Itakushangaza: Yustar Mgaya Atoa Ushahidi Ugomvi wa Kajala na Harmonize, Sikutaka Kutoa Siri Hii I..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 сер 2023
  • Itakushangaza: Yustar Mgaya Atoa Ushahidi Ugomvi wa Kajala na Harmonize, Sikutaka Kutoa Siri Hii I..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .#itakushangaza #yustarmgaya #atoaushahidi
    #huuhapaushahidi #harmonize #kajala #harmonizevskajala #tikitvkiakilizaidi
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 337

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 Рік тому +23

    Wow ❤❤❤❤ Tiki Tv mmejua kunikosha maana nilikuwa nasubiri sana kuona mahojiano ya huyu dada moyo wangu utulie mwenzenu mambo ni moto

  • @kikiswahili
    @kikiswahili Рік тому +14

    Watching from South Africa bondeni kwa madiba

  • @kavyashortsleon
    @kavyashortsleon Рік тому +16

    Big up Tiki Tv

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 Рік тому +42

    Unaongea point Hadi tumekusanyika hapa watano tunakutazama sauti kubwa tumeconnect na mziki wa bajaji

    • @FauOmiy-bm1yn
      @FauOmiy-bm1yn 11 місяців тому

      Malipo duniani , kamata dinu tudani , km kajala alivyo mtenda wema

  • @kavyashortsleon
    @kavyashortsleon Рік тому +27

    Huyu dada nampenda sanaaa hapindishagi mambo 🎉🎉🎉

    • @kalistamtanzania7220
      @kalistamtanzania7220 Рік тому +1

      Umeona eeeh Yani ananyoosha kisawaaawa

    • @NicodemusKithi-xe7mg
      @NicodemusKithi-xe7mg 9 місяців тому

      Ni kweli kabisa, nkikumbuka Mr pimbi akiongea kuhusu kuachana kwa kajala na Hamoo nkaa Wana tundanganya

  • @EmilyJacobo-vl1mq
    @EmilyJacobo-vl1mq 11 місяців тому +8

    Jamani mm binafusi sipendi kuona harmonize na kajala kuachana jamani

  • @mesatagirassane4853
    @mesatagirassane4853 Рік тому +13

    Sababu ni Kajala kumwita JESHI TEMBOOO Teacher HARMONIZE,,,,,Tshizi....

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 Рік тому +20

    Wewe dada wewe love you

  • @abunajash9995
    @abunajash9995 11 місяців тому +8

    This lady is very brave,clever and a good adviser love her so much will most definitely follow her programme mapenzi na mahusiano,love from London ❤❤

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane Рік тому +21

    Acha niweke bando niangalie hii maana huyu Yustar hakurupukagi kuongea tu kila siku kila saa kama kina mwijaku na baba levo

  • @AkiliNdefu
    @AkiliNdefu Рік тому +20

    Dada kama hujaolewa nmekupenda bure

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 Рік тому +20

    Kumbe ndivyo ilivyokua Sasa nimeelewa kwa nn

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 Рік тому +10

    Yani uwe na dharau tuendelee na mahusiano? Wewe uko upande wa kajala.

  • @kikiswahili
    @kikiswahili Рік тому +23

    Yustar chukua maua yako shost🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому +14

    Sio mtu wakuongea mbona kwenye lialit sho yao wanamuongelea konde

  • @aminarashid-yf4sf
    @aminarashid-yf4sf Рік тому +17

    Wewe dada ni mwehu kipindi chote kajala anamuaibisha harmo kwenye reality shoo kwanin hukumuonya kajala ??? sasaiv harmo kalewa anamwaga mambo ndio wajitokeza ili kumkingia kifua kajala???kweli mwalimu wa wanawake ni kipofu,,,muache harmo nae atoe ya moyoni ili roho yake isafishike na awe na maisha marefu

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 Рік тому +1

      Kweli kabisa. Waanze kumuonya Kajala kwanza.

