MWAMBA HAJANUNUA V8 ZA KUTEMBELEA ANAWAWEZESHA MASKINI WAKULIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

КОМЕНТАРІ • 379

  • @jofreymsela2540
    @jofreymsela2540 3 місяці тому +51

    Mwenyez mungu mkuu muumba mbingu na nchi alinde na kumpa maisha mareefu huyo mteule wake, maana huyo n tunu kwa sasa. Like Gadafi, Maguful, Senkara n.k

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 3 місяці тому +1

      Peke yake haitosaidia dawa ni afrika ni kuungana tu uzalendo wake utaishia kwa nchi kufilisika au yeye kuuwawa

    • @yustancentani5700
      @yustancentani5700 3 місяці тому +1

      Huyo sio Magu wala Gaddafi...labda anaweza fananishwa na SANKARA...

    • @danieldanide8176
      @danieldanide8176 2 місяці тому

      Ni mzalendo na pia mpambanaji pia angeungana na nchi za kiafrica kwa Nia ya kuisaidia Africa kwa pamoja

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 3 місяці тому +36

    Nampenda huyu captain mpaka basi. Namfatilia sana. Kijana mdogo anafanya maamuzi magumu.
    Dakika chache amerejesha migodi yote.
    Anajenga barabarabara na amewawezesha wakulima .
    Mungu amlinde sana. Amekataa mikopo ya hovyo

    • @benmbwele
      @benmbwele 3 місяці тому +5

      Magufuli is born in him

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 3 місяці тому

      Amina, nadhani anko magu angekuwepo wangeungana kuitetea Afrika

    • @lawrencemalika9687
      @lawrencemalika9687 3 місяці тому +1

      Huku 🇰🇪 viongozi wetu ni kutaka waongezwe mshahara na mikopo kila wakati...

    • @ibracadabratz7678
      @ibracadabratz7678 3 місяці тому

      Alkua sawa kufanya revolution hakufanya revolution sababu ya njaa na tamaa za madaraka

    • @VenerandaKundi-ph4hg
      @VenerandaKundi-ph4hg 3 місяці тому

      Safi sana roho magufuli imeingia kwake

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 3 місяці тому +36

    Tanzania huku Kila kitu nikusifia tu kama huko bungeni wao nikugonga meza tu dah mtihani sana

  • @user-nt5gk2gx6m
    @user-nt5gk2gx6m 3 місяці тому +14

    Mungu amzidishie kujali inchi yk kuliko maraisi wa nchi zetu za kenya tanzania na kwengineko

  • @graysonpastory1918
    @graysonpastory1918 3 місяці тому +24

    Nzuri tunahitaji viongozi kama hawa sio kujilimbikizia mali na Familia zao, hii ndio lead by example

    • @knight6757
      @knight6757 3 місяці тому +1

      Kweli..ila tabia haina dawa !

  • @SabriAlharthy-gw5bu
    @SabriAlharthy-gw5bu 3 місяці тому +15

    Mashaallah Allah Amuweke Ameen

  • @joctanmtambi895
    @joctanmtambi895 3 місяці тому +10

    Aishe sana Mwamba Traore mungu amtunze sana kwaajili ya Africa

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 3 місяці тому +25

    Unahitaji Traore, malema nk vijana wazalendo wanaotaka kuunganisha Africa yeti tuondokane na huu upumbavu.

  • @BashiriMsoma-ly2su
    @BashiriMsoma-ly2su 3 місяці тому +8

    Kila la kheri mungu akujaalie akiulinde na mambo mabaya azidi kukupa ujasili.

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 3 місяці тому +6

    Yupo kwenye vita kubwa sana mungu amjarie afya njema kufanya ivyo kuna wale wezi huwa hawapendi kuona ivyo

    • @rashidmkoga3053
      @rashidmkoga3053 2 місяці тому +1

      Kaamua kuuza uhai wake lakini jina litabaki

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 місяці тому +9

    BIG BRAIN PRESIDENT IBRAHIM 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @mkwenyaliganga
    @mkwenyaliganga 3 місяці тому +6

    Mungu amzidishie maisha Le capitane

  • @GonaNzaro
    @GonaNzaro 3 місяці тому +11

    Long life captain

  • @user-ne5cg4vv1h
    @user-ne5cg4vv1h 3 місяці тому +2

    Viongozi wa Africa ni WIVU na kumpiga vita maraisi wengi ni wazee ni wizi mtupu Asante isaya

