BOFLO STAR SEARCH | TANGA - USWEGE & ELIUD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025
  • BOFLO STAR SEARCH
    Ni kipindi cha Comedy kitakachoruka kila jumatano saa moja kamili jioni
    Kipindi kinaongozwa na Uswege pamoja na Mchekeshaji Eliud Samweli kutoka CHEKA TU.
    Usikose.

КОМЕНТАРІ • 470

  • @Robbym936
    @Robbym936 2 роки тому +104

    Nimekua wa kwanza leo sija wahi kupata like naombeni

  • @festomanase3335
    @festomanase3335 2 роки тому +179

    Uswege nakukubar niweke juu namimi nipate like mbna kila siku sipati

  • @naimat8470
    @naimat8470 2 роки тому +47

    Nimekuwa wa kwanza nawapend 😂😂😂😂😂😂❤

  • @100Hundredmiles
    @100Hundredmiles 2 роки тому +16

    you killed it brothers party ya mwanafalsafa tulioipenda pls tujuaneee🤣🤣🤣

  • @hellendinahlwesya7987
    @hellendinahlwesya7987 2 роки тому +32

    😂😂😂asanteni kwa kunipa nafasi ya kutumia bando langu, keeping the forgotten music alive 💃🏾💃🏾😂 bigup🥂🥂

  • @youngfather5118
    @youngfather5118 2 роки тому +28

    Kazi nzuri sana hongereni team nzima ya BOFLO STAR SEARCH 🙌🏿 muende mbeya Sasa Kuna vipaji kule aisee

  • @mirimiri4650
    @mirimiri4650 2 роки тому +30

    Mc Eliud❤️unajua unajua unajua tenaaaaaa!!

  • @aminakiganja537
    @aminakiganja537 2 роки тому +11

    Napenda mnavyo angalia kama kuna watu kweli😂😂🥰

  • @MwanaidiBakari-cs2df
    @MwanaidiBakari-cs2df 3 місяці тому +1

    Et wameshaziloeka😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @festomanase3335
    @festomanase3335 2 роки тому +8

    Asante uswege nitakuwa shabik yako kila siku maana uko safi sana

  • @jabalisoundsband747
    @jabalisoundsband747 2 роки тому +16

    Hii show Kenya tumeikubalii sanaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌🙌🙌

  • @berthampandagoya7143
    @berthampandagoya7143 2 роки тому +4

    Yani hii combination ni konyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eliud na Uswege ni wehu nyieeee 🙌🙌

  • @maryamhilal9820
    @maryamhilal9820 2 роки тому +14

    Jamani uswege usiishie kati twende nayo hadi fanal🔥

  • @shafiruki6218
    @shafiruki6218 2 роки тому +7

    Kazi nzuriii,, hakika hiki ni kipaji mmbarikiwa aiseee 😘😘

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 2 роки тому +16

    Ila mnafanya kazi sana 😂😂😂 vijana wangu. Big up sana

  • @filbertfaustine7357
    @filbertfaustine7357 2 роки тому +7

    Kazi nzuri kwakweli ila ongezeni kama steps za mtu anaeingia. Zisikike 💪😍🔥🔥🔥🔥🔥

    • @timmztimam3990
      @timmztimam3990 2 роки тому +1

      Tumaini Wazo lako litafanyiwa kazi, s/o to U btw big-up kwa niaba ya @BofloStarSeaech @BSS @uswegeMurderer @McEliud @ComicNiggazWW

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 2 роки тому +8

    Hahahaaa... Majaji bhana,, Kwahiyo Akina Bamdogo (Wagosi wa Kaya) , Dog Man Na Falsafa Ndio Mmewaacha Tanga..!!?🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 #BofloStarSearch 🙌🙌🙌😁😁😁😁😁 #McEliud & #UswegeMurderer 🇹🇿🎤🎥🎬📺💥🔥💥🔥

