ANAPOISHI HAKIKA RUBEN/CHUMBA CHA NGUO KAMA DUKA/NAISHI NA MKE WANGU/NAJUA KUPIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

КОМЕНТАРІ • 241

  • @UPENDOMMAKASA
    @UPENDOMMAKASA 4 дні тому +12

    Nyumbani kwake pasafiii mnooooooo,pamepangiliwaaa mnoooooo japo padogoooo

  • @LazandaSweety
    @LazandaSweety 5 днів тому +26

    Mimi nampenda sana akika rubeni mungu amlinde sana😂😂

  • @LeylatHemed
    @LeylatHemed 3 дні тому +5

    Apo kwakwe hakika ajapanga😅ila apendagi show off🎉

  • @aminamndolwa4150
    @aminamndolwa4150 5 днів тому +22

    Mfatiliaji namba Moja wa showbiz ni Mimi. Nakipenda sana hiki kipindi

  • @RizoIbrahimovich-z4f
    @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому +16

    Kwa mtu ambae hujaelewa hapo ruben alipokunywa soda ina maana ake ni lazma kwanza mwenyej unywe maana mgeni unaweza sema wamekuwekea sumu ko ni kitu kizur kwa mwelewa i like it

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 3 дні тому +5

    Jamani mnaosoma hii comment hakika ruben hapo ni kwake ila hapendagi kujigamba hizi mambo ya media.tumemuona tofari kwa tofari

  • @moudyboka
    @moudyboka 5 днів тому +19

    Eti anapenda mayai mpaka anatamani angekua anataga 😂😂😂

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 4 дні тому +13

    Hii nyumba niyahakika hata hizo zapembeni nizake hajapanga kma anavyowazuga

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 5 днів тому +32

    Nyumba ndogo lkn nzuri na pamepangiliwa vzr mnoo❤

  • @EzekielDebora-cd2ib
    @EzekielDebora-cd2ib 3 дні тому +4

    Nampenda Sanaa huyu baba 😂😂

  • @khadijayusuph9316
    @khadijayusuph9316 4 дні тому +19

    Kwa mtazamo wa kawaida hyo juice ilbak ya mtoto soda ndo ziliandaliwa so salehe jifunze kujiongeza kama umeshndwa kujipimia

    • @She-m3p
      @She-m3p 4 дні тому +8

      We nae unaonekana mchoyo sn,..afu unamaisha magum na unakaa uswazi

    • @RizoIbrahimovich-z4f
      @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому +1

      😂😂😂😂😂​@@She-m3p

    • @khadijayusuph9316
      @khadijayusuph9316 4 дні тому

      @@She-m3p mm kwel nina maisha magum tena sanaaaaaa

    • @McT-m1m
      @McT-m1m 4 дні тому

      Acgeni kupangia watu ibamaana salehe hana hela yakununua hivo vitu wenyeji ndo huwa wananjarimu

    • @ZuhudaRamadhani
      @ZuhudaRamadhani 4 дні тому

      😂​@@khadijayusuph9316

  • @MamaHanisa-i8z
    @MamaHanisa-i8z 5 днів тому +12

    Huyu yuko real swaleh babu yangu apenda kula sana mpaka utiliwe sumu 😂😂😂😂😂ukiona hujapewa juwa umeenda kwa wachoyo kaa utuliye😂😂😂😂😂