  • @SaidshariffShariff
    @SaidshariffShariff 3 місяці тому +7

    Big up Ibrahim Traole

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 3 місяці тому +18

    Hapa marsi waafrika watamchikia kwasababu amekuja kuanika miakamingi wamekaa madhalakani hakuna vitu wanafanya isipokua kunilimbikizia mali zetu namagari yakifahari huu kijana niakuigwa nimempenda kama ninavyompenda putin❤❤

    • @suleimanjokoro
      @suleimanjokoro 3 місяці тому

      Anaweza kuwa na moyo wa uzalendo kweli,lakini je atafanikiwa kuwafikisha wa Burkinabe kwenye nchi ya ahadi??,,najaribu kuwaza, hizo machines zote zimetengenezwa na hao Manyang'au utafika muda machines zinahitaji vipuri vipya ili ziendelee kufanya kazi na bad thing ni kwamba vipuri vinatengenezwa na hao hao Manyang'au ambayo watazuia vipuri kwenda burkinafaso machines zitaanza kufa na utakuwa ndiyo mwisho wa jaribio la kujikwamua.🇹🇿😭

    • @MashakaZacharia-if9pm
      @MashakaZacharia-if9pm 3 місяці тому +1

      Uhakika kazi kubadili hoteli tu tu haya ya kwetu asee ila mungu yupo

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 3 місяці тому +4

    Kijana ni mwafrika. Mwamba ninayemkubali mno. Nitakukaribisha uje ulime na parachichi kwetu. Nitakutembelea tupate chai pamoja

  • @donaldouma7225
    @donaldouma7225 2 місяці тому +1

    Long life captain much love from Kenya 🇰🇪

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 3 місяці тому +1

    Huyu mwamba namkubali sanaa. Mungu amjalie miaka mingi 🙏🙏🤝🤝

  • @user-fl3yl4or3e
    @user-fl3yl4or3e 3 місяці тому +7

    Hawa viongozi wa namna hii niadimu sana kupatikana angekua mwingine angeleta V8 ili atishie wengine badala ya kuwawezesha wananchi wake kweli huyu nikijana wa Putin tumpongeze

  • @YohanaMwagala-r5z
    @YohanaMwagala-r5z 3 місяці тому +17

    Huyo ndiyo raisi Sasa mzalendo

  • @RajabuUhondo
    @RajabuUhondo 3 місяці тому +1

    Daa mwamba kwerkwer mundu akulinde kptni safi San watu kama Hawa uwa ni wachache sana

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 2 місяці тому

    UYU atachukuwa na viongozi wa Africa wenzake kazi yao ni wizi na kuziujumu nchi zao yeye ni mzalendo yupo na wananchi big up sana kwake

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 3 місяці тому +1

    Mr President captain Ibrahim Traore Allah bless you keep it up

  • @dottomanyesha9692
    @dottomanyesha9692 Місяць тому

    Haka kanchi kadogo wanaweza kitaendelea kushinda nchi kubwa kama Tanzania,sisi tuna maliasili nyingi lakini hatuna fanya kitu mfano huo ili kuinua kilimo ambacho utu wa mgongo waTaifa letu. Mungu amlinde aendeleze kukuza uchumi wa nchi yake.

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 2 місяці тому +1

    Allah amlinde traole

  • @kephasbernad2101
    @kephasbernad2101 3 місяці тому +5

    Hongera sana Kwa jambo ulio wafanyia wananchi mungu akulunde Kwa Kila jambo

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 3 місяці тому

    Thanks God for this young African leader for this life stily, God bless you,God will be with you,for ever.Amen

  • @selestinfrancis5904
    @selestinfrancis5904 3 місяці тому +1

    Kila laheri Mwenyezi Mungu akujalie Afya Njema na hekima

  • @fredrickmwegole7337
    @fredrickmwegole7337 3 місяці тому +6

    Uyu jamaa alihitaji apate nchi nyingine zakusaidiana wasimuache pekeake

  • @waziriyusuphsebunga1057
    @waziriyusuphsebunga1057 3 місяці тому +3

    Huyu atakuwa kiongozi wa kwanza afrika kwa kununùa matrekta mengi kwa ajili ya wakulima wadogo

  • @JaphetJuma-kq4ve
    @JaphetJuma-kq4ve 3 місяці тому +2

    Mungu ampatie maisha marefu

  • @DanielJasson-kp7ip
    @DanielJasson-kp7ip 3 місяці тому +3

    Mungu amlinde. Tatizo hawa viongozi wazalendo huwa hawadumu

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 3 місяці тому +1

    Safi sana kiongozi unayeona mbali. Wasikupende kwa nini? Huo ndio uongozi, hongera sana kwa upendo wako kwa wakulima.