  • @issandmukelo9964
    @issandmukelo9964 2 роки тому +23

    Twende moroggoro ntacheka saana I can't wait to watch next episode Big up

    • @amansumary5041
      @amansumary5041 2 роки тому

      Nilikuwa nasubiri hii kwa ham San jameni

  • @wazirimwandete4429
    @wazirimwandete4429 2 роки тому +9

    Chief judge kwenye Kuch Kuch hotahee🔥🔥

  • @enouschangana
    @enouschangana 2 роки тому +3

    Eti sema unachotaka mamy😁😁 nimecheka jamni

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 2 роки тому +4

    Yani majaa hata bando mkibeba gb nzima kwangu fresh t😁😁😁

  • @mboniraji3086
    @mboniraji3086 2 роки тому +16

    Nami sijachelewa leo❤️

  • @classicboyrahib903
    @classicboyrahib903 2 роки тому +11

    daah angeongezeka #NDARO hapo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @cesyken
    @cesyken 2 роки тому +15

    Eti wakitoka wa Tanga wanakuja wa Hindi watanga raha sana 📌🔥🌚tuimbie za sharukani😂😂😂

    • @cesyken
      @cesyken 2 роки тому +1

      😂😂😂🌚🌚

  • @jacquelinegiliweth7021
    @jacquelinegiliweth7021 2 роки тому +7

    Eliud ghaaaaiiii 😹😹😹😹😹 mtabaki Tanga kudumisha mapenz

  • @joycesemizigi5300
    @joycesemizigi5300 Рік тому +1

    Naongea na ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ela sio 🙈🙈

  • @kisandujr2567
    @kisandujr2567 2 роки тому +11

    Libaki kwa faida ya mkoa 🙌🙌😂😂

  • @paschaljoachim13
    @paschaljoachim13 2 роки тому +3

    Nakukubari sana bro Uswege una talent ya uchekeshaji kabsa 👍

  • @tuliadamson3422
    @tuliadamson3422 2 роки тому +2

    Continue the idea guyz naisi nimepata chakuangalia youtube

  • @Player456gihun
    @Player456gihun 2 роки тому +15

    Yaani uswege hujawahi niangusha 🙌🏾
    Nimependa kipindi hiki na huyo mwenzio we acha tu 😂❤️

  • @Proper07-u1p
    @Proper07-u1p 2 роки тому +4

    Sijawahi comment kweny hii page but leo nimecheka sana hususani kipengele cha mwana FA 😅😅😅🙌🙌🙌🔥🔥🔥

  • @martingodfrey7105
    @martingodfrey7105 2 роки тому +12

    Mm nataka Uswerge uende Mwanza pllzz 😂

  • @youngfather5118
    @youngfather5118 2 роки тому +35

    this is very cool, you have arranged it really well, congratulations for a good job, I wish the region you are following will be the best for mc eriud😂😂😂😂

  • @jacksonedward2190
    @jacksonedward2190 2 роки тому +5

    Mwana FA katishaaaa😁😁😁🙌

  • @janneykennedy5138
    @janneykennedy5138 2 роки тому +2

    Usweger naona umevaa uhuusika wa salama kbsa 🤣🤣🤣

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 2 роки тому +28

    Nimeanza kucheka kabla hata sijaanza kuangalia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jairatu688
      @jairatu688 2 роки тому +4

      😂😂😂😂😂😂😂😂tumekua wawili

  • @pianoboytz3748
    @pianoboytz3748 2 роки тому +15

    Tunaomba na mwanza 😂😂

  • @eneakulima2185
    @eneakulima2185 2 роки тому +3

    Hii ya mbunge wangu wa muheza Kwa kweli nimeikubalii sanaaa. Nyie ni nomaaaaa

  • @munezerotheodore2231
    @munezerotheodore2231 2 роки тому +7

    Love from Burundi 🇧🇮

  • @iddyhamidu3579
    @iddyhamidu3579 2 роки тому +4

    Good talented big up Uswege Murder & Mc Eliud

  • @zuhuramkwama6343
    @zuhuramkwama6343 2 роки тому +3

    Nimecheka nusu kuzimia, Tanga kumenogaa 😂😂😂

  • @joycejohn3445
    @joycejohn3445 Рік тому +1

    Mbavu zangu 😂😂😂

    • @joycejohn3445
      @joycejohn3445 Рік тому

      Apo kwa falsafa sasa 😂😂😅😅😅

  • @sumaussi7764
    @sumaussi7764 2 роки тому +10

    Nakupnda sana Uswege😍

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 2 роки тому +14

    Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣

  • @NotepadOriginals
    @NotepadOriginals 2 роки тому +17

    Great content!!

