TAHARUKI! MABAUNSA WAVAMIA NYUMBA DAR KUTAKA KUBOMOA WAPANGAJI WAKIWA NDANI - WANG'OA NYAYA za UMEME
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- TAHARUKI! MABAUNSA WAVAMIA NYUMBA DAR KUTAKA KUBOMOA WAPANGAJI WAKIWA NDANI - WANG'OA NYAYA za UMEME
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
mwandishi hongera sana bbc yabongo ni ww intervieu imenda shule
Uko sawa kaka kichwa Kiko vizuri sana inamana kituo kimenunuliwa
Pole dada. Allah akupe akusimamie akupe hakiyako yaraby. 🤲
Munguyupo nawee dada
Mwenyezi MUNGU akutetee
Wenyeviti hawa ndio waliopita bila kupigwa
Ndio hasara ya kupita kwa wizi wa kura
Haki ipo kwa Allah tu.Duniani mwenye nguvu ndio mwenye kupewa haki.Nimedhulumiwa haliyakuwa kila ushahidi upo
Kwa hiyo mantik ya kuweka sehemu za kusaini ni nini?? Dah huyu ni mwenye kigoda sio mwenyekiti
ninvhilweli ndomaana hata trampo zarauuwongozi wanchizetu uwongozimbovu polic hawasimamiy hakizawatu mraditajiri anapesaza kukodimabausa basimasikinihanahaki
Ss watu wa magomeni mtaa wa sunna tunamiaka kumina mbili atujalipwa mpakaleo tumevunjiwatu majumbayetu kisingixio mafuliko. Serikali Mungundiye atajua lakuwalipa wanatuxurumu sana wananchi. Ss wanyonge makipo kwa Allah
Watatufanya tuishi na mabomu ya machozi ndani 😢😢
😂😂😂
Mbona wanazarau wajumbe wakati ndiko sheria inakoanzia?mjumbe akihoj karatasi anaambiwa tu tushapita ngazi zote zajuu, mbona walianza kesi wanapita kwamjumbe lakini wakijakuvunja wanamruka mjumbe na wenyeviti wa serikali?hii serikar ikomeshwe maana wanasababisha watu kuumizana lakini mjumbe na mwenyekiti anauwezo wakuwatuliza wahusika na kuepusha ugomvi kuwa mkubwa zaidi
Mjumbe wa aina gani hata kuongea kwake hakuna confidence kabisa!!!
Iyonyumba itakuwa kunakiongozi waserikali anaitaka
Mzee bd anavaa cheni jaman
Huyu baba anavyojibu? Mbona km anahusika kwenye ubomoaji
Hapana jamani M/kiti anakwepa Majukumu yake,ni nani wa kujua Usalama wa Wananchi wake kwa hiyo Nyumba inavunjwa kiholela ktk Eneo lake naye yuko kimya wala hajali na hataki kujua, anashughulikia mambo madogomadogo na hayo makubwa Mtaani kwako afanye nani? Mbona wa chini yako mjumbe kazuia,MUNGU Atusaidie kwa kweli
Na nyie watu punguzeni upore watu kama awa sikuizi wamekuwa wengi inatakiwa sikumoja uchukue panga umukate mukono kabisa
polisi wa msimbazi vipi ndugu zetu? Makamanda mpo? Hebu lindeni raia kwa viapo mlivyokula. Mnakubalije mabaunsa kuwa na nguvu kuliko nyie? Hebu jitakafarini enyi polisi. Bado tuna imani sana na jeshi la polisi
Tatizo la Nyumba za urithi mnazungukana wenyewe kwa wenyewe yaani mwingine anauza Nyumba wengine hawana taarifa
Hawa serikali za mitaa, hasa wenyeviti ndo huharibu Amani ya mitaa,kwa kuendekeza kupata vijisenti uganga njaa, sasa hapo haelewi hata kazi na jukumu lake kwa kuwalinda watu wake, yeye ndo anawaangamiza
Washenzi mimi pia walivuruga sana amani kati yangu na jirani yangu badala ya kupatanisha😢
Hawana elimu dv 0
@@nantaembanusurupia5674 pole sana, ila ukiwa ogopa tu kosa! Muhimu ujue haki zako za msingi na kukataa kuonewa, hapo watakuheshimu
@@nantaembanusurupia5674hao wenyeviti madiwani na makatibu sie wamekalia kimabavu ardhi mwaka wa 8 sasa
Chukueni mapanga munamuanza mwenyekiti muna kata kichwa chake na mwisho munawamalizia hao halafu kimya
kabsa ndio maana kunasehemu nyingine unasikia tu mwenyekiti kauwawa nimambo kama haya
Alafu utakuta mijitu inakaa.kabisa inachukia mpinzani inatukana mnafeli wapi watanzania tutaonewa mpka tunaingia makabirini....tunafeli wpi Wtz???kwa nn tusiwe wamoja tuoneshe mabaliko ili iwe funzo na wakizingua tna tunamtoa tna mpka mambo yakawe sawa..hamuoni leo shirika moja la umeme linavyotutesa ?je yangelikuwa mashirika mawili ya umeme.mmazani tungeteseka namna hii
Hii ni aibu kwa serikari, na wanamchafua raisi kama Kawa mpole sana,kumbe ni ujinga wa watendaje wake tu
RIP
Mngewapigia kelele za wezi hao wapuuzi
Hii ndo selikali yetu wapo kimaslahi yao mwenye pesa ndo mwenye haki
Tz unyanyasaji umekuwa mwingi sana 😢
wanawezakusaba bishamauwaji polic wameishapewa rushwa etipolisiwasimamizi warayya
Haki pekee aliyonayo mwanadamu katika Ulimwengu wetu ni KUFA mengine yote yapo mikononi ya wengine, sasa bahati hao wenye mamlaka wawe wafuata haki, bila hivyo ndo haya yanatokea....
Wale tu machozi ya wenyehaki lakini mwisho watatapika na kufa tu
Viongozi na mliopewa mamlaka ache kujifanya nyinyi na familia zenu ndommepewa matumbo kama nyangumi hivyo msipowaliza wenyehaki hamshibi!?
Iyoo ndo tanzania
Yaviwanda na kampuni binafsi😂
@@sharifasharif3978
😂😂😂😂Uwiiii
mjumbe vp anasema yy msaidizi wa kusimamia uvunjaji alafu anasema uvunjaji huu haramu. Hapa kuna namna sio bure.
HIII NI TANZANIA AU WYPIIII HASWA
VIONGOZI WAKO Wapiiii? Kwaniniiii HASWAAAA NI unyamaaaa buiuuii
We mjumbe hakuna uakilishivwanamna hiyo utafungwa
Mama mrudishe jerry slaa
hawezi maana ye awam yake hataki wawajibikaji anataka machawa nandio maana akamtoa
hiynchiyetu sasaimekuwa yakidikteta
Acheniii UNYAMA HUO NI ZAMBII KUBWA. MNA NINI NYIE Wetuuuu???
Tunamtaka mwenyekiti yukowapi? Tapeli wewe
Sauti ya mjumbe na anacho kiongea kinaendana
Tatizo ni amrita ya maha kama?
Ndio maana mm hata nione mtu ana gari zuri mabiashara wala sitamani maana mengi majizi mashurumati mala rushwa makubwa mambwa mwitu
😢😢😢 duuuh 2005 jamn😢😢
Wewe unasema mwanasheria sie hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo alihusika kugawa mali zilizo tayari wenye mirathi iliyofunguliwa katika mahakama anayosimamia akampatia shangazi yetu , ila serikali ya kijiji ilisimamia haki ya warithi