KUNYWA POMBE SIO DHAMBI - Pastor Dr. Ceasar Masisi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • #SaaYaNeema #UkweliKuhusuKristo #KunywaPombe #HakunaDhambi
    Follow us:
    FACEBOOK: / spiritwordministrytz
    INSTAGRAM: / spiritwordministry
    WHATSAPP: +255 753 999 989
    Email: spiritwordministry@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 65

  • @user-zu1in2yf1n
    @user-zu1in2yf1n 9 місяців тому +1

    Ulevi wako usituletee sisi kama we unakunywa Ni kwaraha zako mwenyewe sio kupotosha watu,sipotezi mda wangu kusikiliza upuuzi huo.Mfarijianeni nawalevi wenzako huko.

  • @romanusdominicus5184
    @romanusdominicus5184 3 місяці тому

    Kuzimu ipo kazini, manabii wa uongo watadanganya wengi.

  • @user-e5e7o
    @user-e5e7o Рік тому

    Ambao majina yao ayajaandikwa ktk kitabu cha mwanakondoo utawadanganya sana bali bali wateule wa mungu hawadanganyiki

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 Рік тому

    Kwani ni mungu yupi anaehubiriwa hapo.

  • @erickmillanzi4391
    @erickmillanzi4391 9 місяців тому

    Umefilisika

  • @fidonifidel
    @fidonifidel Рік тому +1

    Siku za mwisho aangaliae na afahamu!!!

  • @user-zu1in2yf1n
    @user-zu1in2yf1n 9 місяців тому

    Tubu kwa huo ujinga wako maana damu za wengi zitakua juu yako

  • @user-pz7df9zh6v
    @user-pz7df9zh6v 9 місяців тому

    Ni wakati wao

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 2 роки тому +1

    pombe ni dhambi hakuna pingamizi juu ya Hilo,

  • @witabaabinayo3356
    @witabaabinayo3356 Рік тому

    Ok

  • @alexmpuge2411
    @alexmpuge2411 Рік тому

    Mwalimu wa uwongo ndo awa

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp Рік тому

    Wakati wanafunzi wa Bwana wetu Yesu wakipokea roho mtakatifu walijaa nguvu ya ajabu wakaanza kunena kwa lugha mpya. Watu wakawafananisha na walevi.Lakini wakasema Hao hawalewi (hawanywi pombe)Tena ni saa za mchana .Mwana wa MUNGU ALIYE HAI (MTEULE)OGOPA KILEO.POMBE NI DHAMBI.

    • @nathanaellekamoi7282
      @nathanaellekamoi7282 Рік тому

      Acha kutupotosha.kileo ni nini na pombe ni nini? niambie kama unataka kuichanganya jamii tujue.huna jipya unapaswa tu kumjua Mungu wa kweli

  • @hebrew1214
    @hebrew1214 Рік тому

    Unywaji wa pombe ni dhambi.
    Acha kuwapotosha watu.

  • @bahatinyandula6425
    @bahatinyandula6425 Рік тому

    Mungu akusamehe

  • @nabiiedwardfireonetv8873
    @nabiiedwardfireonetv8873 Рік тому +1

    Huu ni upotoshaji wa maandiko

  • @injiliyakuponyaroho1382
    @injiliyakuponyaroho1382 Рік тому

    Nakuapisha ukae kimya na usipotoshe Neno la Mungu Yesu akukemeee

    • @abdallahsaid1968
      @abdallahsaid1968 Рік тому

      Yesu sio mungu na kama ukiendelea kumuita yesu mungu laana ya Allah ikufikie

    • @Harrison-zh9sb
      @Harrison-zh9sb Рік тому

      @@abdallahsaid1968 kiongozi wakristo wana imani yao hawamuamini allah kwahyo usimpangie kwakua allah sio mmungu wake wwe muamini allah yeye amuamini yesu

  • @194summer
    @194summer Рік тому +1

    Efes 5:18
    Tena msilewe kwa mvinyo bali mjazwe Roho....hukumu yako iko pale pale umepotea kwa kina

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 Рік тому

    Wakristo!!!

