Yaani hilo janaume kama x hasband wangu shenzi zake alikua mbinafsi baba yule loh bora sasa nina maisha yangu yaani mtu anakuona upo kwenye maisha mazuri lakini husaidii ndugu
Naongea kama funzo mpenzi mana sikuachwa nilinunua talaka yangu mwenyewe na ambae hajamove on sidhani kama anaweza kuolewa na kuzaa Mimi nipo na ndoa yangu na nina amani kama zote nilipotoka sipatamani hata kupasikia
Pole sana Dada... Ila nimegundua hauko sawa kiakili mamy😢jitahd usikae peke yako jichanganye na watu ambao unahisi Amani kuwa nao.. UNAHALI YA KUSAHAU SAHAU HAPO KWA HAPO
Fundisho hapa kwa mabint wadogo kabla ya kuolewa mumchunguze mwanaume na khasa akiwa age go. Na uchunguzi uwe kupitia mke mkubwa kupitia hata rafiki zake
Nilishakuwa na mwanaume wa namna iyo mwisho wa siku yakanishinda nikaamua Bora nideal na maisha yangu mpaka Leo mtoto anamiaka mitano ajui ata mwanae anakula nini
Mh...we wasema tajiri mbona mi niliolewa na mtu wa hali ya nchini na mashriti ni hayo hayo hataki utoke ata nje upunge upepo ata kufaya kibiashara kama kuuza maandazi ilikua hataki yani mwanaume hasidi ukimwabia basi leo tutoe watoto ata kwenda beach anakwambia hayo ni mambo ya kizungu hahahha yani ni mtihani 😢
Hiyo ndoshida yakupenda maisha raisi na kuwapenda ambao wameshafanikiwa bila kujua wamefanikiweje badala yakumpenda ambae mtaanzamaisha yakujipanga pamoja.
@@jennet6484 huyo mtoto mwaka huu ndio anatimiza miaka 8 akiwa ndani ya darasa la 4 sasa cha ajabu ni nini ?la kwanza miaka 5 unapenda kukuza mambo sana haya endelea kubishana .
Izo stori za shetani acheni. Wanawake wengi ndiyo chanzo cha uovu ndani ya ndoa. Alafu Wanaume wakijibu ndiyo wanaonekana wabaya na awafai, wakati ninyi ni tatizo kubwa sana kwenye maisha ya ndoa. Ukizingatia wanawake wengi awajui wanacho taka kwenye maisha yao na wanatafuta makuu yasiyo yaweza katika maisha. Ninyi wanawake, Mbinguni aliko Mungu mkuu amtaiona kwa matendo yenu juu ya Wanaume waliyo waoa.
Yaan kuandik kote gazeti ila sijui hata umeongea nini na unajiita ety uwezo wa Mungu...wew ni mjinga kama mjinga huyo X wa huyo dada ..... nonsense wahed 😏😏
She got that relaxed beutiful deeper voice!
Ndoa nyengine ni kama umfungwa kama kwenda jela nakuelewa mi sikuolewa na tajiri ila niliyopitia anajua Mungu 😢
Binti utafika mbali sana kwasababu huna roho mbaya. Endelea kumtegemea Mungu peke yako, huyo siyo mume ni kisirani
Masha Allah you're beautiful ❤❤❤❤
Jamani wanawake tunapitia mengi ila tunajifunza nakupenda sana mama dee
Jamaa ana roho mbaya sana
Part two please😅 nimependa kuckiliza hii story
😂 shem wenu huyo , mbona ananikumbusha mbali
Maneno yako ni mazuri na yanafundisha sana
Daaaa nimesoma shule ya msingi tabta mtambani shule ya sec mgoza tabta maana nilikuwa nakaa tabta MATUMBI ❤ 20005 mbka 2011 ,,sec 2012_2015 magoza
Jamani mm nasumbuliwa sana na chunus mnapatikan wap 😢
Part two jmn
Zubeda❤
Yaani hilo janaume kama x hasband wangu shenzi zake alikua mbinafsi baba yule loh bora sasa nina maisha yangu yaani mtu anakuona upo kwenye maisha mazuri lakini husaidii ndugu
Mama kamamaa m shabiki ake sana
Nakupenda mama dee
Zubeda ❤Allah azid kukulinda baby
Hatari huyu mume jamani msingia kichwa kichwa lakini alikupeleka shule unakaa mkamavu
Nawakubali sana MBENGOTV namna mnavyomhoji Mtu hadi Raha🤝
Mdada mzuri sana
Bro was super TOXIC. Unaziba hadi choo? Hii ni maajabu!
Eti uwe munene uaribike kama Mama yako🤣🤣🤣
Dah kiatu chako kilikua cha zege hakivaliki
Part 2 plz😢
Mdada mzuri sana jaman❤
Hii haikuwa ndoa ilikuwa ndoano
My dear achilia hayo ambayo kwasasa huyaishi inakuwa kama huja move on... mshukuru Allah unaishi ndoto zako
Naongea kama funzo mpenzi mana sikuachwa nilinunua talaka yangu mwenyewe na ambae hajamove on sidhani kama anaweza kuolewa na kuzaa Mimi nipo na ndoa yangu na nina amani kama zote nilipotoka sipatamani hata kupasikia
Ka move on yeye anasimulia kama fundisho kwa wanawake wajifunze
Ni kweli usemayo mamangu furaha au huzuni ni pamoja Na watoto wako
mtangazaji mzuri anafanania kutangaza kam mina ally homgera sana mdogoangu utafika mbali
Pole sana Dada... Ila nimegundua hauko sawa kiakili mamy😢jitahd usikae peke yako jichanganye na watu ambao unahisi Amani kuwa nao.. UNAHALI YA KUSAHAU SAHAU HAPO KWA HAPO
Nimetoka kujifungua hivyo ni kawaida kwa mzazi mpya.
