Aliyekuwa MUME wa DIVAH AMEPATA MTOTO?/MTAZAME MKE Wake ALIVYO MREMBO Hapa/HAITAKI BONGO FLAVA?/KIBA
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Shida nimoja walishazoea kuona wale mapepe sana mdongo wangu muombe Allah akupe wepesi wa ndoa yako❤❤❤❤🎉 hongera Sana wewe ndoo 1,2,3,kamba zote 🎉🎉🎉🎉
Uyo mwanamke anaoneka nikibuli sana tena sana ila ukimuangalia kwahalaka halaka bila kutuliza akili unaweza ukasema nimpole sana ila siyo mpole uyu myo mwanamke nikibuli tena sana zaidi yasana yani
Unamjua??
Anakibur cha kutosha
Analewa sifa tu
Daa binadamu wa ajabu hata kumjua humjui, ulimi wako una sumu
Ati ni " kibuli" "halaka halaka" ? Lugha gani hii kama mtoto mdogo wa chekechea.? Watanzania vipi jamani mnajitoa hadharani kuonesha ujinga? Kiingereza shida, Kiswahili shida tuwaeleweje sasa 😢😢
Inaalilah wainaillah rajiun 😢
Huyu mke maringo mpaka yanaudhi!!!
Hii nimeifunguwa kwa heshima ya Rick media ila hii familia mm siikubali kabisa
Yaani huyu Binti nyoko kabisa😏😏😏
@salimakuyela7813 😅😅😅 Anankera 😂
Waislamu mmeiga wapi hizi habar zakishetani
Pozi kama anapandisha.majin
😂😭😂🤔ukute jini🫣🤣😂🤣Na hayo vimacho🤣😂🫣🤣😂
😅😅
😅😅😅😅😅😅😅 haa jamani waja mnamaneno
😂😂😂
😂😂😂
Mmmh kwa jeuri kanaonekana hakajambo kiukweli
Shekhe ubwabwa tu juyo mwanke yupo uchi kbs shekhe atakua yeye
Wazee njaaa zitawaponza kuwaozesha watoto kila mwanamme mhh
Napenda vile Zuhura ananyamaza.Vilevile,Abdul ananyamaza katika maswala tofauti.Yaani Zuhura hataki umbea uenee kuhusu ndoa yao
Ety ma dr 108😂😂😂 halafu hili jina la shekhe mlitoe ....ikiwa mke wake amemwachia kavaa hivo mbele za camera
Ninachokiona kiburi kama cha Mrs bugatti 😂😂😂😂 Tarehe nane mtoto huyo tushajuwa😂😂😂
Kwan hadi mjifanye hamna taarifa 😂😂😂
Ndio kinanichoshaga hpo tu
Huyu anapigwa, tena vizuri tu. Hii kutingisha kichwa ni uoga wa kuongea.
😂😂😂😂😂
Huyu msichana anakaa km mfanyi kazi wa sheikh. Maskini ankemtafuta sezi yake. Huyu sheikh malaya sezi yake ni diva akimpiga alete wasafi😂😂
😂😂😂😂Yani ww unaonaga mbali
Diva ndio kiboko yake huyu bwana
Mmh huyo mwanamke anakiburi hatari afadhali diva dishi na ana moyo
Kaamua sh. Aoe mtoto mdogo atomuogopa na atakubali upuuzi huu wa mume. Ndo maana hakuwezana na Diva, maana diva hakuwezana na hii tabia alokua nayo. Lakini mtoto huyu atabigwa matukio mpaka awe anasema. Ndo ushekhe huu? 😮 kazi kunyanyasa wanawake tu.
Matukio tayari anapigwa kila siku ni vile mbele ya camera hayaongelewagi. Huyo binti ndo alifikisha miaka 16 mwaka jana siku ya birthday yake ndio siku huyo shehe alimtangaza kama mkewe na kudanganya kuwa ana miaka 22 sjui kumbe miaka 16
Huyu kaka anasifa sana dahh
M nimewapenda wameendana mungu anijalie mume mobora na mm😢
Inshallah utapata zaidi ya abdulrazak inshallah utapata habbty wangu 🤲💞
Mmh yupo uchi jaamani,
Shekhe wa michongo unataka kusomewa mtafute ujukanyaje 😂😂😂😂😂 Shekhe abdulllllllllllll
Mmmh.nyumbani kwa watu unaingia na mlango unafungua akiii.