  • @AshiraAshira-qy9gc
    @AshiraAshira-qy9gc 4 дні тому +9

    Yaani huyu jamaa😂😂akiongea tu unacheka

  • @FatmaAbdala-bu9zl
    @FatmaAbdala-bu9zl 4 дні тому +6

    Nimezaliwa kwa kawaida sio kwa operation 😅😅😂😂😂😂

  • @AshiraAshira-qy9gc
    @AshiraAshira-qy9gc 4 дні тому +6

    Ila hakika hata haringi kama wengine mashallah

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 дні тому +1

    Mashallah hongera snaa umepata bhana nyumbani nzuli sna hongera snaa aise 🎉🎉🎉🎉

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 5 днів тому +16

    Salehe bora uache kula tu kwa watu fedheha kama hizi zikupite tu😂

  • @KhamisRashid-t7q
    @KhamisRashid-t7q 4 дні тому +9

    Shida ya kifua na umekunywa soda ya mgeni😂😂😂😂

  • @NanaPeter-r9q
    @NanaPeter-r9q 3 дні тому +2

    Nisamehewe sana kuna muda namuona kama ana ushoga kwa mbaliuu

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 5 годин тому

    Hakika mungu kakupa ridhiki ya kimaisha ila kunakatatizo kidogo nakaona 😂

  • @chiefkwanza495
    @chiefkwanza495 4 дні тому +5

    kuna kitu hakijakaa sawa hapa

  • @RaiyanBaruti
    @RaiyanBaruti 4 дні тому +4

    😂😂😂 nimecheka sana bas ni mtot wangu mm🎉

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 5 днів тому +5

    😂😂Salehe utajua hujui,uwe profession niliwahi kukwambia!daah hii imeenda Ruben amefanya komedy yake 👌👌👌😂😂😂

    • @RizoIbrahimovich-z4f
      @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому

      Uchoyo tu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 дні тому

      @RizoIbrahimovich-z4f aibu sana, sio uchoyo, labda nyie wamoja, kama una Akili timamu huezi ng'ang'ania mayai kama vile umekuja nayo🤣🤣🤣😝😝😝

  • @FatmaAbdala-bu9zl
    @FatmaAbdala-bu9zl 4 дні тому +4

    Mnataka histroria yan kwan nimekufa😅😅😅

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 4 години тому

    Hiii ya matha mwaipaja 😂😂😂kuhusu mtoto hakika unakuwaje mkaliii kama mtoto niwako

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 5 днів тому +8

    Hakika mstaarabu kumbe😂😂😂😂

  • @MWAJUMAMSINJEWE
    @MWAJUMAMSINJEWE 4 дні тому +3

    Kumbe Kuna watu wanakumbuka sku ya kuzaliwa😅

  • @mwajumamwajuma55
    @mwajumamwajuma55 4 дні тому +3

    Jamani kaonja kwa maana wasiseme wamemuekea kitu kibaya mbona police unaonja chakula

  • @NaomiBarnabas-p7k
    @NaomiBarnabas-p7k 12 годин тому

    Ila hakika😂😂😂😂😂

  • @RizoIbrahimovich-z4f
    @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому +2

    Zote amezifua 😂😂 ni code flan hvi ya kisomi

  • @shanishani-qv3bc
    @shanishani-qv3bc 3 дні тому +1

    Hasipende kula kila anapoenda kutembelea watu

  • @israelelia3192
    @israelelia3192 5 днів тому +10

    Moja Kati ya comedian ninao wakubar

  • @lilianmkumbi6770
    @lilianmkumbi6770 2 дні тому

    Hakika mpole sana MaashaAllah

  • @OliverOden-n2g
    @OliverOden-n2g 4 дні тому +6

    😂😂😂😂😂kafanya kusudi kuonja ya Salehe🤣🤣🤣

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 4 дні тому

      🤣😂🤣🫣🤣😂

    • @RizoIbrahimovich-z4f
      @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому

      Ni lazma mwenyej uonje ili mgeni asije sema amewekewa sumu

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 3 дні тому +1

      Sisi tulifundishwa fungulia soda mbele ya mgeni then miminia glass mbili anza kunywa.masna kunawatu wakijichamba hawanawi then anaharisha huko anaanza kusema umemuwekea sumu

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 дні тому

      @ jamani hii ni huko mbeya enzi za kale sasa hivi fungua soda mbele ya mgeni kwani midogo kwenye class ya mgeni ni uchafu pia ✍🏾kuna matadhi ya mdomo meno jamani tumfundishe ruben wetu ustarabu pia 🫵🏽🤪