    • @maryammussa2835
      @maryammussa2835 11 місяців тому

      Kaaibishwa Nini huyo hamor ACHA zako nawewe

    • @aminarashid-yf4sf
      @aminarashid-yf4sf 11 місяців тому

      @@maryammussa2835 naachaje zangu,,,Inamaana reality show za kajala huzioni akimsema harmo???na Ile Zima taa umeisahau pia??ungekuwa muelewa ungeelewa faida ya kuwa excited state,,,au yakutoa ya Moyon,,,unakuwa huru unakuwa mwepesi na kinyomgo kinatoka,,,jambo likipita lishapita kwa yule asieweka mambo rohon,,mwache harmo aseme asiumie ndan kwa ndan,,huu ni ufala wa wanaume wengi kukaa na mambo moyoni mwisho wa siku wajane wanakua wengi

    • @ghahahahanex8470
      @ghahahahanex8470 11 місяців тому

      Fact

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane Рік тому +32

    Huyu dada ni mtaji kwa Taifa ajengewe sanamu lake nmemkubali japo ni mwanmke mwenzangu na wanawake hatupendani ila huyu Nmempenda bureee

    • @OpMagu
      @OpMagu Рік тому +5

      Sana na ni hazina kwa mume na watoto wake

    • @bonfacemuchiri1600
      @bonfacemuchiri1600 Рік тому +1

      Lazima amtetete rafiki yake nani atamtetea boy child

    • @user-qv5xg2ng9v
      @user-qv5xg2ng9v 11 місяців тому

      ​@@bonfacemuchiri1600Kama haujafiti kwenye bedroom sexy lazima mwanaume atoke nje na ndio maana hakuna mwanaume Malaya uwa tunabadirisha Radha ya mahabati

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 11 місяців тому +1

      Wewe huyu dada napata shida kidogo kuna kauli kaitoa inanipa hofu na story yake! Anasema huyo dada alikuwa rafiki wa Kajala kwa hiyo Kajala alikuwa rafiki wa Yolo mmm tuanzie hapo

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 11 місяців тому

      Apewe ulinzi

  • @user-bz8cu7fk8w
    @user-bz8cu7fk8w 11 місяців тому +3

    Dada yusta nakupenda sana unaakili sana na upeo.lena umeongea point sana hao wanapendàna sana .nataman wakae chini wayamalize na kurudiana tena kupo tena wasiogope kurudiana sababu ya watu yena hawa wakioana watadumu sana .na watawafunga midomo wambea wote wanaowachonganisha.dada yusta weka tena nguvu zako kwenye maombi

  • @AkiliNdefu
    @AkiliNdefu Рік тому +16

    😂😂😂😂 kelvin unajua kumchimba mtu

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому +10

    I believe you 100% both they are abusing each other 👌

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo Рік тому +5

    Asante sana dada mungu hakulinde 🙏🙏

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 Рік тому +17

    Dahh kumbe mambo yalianzia huku, nyie moyo wa mtu kichaka walahi

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 Рік тому +8

    Ht km hamo ni mbaya lkn mbona hio reality show yao imemzungumzia hamo sana ya kumponda

  • @robertpaul7714
    @robertpaul7714 Рік тому +7

    Wadada wanaojielewa ndo kma hawa sasa 👏👏👏👏

  • @shaymaamlanza3949
    @shaymaamlanza3949 Рік тому +4

    Dada upo vzr sana konde amekosea mwanaume aliyekamilika hatoi cri za ndani

  • @JudithKimaro-fw6dd
    @JudithKimaro-fw6dd 11 місяців тому +4

    Ila kiukwel kajala nakushaur achana na harmonize usimrudie fata maisha yako dadaang

  • @daylight1707
    @daylight1707 Рік тому +9

    Na wewe yusta mwambie kajala aache kumuongelea harmo kwenye kile kapindi chake kichoruka kila jumatano hicho kapindi ndo kimeleta hayo yote

  • @namukwayamweshihange8866
    @namukwayamweshihange8866 Рік тому +4

    Ahsante sana dada yani to the point.

