RAIS WA BURUNDI AMESEMA KAGAME TUMUONDOE HARAKA ANAIHARIBU CONGO ATAKUJA BURUNDI
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Mpenzi mtazamaji wa UKUU WA MWAFRIKA & IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.
Raisi wetu kiboko tunamkabali japo kuna watu wanampinga turamukunda cane 🇧🇮
Sanasana hilo ni jembe haswaa namkubali
I'm proud of my Burundi 🇧🇮
@28EddyNdayishimiye89 very good my brother
Raisi wetu wa Burundi 🇧🇮 mwenyezi mungu akulinde na ailinde burundi yetu na warundi wote kwa ujumla big up our president Evariste Ndayishimiye❤❤❤🎉
Tembea Kenya
Akili gani na nchi umaskini unawasumbua. Tumia akili kufikiria basi. Unawezaje kuringanisha Rwanda na Burundi. Acha upumbavu wewe
Asante sana Raisi wetu Baba yetu ndayishimiye kagame amekua mwiba wamaendeleo ya afrika na kuleta vita congo sisi warundi tuko nyuma yako kagame tutampiga
Funga kinywa pumbafu
Kagame pamoja na mseveni walisha ingiza watu wao 12:17 nchini kongo burundi hata Tanzania wanataka hizo nchi zote zitawaliwe na watusi wahima tanzania yenyewe hatowasumbua maana watanzania wengi hawajui kua kuna adui
@@enockngendakumana5181Toka kure waca kudanganya watu pumbafu
Toka we shenzi, wkt aritangaza ya kwamba anataka wa vijana awape ngufu za kutoa Kagame madarakani akiwa Kinshasa ,nani arimuambia aseme hao yote? Si ni yeye aritanguria kushamburia Rwanda na mdomo wake? Aturuye Sasa asubiri Sasa kitakacho fuata
n@@isaacpatron7428funga wew matako yamamako
Huyu Raisi wa Burundi,ana akili pia na macho ya kuona mbali ❤❤
Komera cane mweshimiwa❤🎉
Burundi imemshinda kuingoza nchii imekufa watu wameathirika na njaa na mafuta hakuna ya Rwanda na congo inamusu nini afate ya kwake 😂😂😂
i love Burundi from Tanzania
Namuunga mkono sana RAIS WA BURUNDI Kagame apinduliwe haraka sana.
Kama wanashindwa kuondoa kikosi anachokifadhili yeye, wataweza yeye mwenyewe na jeshi lake Kigali?
Dawa ni mataifa yote majira kutuma majeshi kuivamia Rwanda kutokea kila upande, Rwanda haitakuwa na uwezo wa kuisadia M23.
Hapo ndugu yangu mwakilembe umechambua vizuri sana kiukweli pale Kongo kuna kitu nyuma ya pazia na hilo ndilo linawatesa viongozi wetu wa kiafrika kila siku.
Wakimbizi wa Rwanda wasikimbilie tena Tanzania 😢😢
Kwa sababu gani ndugu?
Wasema wewe kama nani?
Waafrika wote ni ndugu regardless of any differences, wacha hio maneno ya wakoloni kuleta chuki
Kabisa wanyarwanda ni wabaya sana wakongo waliwakaribisha vizuri tu leo lina kikwazo sio watu kabisa ukiwaona wapole ila moyoni mwao ni wakatili sana
@KamanaMangolwa-xe8dekweli kabisa ❤
Unatanga vyema kabisa love❤ Burundi🇧🇮🇧🇮
Asante sana ndugu zetu wa Burundi wanao simama na sisi 🇧🇮🤝🇨🇩🤝🇿🇦❤️🇹🇿
Mwalimu isaya wewe ni mtu ambae unatupa Elimu sana tuna zidi kunwomba Mungu akupe maisha marefu
Safi sana kagame mnafiki na muongo
Yuko sahihi raisi Evarste.
Uko sahihi sana Benson
Hio ni kweli kabisaa kagame asimamishwe.