  • @kazimilkazimil8615
    @kazimilkazimil8615 Рік тому

    Maandiko yote yako sawa Ila ni imani na msimamo

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 2 роки тому

    Hili andiko liko straightforward

  • @nonnxytv53
    @nonnxytv53 Рік тому

    Ole Iko kwenye kusudi la mtoa kileo kwamba anataka kuona Uchi wa mpokeaji. Yaani kumdhalilisha ambayo ni dhambi LUGHA NI SHIDA.WATU WAJIELIMISHE

  • @kasembojackson6850
    @kasembojackson6850 Рік тому

    Huyu mtu hata bibilia haijui anarukiarukia maandiko hayajui!

  • @arafaswalehe4660
    @arafaswalehe4660 3 роки тому

    Nakupata Paster,pokeeni cm nnappga cm

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 Рік тому

    SERIKALI IFUNGE HUU UJINGA

  • @alexmpuge2411
    @alexmpuge2411 Рік тому

    Kunya Nini Sasa

  • @philipombwambo6345
    @philipombwambo6345 Рік тому +1

    Mimi naomba serkali ikamate huyu mhuni anapotosha watu na mafundisho yakutukana imani za watu wengine...kifupi aelewe kua bado tz hatujawa tayari kumpokea wakala wa shetani

    • @gibsonsimburya5291
      @gibsonsimburya5291 Рік тому

      Tatizo lako uliyapokea mafundisho ya awali ukayakariri bila kuhoji. Sasa ukisikia ufafanuzi ambao haukutolewa na waalimu wako unafikiri ni wafuasi wa shetani. Wewe unaweza kutuambia ni nini lengo la mungu kuweka mti ule bustanini huku akijua adam akila atakufa.

  • @bahatinyandula6425
    @bahatinyandula6425 Рік тому

    Pombe nidhambi nikita kuamini soma petro wa kwanza (1) sura ya pili mstari wa tisa. NB POMBE PEMGINE CYO ZAMBI KWA WATOTO WA UKIHANI WA FALME ZA SHETANI KAMA HUYO MCHUNGAJI MWENYEWE ILA KWA WATOTO WA MUNGU NIDHAMBI KUNYWA POMBE

  • @kasembojackson6850
    @kasembojackson6850 Рік тому

    We si ulisema bibilia ni upuuzi sasa mbona unasoma?

  • @jacksonngilu6097
    @jacksonngilu6097 Рік тому

    Kunywa pombe ni laana maana imeandikwa kwenye Kumbukumbu la Torati. Na Askofu Masinsi wa Neema juu ya neema anafundisha kuwa Torati ni laana. Kumbukumbu ni kitabu kimojawapo kayika Kumbukumbu.

  • @mtangag774
    @mtangag774 Рік тому

    Hahahaha kileo ni Nini jamn

  • @alexmpuge2411
    @alexmpuge2411 Рік тому

    Kwanza kwenye biblia akuna neno pombe bali neno lililo tumika MVINYO na KILEO kwaiyo usiongope apo

  • @kelvinbernard5453
    @kelvinbernard5453 Рік тому

    Hii mutu MBNA inazunguka sana?!!!

  • @Bishopdavidndaki7184
    @Bishopdavidndaki7184 Рік тому

    Wewe potosha tu kuna siku utajibu kwa kupotosha huko utataadhibiwa

  • @elishamwita2276
    @elishamwita2276 3 роки тому

    Una mpepo wewe nabii wa uongo unasoma neno la MUNGU kwa kurudi nyuma

  • @edithajohn4563
    @edithajohn4563 Рік тому

    Hilo andiko LA habakuki nalisomaga siku nyingi ila Leo ndio nimepata ufunuo wake, kumdrug mtu na kumnyanyasa kijinsia au kumbaka.

  • @tanashadona7671
    @tanashadona7671 3 роки тому +1

    Kwahio kunywa pombe sio Zambi?????

    • @pastormarkokabisatv6821
      @pastormarkokabisatv6821 Рік тому +2

      Ni Dhabi, unajua ndugu usipo isoma biblia kwa mapana na marefu ni hatari sana. Isaya 5:11 Mungu anasema Ole wao waamkao asubuhi na mapema wapate kufuata kileo(pombe).