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 Рік тому +22

    Dada unaakili kubwa sana ninachopendaga sana kwako niukweli wako juu ya mambo kongole kwa hilo

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 11 місяців тому +1

    interview imeenda sana joh...hongeren YUSTA+TIKI

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 Рік тому +5

    Yaani nilikuulizia jana,,yuster yupo wapi?haya mambo mi naona aibu utafikilia ndo mimi.

    • @marrymazengo1315
      @marrymazengo1315 Рік тому +2

      Hata mm nahisi tuliwaza pamoja nanpenda sana yustar 😂❤❤

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 11 місяців тому +3

    Yusta una upeo mkubwa sana. Umeongelea watu zaidi ya wanne wote haha hakuna hata mmoja uliemuongelea vibaya. Umeongea kwa bashaha kubwa.nakupenda

  • @estherjackson6038
    @estherjackson6038 11 місяців тому +7

    Huyu Yuster Ni mtu makini Sana.Nimetokea kumuamini mno.

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому +15

    Watu siku iz mnaniwahi eehh😅😅😅

  • @mohsenaljahwary5730
    @mohsenaljahwary5730 Рік тому +8

    Hi, Yusta Uko vizuri sana.Hata mimi hii sijaipenda huu ugomvi.Mdogo wangu Harmo achana na hii kitu na pia Shem Kajala achana na hii kitu Tulizeni akili zenu hii ipite km mapenzi yamekufa basi muwe marafiki tuu wa kweli.Kuna leo na kesho peace & Love.Mtake it easy.Hey mdogo Harmo take care Bro.U r something else now ur Big usiharbu.

    • @hawaomary8486
      @hawaomary8486 11 місяців тому +1

      Acha kuwongea SN muwandishi aha dada aonge

  • @saniaidrisa3920
    @saniaidrisa3920 Рік тому +20

    Dada nimekuelewa sana ila ulichokosea ni kushindwa kumshauri rafiki yako toka mwanzo kumuongelea vibaya mwenzake ulikaa kimya kipindi chote wanamdhalilisha ndilo kosa lako

    • @marrymazengo1315
      @marrymazengo1315 Рік тому +6

      Mbona kasema kwamba kajala nae kakosea kumsema harmo au hamjasikia

    • @saniaidrisa3920
      @saniaidrisa3920 Рік тому +5

      @@marrymazengo1315 Hatukatai kasema k alikosea lakn kama rafiki wa kweli alitakiwa kumshauri kajala na mwanae toka walipoanza tu kumsema harmo kwenye kipindi chao cha kwanza yasingetokea haya maana kadri walivozidi kumsema vibaya ilizidi kuchochea hasira naye ni binadam kuwa mwanaume haimaniishi haumii

  • @aminatanditse4987
    @aminatanditse4987 Рік тому +6

    Ongea ukweli ham hana mda kajalan ni mzee

  • @nimbonaleongontran5952
    @nimbonaleongontran5952 11 місяців тому +3

    Jameni wa tanzania, me am from burundi 🇧🇮, munisahidie munambie maana ya adha. Thx

  • @AngelaNicolaus
    @AngelaNicolaus 11 місяців тому +1

    dada ang umesema ukwel kbx ,maan ata kama mmeachana haipasw kuachana mpaka nkataman nmwambie harmonize ayo anayofanya so vzr ,,,,nasukuru da yusta kwa hekima ulonayo ,,,,,,Mungu aitunze iyo hekima....

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 Рік тому +16

    Kukupenda ndo kitu najua Yani napendga sana unavyoongea ukweli 👏👏

    • @AkiliNdefu
      @AkiliNdefu Рік тому +3

      Na mm nampenda sanaaa kuliko hata ww kwanza ww mwanamke tuachie sisi wanaume ndiyo tumpende

    • @shamzone388
      @shamzone388 Рік тому +3

      @@AkiliNdefundugu wa tanga mbona una tamaa sana

    • @OpMagu
      @OpMagu Рік тому

      ​@@shamzone388kweli ana tamaa hata mm namuona maneno yetu wanaume tukitamani nayajua

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 11 місяців тому +3

    Nakupenda sana my Yusta

  • @user-tb5bt8lq8j
    @user-tb5bt8lq8j Рік тому +4

    Lililo muuma harmonize kwenye kile kipindi chao kumuita chizi pia kila siku wanamuongelea kwanni wasiachanenae