  • @iraakasubete8287
    @iraakasubete8287 3 місяці тому

    Mwenyezi mungu amjaalie afya,busara,hekima na umoja katika jamii yake.

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 3 місяці тому +4

    Nyie mama anazururaa kwa mwarabuuu mara saizi nasikia Yuko ufaransaa kudadeki siku zinakujaa tutawafulumuaaa hapo ikuluu mda unakuja utaongea na mtakimbia hii nchii

  • @hatybshenkondo373
    @hatybshenkondo373 3 місяці тому

    Safi Sana broo uwongozi ni hazina kwa mungu pia utaulizwa Safi Sana kijana pambana we inatakiwa kuwa raisi wa afrika

  • @PetroKiyeyeu-ur4zg
    @PetroKiyeyeu-ur4zg 3 місяці тому +3

    safi sana tlaole mungu amuogezee maisha marefu na maarifa zaidi

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 3 місяці тому

    We love you Ibrahim good protect you and your family 🙏

  • @Imanijotham
    @Imanijotham 3 місяці тому

    Mungu akulinde ibrahimu twahole wewe ni zaidi ya nabii

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 3 місяці тому +2

    Mungu amlinde anaweza kua msaada hata kwa Tanzania 🇹🇿

  • @mackjonathan1005
    @mackjonathan1005 3 місяці тому

    Na haya mapinduzi ndio tunayo yalilia hapa kwetu tz, na sio kila siku wananchi tunalia kwa sababu ya maisha magum tuwezeshwe tunaweza inchi ndogo kama hiyo inafanya vitu vikubwa kama hivyo sisi ni kushindana na v8 haki mungu ila siku yaja.

  • @michaeltafuteni127
    @michaeltafuteni127 3 місяці тому

    Kwa kweli Mungu amuweke maisha marefu wengine waige mfano

  • @latestfunnyvideo2187
    @latestfunnyvideo2187 3 місяці тому +2

    Kiongozi yeyote wa Africa akiwa fisadi tu mabepali wanamuunga mkono ila akiwa mzalendo wanampiga vita, wa na support ufisadi ili waendelee kutukopesha na kulipa rasilimali zetu

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 3 місяці тому +2

    Tanzania ndiyo inaongoza kwa kuwa na viongozi wenye Roho mbaya sana,kwa watu wake maskini, RIP JPM

  • @WingodEpafra-dl1cd
    @WingodEpafra-dl1cd 3 місяці тому

    Mungu akupe maisha mrefu yenye uongozi Bora kwa kuwajali maskani

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n 3 місяці тому +1

    Mungu ampe umri mrefu 🤲🤲🤲

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 3 місяці тому +3

    Hakuna kiongozi nampenda kama Ibrahim Traore,Yule kaka ninoma

  • @mohamedsultan4658
    @mohamedsultan4658 3 місяці тому

    Good idea

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 3 місяці тому

    hongera sana ila ni muhimu wawe na documented vision ya miaka hata 50 ili wasiyumbe wawe focused hata kama uongozi utabadilika

  • @danielkwilemba4715
    @danielkwilemba4715 3 місяці тому

    Awesome

  • @happynesmyeph
    @happynesmyeph 3 місяці тому

    Unapaswa kuigwa kamanda hongera Sana kaka.Mungu akutunze.

  • @PhilipSungu
    @PhilipSungu 2 місяці тому

    Very good master good idea

  • @user-pw2zi3sd7h
    @user-pw2zi3sd7h 3 місяці тому

    Uzao mzr sana anajua maisha ya watu

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 3 місяці тому +1

    Wa kwetu Kila siku anashinda angani tu.Wanashikiza kutumia nishati ya Gas lakini Gas hipo juu na kupanda Ndege Kuelekea Kila nchi

  • @noelngowitechnicalsolution
    @noelngowitechnicalsolution 3 місяці тому

    Good Mindset

  • @user-hh5ew8wb7d
    @user-hh5ew8wb7d 3 місяці тому +2

    Mola amlinde inshaalah

  • @user-yh6nz6ri2m
    @user-yh6nz6ri2m 3 місяці тому

    African hero for economic development Traore is just a man of the people.

