Mtumishi wa Mungu unanibariki sana Mungu akulinde, Mungu akutetee , Mungu awe ngao yako siku zote za maisha yako, Mungu abariki na uzao wako,kila unalifanya Mungu alifanikishe kwa jina la Yesu kristo aliye hai,Amina
Namshukur Mungu kwani somo hili limeenda kujib maswali yangu niliokuwa najiuliza kuwa kwanini Mungu aliufanya moyo wafarao mgumu…leo nmeelewa kuwa kumbe kusud la Mungu lilikuwa ni kuangamiza miungu ya misri kwanza ndipo wana wa israel waondoke misri🙏
Mch. Mmbaga upo sahihi sana kuwa Mungu ni halisi. Evolution siyo halisi ni uzushi tu (unintelligible ). No single evolutionary postulates have been observed . To the contrary ,every creationist postulates have been observed. That settles it.
Nina swali... mashindano ya Olympic yalifanyika kwa heshima ya mungu zeus wa ugiriki...je kuna madhara gani kwa mkristo kushiriki au kushabikia mashindano hayo leo...??
Baba yangu mwema mtunze mtoto wako huyu katika jina. la yesu amen
Barikiwa zaidi baba
Umekuwa zaidi ya baraka kwangu
Nakufata nikiwa DRC congo
Asante pastor kwa haya mafundisho...Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri wa kuieneza injili yake
Naomba maombi juu ya mume wangu macho yake yanazibwa na ukungu mweupe hata kazi hajaenda wiki 2..naamini atapona..Amen..asante kwa mafunxo
@@marthakalekye8069 atapona kwa Jina la Yesu
Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza Mchungaji.
Mungu akubariki pr kwa mafundisho mazuri Mungu azidi kukufunika na damu yake🙏 naazidi kukupa ufahamu zaidi na zaidi
Amen mentor may GOD CONTINUALLY BLESS YOU AND INCREASE YOUR BOUNDARIES
Mtumishi wa Mungu unanibariki sana Mungu akulinde, Mungu akutetee , Mungu awe ngao yako siku zote za maisha yako, Mungu abariki na uzao wako,kila unalifanya Mungu alifanikishe kwa jina la Yesu kristo aliye hai,Amina
Mungu azidi kukutia nguvu Mtumishi wa uendelee kufungua macho walio gizani.
Mchungaji Mungu akubariki na azidi kukufunulia zaidi na zaidi ili wana wa Mungu wajengwe kiroho,umenijenga imani zaidi na zaidi
Barikiwa sana Pastor unapoendelea kutufundisha
Asante sana una tuyiya moyo
Tangu nianze kufwatiliya nina amani
Mungu aendeleye kuku tumikisha
Niko RDC)goma
Amen asate mungu mafundisho mazuri nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏
AMINA PR. ZIDI KUBARIKIWA.
Thanks pastor mbaga tukutane mbinguni
Nimejus thamani yangu God bless you
Namshukur Mungu kwani somo hili limeenda kujib maswali yangu niliokuwa najiuliza kuwa kwanini Mungu aliufanya moyo wafarao mgumu…leo nmeelewa kuwa kumbe kusud la Mungu lilikuwa ni kuangamiza miungu ya misri kwanza ndipo wana wa israel waondoke misri🙏
Amen pastor nina shida ya kisaikolojia ninakupataje
U so blessed pastor
And thanks for the word
Kwali kabisa nimeipenda ilisomo 👏🙌🙏🏻
Am blessed by this sermon
BARIKIWA SANA PR.MMBAGA.
Amina Pastor, Mungu azidi kukuangazia nuru za uso wake
Amina. Barikiwa sana Pastor.
Ubarikiwe sana pr yaani mahubiri yako yamenibariki mnoo, mwenyezi MUNGU azidi kukutunza ili tunufaike na madini yako🙏🏼🙏🏼
Amen
Thanks!
Barikiwa Pr kwa ujumbe mzuri
May GOD continue using you in a MIGHTY way so that many will know the LORD and be saved, 🙏🙏.
Thanks God you are on air finally coz have been waiting for it eagerly since last night, let us all stay blessed by the word greatly 🙏
Barikiwa or kwa ujumbe mzuri
Mch. Mmbaga upo sahihi sana kuwa Mungu ni halisi. Evolution siyo halisi ni uzushi tu (unintelligible ). No single evolutionary postulates have been observed . To the contrary ,every creationist postulates have been observed. That settles it.
Nabalikiwa sana
AMEN
SAWA mchungaji 🙏
Ubarikiwe sana Mchungaji umenifumbua sana macho ya kiroho
Eagerly waiting
AMEN . Tunakusubiri na tunakuombea
Aminaaaa
Ameeeen
Amen pastor nina shida ya kisaikolojia ninakupataje ?
Amina pasta
Pastor naomba niomber nasimbuliwa na nguvu za giza
Pastor kwanini kofia za vijana wa pathfinder pia zina umbo la mdomo wa samaki zenyewe hazihusiani?
Nina swali... mashindano ya Olympic yalifanyika kwa heshima ya mungu zeus wa ugiriki...je kuna madhara gani kwa mkristo kushiriki au kushabikia mashindano hayo leo...??
Jaman napataje majibu sasa
E
Unaniponya kiroho na kimwil li paster nBwanq n mwema tunakuombea ulinzi wa Bwana atuongoze
Pastor naomba number yako pls
Mbona hili somo halifunguki?
Wameandika linafunguka saa 12:00 Ndo maana my dear
@@user-cr1nk1zc5s Asante ndio naona sasa barikiwa sana my dear
Tubarikiwe sote my dear ❤