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 місяці тому

    Yustar nimekusikiliza yani umeongea vizuri sanaaa ❤❤❤❤

  • @thekiliguides
    @thekiliguides Рік тому +4

    Pole Kwake 😊😊

  • @user-fr5sh6sh5y
    @user-fr5sh6sh5y 11 місяців тому

    Hongera dada ww ni mama ushauri mzuri sanaa ❤❤❤

  • @user-nj2yi9jk8b
    @user-nj2yi9jk8b 11 місяців тому +1

    Asante sana yustar tumejuwa ukweli leo 😮😮😮

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 11 місяців тому +2

    Ni Kweli bado wanapendana, sis yuster Waite kaa nao ongea nao yaishe,

  • @shamzone388
    @shamzone388 Рік тому +14

    Yusta Mgaya nakupenda sana fanya juu chini warudiane maana wamependezana kajala na hormonise nakuaamini sana

    • @user-wh8xm1yp3x
      @user-wh8xm1yp3x 11 місяців тому

      Mimi piya napenda sana warudiyane dada afanye mambo Ili warudiyane jamani

    • @HappyFamily-qz9up
      @HappyFamily-qz9up 11 місяців тому

      Ata mm jamani naumia kama vile mwanangu kaachika. Nawapenda sana

  • @fernandshabani
    @fernandshabani Рік тому +3

    Ndio wanapendana hawa.ku mukuta na mwengine sio tatizo kwakuwa KAJALA mwenyewe ana wengine,pili harmonize ni star anaezi akawa na wengine kwa hiyo jibu ni kusameyana tuh..kingine longo ilikuwa ranj na wala hakuna chama penzi hapo kwani mwanamke ana kubali kama mwenziwe siwakwanza mpaka ashindwe muacha..Fernand toka DRcongo

    • @user-fc3og1eo3x
      @user-fc3og1eo3x 8 місяців тому

      Hata hivyo wanawake wanatupiga Sana mizinga na marafiki zao wanatumia bajeti kubwa Sasa kwanini usilipize harmonize bado yuko sawa

  • @thomasgonnah7452
    @thomasgonnah7452 Рік тому +5

    Mapenzi Kwa mwanaume ni kama nguo unaeza ukainunua Kwa duka Kisha ukifka nyumbani ukaichukia na kununua nyingine

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io Рік тому +6

    Wewe mkweli kabs, Lakini rafiki yako angevumilia yote maana wanaume ni hivo

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 Рік тому +4

    Heri nisike leo acha nijaze bando kwa ajili yako yustar wangu😂😂

  • @foodbasiccourt2028
    @foodbasiccourt2028 Рік тому +4

    Kwani ukimpa kitu mti inampangia matumizi? Basi harmo alikuwa anamtaka anjera

  • @KaserekaIbrahim
    @KaserekaIbrahim Рік тому +3

    Asante kwa hamo na kajala

  • @robertpaul7714
    @robertpaul7714 Рік тому +4

    Hakuna mwanaume rijali ambaye hana mchepuko ata kma umeoa kuchepuka kupo tu kuna vitu vinapunguaga kwenye ndoa

  • @tikitvog
    @tikitvog  Рік тому +8

    Kutazama zaidi kazi za Yustar Mgaya bofya link👇👇
    youtube.com/@mapenzinamahusiano

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 11 місяців тому +6

    Madam Ustar umeolewa??? Mzuri Sana ❤

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 Рік тому +16

    Yustar mgaya tulikumic sana tupeu ubuyu❤❤❤

  • @zeddydanielotieno4317
    @zeddydanielotieno4317 11 місяців тому +4

    Je!!, HUYU DA YUSTA AMEOLEWA, MAANAKE NAMTAMANI SANAAA😂😂😂😂😂😂

    • @USDisdoomed
      @USDisdoomed 9 місяців тому

      Dogo punguza upwiru 😂😂

  • @jumannemagawa5095
    @jumannemagawa5095 10 місяців тому +1

    Dada wewe ni muungwana na hongera sana, ila ukiweza washauli warudiane kama ile ndoa ilikuwa ya ukweli.