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 4 дні тому +2

    Kitanda kiko vizurijamani

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 3 дні тому +1

    Sarehe kakasilika ukweri kuhusu mayai hahahha😂😂😂

  • @NeyratZubeiry
    @NeyratZubeiry 5 днів тому +4

    😂😂saleh nd akomag na yey hakika hakuw na mpango wakumpa ayo mayai kbs

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 День тому

    😂😂😂😂nimependa haya maujiano😂😂saleh anapenda kula kwa nyumba za wa2😂😂😂atakuja kuharisha

  • @Divinelinna
    @Divinelinna 4 дні тому +3

    😂😂😂napenda majibu ya Ruben

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 4 дні тому +1

    RUBEN ongera Kaka unajuwa kupokea mgeni ❤❤❤

    • @rosemarydominic-f5t
      @rosemarydominic-f5t 4 дні тому

      Salehe amepata kukomolewa uroho so mzuri Kila kitu kutaka kula mwenyenyumba kamuonyesha shooo

  • @JulianaNyamhanga
    @JulianaNyamhanga 2 дні тому

    Yan hakika..Et huyu Mtoto Wako😂😂😂Ngoja Nizime na Mayai Yenyewe..

  • @siphaeljoseph2156
    @siphaeljoseph2156 4 дні тому +2

    uko vizur saan dogo sasa hav good journey

  • @OliverOden-n2g
    @OliverOden-n2g 4 дні тому +3

    Kwenye ukuta wa choo kuna picha au ndo mke wa Hakika

  • @Sulha-r7u
    @Sulha-r7u 5 днів тому +3

    Na alafu eti kazuga kunywa tena baada yakujiongeza kuwa mara ya kwanza nilionekana😅

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 4 дні тому

    Asante salehe kazi nzuri ila nimependa hiyo meza ya vyakula. Yaaani naenda kununua malbe nachongesha mninga juu naweka malbe hiyo

  • @happymgallah1672
    @happymgallah1672 4 дні тому +1

    Ila Hakika,?😅😅😅😅

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 4 дні тому +4

    Nani kaona kafungua soda na mdomo😂😂

  • @silverag8472
    @silverag8472 5 днів тому +12

    Ila hakika 😅😅😅kanywa soda ya mgeni

    • @ShanelShanel-p8n
      @ShanelShanel-p8n 5 днів тому

      😅😅😅😅😅😅😅

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu 4 дні тому +1

      Nilijua nimeona mimi tu kumbe na wewe umeona afu anasema anatatizo la kifua kumbe kashaonja 😂😂😂😂😂

    • @RizoIbrahimovich-z4f
      @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому

      Lazma anywe ili mgeni asije sema kawekewa sumu

  • @hellenthobias7570
    @hellenthobias7570 4 дні тому +1

    Mtafutee na best nasso 😊

  • @nelsonliwenga1784
    @nelsonliwenga1784 3 дні тому +1

    🤣🤣🤣🤣mayai kwishineyiii

  • @joharifarahani2739
    @joharifarahani2739 4 дні тому +3

    Nimezaliwa kawaida sio kwa operation 😂😂😂😂

    • @Channy-t8v
      @Channy-t8v 4 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂ap mim sin mbavu 🤣

  • @adelinachengula8519
    @adelinachengula8519 День тому

    Ile juice iko wap😅😅

  • @GloryMnzava-x4p
    @GloryMnzava-x4p 5 днів тому +6

    We mbona unakuwa msahaulifu😂

  • @mankalodi5796
    @mankalodi5796 3 дні тому

    Usafi nimekwelewa Ruben mwelekeze salehe

  • @mikwilemyovela3382
    @mikwilemyovela3382 4 дні тому +1

    Ila hakika😂😂

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 3 дні тому +1

    Huyu anamdomo 😂😂😂😂😂

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 5 днів тому +5

    Salehe naona mukorogo umekupemda

  • @DelvinaSilass
    @DelvinaSilass 5 днів тому +2

    Hakika Suzi Yuko wapiiiiii 😂😂😂😂😂

  • @rhodasamuel8334
    @rhodasamuel8334 4 дні тому +2

    Mmmh tabia ya kuonja soda ya ngeni sijapenda

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 2 дні тому +1

      Hajakosea jamani kawaida sana, ila kama mgeni angefungua chupa mwenyewe hapo sawa😊

  • @JanethMsogoti-wq2cv
    @JanethMsogoti-wq2cv 2 дні тому

    Swali la sanaa limemchosha hakika.. Hivi Salehe hujui mpododo kweli?

