BOFLO STAR SEARCH | MBEYA & IRINGA - USWEGE & ELIUD
Вставка
- Опубліковано 2 гру 2024
- BOFLO STAR SEARCH
Ni kipindi cha Comedy kitakachoruka kila jumatano saa moja kamili jioni
Kipindi kinaongozwa na Uswege pamoja na Mchekeshaji Eliud Samweli kutoka CHEKA TU.
Usikose.
Nyieeeee jaman huku pamekucha me watatu like jaman
All the way from Rwanda, njooni mpaka rwanda kutafta ma star pia, huku tunawapenda saana!!
Mbeya city piga keleleeeeeeeeeeee maana huko mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Muwe mnafanya hii kipindi kila mwaka hili tuwe tunajuwa wasanii wa mpyaa 😊
"Hao ma-judge wa kuku-judge wewe kingereza wako wapi hapa"
Napenda hiyoooo
mna play part kubwa sana kwenye maisha yetu 🤜🤛❤️🤣🤣
Inua wewe lilikuwagawa lisungusungu hilo😂😂
mbeya ni kiwanda cha wasanii🔥🔥🔥
🤣🤣🤣 eti kaka ake alishawahi kunipora Mkebe
Vijisababu vya Eliud ya kutoenda Dar 🤣🤣🤣 hata kama kwenu Mbeya wajua kila mtu na majina yake si mali si majina ya kimajazi 🔥🔥🔥 love the last language
Aise hii n moto tena fire 🔥🔥
Mmetisha sana jamani 🙌👋👏
Nakuona mbali sana Mc Eliud hongera sana bwana mkubwa Uswege
Kaka yake amewahi kumpora mkebe😀😀😀
Mnyakyusa toka mbeya na ninawika dar yote,like kwa uswege tafadhari"
Ebu chuku Tumaziwa utu 😂😂😂😂😂😂
Lunusi 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂ila nyieeee 🙌....weeeeeh toka hapa shenzi ntakunyuka vibao 😂😂😂😂😂eliudi 🙌
😂😂🙌🙌...kwamba Amber ni soko matola !! Vibe kubwa kutoka mbeya 🤣
Nimemwambia atuendi dar😆🤣😂
Finally got it wiki mbili sijaona boflo waited for long love the content big fun uswege from 254🇰🇪 001
Mbeya city stand up🔥🔥💥😂
Inamaana eliud watu wako wote unawajua 😂😂😂
Haya ndo madhara ya mtu kukujua jaman eliud eliud😀😀😀😀, et linus
Yaani usipocheka utakua na matatizo😂😂
Eti mm Hawa siwa taki mamdogo wa hisanga😄😄😄
From rwanda tup pamoj✌️✌️💪💪🤟🤟👊👊
Mikono juu... Eti limekulia Nonde... 🤣🤣🤣🤣🤣 BIG UP SANA Team BOFLO STAR SEARCH😤😤😤
Eti tulishakuonya wanawake wa mama john🤣🤣🤣🤣🤣
Asante sana Mbeya,jaman mko powa ila Arusha lini Sasa,
Nilikuw unamsubr rayvanny my bro from another mother ❤️my bro
ni gold boy cavani kutoka kenya ❤❤❤
Ww Eliud kila mdada ni mfyele😅😅... roho mbaya t😆
😂😂😂😂😂😂❤nyie eliud tutaondoka nao wote
🤣 🤣 🤣 🤣 Nitakunyuka nani umvue jacket kwnn usimpe wewe shati lako😂😂😂😂
Mbeya tumefikiwa sasa 😂😂😂
Hakutikisa maziwa huyo 😂😂
Boflo back in the house
Eliud hatak dada zake waliwe kabisa😀😀😀😀,, a😀😀😀😀😀 yaan kila mdada ni mfyele😀
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
hhhh mmetishaaaa, Leo chief jaji amebadili sutiii hhhhh
Oy oy kunestarboy hapa dar,kimara korogwe
It's a part of regional crops exhibition..... awesome
Hahahahaha mbeyaaaa city so hot big brothers 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣et ni mambo ya familia
N kali Sana eliud na uswege. Ila iringa mmetuonea et😭😭😭😭
