GIGY MONEY THE REALITY - EPISODE 06

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

КОМЕНТАРІ • 66

  • @btylove1870
    @btylove1870 5 днів тому +26

    Kataa makosa ya wazazi wako. Usipo fanya hivyo, basi yale makosa yataendelea kizazi na kizazi na kugeuka kuwa laana! Kwa kifupi mkiwa mnasali msisahau kukataa zambi za wazee wenu.🙏💕

  • @SilvanaKananda-t9c
    @SilvanaKananda-t9c 5 днів тому +10

    Yani mama gig asicho jua akili yako ndio ya gig......ila mi nawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumajuma1811
    @fatumajuma1811 4 дні тому +6

    Mama hanaga makosa milele atakama yapo huezi mwambia ila nivile tuna kosea kuwambia ukweliwao na hawapendi sasa daah,mama ni mama🎉

    • @MariamJussah
      @MariamJussah 2 дні тому

      Usiseme hivo kwasababu hayajakukuta ndugu😢

    • @MariamJussah
      @MariamJussah 2 дні тому

      Ila msamehe mzazi pale anapokesea

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 дні тому +2

    Masikini mtu na mamake,dunia hii upate mama msikivu na mtoto mwema mwenye huruma na mapenzi raha sana❤

  • @Beyonceqme
    @Beyonceqme 4 дні тому +8

    Nimempenda veronica mdogo wa gigy ni mpole sana na yuko na adabu ❤❤❤❤

  • @Shadia544
    @Shadia544 5 днів тому +6

    Haya tunaendelea pale tulipo ishia maisha ya familiya ya gigy ni gigy ❤❤❤

  • @magrethjames5950
    @magrethjames5950 4 дні тому +5

    Sasa mzuri si uyo wa helaa 🤪😝 uyo yeye anakuja then hatoi ata Kama anachoo 😢 Wamama hawanaga shukrani utume shida usitume shidaa 😢😅

  • @mwajabumrindoko-xw9mq
    @mwajabumrindoko-xw9mq 5 днів тому +8

    Hiii realty yakimataifaaa wekeni maneno ya kingereza hapo chinii ...ili na wa nje wafatilie

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 3 дні тому +2

    Mama gigy n gigy mtupu😅❤

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 5 днів тому +4

    Kipindi hiki Lisalisa namkubali sana 😂😂😂😂😂😂kama aigize vile yani nampenda nimkweli

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 5 днів тому +5

    😂😂yani sisi watoto Kwanza tunaonewe sana tuna huruma sana nakupenda ila tunamisimamo yetu

  • @Atb300
    @Atb300 5 днів тому +3

    Mama angu ukimfokea hivi 😂😂😂atakupa kibao cha kelbu na kuita ukoo wake wote🤣🤣🤣

  • @JeniEmmah
    @JeniEmmah 4 дні тому +1

    Khaaa ila nimecheka sana na kujifunza pia 😅😅😅🙌🙌

  • @rahmaihucha8577
    @rahmaihucha8577 2 дні тому

    Mwanzo nlitaka kuwaza sio lakn baada ya kusikiliza zaid imenifunza mengi,najichukulia hizo kasoro ndio kama zangu kisha najisahihisha penye kipengele hicho,,Inshaa Allah Mwenyezimungu atupe wepes tuwe wenye kuzingatia yaliyosahihi .

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 5 днів тому +4

    Pokea simu Vero, Kazi Huwa zinaisha, familia ni Kila kitu

  • @rasoomwatela4281
    @rasoomwatela4281 5 днів тому +3

    Nawapenda bure jamani ❤❤❤

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 3 дні тому +1

    Lisa anaibeba show nzima ingeitwa lisa na wanae au lisalisa

  • @SomaBiblia
    @SomaBiblia 21 годину тому

    Maisha bila Yesu ni bure

  • @mwajabumrindoko-xw9mq
    @mwajabumrindoko-xw9mq 5 днів тому +1

    Naeaelewa san alf fundii wenuuu kibokoooooo ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 дні тому

    Hongera sana Veronica kumbe ww kwenu ni mlokole

  • @FaustaKessa
    @FaustaKessa 5 днів тому +2

    Mama ni mama😅😅😅

  • @sandrauwasezoe1031
    @sandrauwasezoe1031 5 днів тому +2

    Maskini gigi mungu akupe hella nyingi

  • @RizoIbrahimovich-z4f
    @RizoIbrahimovich-z4f 5 днів тому +2

    Msiri wa kwanza ni mama real kabsa

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 5 днів тому +1

    Nampenda mama ❤❤❤

  • @elizabethvucentkabwa
    @elizabethvucentkabwa 5 днів тому +6

    Kumbe gigy kafwata kwa mama yake

  • @MohdKidabe-e9q
    @MohdKidabe-e9q 4 дні тому

    Hahahahh nimerejea mara mbili gigyy alivomfokea mamake

  • @mandelatv-e3b
    @mandelatv-e3b 5 днів тому

    Hiyi family inajuwa kunipa raha😂😂❤🎉ila lisa🎉😂❤

  • @bijou5038
    @bijou5038 5 днів тому +1

    Gigi nikama mimi sisi niwatoto walihasle so emotional zawazazi wetu hazitusumbuwi

