BOFLO STAR SEARCH | KIGOMA - USWEGE & ELIUD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 821

  • @samsonmugobozi1462
    @samsonmugobozi1462 Рік тому +84

    Sema iyi combination ya Uswege na Eliud mume juwa kutufurahisha kwakweli mungu awabariki nawatakiya maisha marefu tuna subiri season 2 yaani munatutowa uvivu sisi mashabiki wenu.

  • @AggyChars-sd3nh
    @AggyChars-sd3nh Рік тому +7

    😅😅😅😅😂 Yan ata kama haichekeshi ila ukifocus na Eliud tu unavunjika mbavu😂😂😂❤

  • @jescacheyo1329
    @jescacheyo1329 Рік тому +20

    Eliud na lafudhi ya mbeya naenjoy👏👏👏👏

  • @chrismwamburi6169
    @chrismwamburi6169 Рік тому +24

    😂😂😂😂mko vizuri hpo kwa baba levo mmetisha sana🔥🔥

  • @zainabtumba1186
    @zainabtumba1186 Рік тому +22

    🇹🇿/🇺🇲💕Jamani Aliud Nilimkubali kuanziaaa auditions Za cheka tu kua ni kibokooo! Aliud Na Jamaaa huyu fundi uchepeee dah Apo sasa fundi kwenye kwichi kwichi... kazi Eindelee Nachekaa tu Mieee Kwiiiiii Kwiiii hoi 💯💥💥💥🙏

  • @selector5929
    @selector5929 Рік тому +13

    eti eeh nili zinzi bhn mpk nimecheka kwanguvu 🤣😂 sema diamond hajawahi pitaga kwa uswege makofi kala sn mwana shv angalau atapumzika 🙌

  • @yusterkahimbaza2410
    @yusterkahimbaza2410 Рік тому +18

    Ety linatukalipia🤣🤣🤣 sema ni Kigoma Mwisho Wa #Reli

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Рік тому +33

    Aki kazi yenu nzur sana kutengeneza content hiv si kazi rahisi let's appreciate these two guys Ubongo Smart sana 🤗🤗

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 Рік тому +40

    Eliud ka upiga mwingi sanaa 🔥🔥🔥🇦🇺

  • @issandmukelo9964
    @issandmukelo9964 Рік тому +21

    Safi kabisa nashukuru saana kwa idea yenu kabisa bing up saaaaaana, mwendeleye ivo with new carecter 🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦

  • @alexjumanne3247
    @alexjumanne3247 Рік тому +5

    Walahi nimecheka sana upande wa baba levo hongereni sana kaz nzuri

  • @johnsimon8388
    @johnsimon8388 Рік тому +11

    Aaaaah kwa Ommy Dimpozzz mmenifurahishaaa 😃😃😃😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 Рік тому +8

    😂😂😂😂😂Ila eliudi we kichwa chako kimepinda eti hili linekaa kama liyahudi

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 Рік тому +26

    Kumbe Nilizinzi bwana 😂😂😂😂

  • @NzangiMuimi
    @NzangiMuimi Рік тому +21

    Bwana weee! MC Eliud alivyomtimua Ali🤣🤣

  • @dwesemizaikesk
    @dwesemizaikesk Рік тому +6

    Ya kuhudhunisha duniani ni mengi sana. Nipatapo chochote kinitiacho tabasamu huwa natumia muda wangu hapo. Please nawaomba hii kitu iwe endelevu 🔥 👍 👌

  • @oscarhumphrey7692
    @oscarhumphrey7692 Рік тому +23

    This beautiful brother's creativity keep it up don't give up

  • @jabalisoundsband747
    @jabalisoundsband747 Рік тому +11

    Eeeeeeeeeeh ni lizinziii bwaanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 nmecheka adi nikaanguka😂😂😂🙌

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 Рік тому +13

    😂😂😂😂😂 daa nyie watu mbarikiwe 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @paschaljoachim13
    @paschaljoachim13 Рік тому +12

    Ila nyie ni zaidi ya kipaji kwa kweli nimefurahi 😂😂😂😂

  • @furahajacob9110
    @furahajacob9110 Рік тому +8

    Eliud....Umetisha xana Mwaisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @joycenjole7463
    @joycenjole7463 Рік тому +2

    Ooh jamnii eliud big up sana kipaji unacho na io lafudh ya kinyakyu unaniua kabisa me😆😆😆

  • @yonamwakanyamale
    @yonamwakanyamale Рік тому +7

    Nimeinjoy kinoma noma.
    Bros, keep up no Mara waah.