Anakatazwa usiseme chochote asije akatoa siri huyu bwana ni mshenzi sana anamuonea sana huyu binti
Ninachokiona kiburi kama cha Mrs bugatti 😂😂😂😂
Maringo saba
Diva bado anakusumbua sana akilini mwako ! Move on unajidhalilisha mzee
Ata siyo mjeur sema2 anaonekana anamuogopa sana mumewe
Huyu dada ni muoga😢?! Mpole?!😢😮 kiburi au vipi jaman😮😢😢
Anaogopa talaka
Kiburi malingo
Hajui kuongea huyu si mtu wa mitandao alazimishwa tu
AO ni Ubu uyu dada atakama anaogopa anazidi singeka ndani 🤔🤔
Kapewa onyo zito usiongee chochote wenye D mbili tumeelewa
Ana mtoto uyo mwingin
Anaonekana hana furaha kabisa
Ila sarafina is a very good interviewer 🎉🎉🎉❤ shout-out to you sarafina❤❤❤@sarafina
Yupo vizuri sana ila apunguze tu vingereza tusitoeleweka!( I have to take my shoe) shoes
😂😂😂@@castermsweswe5781
Huyu dada anaogopa amepewa mikwala asisubutu kuongea ole wake ila ana mambo mengiiiii anawaza na kuumia ila hawezi kusema ameambiwa akae kimyaa
Mke wa shekhe mbona yupo uchi ivo mbele ya media!!!!!
Ila ukiwa muongo uwe na kumbukumbu huyu bwana on previous interview alisema amempa mkewe mil 70 afanye biashara ya nguo Leo kaisahau ,NYIE
Kwan dada huyo bubu mbona kichwa ndo kinajbu sana
Mbona ananyoonsha mikono ametoka kijijini maskini
Mm mke wa shehe ananikera anavyoutikia na kichwa
Ukiwa naheshima nastara hasa muislam ukisikia hodi tu unajitanda mtandio hata kama upo ndani mwako acheni ushenzi
@@sofitanzanian955 alipangwa huyu.Huu ni msiba
Huyu mke wa sehe cjui shekh mbona Kila kitu anaitikia na kichwa,mbona haeleweki
Bubu kiburi
Aka mche Allah mke yuko uchi umemuweka kwenye midia Subhana Allah tumuogope Allah mtowe haraka plz
❤❤❤❤❤
Mke wa Sheikh kavaa kimini mmmhhh????
Uyo mke wa shemeji sio shee😊😊😊
Eti shee mke uchi athubillah minashetwani rajim sheikh gani mnatukanisha najina la sheikh
Au'dhubillah minashaitwani rrajiim
Intervew inaboa hd kero kusikiliza hebu nihadithieni mwisho kasema nn nimeishia kwenye kiss za jua kali😂
hata mimi sijui
Yani ww Abdul hayo ndiyo uliyo yaahidi kwa baba yako wakati uliyo kuwa unamzika mke hana hata stara kweli na ww ni mtu wa kiislam yani hii Dunia mmmh mtihani
Kwahiyo hayo ni madeko au mbona haongei
Yaani jeuri. Sana
SiO jeuri anaogopa kuongea
Ila jaman dada anavyojibu jibu nyie macho juuu tu dah nakucheka tu mmmm mmm nn sasa 😂😂😂😂😂😂
Kwan huyo bint kama kapewa onyo zito kuhus kusema chochot yani kapoooza mpak anaboa sn af mwisilam gani huyo kaavaa uchi tena mbele ya cammela sema devs uswahili mwing sana huyo mbna mkabanwa tu 😅😅
Anaonyesha mjeuri saana!
Huyu bible mpaka apigwe matukio ndio atachangamka
Kiburi sana
Sio kweli 🙄
Anasumbuliwa na wivu wa diva bado😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mumegundua nini kwa huyu mwanamkee
Alafu sio kibur sio muongeaj na ana aibu afu sio mtu social media jmn msimsemee ana kiburi ni uoga na aibu
Abdulrazak tafadhali 🙏😭usioe Kwa tamaa za kimwili tu utajuta tulia hapo Kwa zuhura
Raha ya ndoa nikutulia na mke mmoja👩❤️💋👨
Mashallah
mmmmh mbona wifi kama anapandisha maruanii
😂😂
😅😅😅
😂😂😂
Ww dada omba tu mungu uwea niww tu bat usijimakinia kwa mwanaumia mungu ajalia uwea ww tu
Chefu sura yenyewe sasa 😂
Na vishavu vyake ss😅
😂 Bora ata diva japo n mshangaz😂
Wewe ni diva, umajificha, unaonekana una wivu
Huyo amejifunguwa hiyo trh 8 mtoto anatoka arubaini sherehe ya mtoto
Mbona mke kama ameshikwa na degedege
Huyu Mtangazaji safi sana. Anajua kuuliza maswali na anafanya kipindi kinoge. Anatalanta kwenye hii. Mie nampendaga mno
Mpunguze vingereza aaa visivyo na maaana
Mke washekhe nguo😢
Hujapewa karibu umesha ikaaa
Mmh kama anaugua akili ndo nn kuweka hivyo kichwa
Anaboa
Huyo c shekhe kabisaa. Acheni kutumia majina msokuwa na hadhi nayo.