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 дні тому

    Umelosra sana . Sawa unaweza usopokee but jata jioni kitandani hizo missed calls pigs hata dakika mojamoja kwa wao . Dunia imebadilika kuna vifo vya gafla .

  • @Assay-gn1wv
    @Assay-gn1wv 5 днів тому +1

    Vero km mm😭😭😂

  • @bijou5038
    @bijou5038 5 днів тому +1

    Gigi ana panic kwasababu ameyaona mengi

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 5 днів тому

    Nzuri sana hii❤

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 5 днів тому +3

    Mtu akikwambia anaumwa nenda kamuone ikiwa ndio safari yake ya mwisho utajilaumu sio kila kitu hela

    • @NikrahAyubu
      @NikrahAyubu 4 дні тому +1

      Mpk Leo huwa nikikumbuka kaka ang alivyokiwa hospital aliinita akaniambia njoo unione j2 mie sikwenda nikaja kuitwa j3 naambiwa Hali mbya nilienda hospital lkn hakiweza kuongea pumzii ilikuwa inatoka kdg alifatik nikiwa namshudia had Leo 💔💔

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 дні тому

      @NikrahAyubu
      Pole Pole sana mgonjwa akiwaita tuwe na itikadi ya kuitikia wito mwengine huwa pumzi yake ya mwisho kuna mtu. mama ake mzazi kalazwa kila akipigiwa njoo ngoja kwanza bipike mara nile alipoamua kuenda kashafunikwa

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q 4 дні тому

      @@NikrahAyubupoleee

  • @everlyne8595
    @everlyne8595 3 дні тому

    Hii familia mnh kibokooo

  • @providencekusinza7122
    @providencekusinza7122 3 дні тому

    Iyi sasa ndio reality show siyo yale maigizo

  • @JosephineMpangala
    @JosephineMpangala 5 днів тому +1

    natamani ningekua na mama hata kama wa gigi ila ndo ivyo

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 5 днів тому

    Giggy❤❤❤

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 5 днів тому +5

    Alicia and her sister CALL her (sio CALLS her), kwa kuwa watazamaji wengi ni waswahili si mngeanza kiswahili tu...au? 😂😂😂😂

    • @Inshazaempire
      @Inshazaempire 5 днів тому

      Naomba usubscribe na kwanguu 😂😂

  • @irenejustine2455
    @irenejustine2455 5 днів тому

    Nawapenda

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 5 днів тому +3

    Jasmine kafnana na yule mdada anae imba tanga pepeta yule aloacha mkorogo wmefanana asa

  • @FrankAbelly
    @FrankAbelly 5 днів тому

    Mnatuchleweshea jmn had tunaumwa😢😢

  • @FettyRashidy
    @FettyRashidy 5 днів тому +5

    𝗡𝗮𝗺𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘀𝗮𝗻 𝗴𝗶𝗴𝗶 𝗷𝗮𝗺𝗻 𝗰𝗼𝘇 𝗺𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗶𝗹𝗮 𝘂𝘁𝘂 𝗻𝗱𝗼 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝗸𝗶𝘁𝘂 𝗸𝗽𝗻𝘇 𝗻𝗮 𝘂𝘆𝗼 𝗺𝘇𝘇 𝗸𝗽𝗻𝘇❤❤❤❤❤𝗻𝗮𝗸𝘂𝗽𝗲𝗻𝗱 𝗺𝘆 𝗹𝗼𝘃

  • @nesymichael4286
    @nesymichael4286 5 днів тому

    Nampenda mama mayla

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 4 дні тому

    Dawa gani ya pumu inayonywewa na pombe jamani??

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 5 днів тому +1

    Lissa lissaa😂😂😂❤❤❤

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 5 днів тому

    ❤❤❤

  • @Assay-gn1wv
    @Assay-gn1wv 5 днів тому

    Kuna kipi cha gigy tusicho kijua lkn?😂

  • @zainabmanyiri3510
    @zainabmanyiri3510 5 днів тому

    nikweli

  • @KiboChacha
    @KiboChacha 5 днів тому

    ❤❤❤🎉🎉

  • @zainabmanyiri3510
    @zainabmanyiri3510 5 днів тому

    nikweli 2:28

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo 5 днів тому

    ❤❤

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 5 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