  • @Uakika_tv_online
    @Uakika_tv_online Рік тому +7

    🤣🤣🤣🤣kikosi kimekamilika apo nimekubali saana pamoja saaana

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 Рік тому +4

    Wazimu wangu ukinipanda hata nguo ntavua😂😂kumbe mgonjwa wa akili hahhaha😂😂😂

  • @captainkomba4739
    @captainkomba4739 Рік тому +220

    Kama umeielewa hii shoo leo gonga like apa

  • @salehemohamed981
    @salehemohamed981 Рік тому +6

    Nzuri sana wasafi Tv wakupe kipindi Uswege hii kitu ni kubwa

  • @Bongodailyhabari
    @Bongodailyhabari Рік тому +24

    Next ni nyingi sana kaka😂😂😂

  • @Da_Silver
    @Da_Silver Рік тому +92

    Nimecheka mpaka majirani wakaja kuangalia show yenu hii hatari...twambieni next ni mkoa gani...😅😅😅😅

    • @samsonmugobozi1462
      @samsonmugobozi1462 Рік тому +6

      Bora hatawewe balikuja angaliya mimi nimecheka majirani wakazani nimelewa mupaka waka niitiya mapolice nyumbani

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 Рік тому

      @@samsonmugobozi1462 🤣🤣mapolice kwer

    • @amonia96
      @amonia96 Рік тому +1

      Dar

  • @fredrickmsomba4123
    @fredrickmsomba4123 Рік тому +35

    Mc Eliud is so fun.... 😂🔥🔥🔥

  • @petermartini7176
    @petermartini7176 Рік тому +16

    The king👑 of music comedy 🙌@uswege

  • @ellenkabeta7561
    @ellenkabeta7561 Рік тому +9

    😂😂😂unyakyusa raha sana tunalafuz tamuuu balaa kwakwel najivunia kuwa mnyakyusa😍😍

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon Рік тому +21

    Sio rahisi kuunda vidaa kama hii.. kazi nzuri sana boss wangu 👊🇰🇪

  • @linnamapunda2275
    @linnamapunda2275 Рік тому +12

    Eliud 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbn kama linadekaaa

  • @efootgame8
    @efootgame8 Рік тому +8

    🔥😆😆mzimu wangu ukinipanda umetisha kaka uswege and eliudi .nipeni like zangu team uswege

  • @tinahmashaka4355
    @tinahmashaka4355 Рік тому +18

    Atleast eliud anajal kidg vipaji 😆😆😆

  • @Bongodailyhabari
    @Bongodailyhabari Рік тому +24

    Nachoshukuru ujinga ni mwingi sana.😂😂😂😂😂

  • @Bentrixx_
    @Bentrixx_ Рік тому +22

    😂😂😂mimi pia nina kipaji kaka to kenya,🇰🇪🏃🏃

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 Рік тому +15

    Ila eliud 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @idrisamangwala6470
    @idrisamangwala6470 Рік тому +8

    😂😹😹mtuu ya suti yake kiini cha yai

  • @RoseOmary-q3c
    @RoseOmary-q3c 8 місяців тому

    Yaan kiukwel nawapenda snaaa mmenifnya nimecheka snaa kwasaut duuuh mko vzr s aaa

  • @johkuzaga1804
    @johkuzaga1804 Рік тому +11

    Hii chumvi sio chumvini, ungeacha aangeonesha uwezo😂😂🔥

  • @nassihaji4822
    @nassihaji4822 Рік тому +7

    Hapoo kwa baba levoo ndioo nimechekaa mpaka metokwa na matee😂😂😂

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 Рік тому +19

    Good job guys👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾such a masterpiece💕

