SISI SIO OMBA OMBA, MALI NIGER NA BURKINA FASO WAMEMUAMBIA MCHINA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

КОМЕНТАРІ • 68

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 6 днів тому +13

    Tutamkumbuka hayati magu alikuabongejitu lenyemaono miakamitano ilikuamaendelea super

    • @mathiasmb4967
      @mathiasmb4967 5 днів тому

      Magu angekuwa hai na kukumbana na vigogo hivyo vya west Africa…aiseee ingekuwa balaaa

  • @PatrickEmanel
    @PatrickEmanel 6 днів тому +5

    Wachambuzi mpo vizur nimewapenda❤❤

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 6 днів тому +11

    Africa sisi ndio tunatakiwa kuwasaidia manyang'au lkn viongozi wetu wanajipeleka wakati wao ndio wanatutegemea kwa kila kitu..Africa lazima tujitambue jamani sisi sio kichwa cha dunia hongera Sahel Region

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 6 днів тому +7

    Hawa vijana nawapenda sana

  • @user-qh9gw2vr6k
    @user-qh9gw2vr6k 6 днів тому +10

    Ukuu wa Muwafrika udumu milele kati yetu ktk imani zetu pamoja
    From Uroa school Zanzibar

    • @faza4023
      @faza4023 6 днів тому

      One love from Tanzania bara

  • @Rolemodel_wa_taifa
    @Rolemodel_wa_taifa 6 днів тому +9

    Alikuwepo Mwamba Mmoja katika Taifa Masikini akalipeleka Taifa kuwa na Uchumi wa Kati ila Ndugu zake waka muua

  • @mgoshatozagosha2967
    @mgoshatozagosha2967 6 днів тому +5

    Burkinabe ooyyeee

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 6 днів тому +11

    Africa ina umizwa na akina kikwete

    • @SolomoniRingia
      @SolomoniRingia 6 днів тому +4

      Safi sana mwanangu umeandika koment ya kishujaaa sana mimi mwenyewe nitarudi Tanzania kama kikwete atakuwa amekufa na kuzikwa coz hawezi kuongoza nchi mpaka leo hii na kujitapa kuendelea kuwa raisi watanzania which means yule malaya salma kawekwa na yeye pale kwenye kile kiti cha uraisi... Big up mwanangu kwa kujitambua 🎉🎉😂❤

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 6 днів тому

      ​@@SolomoniRingiami sitaki kurudi ad nisikie kuna kiongozi mwenye uchungu kama Traole

  • @alimzee
    @alimzee 6 днів тому +3

    Africa 💪💪💪

  • @AliciusBarnabas
    @AliciusBarnabas 6 днів тому +4

    Mwalimu Nyerere alisema siku tukipata viongozi wenye akili Tz utakuwa juu sanaaaa

    • @-vw9yz
      @-vw9yz 6 днів тому +1

      Wenye akili za aina gani , za shuleni au za wapi.

    • @SolomoniRingia
      @SolomoniRingia 6 днів тому

      Bado sanaaa

    • @AliciusBarnabas
      @AliciusBarnabas 6 днів тому +3

      @@-vw9yz ukiwa unafuatilia masuala nyeti kama haya lazma uhakikishe una D mbili ndo utaelewa tofauti Na hapooo tutakesha kuelewesha

    • @abdulpagali7476
      @abdulpagali7476 6 днів тому

      Kwani yeye hakuwa na akili? Mbona wakati yeye anatawala hatukupata maendeleo tunayoaona? Yeye akili zake zilikuwa za nini mpaka atake za viongozi wengine?

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 6 днів тому +3

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 5 днів тому +1

    Kwa hiyo umeamua kumsema mama kiana eee🤣🤣🤣 ila kweli

  • @AthumanTopela
    @AthumanTopela 3 дні тому

    Awaaa ni wanaume wa Africa sio Tanzania

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 6 днів тому +2

    MWALIMU ISAYA MWAKILEMBE HAKIKA WEWE NIJEMBE kwawaafrima wenyeuelewa viongoziwetu wazindukane wawenauzalendo wasiyafanye mataifa yaafrika kuwachocholawazungu kilasiku nikukimbiatu😂

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf 2 години тому

    Viongozi wa Afrika inatakiwa wabadilike

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 6 днів тому +2

    Unapitwa sana brother vijana wa nato wamejiunga na Jeshi la putin wanaipiga Ukraine 🇺🇦 😂😂😂😂 uko wpi mbona huleti hii nenda @TOI news ukaleteee wananzengo wafurai

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 6 днів тому +2

    Putininae anachelewa kuwamaliza haowashirika WA marekan kwanyukilia haohawatutakii mema sisi waafrika 🤸‍♂️🤸‍♀️awapigishe sarakasi tu waisome namba

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 6 днів тому +1

    Mama enuuu kaendaaa kuomba reli akati treni uku inazimaaa

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 6 днів тому +1

    Mbona huongelei samia kwa kukazi bandari misitu nakufukuza wamasayi

  • @NgareliChacha-d2p
    @NgareliChacha-d2p 4 дні тому +1

    Wew ni muogo una shabikia urus 😎😎

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 День тому

      Kushabikia Urusi kunakufanya uwe muongo?
      Huo ni mtizamo wako chacha sio lazima ufanane na WA kwake tata

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 6 днів тому +1

    TANZANIA 🇹🇿 NAYONDIO HIVYO HIVYO BADAYA KWENDA MBELE TUNATUFI NYUMA KWA KUWAFUWATA WEUPE NI UPUMBAVU TUNAENDESHWA

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 6 днів тому +1

    Nchi za kiafrica zote zingefanya hivo ndani ya Miaka 20 tu kingeeleweka wangetubembeleza lakini wapi