  • @adelinachengula8519
    @adelinachengula8519 День тому

    Scene za baharini😅

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 3 дні тому

    Sarehe mpenda kula leo umewezwa jamani na bola amekula mayai yake 😂😂😂😂

  • @JacklineJanuary-n3w
    @JacklineJanuary-n3w День тому

    Ukiskia kuku kala mayai yake ndo hii😂

  • @esterMahenge
    @esterMahenge 2 дні тому

    Eti au umepasua grasss😂😂😂😂😂

  • @ChochoteTv
    @ChochoteTv 5 днів тому +3

    sema hakikaaa🤣🤣🤣🤣

  • @NanaPeter-r9q
    @NanaPeter-r9q 3 дні тому

    Salekhe inakataaa. Ini sasa avha uji ba

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 4 дні тому +1

    Nampenda ila amekosea mbona unamkirimu soda kisha unaficama kwakumiminiya kwenye glas ukasahau ku cameraman kiska ukonja bila kumuambiya huyo sio ustaarabu

  • @pendokomba8322
    @pendokomba8322 5 днів тому +2

    Nikwambie kitu nanii😂😂😂😂

  • @adelineremmy
    @adelineremmy 3 дні тому

    eti .. tunakuwaga hapa😅

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 5 годин тому

    Mayai kamyima kisa kaambiwa mtoto siwake

  • @DanielJohn-fb5rw
    @DanielJohn-fb5rw 4 дні тому

    Haha😂😂😂😂 kulikon kaonja sodaa duuuh 😂😂😂😂

  • @KidogeDolie
    @KidogeDolie 5 днів тому +6

    Kunywa soda anadjuwa alichokifanya sikwahubaya

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 5 днів тому +2

      Watu ni washamba😂😂

    • @RizoIbrahimovich-z4f
      @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому +1

      Aisee nmependa hii comment sema watu hawaelew tu maana hapo mgeni asije sema kawekewa sumu au mmavitu ndio maana kaonja

    • @KidogeDolie
      @KidogeDolie 3 дні тому +1

      Washamba sana🤣

  • @rosemarydominic-f5t
    @rosemarydominic-f5t 4 дні тому

    Hakika ama salehe hatokuja ludia kuja kwako kamweeee

  • @MohHabibu
    @MohHabibu 4 дні тому

    Ww saleh lin utapaonesha kwko😊

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 дні тому

    Unataka ubaluzee kajuice 😂😂😂,, naona umeweka mpododo wako nashindwa kufungua 😂😂😂😂 we mbona unakua msahaulifu basi uliza tena 😂😂😂😂 au kayai kakuchemsha 😂😂😂 nyie nimecheka Leo ivi mna uhakika hakika ni mzima uyu kwaa aonje soda afu anachekelea camera 😂😂😂🤣🤣

  • @DianaMvile-k8h
    @DianaMvile-k8h 3 дні тому

    Alimwona mke wa hakika gong like

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 4 дні тому +1

    Nimezaliwa kawaida sio kwa operation

  • @zubedaramadhani1289
    @zubedaramadhani1289 2 дні тому

    2005 unamaliza form four??😅😅hakika

  • @ZuinaAidi
    @ZuinaAidi 4 дні тому

    Mimi huyu kaka nampenda

  • @mrlalji44
    @mrlalji44 4 дні тому

    picha linaanza kafungua soda na meno😂😂😂😅

  • @ZamdaJuma-gs9se
    @ZamdaJuma-gs9se 4 дні тому +3

    😂😂😂😂nan kaona kama mim ndio nin kufungulia opena ya kienyeji😂😂😂

  • @SeKikoti
    @SeKikoti 4 дні тому +5

    Nampenda Hakika ila Sijapenda vitabia vyake kwenye hii interview, kwanza kamdomo kamezidi lakini pia kunywa soda kwenye glass kisha kaenda kumpa mgeni midenda yake.