  • @seifkilindo7121
    @seifkilindo7121 10 місяців тому

    Hongera sana dada upo vinzuri sana

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 Рік тому +38

    Kumbe bado wanapenda eeeh hata mm naona hivyo kwa kweli maana hata mm nilipoachana na ex wangu nilikua badonampenda nilikua namfanyia sana visa 😂😂

    • @carolinenyakio8592
      @carolinenyakio8592 11 місяців тому +1

      😅😅

    • @Mina.15
      @Mina.15 11 місяців тому

      Ten years ago Ata pia mimi mpaka nika fake kunyuwa sumu 😂😂😂 LAKINI wapi 😂 Kaka anaroho ngumu 😂 sikuizi I don't care jina lake TU linanifanya kutapika 😂

    • @KuriaLukumay-ys5xp
      @KuriaLukumay-ys5xp 11 місяців тому

      Nani kakuliz Achasob

    • @FaithSaisi
      @FaithSaisi 9 місяців тому

      😮

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 11 місяців тому +4

    Huyu Dada yupo sahihi, na ukimsikiliza vizur, Harmo alijisacrifice kwa kila kitu kwa Kajala na familia yake, unfortunately sio fate kuwa pamoja, na ofcause Kajala kuhis yupo above mwanaume, hakuna mapenz yasiyo na changamoto, wai wameyageuza kua business kwa interest za watu. So wache tu wawafaidishe watu na maadui, Harmo alishamaliza yote kwenye #vibaya

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +4

    Km sijaakuangalia ww ktk UA-cam namuangalia nani tn. Enhhh tupe burudani Yustar

  • @shaidaniyonkuru3007
    @shaidaniyonkuru3007 11 місяців тому +1

    Dada imiss you unasemesha ukwer

  • @Sppah697
    @Sppah697 11 місяців тому +3

    Dada Fausta mzuri!

  • @olly7037
    @olly7037 Рік тому +12

    Huyu mwanamke inaonekana anaweza kuwa anazungumza ukweli 100%. Very clear!

  • @gracemunthali7945
    @gracemunthali7945 Рік тому +7

    Ni kweli nakubaliana na wewe. Hawa bado wanapendana

    • @DIO-jd8xs
      @DIO-jd8xs Рік тому

      Hakuna mbona akiongea kajala hamim tuone kama kama atakuja kupata mwanaume kama hamo

  • @kikiswahili
    @kikiswahili Рік тому +9

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @irenesalewa7164
    @irenesalewa7164 11 місяців тому

    Uko na moyo wa huruma mungu akujalie sana

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 11 місяців тому +1

    Nampendaga huyu dada ❤❤❤❤❤

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 Рік тому +3

    Kwani kajala nae si alikuwa wakiibana kimya na harmo akiwa na jack

  • @gracemsalila7735
    @gracemsalila7735 Рік тому +2

    Safi umeongea point

  • @kadino_jc
    @kadino_jc Рік тому +3

    Nauriza kajala2 yiko wapi?ampe na kajala2 njo ni amini kamupa kweri

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 Рік тому +3

    Sasa nyie nanii kawaambia kuna mwanaume ana mwanamke mmoja?????😊😊

  • @DIO-jd8xs
    @DIO-jd8xs Рік тому +3

    Kajala tapeli hatokuja PATA Tena mume kama hamo we ungeweza

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 Рік тому +4

    Kajala hapo alibugi.Ukimchunguza kuku hutamla.

  • @debbylitina3480
    @debbylitina3480 11 місяців тому

    Umeongea vizuri... Hata mimi Naona Hao Watu WanaPendana..

  • @jenifermlay3625
    @jenifermlay3625 11 місяців тому +2

    Kwakweli Hawa wawili wanapendana Bado ushauri wangu wasikubali kuidhulimu mioyo yao kwa kuogopa watu,wanatakiwa kutii kiu zao.Wahenga walisema wagombanao ndio wapatanao.

