Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 бер 2024
  • #EXCLUSIVE: KAJALA HAKUMBUKI MAHUSIANO na HARMONIZE - "PAULA au MIMI NIKIFA MMOJA ATAPATA TABU SANA"....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 46

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 місяців тому

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @AngelJoseph-rm1qc
    @AngelJoseph-rm1qc 4 місяці тому +3

    Hakuna mtu hatozeeka kwanza ukizeeka mshukuru mungu sana maisha yenyewe mafupi nashangaa sana watu kumwambia mtu mzee kama wao watahishi kuwa vijana siku zote

    • @JacquelineMayowa-th3dm
      @JacquelineMayowa-th3dm 4 місяці тому +1

      Hata mm Huwa nashangaa Sana sijui umri Huwa unaganda😂😂😂😂sielewi

  • @user-cq6eg3tf2h
    @user-cq6eg3tf2h 4 місяці тому +1

    Mhuu ❤ still beautiful..

  • @GracieuseMbinga
    @GracieuseMbinga 4 місяці тому +1

    Kajala ❤

  • @felismbithe4761
    @felismbithe4761 4 місяці тому

    Napenda kanjala sana

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 4 місяці тому +1

    Kweli fainali uzeeni.Kajala umezeeeka sasa acha ukaa uchi sasa jiheshimu namkweo umepata.

  • @victoriajoachim7271
    @victoriajoachim7271 4 місяці тому +2

    Ana stress akimkumbuka mmakonde hatari balaa. Hutakaa upate mwanaume kama harmo choko.wewe. Wewe mwenyewe ulimwandikia hata kama mkija mkiachana hudhani kama utapata mwanaume alikupa good time kama harmo. Pole shoga kwa stress sex bibi.

  • @merinakassembe4251
    @merinakassembe4251 4 місяці тому +1

    Muongo Hanamtaka Hamo Leo Kesha hanajipya kashatuma sana massage kwa Hamo papa uso ushapwaya Hamo yuko na poshi

    • @aishaz1
      @aishaz1 4 місяці тому

      Inakuhusu nini tuonyeshe hizo msg anazo mtumiaga hamo alafu na wewe utuonyeshe zako na huyo ulie nae wacha ubea

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 5 місяців тому

    anakwambia ni kupeana raha tu na maisha inaenda😂😂

  • @user-tg8sp6ql6v
    @user-tg8sp6ql6v 4 місяці тому

    Kwendaa

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 4 місяці тому +1

    Dada kajala Umri wako kwani ushafika Miaka 30 ?

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 4 місяці тому

      Mwaka huu anafikisha miaka 41,,,😂😂😂😂😂we Bado upo kwenye miaka 30🤣🤣🤣🤣🤣

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 4 місяці тому

      ​@@PhyinaElias-mu4wfunauhakika ni 41mie hata hio 41 naona kama kadanganya.. yupo kama ana 45😊

    • @fatmahmuhamad7301
      @fatmahmuhamad7301 4 місяці тому

      Mbona bado yuwaonekana mbichi acheni wivu

  • @user-vg6br3ew2j
    @user-vg6br3ew2j 4 місяці тому

    😂

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 4 місяці тому

    24 seven au 24 hrs?

  • @user-he4wv9uo6i
    @user-he4wv9uo6i 5 місяців тому

    Kajala❤

  • @user-uq1wr9ib4j
    @user-uq1wr9ib4j 4 місяці тому

    Twenty four seven😅

  • @gabrielywilliummbega6577
    @gabrielywilliummbega6577 5 місяців тому +5

    Dah kweli uzee haujifichiiii jamni

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 4 місяці тому

    Sio "sex bibi" .Ni sexy bibi. Ni vitu viwili tofauti. Tafadhali zingatia dada Imelda

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 4 місяці тому

    He Kama unatumia na uso wako uko hivyo basi ni fake. Uso wako umekataa

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @user-nl6hx9cf7l
    @user-nl6hx9cf7l 4 місяці тому

    mwonekano umeisha

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 місяців тому

    Tanzania ya Mavi kunuka Hahahah huyo mwanamke sijui anaitwa akajala ana kibichwa kama mjusi Na kichogo Na kiuwalaza na sura imekomaa utafikiri unalamba malimao 😂😂😂😂 na ana machunusi Ngozi ya usoni imebabuka 😅😅😅

    • @user-bi3ky7vy2q
      @user-bi3ky7vy2q 4 місяці тому

      Amekukosea nini mpaka umseme hivyo?

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 місяці тому

      Umaskini unakusumbuwa

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 4 місяці тому +1

      @@Mina.15 sikuwahi kuujua umasikini maishani mwangu namshukuru Mungu kwa hilo ongea kingine unatesekea kutoka wapi kichogo 🤮🐸💩🧛🏿‍♂️🐒🐒🐒

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 4 місяці тому

      @@user-bi3ky7vy2q vyote nilivyosema ndio alivyo kiuwalaza anacho Na kichogo anacho Na ana machunuzi Na halafu eti anauza lotion ya kulainisha Ngozi mamae Tanzania ya Mavi kunuka 🤮🤮🐸🐸👹🧛🏾🐷💩💩

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 4 місяці тому

      ​@@Kabwela7768😅😅😅😅

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 4 місяці тому

    Amekizekea sana

    • @dublea4118
      @dublea4118 4 місяці тому

      Amezeheka wapi? Acha chuki zisokua na maana uzee umeanzia 60 huko