Kagame hana shida raisi wa congo ndei makamasi
Rwanda ishambuliwe tu kagame akamatwe haraka sana
Au kagame ni kibaraka Cha wazungu anazua vita ndo waibie congo #tupitiane( Malcolm x tv
Nasisi watu wa burundi tunawapenda saaaana kuwafwatiriya saaaana
yani inatakiwa iwe hivyo ili kulejesha amani halaka sana ndani ya nchi ya kongo
Ni lini congo iliwahi kuwa na amani?? Wakongo wanauwana wenyewe tu. Nachokiona kuna jambo ufaransa inaitafutia Rwanda. Shisekedi ndio tatizo
Alizi ya Kongo inatakiwa itawaliwe kijeshi ndipo itakaa sawa
Ndayishimiye Yuko sahihi nakuamini
Huyu ndie mchambuzi wa ukweli Kabisaa.
Shukrani sana ndugu
Isaya Benson
Kabisa aondoke
Ndaisjimie yupo sahihi kagame kuonda haraka atasababisha vita iyenee ukanda wa afrika mashariki
Ndani ya humu humu Africa watu wanatumika vibaya
Mtangazaju uko sawa❤❤❤❤❤
Kaka mien uwa na kufatilia sana,vita vya congo na rwanda usiangalie kwa jicho la inje angalia kwa jicho la ndani utaelewa vizuri,vita ivi ni vita ya wautu na watusi .watusi wanapenda watawale Tanzanian congo, Rwanda ,Kenya, burundi .ata nyie watanzania kueni makini sana
RWANDA HAWANAGA KAULI KWA BURUNDI
Kwanini unasema Rwanda hanaga kauli kwa Burundi wakati tunajua Rwanda ina dharau sana nchii jirani!!!?
Ndio nyuma ya kagame wapo wazungu. Ss kwa ujinga wa kagame aondoleweeeeee kbs haraka
100% aondolewe haraka.
Akitoka Congo anaingia Burundi. Ila kumpindua, haiwezekani. Gen. Kagame kajipanga sana
Wazungu wanatumia kagame warwanda kuuwa congo😢inchi zingine zilikataa kutumiwa nawazungu kuuwa congo KAGAME RWANDA yeye akakubali.
Kagame ni tatizo kwa amani ya drc
Watanzania kuweni makini sana na tatizo la congo sisi wa congo tunajuwa wa tanzania ni watu ambao wamajuwa sana siasa, tatizo ambalo linatokea congo sasa ivi hapo kuna watu wameshauwawa basi kuweni watutsi wakimalizana na congo wataingia tanzania maana burundi wameshajuwa siasa ya watutsi,
Hallo papa NeVa everiste Mkazane kujiunga Mkono na Tshisekedi atafadhali Mumtoshe Kagame mwizi wa zahabu atoke kwenye kiti! Kagame aduyi ya Kongo Mfanya mauwaji
Rais wa wananchi P. Nkurunziza RIP ,, asifananishwe
Burundi 🇧🇮 ❤peace ✌ and love ❤
Oh ! Ana huzuni sana! Raisi ambaye yuko karibu akilia kweli ! ? Ni hatari kabisa!
Waafrika hatuna akili😢
Ka ww hauna akili jiseme bana sio sisi wote
Ni kweli kabisa haswa viongozi wetu wapo tayari kuua raia wao ili wazungu na wachina waendelee kutuibia.
Kagame akamatwe haraka amani ionekane
Kagame aliwahi kuuliza hao UN wako miaka mingapi na kwanini Wahasi hawaishi
Halafu watu wanafurahia...
Hawajui kama jina la Kagame linatumika tu kufitisha na kuchochea migogoro. Shida ni haohao UN na mashirika makubwa ya Ulaya na Marekani. Hata hizo habari zinazotolewa na Ubelgiji na Ujerumani zote ni za uongo, wao wanachotaka nikuona tunazidi kutofautiana machafuko yaendelee miaka nenda Rudi ili waendelee kuiba Mali ya Congo.