  • @zabibuidi1938
    @zabibuidi1938 Рік тому +3

    Ndio bado wanapenda

  • @user-jp5yy6kb9h
    @user-jp5yy6kb9h 11 місяців тому +2

    Yaan wanapenda aswa tena one day watarudi ana

  • @KinDanger-dw5sj
    @KinDanger-dw5sj Рік тому +3

    harmonaize anavuta sigala poli musichangae akatokeya mambo kama aya vumiliana harmonize bang zinasumbuwa

  • @user-jj7ep1sr9s
    @user-jj7ep1sr9s 6 місяців тому

    Sawa hila yusta nakupenda❤

  • @abdulrwenza986
    @abdulrwenza986 10 місяців тому

    Dada unaongea vizuri sana Hongera pia ‘couple’ ya Harmonize na Kajara bado ni bora tutafurahi wakirudiana

  • @sophyodago5062
    @sophyodago5062 Рік тому +1

    Duh! Hatari sana

  • @sophiafalk6484
    @sophiafalk6484 Рік тому +6

    Kweli kabisa hawa bado wanapendana kabisa. Ila wahache kutoa siri zao hazarani. Na wewe mlogo wangu washauli wahache huu ujinga.

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 Рік тому +26

    Yani huwezi amini namuamini sana Yustar akiongelea hili jambo kuliko hata angeongea kajala mwenyewe maana kajala au harmonize wanaweza kuficha mengine Kila mmoja akitetea upande wake.

    • @aminangusura6115
      @aminangusura6115 11 місяців тому

      Yusta kaongea vizuri ila alichoaribu kitu kimoja,unajua kajala na Paula walikua na kipindi kwa zamaradi mtetema wanamuongelea AMORNIZE na sio mara moja ni kila wakati ,YUSTA alikua aoni kumsema rafiki yake, aache kumsema AMORNIZE ,jamani AMORNIZE naye binadamu,sio MTUME useme katolewa nyongo,je kiatu chake kivae wewe je ungeweza??????????

    • @rachelsimbeye9637
      @rachelsimbeye9637 11 місяців тому

      😂😂😂

  • @parachichiFM
    @parachichiFM Рік тому +2

    Yustar naomba unipende

  • @MaltinestevuJohn-sv5ki
    @MaltinestevuJohn-sv5ki 11 місяців тому +1

    Woow

  • @Bakarirajabu-cg3kn
    @Bakarirajabu-cg3kn 2 місяці тому

    Nakubali apo

  • @neemasiame
    @neemasiame 9 місяців тому +2

    Kajala nimtu mzina angevumilia hakuna mwanaume msafi

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato 11 місяців тому

    Mabaya ya harmo yanalingana na mema yake, Harmo anatakiwa akutane na mwanamke mpole, mcha Mungu,, asiye na matumizi, aumwanamketajiri, asiyena makuu na kutochunguza, harmo ana upendo wa muda mfupi na wa kimbunga, harmo hawezi kuwa mtulivu na mnyenyekevu wakudumu kwa mwanamke yeyote yule.

  • @AbdallahBakena
    @AbdallahBakena 10 місяців тому

    Yan we mdada watu wanazin araf unasema hazaran vitu ambavyo havimpendez mwenyez mungu me nikafikir ungewashaur wafunge ndoa kumbe rengo rako waenderee kumkosea mungu

  • @jumabidery5051
    @jumabidery5051 Рік тому +4

    Zarau sio kitu kidogo

  • @user-bt9dr1xv5h
    @user-bt9dr1xv5h 11 місяців тому +1

    I love you dadangu

  • @Sam2Tz-xk3mh
    @Sam2Tz-xk3mh Рік тому +3

    Apo lazima akonde

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 Рік тому +17

    Wa kwanza like zangu jamani

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Рік тому +13

    Sija chelewa

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 11 місяців тому +1

    aliyempata ssa hv harmonise uyo kajala hafui dafu ssa iweje et harmo awe anaendlea mpenda uyo kajala kwa uzee ule hata mm siwez kka.

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 11 місяців тому +1

    tuko pa1 yusta the mama.