Kumbukizi ya miaka 10 ya Dk Magufuli akikagua mradi wa barabara ya Ndundu Somanga ya 65KM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2023
  • #Magufuli #Tanzania #Magulificationoftanzania #short #shprts #shortvideo #shortsvideo #shorts
    Kumbukizi ya miaka 10 ya Dk Magufuli akikagua mradi wa barabara ya Ndundu Somanga ya 65KM. Alipokuwa waziri wa ujenzi na usafirishaji.
    DR MAGUFULI AKAGUA NDUNDU SOMANGA 65 KM II Jul 19, 2013
    Licensed under a Creative commons AttribushareAlike 4.0 International License. Based on a work at https

КОМЕНТАРІ • 46

  • @christophertanu1880
    @christophertanu1880 Місяць тому +21

    Magufuli ulikuwa Rais kweli kweli. Kifo chako ni pigo la maisha kwa nchi yetu. Umetuachia Shida baba😭

  • @nyandaephraim4039
    @nyandaephraim4039 Місяць тому +10

    Rais wangu Magufuli endelea kupumzika kwa Amani ulitupenda sana🌹

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 9 місяців тому +15

    Mzee miss you sanaaa!!!!ulikua na matumizi sahihi ya akili!!!

  • @mamboshepea8888
    @mamboshepea8888 10 місяців тому +11

    Hatuwezi elewa...unafki mwingi Afrika ukiwa mkweli hupendwi, kwa wenzetu wazungu hakunaga unafki...ndo maana kuna usemi unasema aheri mchawi kuliko mnafki anakuangamiza huku anakuchekea!!

  • @user-vv6ox9xh9k
    @user-vv6ox9xh9k Місяць тому +11

    Hakika huyu ndie alikua kiongozi mpenda nchi yake, alikua mtu sahihi kwetu

  • @Jumacharlesmadale2958
    @Jumacharlesmadale2958 Місяць тому +11

    Baba ulikuwa kiongozi mzalendo sana siwezi kupingana na mipango ya MUNGU ulikuwa Rais

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 10 місяців тому +16

    Huyu Mze hakuwa kuwa fake toka mwanzo wa maisha yake. 😢😢
    Sijuwi kwa nini wa Afrika hatuelewi umuhimu wa hizi hazina😢😢

    • @geey7893
      @geey7893 Місяць тому +2

      Roho mbaya na uroho

    • @toymadebho7048
      @toymadebho7048 Місяць тому +2

      aise namm nashangaa kwnn ha2elew

  • @johanesitembe2440
    @johanesitembe2440 Місяць тому +6

    Hapa kazi tu

  • @shakaurembo477
    @shakaurembo477 10 місяців тому +10

    Msema kweli
    Rip 🎉

  • @MzunguNamungu
    @MzunguNamungu 27 днів тому +2

    Ulikua vzr mno father,waliofanya mtandao wa kukuua wametutesa cn watanzania.hakika Leo tunalia

  • @davykisabo875
    @davykisabo875 Місяць тому +6

    Dah huyu ndiye mwana halisi wa Africa, kazi yake mola Haina makosa umelala usingizi wa milele ila vitendo vyako , maneno yako yataishi vizazi na vizazi

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 Місяць тому +5

    Alikuwa mwamba kweli kweli rip jpm

  • @joelmnzava
    @joelmnzava 10 місяців тому +15

    Mzee alikua mtata tangu miaka akiwa wizara ya ujenzi

    • @geey7893
      @geey7893 Місяць тому +2

      Aisee ivi hawakuogopa kumpa uraisi mtu mkorofi hivi😂😂😂😂

    • @ananiachelesi1486
      @ananiachelesi1486 Місяць тому +6

      Na wewe ni miongoni mwa waafrika usiyeelewa ukorofi na ufatiliaji na uwajibikaji ni nini.mwisho umetafusili mkorofi aise pole.

  • @stevinmwanzaa1785
    @stevinmwanzaa1785 4 дні тому +1

    Hapo bado ni wazir

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 Місяць тому +4

    R. I. P Mjomba MAGU😭😭😭😭😭

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840
    @zakariapaulowiliamuwiliamu1840 Місяць тому +4

    kwangu bado n RAIS wangu hadi apatikane wakumzidi

  • @user-vf8wv8hi5b
    @user-vf8wv8hi5b 29 днів тому +2

    Jpm nimekumiss sana Mzee wangu but sababu mungu kakuita bas sawa kapumzike kwa amani rais wangu naimai ww ndio rais wangu mpka natiweka duniani

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh 28 днів тому +2

    Wapigaji hawakuwa na nafasi na tena. Saa hii wanaendelea na upigaji wao. Pumzika baba

  • @babajohn8308
    @babajohn8308 10 місяців тому +4

    Dah😢😢

  • @innocent91044
    @innocent91044 Місяць тому +6

    Nnammiss Sana huyu Mzee Kila nikitizama yanayoendelea nnashindwa kuelewa ni kwanini aliondoka mapema hivi.

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Місяць тому +3

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kaayafred3545
    @kaayafred3545 9 місяців тому +8

    Otakumbukwa afrika nzima kwa ukweri wako ,Baba

  • @geraldndila5172
    @geraldndila5172 Місяць тому +2

    Robert sidhani kama utakuwa naakili timamu aisee

  • @bennie7239
    @bennie7239 29 днів тому

    Huko kanda ya ziwa misimamo ya hii bado ipo, wekeni chuma kingine nchi inyooke hii. Watu pwani wanabembeleza mno 😎

  • @ElishaKalinabhene-mm2fr
    @ElishaKalinabhene-mm2fr 19 днів тому

    👊

  • @kalokolamulumbe8445
    @kalokolamulumbe8445 13 днів тому

    Jaman jpm .

  • @mussahancy6591
    @mussahancy6591 17 днів тому

    R.I.P

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Місяць тому +2

    Huyu jamaa alikua kiongozi mzuri lkn kosa kubwa alilolifanya kua wapinzani dictetor wahatari

    • @user-sh3tr8cm1v
      @user-sh3tr8cm1v Місяць тому

      Kiongozi lazma awe mang'a huku Bara la Africa, la si hivyo...

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv Місяць тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @josephnyalomba860
    @josephnyalomba860 20 днів тому

    Leta futi 😂😂😂😂😂R.I.P J.P.M

  • @YoakimMsuha
    @YoakimMsuha 7 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 daaa

  • @JohnMongi-gp2zj
    @JohnMongi-gp2zj 25 днів тому

    Hatar sana magufuli

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 27 днів тому

    Tshet za jpm zinapatikana wapi

  • @HamadiRamadhani-y2n
    @HamadiRamadhani-y2n 5 днів тому

    Hapakazi tu

  • @edwardmwambene3748
    @edwardmwambene3748 Місяць тому

    RIp jpm

  • @user-yq4wf4qo9t
    @user-yq4wf4qo9t 22 дні тому

    Yupo mtu anaitwa Masunga hanafaa kuwa raisi wa nchi.

  • @kalokolamulumbe8445
    @kalokolamulumbe8445 13 днів тому

    Jaman jpm .

  • @ELISHAPHILLIPO
    @ELISHAPHILLIPO Місяць тому

    Baba tutakukumbuka

  • @kalokolamulumbe8445
    @kalokolamulumbe8445 13 днів тому

    Jaman jpm .