  • @puzzleb9880
    @puzzleb9880 Рік тому +11

    Kama hawa jamaa hawajawahi kukosea gonga lke hap

  • @pezasally8204
    @pezasally8204 Рік тому +6

    Mngemuacha ALIKIBA ningewatukanaaa 😂😂😂

  • @abduratifu5802
    @abduratifu5802 Рік тому +8

    Nakubali sana hii combination mmeuwa sana eliudi nakkubali sana umeuwa

  • @chazzyemm7032
    @chazzyemm7032 Рік тому +19

    Nmecheka Kwa sauti kubwa sana 🔥🔥🚒

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 Рік тому +13

    Chief jaj kafall love😂😂😂🇰🇪

  • @Mrpac0808
    @Mrpac0808 Рік тому +19

    Kipaji,ubunifu, nomaaaa 💣

  • @zekelly_025
    @zekelly_025 Рік тому +1

    Kwamba fundi kwenye kwichikwichi. Nimecheka kufa🤣🤣😅😅😅

  • @saraissa9327
    @saraissa9327 Рік тому +6

    Nmecheka sana walahiiiii 🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JARABOYFLEMY
    @JARABOYFLEMY Рік тому +14

    Eliud yanii utanatesaa more love from Kenya 🇰🇪

  • @kelvinkiprotich3384
    @kelvinkiprotich3384 Рік тому +14

    This time great combination watching from Kenya brothers

  • @ZamoMartin-i2e
    @ZamoMartin-i2e Рік тому

    Oyaa wanangu bora niwambie tu ukweli mmetisha sana yaan sio kidogo joh,,

  • @jeremiahmosses7520
    @jeremiahmosses7520 Рік тому +41

    Well done guys this one was absolutely stunning

  • @goodluckjustin8579
    @goodluckjustin8579 Рік тому +7

    hapo kwa sunday mjeda,kumbe linaufanisi😂😂😂😂

  • @omarfrogy4360
    @omarfrogy4360 Рік тому +9

    Uswege#Eliud 🔥🙌🏾Hii ni zaidi ya Comedy Show.. Mashaallah Salute sana my brother napata burudani nikiwa974

  • @rayvanychui2827
    @rayvanychui2827 Рік тому +10

    Mnatishaaa sanaaaa unyama ni mwingiiii sanaaaaa😂😂😂😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +1

    Baba levo uwiii hili litol limekaa kama liyahudi litatufaa kuwa mlinzi🤣🤣🤣😭😭

  • @travellertraveller4505
    @travellertraveller4505 Рік тому +21

    Kumbe ni LIZINZI🤣🤣🤣🤣

  • @romeoissa-uw3lq
    @romeoissa-uw3lq Рік тому +1

    kama umeikubali combination hii bas show love like apa

  • @materulivin5921
    @materulivin5921 Рік тому +1

    Dah mmetisha kinoma mpaka natamani kilacku kipind kiwepo

  • @pianoboytz3748
    @pianoboytz3748 Рік тому

    Haujawahi kuniangusah kaka yani. mmetisha kinoma na eliud

  • @Umande83
    @Umande83 Рік тому +13

    😂😂😂😂😂 hapo kwa Mondi mbavu zangu mie

  • @mbembetyson05
    @mbembetyson05 Рік тому +1

    Wakulalala nani sasa we kifutu wewe 😂😂😂😂 unamdosola mwenzio

  • @charlessanya139
    @charlessanya139 Рік тому

    Good Job nimeongeza siku am happy
    Mkoa unaofuata wap

  • @Max-kl8hv
    @Max-kl8hv Рік тому +1

    Badala nilale niamkie KAZI ya mwarabu kesho Niko namtazama uswege nimekukubali na mwenzako🤣🤣🤣🤣

  • @kelvinokelo7992
    @kelvinokelo7992 Рік тому +3

    Yaani nimeangalia kwa utaratibu ila ilipofikia kwenye "Ni lizinzi" nimecheka sanaaa🤣🤣🤣

    • @edwinpetro1241
      @edwinpetro1241 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @johnsimon8388
    @johnsimon8388 Рік тому +5

    Mmetisha mnooo 👍💪💪💪💪

  • @barakajuma6915
    @barakajuma6915 Рік тому +5

    😅😅😅 Vipaji vikubwa kwl, huwa nawaelewa sanaaaa hawa wadau 😅😅 utani yanasema ukwl🙌🏃

  • @louisgabriel4821
    @louisgabriel4821 Рік тому +1

    Mi lizinzi bwana kidogo npasue simu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @GAYOTV2023
    @GAYOTV2023 Рік тому