  • @aderinamkula146
    @aderinamkula146 3 місяці тому

    Congratulation , the man of Africa

  • @rashidmkoga3053
    @rashidmkoga3053 2 місяці тому

    Mungu amlinde na afikie azma yake
    Na atakae jichanganya kumhujumu huyo lazima anyongwe

  • @khamisihussein8777
    @khamisihussein8777 3 місяці тому

    Mashaallah Allah Akulinde Ameen

  • @user-gd1yp1tu6g
    @user-gd1yp1tu6g 3 місяці тому +1

    Mungu amulinde milele

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 3 місяці тому +1

    Congratulations 👏👏 mr president

  • @tatukigua5456
    @tatukigua5456 3 місяці тому

    ❤❤❤❤mungu amzidishie umr mref

  • @JonathanMatembo
    @JonathanMatembo 2 місяці тому

    Tanzania tungepata kiongozi mzuli mchapa kazi kama huyu watanzania tungekuwa mbali sana,lakin leo watanzania tunateseka kwajii ya viongozi wezi wala rushwa wabinafsi wanajilimbikizia mali, CCM ni janga kubwa sana la kitafa,adui namba moja wa watanzania ni chama chakavu cha CCM na family zao.

  • @bartholomewasorael6616
    @bartholomewasorael6616 3 місяці тому

    Watu wa hivyo ni wale wanaokulia maisha ya changanyikeni anajua uhalisia wa maisha ya watu wao nyumbani lazima awe na uchungu na maisha ya kila mmoja achana na watu waliozaliwa wakakuta kila kitu hawajui kuwa kuna masikini na watu wenye maisha duni

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 3 місяці тому +15

    MAGUFULI

    • @user-tt7ty7fe7f
      @user-tt7ty7fe7f 3 місяці тому +3

      Tu na pata magufulication mwengine

    • @saikomkumbwa4812
      @saikomkumbwa4812 3 місяці тому

      Tofauti kabisa magufuli alikuwa mwizi tu awezi akafanana na ata kwa asilimia moja mmlijazwa movie kama za makonda

  • @samkisawani
    @samkisawani 3 місяці тому

    Hizi nzuri sana 👏👏👏👏👏

  • @deodatuselias412
    @deodatuselias412 3 місяці тому

    Nimzalendo waukweli kabisa siompigaji Munguambaliki sana

  • @tegezdomin8363
    @tegezdomin8363 3 місяці тому +2

    Huyu yupo vizuri,sio kama hawa wanaenda kununu roboti na kutudanganya eti nchi inakuwa kitechnology

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 3 місяці тому +2

    Allah amtiliye wepesi

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 3 місяці тому

    Africa ingekua inafanya hivi toka miaka ya 60 tulivyojipatia uhuru...tungekua wapi leo hii..rushwa na anasa za ovyo tu..bora viongozi wahakikishe vipato vya wengi vinakua ndo mnasifika mmeendelea...hata mkiiba madola mkajaza makontena nyumbani kwenu then mkawaacha wengi maskini ni kazi bure tu...tunaonekana wote ni maskini tu...hizi anasa ndo zinaponza bara letu ...

  • @bakarmsangimsangi7757
    @bakarmsangimsangi7757 3 місяці тому

    Mashaallah baraka laah

  • @peterdominick27
    @peterdominick27 3 місяці тому +1

    mwamba ndio akina magufuli enz zao ipo siku atakumbukwa mungu amlinde capten huyo

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 3 місяці тому +2

    Njoo na bongo utukomboe sisi vijana mana bongo v8 za uma kila kona

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 3 місяці тому +1

    Definition ya leadership in tz is in kiswahili

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 3 місяці тому +2

    Kweli mtu akishiba na akiwa na uhakika wa kushiba tena baadae, lazima atakuwa jeuri