  • @Idri7
    @Idri7 2 роки тому +4

    Eti wanadhani sisi TAMISEMI 😂🤣🤣🤣

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 роки тому +1

    tajir wa mahaba kawapiga mabusu wote hana mzaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 2 роки тому +4

    Chief Judge 🤣🤣🤣
    Hautok Tanga mshenzi wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bashirukajembe4165
    @bashirukajembe4165 2 роки тому +1

    Hahaaaaah hiikiboko uswenge ninakafuatilia sana mupo vizuri nipo tng

  • @williamnyenyembe8968
    @williamnyenyembe8968 2 роки тому +3

    Dah ila hawa jamaaa nawaombea2 mungu mfike mbali 😂😂😂😂😂

  • @Mohame618
    @Mohame618 Рік тому

    Jamani mm napenda sana mm mnanivunja mbavu.big up sanaaaaa

  • @agustinomwaya4038
    @agustinomwaya4038 2 роки тому

    Apa naona fainal kigoma na Tanga napenda sana uswege mc eliud umetisha Kwenye hii vzr sana mnatupa kilicho safiiiiii

  • @babumwananinga1007
    @babumwananinga1007 2 роки тому +23

    🇰🇪🇰🇪💕💕💕🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    Luv it
    🤣🤣🤣🤣
    Mbavu zngu jamaan

  • @hunchoone5630
    @hunchoone5630 2 роки тому +14

    Nimecheka hapo kwenye lulu diva 😂😂😂

    • @graccmgr2281
      @graccmgr2281 2 роки тому

      Kujua alichelewa kuingia lakin uswege sas mmmmhhh ety anaend dar nimechek atariiii😂😂😂😂😂😂😂

  • @chrisbaraka5288
    @chrisbaraka5288 2 роки тому +3

    😂😂😂😂 eti linataka kucheza na mm kuch Kuch ho tae

  • @lezapambakali7969
    @lezapambakali7969 2 роки тому

    Jmn iyo mapokez mnapozungusha izo Macho uwiii😃😃😃😃😃

  • @AminathaMuya-uc1rj
    @AminathaMuya-uc1rj 8 місяців тому

    Eliud...kaumia kwa kweli nimechek had nimelia😂😂😂😂😂😂😂

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 2 роки тому

    😂 😂 😂 😂 😂 Uswege Huja wahi angusha mashabiki zako qaqeeek ume tisha sana

  • @Psychology-all
    @Psychology-all 2 роки тому +1

    Bora hata hiyo kuliko zecomedy

  • @indexchitanda4477
    @indexchitanda4477 2 роки тому +6

    🤣🤣🤣Safi Sana wazee wa kazi

  • @tee207
    @tee207 Рік тому

    Nice work n akil kubwa sana mnatumia

  • @qassimikhanishauqy6607
    @qassimikhanishauqy6607 2 роки тому +9

    Brain yako iko vizuri kuwaza tofauti😁😁😁😁

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 роки тому +3

    Aseeee Apoo baadae navolala nitaangalia vizuri

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 роки тому +4

    shetta ni familly danger😂😂😂😂

  • @hebronsaimon9452
    @hebronsaimon9452 2 роки тому

    Uswege na eliud keep it up mnanifanya nasaahau shida kimtindo

  • @davidmichael8748
    @davidmichael8748 2 роки тому +4

    Eliud eliud +king uswege=🔥🔥

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 роки тому +2

    Mwana FA kauwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

    • @nickluca1512
      @nickluca1512 2 роки тому

      Mwana FA sio pwaaaaa😂😂😂😂

  • @doreenmathew165
    @doreenmathew165 2 роки тому +1

    😂🤣😂et wakitoka wahindi ndo wanafuata watu wa Tanga😂😂😂ila nyie hapana kwakweli

  • @annamwanyelele9084
    @annamwanyelele9084 2 роки тому +2

    Eliudi wetu unajua saana na ndugu yetu uswege

  • @motv6906
    @motv6906 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂nmecheka sanaaa