Upendeleo n mwing wanataja ad andagraund wambeya2 kwingne wala huku nako wap kama mvua kila mtaa
Hahhahha nlikua naisubiri hii wa home😂😘😘
mwaisa hatujafuata ripot 😂😂Eliud kila mtu anamjua
Mbeya sio ya kitoto jaman eliud ni 🔥
Ulianza lini wewe kuhurumia wajasiriamali wadogo wadogo ..Eliud bana daah 🤣
eliud kafanana na nguo pamoja na matunda yote ya mezani😃😃😃
Nimecheka jaman
Leo ya moto sana home kume waka
Atafikia kwangu 😄😂😂
Okhooo yanii hikii kipindi kinatangaza sehemu yni mijii
Huyu ni roho ya uzinziii🌹😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂nimecheka sna leo
nakubaliii sana big up sanaa
Eti kakake aliwah nipora mkebe 🤣🤣🤣
Na uving'oosee🤣🤣🤣
Hahaha 🤣 siku zote mchungaji uwa unatisha… ila leo umetisha zaidi yaani izo historia unavozichambua daaah 😅
Dah mnatuweka sana aseee tumezoea Kila jtano sema mmeua
Daah uko makandana sasa 😂🤣🤣🤣🤣
Yani nilijua mmeshakata kamba, hakuna tena boflo star 💫 search, Ryavanny yeye ni mboga mboga tu 😂😂😂😂
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🤣🤣🤣 kama nilimlea babaake sishindwe mtoto kumlea
Leo MC Eliud kawa jeuri kisa yupo kwao😂😂😂
🤣🤣🤣🤣iringa kukaye
sasa uyu Eliud, anawajua wote 🤣🤣🤣
😂😂😂 mpaka wenye viti wa mitaa
Na wote wanaitwa kina imaa😂😂😂
Mpaka sifa na vitabia vyao vya utoto 🤣🤣🤣
@@hatuatv ama ni kwao 😁
@@janneykennedy5138 utakuta mapacha
Nimeiludia Kwa siku mbili hii nilisubiri Sana 🔥🔥
🤣🤣🤣🤣😂 upo nyonyo wa Tz nyinyi you always make me extremely happy all day long
Roho ya uzinzi Nu ghwa kighiri🤣🤣🤣
Home boe nzovwe no one 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mmekutana sana vijana wangu Safi sana 🥱🥱
Tunaomba mtoe part 2, kwa iringa mmetubania, kina ray c, marlaw na wengine wengi tu 😣
Niwasubir sana ray c na marlaw
😂😂😂jmn Eliud
Eti lilikuwaga lisungusungu😂😂😂
Dah😃😃mmewachinja kiroho nzuri
Piga kelele kwa mbeyaaa akeeeee!!!! Mbeya raha sana jaman
Why mtafya lakin😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Muko powa ile mbaya Muna juwa 🇴🇲
Mko vizuri wakubwa,ila muwe wakadilifu kwenye kula.
nawakubali xn wazee nimefrah kuskia lugha yangu kihehe mkiitamka
🤣🤣🤣eti mfyele 🤣🤣🤣🤣ufyele c umeisha sasa
Wow tuliwamiss sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Atimaye mmefika mbeya 🔥🔥🔥🔥🔥 what ⏭️ men?
Hahahaaaaa eti shenzi toka hapa nitakunyuka vibaoo😂😂😂😂
Hahahahaha uwiii leo nimecheka jamani nilijua ndo kwisha bofro
Wana peya tunao toka uyole tupige like hapa
😂😂😂😂😂😂😂😂Nay Wa Mitego
Ulitemba😅 ulitembala🤣
kutundumuka nd nn jamani eliud hhhh
Eliud waimbaji wotee anawajua yeye🤣🤣🤣
Uwiiiii jamaniiii a furahi Sana na kipindi chenu hongeren sana
Damu ya kilimo🤣🤣🤣
Kwa kifupi eliudi anajua wote na historia yao zote ... Lkn anawahurumia wasiende Dar
Unyama sanaaaaa
Home sweet home
Aah kumbe Ana mtoto anaogopa majukumu😁
Sema mnazengua sana mlikuwa wapi siku zote
Mbeya city 🔥🔥🔥
Noma San kaka😅😅😅😅
Queen with flat tyumma dahh!😂😂😂