UDANGANYIFU WA KIWANGO CHA JUU UNAENDELEA.
Nakuunga mkono kuyoka Bujumbura 🇧🇮.
Aondolewe bwana
Tamaa mbaya
Uko sahihi kabisa@Isaya Benson
Maana yake hata watutsi walioko Burundi Tanzania Kagame ataingia kuwapa itawara hapo kuko jambo kubwa mbaya😢😢
Hapo umesema ukweli lazima aondolewe madarakani maana anatishia usalama wa Africa mashariki mtu gani atosheki wafrika wapenda amani tuna simama na congo rais wao tisheked
Mwambaaa karibu mkoa mara wilaya ya bunda uko vzuri kwenye habari
Watu wenye mapua kama misumali Wana shida sana.
Sasa wenye mapuwa kama kiboko njo wananini kiwelewele wewe
Nyerere sitamusahau kamwe hata mimi si mtanzania ni mtu wa haki alisaidia sana wanduguzetu watusi ili wawauwe
C anaweza hamia Tanzania 🥺🥺🥺🥺
Iyo inaitwa usiniurize kwanini😂😂🇿🇦🤝🇧🇮
Kwa nini Kagame ndo aponduliwe unapoona anaestahiki kupinduliwa kati ya kagame na Ndayishimiye ni nani??? Japokuwa kuna wa Tanzania wadogo wanaozungumza ya Congo kama anapozungumza macth ya mpila wa miguu la kwanza Nyinyi Tanzaniya mumetuma jeshi na Burundi ambapo hamkufaulu sasa unazungumza kama uliyopewa hela ili ufanye Campaign, ila sisi hatuzungumze mtajaaza nyinyi wenyewe, ivi tunaenda uvira alafu tunamaliziya Burundi
Hotuba Yake iko kwa kifaransa sio kirundi ila maneno aleongea ni hayo hayo umetafusri kwa lugha ya kiswahili
Sawa nduguyangu ❤
Bwana akubariki sana mweshimiwa rais wa Burundi 🇧🇮, Evarist .
MWALIM HUYU RAIS WA BURUNDI NDO AMEJIBU SWALI LANGU LA SHOTI YA UMEME WA GARI,JIBU NI KUKATA WAYA WA MOTO.SASA KUMUONDOA KAGAME SULUHISHO LA AMANI CONGO.AMELEWA MADARAKA
Kweri kagame adolewe❤❤❤❤ nimwiba kwa afilica nzima
Anza kumuondoa pumbafu
Sawa usemayo lakini jua pia watutsi wana ajenda yao tena kutawala eneo zima la maziwa makuu
Ukweli. Watu wengi awa elewe
Congo Burundi tanzania, SouthAfrica, Malawi, waungane wamuangushe kagame
Hawamuwezi😂😂😂 wanadundwa kama Ngoma dahhhh noma kweli
@@IMRANITV1 kushambulia inchi nyingine sio kituraisi kuna sheria zina tumika wanaweza kumushambulia kisha umoja wamataifa uka washambulia wao kagame ametengeneza kiziwi ambacho anakiita m23
Waungane kwa nchi ndogo kama Rwanda uoga😂😂😂
KAGAME ni tatizo kubwa siyo kwa DRC pekee bali kwa nchi zote zinazomzunguka ikiwemo na Tanzania.
@AlexBoniphaceKamomole kagame alifanya nini Tanzania munataka vita mutaiwona
Asante ndugu mtagazaj kwatarifa mzur
Mwamba nakukubali sana uchambuziwako sarut❤❤
🇧🇮 peace and love
Congo viongozi nao Hawaoni mbele kwanza wange ishi kwakujitegemea
Towa habari zenu za ujinga,huwo ni wivu tuu,KAGAME anaendeleza nchi ya Rwanda wanaona wivuu,mtakoma.