  • @mesharckjames1747
    @mesharckjames1747 2 роки тому +1

    Ety wamemjazaa tu hamna lolote🤣😂😂😂

  • @erastojr1195
    @erastojr1195 2 роки тому +1

    My best comedian uswege haukeli wala Hauboi kaka

  • @nyakungukimakon1883
    @nyakungukimakon1883 2 роки тому +3

    Unanukia karafuu umekuwa pilau wewe😂😂😂😂

  • @tonoboymwatonokaaa2862
    @tonoboymwatonokaaa2862 Рік тому

    Boflo,😅😅 eliudi huku umefiti Kaka umetisha

  • @kichechejr
    @kichechejr 2 роки тому +16

    Uswenge on fire 🔥🔥🔥🔥🚒

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 2 роки тому +3

    Mtakuja kuvunja mbavu zetu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌

  • @stammwabukusi6436
    @stammwabukusi6436 2 роки тому

    Nyie jamaa noma sana'' upend unacheka utak una cheka

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 2 роки тому

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kwa sheta nime cheka nyie daaaaar

  • @mrlovermankhan6661
    @mrlovermankhan6661 2 роки тому +10

    The chemistry though 😂😂😂

  • @Mr.P382
    @Mr.P382 2 роки тому

    Hapo Kwa salisafa mwana FA😂😂😂Hela sio Mat..

  • @mundetvchannel0
    @mundetvchannel0 2 роки тому +1

    Boflo tabora mnaenda lini jamni

  • @bertoofficialtz364
    @bertoofficialtz364 2 роки тому +3

    First to comment uswege🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity 2 роки тому +3

    Chifu jaji 😅😅😅😅... Bomba la idea hii kitu

  • @graccmgr2281
    @graccmgr2281 2 роки тому

    Mmmmmhhhhhhh😂😂😂😂😂mmetisha nimecheka ad so pow

  • @mwangonjim2mbad155
    @mwangonjim2mbad155 2 роки тому

    Mbeya city oyeee mme tisha sana kina mwaisa swaaafi

  • @barakajulius3455
    @barakajulius3455 2 роки тому +2

    Ela sio matraqoo kwamba Kila mtu anazo😂😂😂

  • @barakajuma6915
    @barakajuma6915 2 роки тому +1

    😅😅😅 Nyie Wadau Vichaa kwl😅😅

  • @emmanuelingimba7381
    @emmanuelingimba7381 2 роки тому

    yn we jamaa upo vzr na huyo jamaa ulio kuja nae gud kbx

  • @hassanyusuph3658
    @hassanyusuph3658 Рік тому +1

    Et unae muita mamy ninani😂😂😂😂

  • @sangaoytz1401
    @sangaoytz1401 2 роки тому +1

    Dah shezi sana nyie😆😆😆😆😆

  • @mkakamwenyefyuchatv5003
    @mkakamwenyefyuchatv5003 2 роки тому

    😄😄😄ya tanga imefunika ya kigoma salute sn

  • @princesalila9809
    @princesalila9809 Рік тому

    Uswege noma sanaaa😄😄😄

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 2 роки тому

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Sema mami

  • @jrjunior998
    @jrjunior998 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂 Huyu Eliud Chenga

  • @afrovibes.
    @afrovibes. 2 роки тому +3

    The first

  • @mussatem2044
    @mussatem2044 2 роки тому

    Mko vizuri sana bandle langu linatumika kihalali

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 2 роки тому +4

    Bas wote wa kwanza leo

  • @Heisbry_
    @Heisbry_ 2 роки тому +13

    Hiii chemistry 🔥🔥🔥

  • @bluechawa3492
    @bluechawa3492 2 роки тому +3

    Wakwanza leoo hiii.A

  • @zainabuzuber172
    @zainabuzuber172 Рік тому

    Uswege fanyeni mpango wakubadiri nguo mana mikoa yote jamani😂😂🤐🤐