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 6 днів тому +1

    Kauli za magufuli wanazirudia rudia kila mara hawa jamaa wana kitabu cha magufuli tu

  • @exaudmphuru6172
    @exaudmphuru6172 День тому

    Kwa Nini tunaongelea ya nchi za wezetu. Kwa Nini tusiongelee na nchi yetu ya Tanzania

  • @davidmwita5556
    @davidmwita5556 5 днів тому

    Brother big up, you try to inspire African especially Tanzanian to move out from exploitation through several ways, I see you use religion sometimes and even political fact🙏🙏🙏

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 6 днів тому +1

    Africa Africa viongozi wetu mna nini

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 6 днів тому +1

    Mwalimu Benson, huo ni ukweli uliowazi usiopingika kwa wenye kujielewa. Tuliaminishwa karne na karne kuwa bara ma Afrika ni masikini. Kumbe viongozi wetu wengi walikuwa masikini wa akili na maono, hivyo mabeberu wameiba, wamenyonya mpaka maziwa yanakaribia kutoa damu, hapo baadhi ya vijana na viongozi shupavu wamefumbua macho na akili sasa tunaanza kuuona mwanga. Mzee Magu tunamkumbuka, viongozi wote wa bara la Afrika amkeni kuweni na huruma na wananchi mnao waongoza ili maendeleo ya kweli yaonekane na raia waone raha ya uhuru na thamani yao katika nchi zao. Acheni ufisadi na tamaa ya kujilimbikizia mali mnazopora kwenye nchi zetu, ipo siku mtaziacha na kuingia kaburini ukiwa mtupu

    • @gosbertireneus5558
      @gosbertireneus5558 6 днів тому

      nimependa andiko lako,ila nionavyo mie ni kuwa viongozi kuwajali watu wao,kuacha ufisadi na uroho wa madaraka haviwezi kupatikana kwa kuwaomba wafanye hivyo,ila yafaa njia mbadala itumike..

  • @MedySharif
    @MedySharif 5 днів тому

    Naomba muwashauri urusi na nchi za afrika waachane kufuata katiba za nchi za magharibi katika uongizi.waweke maraisi wa kudumu na sio kubadilisha maraisi Kila wakati hatutofikia malengo.

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 5 днів тому

    Vichwa vya waafrika vinashida sana

  • @gosbertireneus5558
    @gosbertireneus5558 6 днів тому

    hilo la sisi siyo omba omba lilishasemwa kwetu enzi za hayati,mang'anyau walinuna sana

  • @yoabumoris9668
    @yoabumoris9668 6 днів тому

    Naogopa watakuja ukiwa alaiki kwakukusanyika sehem moja

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 6 днів тому

    Tanzania😢😢😢

  • @yoabumoris9668
    @yoabumoris9668 6 днів тому

    Naogopa watakuja ukiwa pamoja

  • @AkhanThomson
    @AkhanThomson 6 днів тому

    Umenena ukweli kabisa

  • @josephinarobert3325
    @josephinarobert3325 6 днів тому

    U.t.a wameshidwa kuitibu haoni kama niugonjwa hatari

  • @josephinarobert3325
    @josephinarobert3325 6 днів тому

    Viongozi watanzania hawana maono wamebski tekana tu ichiinamali nyingisana wameshindwa hatakuwatibu mangwa wanaichi wao

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 6 днів тому

    Nimesimama nyuma ya hao viongozi wa jumuiya ya AES. Pamoja milele!

  • @NaimanaMzala
    @NaimanaMzala 6 днів тому

    🙏

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 6 днів тому

    Magufuli angekuwepo mpaka reo inchi yetu ingekuwa mbali sana kimaendereo Sasa duu tumebaki omba omba Tanzania Mali kibao duuu😂😂😂

  • @DaniellNhonya
    @DaniellNhonya 6 днів тому

    Sifa za wasomi wetu waliombele wamesomea uchawa ni makofi bungeni hata kama jambo la honyo maadam kaongea aliemuwema kwenye nafasi ile

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 6 днів тому

    Putine ni kama rais wa Africa

  • @rajabuathumani1586
    @rajabuathumani1586 6 днів тому

    Maneno kuntu

  • @user-bl6dr9uh6s
    @user-bl6dr9uh6s 6 днів тому

    Mr Benson mbona leo hujatupa za Moscow twaskia imepigika uko

  • @simonmwaliru8590
    @simonmwaliru8590 6 днів тому

    Mbona nao walienda urusi na wakapewa silaha na chakula.Tuache maneno matamu ambayo yamekuwa yakijirudiarudia toka tupate Uhuru.

    • @babuuosama8752
      @babuuosama8752 6 днів тому

      Wote watatu kweli wame engemea Russia na China kwa ushirikiano wa maendelea na ushirikiano wa kibiashara . Kulikoni hao mabepari wavamizi wa nchi za Africa kupora na kueneza matatizo Africa America British France Majambazi Waporaji Africa Tunawatimua 😮

  • @AthumanTopela
    @AthumanTopela 3 дні тому

    Awaaa ni wanaume wa Africa sio Tanzania

  • @user-bl6dr9uh6s
    @user-bl6dr9uh6s 6 днів тому

    Mr Benson mbona leo hujatupa za Moscow twaskia imepigika huko

    • @SolomoniRingia
      @SolomoniRingia 6 днів тому +2

      Acha umbea wewe kwan Ukraine ishapigwa mara ngapi na hujawahi kutaka habari zake... Na wewe ni kibaraka nini?