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 місяці тому +1

    Mainshaallah

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 3 місяці тому +1

    Hongera sana mwamba

  • @samwelynzaly1175
    @samwelynzaly1175 3 місяці тому +3

    Sasa Kama ni mda mchache tu amefanya Aya ikipita miaka mitano hiyi ichi itakua Dubai ndogo

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum 3 місяці тому +7

    Bongo wako bize na loboti 😀😃

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 3 місяці тому

      Tumepga hatua mno, Robot anapokea wageni miaka 63 ya uhuru, mchezo

  • @user-dh2zb2dm1v
    @user-dh2zb2dm1v 3 місяці тому +1

    Safi Sana

  • @user-ut3gf1tg2n
    @user-ut3gf1tg2n 3 місяці тому

    Mwenyezi MUNGU akulinde usiwe kama rais wetu

  • @MasingaChalau
    @MasingaChalau 3 місяці тому

    Hongera sana ingekuwa hapa tz tungenunua v8 adi zkome

  • @geraldlusinde
    @geraldlusinde 3 місяці тому

    Shida yaviongozi waafrika wanapenda sana vyakupewa hiyo ndoshida

  • @dottomanyesha9692
    @dottomanyesha9692 2 місяці тому

    Hivi sisi Tanzania
    Hata matrekta 1000 kila mkoa si tungekuwa mbali sana, huyu anastahili kuigwa

  • @MasterVoltron
    @MasterVoltron 3 місяці тому

    Ila Sasa shida Kwa wananchi wenyewe
    Kama Kiongozi ametimiza wajibu wake je wananchi wenyewe watalichulia Kwa uzito kulinyia Kazi na kuendana na mawazo kama ya kiongozi wao.

  • @samkisawani
    @samkisawani 3 місяці тому +1

    Tungepata watu kama hawa hakika tungeishi kama wafalme
    🗽🗽🗽🗽🙏

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 3 місяці тому +4

    Tatiza la tz sio Zanzibar ni tatizo la viongozi wao hawajali raia endapo mtatengana na Zanzibar bac mtanguka zaidi ya hapo kwasababu Zanzibar kuna watu waimani ya msimamo wao sawa na huyu Ibrahim toure

  • @BakariJiliwa
    @BakariJiliwa 3 місяці тому

    Mwinyezi mungu akulinde

  • @jeanbosconsengiyumva7732
    @jeanbosconsengiyumva7732 3 місяці тому +1

    ❤good

  • @hatybshenkondo373
    @hatybshenkondo373 3 місяці тому

    Nice boo your African president

  • @IDDMWENDO
    @IDDMWENDO 3 місяці тому

    Nchi hiyo itakuja kasi sana kiuchumi...
    Viongizi wajifunze basi kwenye hilo japo kidogo...
    Viongozi wengi wanakimbilia magari ya starehe bila kujali wananchi wao kwa kuwainua kiuchumi...

  • @MashakaZacharia-if9pm
    @MashakaZacharia-if9pm 3 місяці тому

    Mungu nasie atupe kiongozi kama huyu jamani tz 😢😢 anaetuona ss wakulima wa chini ani mana nchi zingne ata rais akinunua matrekta kama hvi yabgeishia mikononi mwa wachache tu ani ma bwanyenye mungu awalaani viongoz wabaya wote

  • @BrianShirima-s3d
    @BrianShirima-s3d 16 днів тому

    Natamani sana atokee raisi kama huyu Tanzania

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 3 місяці тому

    Hongera sana kijana wa maono ya kiuchumi

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 3 місяці тому +1

    Maraisi wetu wa afrika ya uku kwetu wanamchukia sasa yani wanatamani aharibikiwe. Roho mbaya

  • @angenyalusischmidt2321
    @angenyalusischmidt2321 3 місяці тому

    Mungu Amuweke❤️🙏

  • @JoelJustine-u3i
    @JoelJustine-u3i 3 місяці тому +1

    apa vijana tuchukue somo mi ntahamia bukinafaso nikalipe Kodi maana Kodi yangu haitatumika Kama nauli ya ndege bali itanunua matrekta na pikipiki kwa ajili yangu badala ya kutoa Kodi kwa ajili ya kuwalipa wasifiaji wasiokuwa na uchungu na wananchi hapa kitakachotusaidia ni mapinduzi mengine

  • @OumaLaurence-zz4xt
    @OumaLaurence-zz4xt 3 місяці тому

    Ongera san