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 4 дні тому +1

      🙄🤣😂🤣😂🤣🫣🤣😂

    • @RizoIbrahimovich-z4f
      @RizoIbrahimovich-z4f 4 дні тому +2

      Anajua anachokifanya ndo maana kaonja ila kama hujaelewa huwez elewa

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 2 дні тому

      Asije akaugua akasema amekunywa soda kwa hakika ikawa kesi, mpaka upelelezi uishe mmh😢​@@RizoIbrahimovich-z4f

  • @Reyla255
    @Reyla255 4 дні тому

    Hakika kiboko ya waroho😂😂😂😂 skuamin km kayala mwenyew mayai 😂😂

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 5 днів тому +1

    Kanywa soda ya mgen😅

  • @BonfaceCharles-n8h
    @BonfaceCharles-n8h 4 дні тому

    Na mke anatoa wapi

  • @embeothman3631
    @embeothman3631 2 дні тому

    Kazaliwa 2005 ndo ana miaka 25?.....

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota День тому +1

    hakika mpuuzi 😅 kweli umefungua soda na meno hp huku unacheka na umemimina soda yamgeni ukaonja kdg😅😅 nimeonaa

  • @aishamridy4774
    @aishamridy4774 4 дні тому

    2005 Ana miaka 25😂😂😂😂Muongo huyoo

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 4 дні тому +2

    upangilio mzuri sanaa wa nyumba❤ nimepapenda

  • @HappyMariki-vg5tn
    @HappyMariki-vg5tn 4 дні тому +1

    Sijui nikubondee kayai 😂

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 5 днів тому +2

    Salehe acha tabia ya uroho kwa nyumba za wenyewe, ona unavyo dhalilika😜Ruben yuko vizuri leo ili ujifunze Next time utakua na adabu😂

    • @Gulshan-002
      @Gulshan-002 3 дні тому +2

      Ruben ni comedian sasa apo pia anafanya komedi

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 дні тому +1

      @Gulshan-002 yes Ruben ametumia nafasi yake ipasavyo,Salehe katoa pass nzuri 😂😂🤣🤣,hii IMEENDAAAA!!!!! 🤣🤣🤣

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 дні тому

    Yan hakika unampa mgen soda unaonja jinga san hili ingekuw ni mim nisingekuywa

  • @hadijahassan9767
    @hadijahassan9767 3 дні тому

    😳😳😳😳mmmmmmmh mbona sielewi mmmmmmmmh

  • @MagrethyMalama
    @MagrethyMalama 4 дні тому +1

    AMEPANGILIA VITU VYAKE VIZURI HADI RAHA

  • @rommybravo
    @rommybravo 3 дні тому

    Sasa 2005 anakuwaaje na miaka 25😂

  • @lovenessfrank95
    @lovenessfrank95 5 днів тому +1

    anazaliwaje elf2005 alaf awe na miaka 25 jman

  • @SilverTaric
    @SilverTaric 4 дні тому

    Sio mtoto wake bwan msitudanganye

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 3 дні тому

    Waandishi hapana 😂

  • @Kupikapika
    @Kupikapika 4 дні тому +1

    Salehe kanuna kabisa kwasababu ya yai jamani 😩😩

  • @AmeenaAmeena-un9qk
    @AmeenaAmeena-un9qk 5 днів тому +7

    Sijapenda umepika mayayi kwajili ya salehe kisha umekula mwenyew na komwelako

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 дні тому

      😂😂😂😂😂

    • @EliudiJastini
      @EliudiJastini 5 годин тому

      😂😂😂😂😂😂 hakika anatatizo la kisaikolojia alafu anajiita mwanasaikolojia😂