutseNeilla
    @NkengurutseNeilla 5 місяців тому

    Asant Anko Jay ubarikiwe🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