    Clouds tv Bora wangekuwa wanarusha hiki kipindi chenu kuliko joh master

  • @burunga8686
    @burunga8686 Рік тому

    Huu mzee wa rumonge burundi eti jiwa wa kigoma
    Huu wa yellow

  • @NewPhone-oh7ge
    @NewPhone-oh7ge Рік тому +7

    😂😂😂😂Natamani isiishe nimeipenda sana 😂

  • @musaalfani9303
    @musaalfani9303 Рік тому +3

    Nimeielewa sana hii show eliudi umefit sana big up sana. Ety liyahud🇹🇿

  • @ernestcharles374
    @ernestcharles374 Рік тому +3

    Aisi nyinyi ni wabunifu sana,nimeenjoy sana

  • @wawesttv
    @wawesttv Рік тому +13

    Show of the year 🙌

  • @edsonbihangwa9523
    @edsonbihangwa9523 Рік тому +1

    😂😂😂🤣🤣 hapo kwa diamond ndo nimecheka et fundi kama kwichikwichi kama lote arafu jaji eliudi et kumbe nilizinzi😂😂😂🤣🤣

  • @edsonking7621
    @edsonking7621 Рік тому

    kumb mkifanya hv wawili mnapatana kak uswege

  • @francisdominick1580
    @francisdominick1580 Рік тому +3

    😂😂😂 sooo funny yani nimecheka mpaka machozi

  • @officialjoakim3555
    @officialjoakim3555 Рік тому +6

    Uyu Eliud nae ni mkali nyote ni noma.

  • @kidundaisechonge7376
    @kidundaisechonge7376 Рік тому

    Sasa si uteme kwani wewe ni mbuzii domozito si uteme nyie noma nime cheka hadi nimejambaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @barakachilambo546
    @barakachilambo546 Рік тому +5

    Uswege mc eliud mbingun mnapita ukuuu🔥

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 Рік тому +1

    Kwa kweli upande wa Queen hamjakosea bora akalime

  • @imatheboy4797
    @imatheboy4797 Рік тому +1

    Ayaaaa bwn wapumbav nyieee mmenifulaishaa kinoma

  • @jadinyajuamungu9799
    @jadinyajuamungu9799 Рік тому +12

    😂😂🔥🔥wa kwanza leo dadeki 😂

  • @JeronimoSimon65
    @JeronimoSimon65 Рік тому +5

    😂😂😂😂 chief judge ni li zinzi bhana

  • @mwanjammassa8563
    @mwanjammassa8563 Рік тому

    Kwa kweli majaji,hii ya leo mumefanya vizuri sana

  • @allymangogasya8068
    @allymangogasya8068 Рік тому +2

    Ila sema tu muna eshima kwa Boss mondy

  • @great-african903
    @great-african903 Рік тому

    Recho daah♥️🇹🇿❤️🤔🙏 Dar ameenda

  • @rhinocerosmasailands72
    @rhinocerosmasailands72 Рік тому +1

    Nawakubali sana tena sana ,😂😂😂😂🙄😀😀😀😀🦁🦁🦁

  • @Onesmoboyz
    @Onesmoboyz Рік тому

    😀😀😀😀😀 Baba levo halijui Ata amapiano. Alfu lijanja limekuja na ledio

  • @felicianmichael6277
    @felicianmichael6277 Рік тому +3

    Bonge moja la kazi mmeua sana Uswege

  • @sabrasaham4269
    @sabrasaham4269 Рік тому +2

    Ni lizinz bwana 😄

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 Рік тому +1

    Yani daah munajua sana daah kudadeki zenu

  • @asmanjastoni1514
    @asmanjastoni1514 Рік тому +4

    Looking amazing 🥰mmeweza kaka💪💪💪

  • @bakorapremiumtv2560
    @bakorapremiumtv2560 Рік тому

    Mmetisha sana, sababu zangu binafsi ndo zimenifanya niseme hivyo.

  • @lwitikomayele
    @lwitikomayele Рік тому +5

    😂😂😂😂 Mnyakyusa 🙌🙌😂😂😂

  • @bilahimwalia1452
    @bilahimwalia1452 Рік тому +1

    Pamoja sana brow😂😂😂...
    Mozambique🇲🇿 tuko pamoja sana, big up👏🏾👏🏾✊🏿🥂