Na nina msiba wa mtoto wangu bado mapema siwezi kuwa sawa dear.
Pole sana@@Deekambeautyclinic730
Pole sana dada
Me nko na chunusi naomba number ya huyu dada anipee hayo mafuta please
Wanaume hawapendi watoto
Furaha si pesa. Furaha ni moyo ukiridhika
Fundisho hapa kwa mabint wadogo kabla ya kuolewa mumchunguze mwanaume na khasa akiwa age go. Na uchunguzi uwe kupitia mke mkubwa kupitia hata rafiki zake
Sio mabinti wadogo tu hata sisi wakubwa tuchunguze wanaume kupitia mke, ndugu zake wakaribu, marafiki zake kabla kuingia kwenye ndoa
😢😢😢😢
😅😅😅😅
Huyu Dada Yuko sahihi
Nilishakuwa na mwanaume wa namna iyo mwisho wa siku yakanishinda nikaamua Bora nideal na maisha yangu mpaka Leo mtoto anamiaka mitano ajui ata mwanae anakula nini
pole
Kikubwa tupo na furaha sanaaa
Hyo asubir akue ana kikaz atakuja mwanangu tumeyaoan kwa wengi snaa
Hatar
Uaribike uwe kama Mama yako
Huyo mume ni narcissist
100%
Wangu alikuwa ivo nlimwacha kwa mataa siwezi endekeza ujinga
huyo bwana alikuwa kutoka kabila gani sababu wanawake wawe na tahadhari kubwa
Huwez kumjugde mtu kwa kutumia ukabila
@jacforti3091 at least NI kuwa na tahadhari Tu
huyo bwana atakua utajir wake kunanamna sio bure lazma anamashart pole kwa yote na hongera kwaushujaa
Mh...we wasema tajiri mbona mi niliolewa na mtu wa hali ya nchini na mashriti ni hayo hayo hataki utoke ata nje upunge upepo ata kufaya kibiashara kama kuuza maandazi ilikua hataki yani mwanaume hasidi ukimwabia basi leo tutoe watoto ata kwenda beach anakwambia hayo ni mambo ya kizungu hahahha yani ni mtihani 😢
@aishabakari8040 huyo nibahili ,kwa story yahuyu unaona kabisa shirki ipo
Hi ni unyanyasaji pro max
Maambwa bwana mmn
Mbona nataka kuoalewa wa pili
Tupo pamoja 😢
Hiyo ndoshida yakupenda maisha raisi na kuwapenda ambao wameshafanikiwa bila kujua wamefanikiweje badala yakumpenda ambae mtaanzamaisha yakujipanga pamoja.
Looh wanaume utachuma nao vizur wakishafanikiwa tu wanatafute wakutumia nao
@@zaytunhijja6771umeona eh yan ni bahat ya mtu hawa wanaume hawatabiriki
Awe nacho, asiwe nacho wote Ni yale yale my dear😂
Mimi nafikiri sitoolewa kabisa sababu sio dhambi kuliko kukaa kwenye ndoa ya utumwa na mateso
Sio dhambi , lkn usizini...ukae na nyege mpk unakufa
@ismailmasoud6001 kufanya nafanya nikijisikia lakini kuolewa na mtu wa manyanyaso hapana hata hvyo huyo dada ni mvumilivu me siwezi😢
Lakin jaman darasa la kwanza miaka mi3🤔🤔kuna shule inakubali hilo hata kama zenye pesa au mtoto awe na upeo vip hiyo ni uongo
Ndio hivyo we endelea kubishana .
@Tommaxer ww chawa kwendraaa zako usidhan kila mtu boya fala ww
@@jennet6484 huyo mtoto mwaka huu ndio anatimiza miaka 8 akiwa ndani ya darasa la 4 sasa cha ajabu ni nini ?la kwanza miaka 5 unapenda kukuza mambo sana haya endelea kubishana .
@@Tommaxer hii interview ni ya mwaka huu na kasema mwanae yupo la4 ana miaka7..sasa ww msemaji wa familia za watu ndio unasema hayo
@@jennet6484mwaka huu ndio kwanza umeanza je kama anatimiza miaka8 mwezii wa3 je??tumia akili acha kukurupuka
Binti mpambanaji ila hakupata mtu sahihi,
Namba 2 please
Kwani huyu nani
Zubeda
😂Pole
Izo stori za shetani acheni. Wanawake wengi ndiyo chanzo cha uovu ndani ya ndoa. Alafu Wanaume wakijibu ndiyo wanaonekana wabaya na awafai, wakati ninyi ni tatizo kubwa sana kwenye maisha ya ndoa. Ukizingatia wanawake wengi awajui wanacho taka kwenye maisha yao na wanatafuta makuu yasiyo yaweza katika maisha. Ninyi wanawake, Mbinguni aliko Mungu mkuu amtaiona kwa matendo yenu juu ya Wanaume waliyo waoa.
So nyie wanaume mpo vizuri si ndio Acha ujinga wewe .
Yaan kuandik kote gazeti ila sijui hata umeongea nini na unajiita ety uwezo wa Mungu...wew ni mjinga kama mjinga huyo X wa huyo dada ..... nonsense wahed 😏😏
Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali shida WANAWAKE wengi hamjui m.mungu anataka nini.
Ww ni mkundu
Tatizo hawapendi kutolewa siri zao wanataka mabaya yao yafichwe ili wazidi kuonea watu
Nisaidien dada anatumia jina gani Instagram
Deekam beauty clinic