@uwimbabaziesperance8478 we mujinga empire ni wivu gani nyiye wauwaji wa baya sana inchi zote zimeisha Wajua muko wauwaji pia wa halifu siku mooja mutakoma 😢😢😢😢
Abari Yako Bwana Benson naitaji bamba Yako
Na kikwete sitamusahau kamwe aliwaua akawafunga akawanyanganya ngombe zao na akiwakimbiza ndani ya inchi kwao nyerere ni mzazi Mungu asikose kumpatia uzima wa milele
Burundi be blesse
Mungu Akulinde Rais Paul Kagame na Ufanikiwe kwenye mipango Yako mizuri kwa Africa
Rais watu hapa Rwanda ni Kibaraka mfanyakazi wa wazungu.
Safi mwalimu 💚💚💚
Mr ndayishimiye Ni rais mwenye kuji tambua haraka kuliko huyu Rais hisekedi
Wakongo wanajifanya wachawi xana mbn wanaxhindwa na kagame anaesumbuwa nchi yao kongo
Kagame ni mamaluki ndo yanampa Power Hana mpango wowote Yupo chini ya Nchi zenye nguvu na Maarifa ndo maana Ana kamdomo kamdomo
Asante sana mwalimu
Kagame ikumbukwe hata miaka iliyopita alitaka kuipindua serkali ya Nkulunzinza akitumia mamluki wake ambao aliwapandikiza Burundi. Kagame ni mtu mbaya sana.
Ni kwel mwalim
Rais wa burundi hana akili sawa baada ya kufanya maendeleo anawawa mambo yasiyo ya muhm
Kagame anazingua.
Hotuba iko kwenye kifaransa😂 sio kirundi
Mtu mweusi ni mjinga Sana ahana shukurani. Una weza leya mtu kumbe una leya ma mmbwa kesho Yana weza kuku kamata kama kitowewo. Ume sema ukweli Sana .ndivyo ilivyo ❤
Good analysis brother, it's scramble for natural resources in Congo that has left Congolese people helpless and poor.
Congo would be the richest and most developed nation in Africa if it had a strong and firm leader who loves his country and it's people
Uishi isaya Mungu abariki raisi Félix n'a ndashimie tumupige kagame n'a tutsi empire
Hamuwezi kufanya cocote kwawa Tutsi empire
Uyo mwenyewe Ferix wako kwa alicho sema awe makin
Naomba kukuuliza unapajua Rwanda kabla sijakuelekeza hii inch Ni ya Aina gan?
Kagame na ruto Na museveni Hawa watu yafaa watimuliwe ni sumbua sana
Mtangazaji unasema kweli shida Kongo ni Tangu zamani
Rwanda itengwe
Kwanza ningekua na nguvu ningefunga mpaka na Taifa la Rwanda maana ni taifa limepitwa na wakati maana viongozi wenzie wanawaza kutokomeza umasikini na ukimwi na maleria na TB yeye anawaza ugomvi ugomvi na mbona mataifa majirani yamejua mchezo anaocheza ila siku zote ukianza kwa ubaya na utamaliza kwa ubaya zaidi
Uingereza inamfadhili kagame
Ubalikiwe unasema kweli Bensonu
Hotuba ya Nyerere inalaumiwa sana sababu hio mipaka mingine tofauti na mipaka ya Kongo.
From 🇧🇮 kagame iko na wa zungu ili madili ya congo 😂wapate
Kagame nitatizo
Muombe mungu awasadiye sana ukwanjwa wawatu usiwafikiye watu wakiona mutu wapuwa ndefu wanazini ndiye mutu muhimu kuwa kiongozi
Maneno Yako niyaujinga unamupenda kagame mimi Niko goma tuliona wazi kagame yéyé katuma masheshi yake kongo
Safi bro
Ndaishimi wewe ni president mzuri sbb uko namsimamo mzuri.
Hakusema my luga yetu, alitumia kifaransa
Kagame ni muuwaji wa siku nyingi kaupata uongozi kwa kuuwa na bado anauwa
Pk salute