Hayo macho vile unavyoyafanya binti unajiharibu
Yani sheikh tapeli kwenye maongezi yake kama namuona Diva anakucheki kwa mbaaali kwasababu yeye ndiye aliekufundisha namna ya ku fake😂😂😂😂 maisha haya bwana raha tupu
Masha Allah may Allah protect them they're best couple may Allah bless them and she's beautiful very good girl ❤❤❤❤
@@user-to6up4hg2w Mtu yuko uchi unasema MashaaAllah are u ok
Sheikh kweli mke ndo mavazi unayoyaruhusu hivi subhaanah allah au ni jina tu?
Shehe gan mkeo yupo uchi apo
Mbona amevaa nguo uchi wewe unaujua
Shemeji sio shee😊
Hakuna Sheikh hapo huyu anasafiria nyota ya Baba Yake (Allah Amrehemu Sheikh Mti Mkavu)
Mmmmmh eti Sheikh. Bibi yake yuko uchi
Akuna shee apo 😂😂ni shehena
Mtangazaji unashobo kujifanya unahoji kwafosi
Huyu mke anaonekana ana uchungu sana hana raha hata ila hana lakufanya kwa kweli yaani huko kifungoni ana jinsi bado mdogo mpe miaka tatu uniambia kazi hipo
Mbona kama mtu na mkewe wanafanana au ndo mahaba yamezidi mpaka wanafanana😂😂😂
Jamani tuweni wakweli katika haya maisha fake life imetutawala mnooo apo kwenye media watu wanafanya show off na kuongea vitu vingii na sifa kibao lakini ukienda kwenye real life kuna mengi makubwa. Nimependa mtangazaji alipomuliza kuhusu kazi zake za kidini japo kalipotezea kinamna hilo swali ila jibu liko hiviii kwasasa dini hakuna kwa huyu jamaa tayari kasha zama kwenye bongo movie ishu za dini sahauni kabisaaa
Hyu si mtu wa dini ni mganga njaaa wale
Mnaosena huyu mwanamke ana kiburi hapana hana kiburi huyu dada ukimuangalia vizuri utajua kuwa moyo wake unavuja damu kuna vitu vigumu anapitia kwenye ndoa yake so analazimisha awe na furaha lakini hawezi kwa maumivu anayopitia
Kweli,pia hana uhuru wa Kila kitu humu ndani.😊
hivi watu wanarahisisha sana swala la mahusiano ya kimwili ee, yaani mwanamke anaemkubali huyu mganga lazima kuna tatizo mahali
Matukio ndo alisha pigwa kweli kweli mpaka huruma
Shekh anaitwa Davis
Kina maringo😅😅😅😅😅
Sio kweli 🙄
Dah kwa yan huyu dad anakera kichwa nd kinajibu
Mke macho juu kama ana dege dege maringo yanazidi dose ya matukio ndio yatayashusha macho na kuingiza ulimi ndani .kavaa kama hahaba eti mke wa shekhe
😂😂😂
SARAPHINA NAKUPENDA ❤❤
Ila kuna siri hapo
Zezeta
Hizi Dini aiseee yani watu wameona mikono wanasema yupo uchi kwa hy mmedindisha kw ajili ya mikono au visimi vinawacheza maana kama nywele kaficha na ukiaaangalia hater wengi hapa wanawake wenzake.
Yaani huyo ndo make kwanza hana mambo mengi
Huyu dada inataka moyo wa bati Ana bore sana
Kweli anaboa malingo adi inaonekana kero mapoz ya ovyo na urefu wke km mkojo
😂😂😂 @@ElizabethWamcha
@@ElizabethWamcha😂😂😂😂😂 dhambi
Sio tu ku bore anaonekana hajielewi kabisa,subiri huyo mume wake mpenda sifa amuanzie vitimbwi ndo atajuwa hajuwi
😂😂😂 Jaman my Wang @@ElizabethWamcha
Huyo. Shekh. Gani. Mke. Yuko. Uchi
Kakaa mikono kamaanataka kutiwa pingu😂 anainyooshatu.
Jmn huy dd yy n kutikisa kichwa siazungumze jmn khaaaaa mnanichosha bhn hata km mapouz sio ivo
Mnataka akodolee camera ajishauwe kwan uyo nigume gume😀 wanawake wakiwa wadogo wanahaibu
Tarehe 8, kutakuwa na
hakika ya mtoto Alva. Ni mtoto wa kiume. Watachinja mbuzi wa 2🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Weeeeeeee 🤣😆
@AmanaHussein ndiyo
Mwanamke yupo wazi hivo kisha mwamwita sheikh ...awache udayudhi hampendi mke wk kafata kitu tu huyo
Huyo ni shekhe jina tu lakujipa mwenyewe, sio sifa y kusoma
Kabisa