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 Рік тому

    We mpumbavu sana unapindisha maneno pimbiii mkubwa wewe

  • @methuselantahonsigaye7855
    @methuselantahonsigaye7855 3 місяці тому

    Poor knowlege or you stand before 🐜 Christ. God helphim

  • @mtangag774
    @mtangag774 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna watu ni mafundi wa kujitetea hatar

  • @194summer
    @194summer Рік тому +2

    Wewe ni muhuni tu wa kiroho hata wajinga wana kiongozi wao.....

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 Рік тому

    Uyu jama co mzima kichwani kuna zero na ni agent wa shetni moja kwa moja andiko hilo lipo wazi hana ata aibu!!na anaonekana nimtu anaepinga wokovu

  • @failaprince9250
    @failaprince9250 Рік тому

    Kama wewe unakunwa pombe ukunwe lakini usi fundi she wengine manabii wauhongo ndiyo aho asomaye n'a fait amu

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 2 роки тому +4

    Huyu jamaa ni master wa kupotosha wakristo kuweni naye makini na kila anachokisema na kusoma ,mfano hii habakuk 2:15 ichukue kama ilivyo isome kwenye biblia ya kiingereza uone ni ulevi wa aina gani biblia imemaanisha hapo na huyu mwamba anaongea nn 😂😂😂 Ila ukiwa kama kinda la ndege wewe ni kuhasama tu huyu jamaa atakulisha uchafu mwingi sana aisee Habbakuk 2:15 KJV "*Woe unto him that giveth his neighbour drink, that puttest thy bottle to him, and makest him drunken also, that thou mayest look on their nakedness!*
    Biblia ya kiingereza hapo imesema *drink* ,na pia ikasema *drunken* 😂 maana yake ulevi wa pombe mwamba kabadirisha kaweka ulevi Hadi wa pilipili 😂😂😂😂😂
    Anyway manabii wa uongo ni wengi sana jamani chunguzeni maandiko kabla hamjawakubali

  • @duncankipendaroho8833
    @duncankipendaroho8833 Рік тому

    Umetoka kunukuu hoja ya Habakuki 2:15 ukasema kwa kuwa hajataja habari ya pombe bali kileo siyo issue, hapa kwa Warumi anaposema ufalme wa Mungu si kula na kunywa, kwa hiyo kunywa hapa umehusisha na pombe au kitu gani maana hajasema habari ya pombe? Wasemaje wewe?

    • @duncankipendaroho8833
      @duncankipendaroho8833 Рік тому

      1 Wakorintho 6:9-11
      Neno: Bibilia Takatifu
      9 Je, hamjui kwamba wasio na haki hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike, waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wapotoshaji; 10 wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyang’anyi. 11 Na baadhi yenu mlikuwa kama hao. Lakini mlioshwa, mlitakaswa, mlihesabiwa haki kwa jina la Bwana Yesu Kristo na katika Roho wa Mungu wetu.

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 2 роки тому

    Unaongea ukweli lakin mtu kukuelewa mpaka awe na ufahamu mkubwa sana

    • @frankmushi8892
      @frankmushi8892 Рік тому

      Wewe nimjinga mwezako uyoooo pumbavuuu

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 Рік тому

      @@frankmushi8892 pumbavu mwenyewe

    • @user-e5e7o
      @user-e5e7o Рік тому

      Nabii wa uongo subiri ipo siku utajua kuwa ulikuwa unafundisha pumba. heri asomaye na asikilizaye na atendaye maneno ya biblia. Siyo kusubiri usomewe na mlevi ambaye anavyo fundisha ndivyo alivyo na yeye kuwa macho

    • @user-e5e7o
      @user-e5e7o Рік тому

      Acha kusapoti dhambi ukweli uko wapi hapo sema unalemewa na ulafi na ulevi kama yeye

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 Рік тому

      @@user-e5e7o unateseeka ukiwa wapi??

  • @wisdomhalisi......8891
    @wisdomhalisi......8891 Рік тому

    Ujui MAANDIKO Kaa kimyaaaaaa. Mjinga mkuu wewe

  • @wisdomhalisi......8891
    @wisdomhalisi......8891 Рік тому

    Ujui MAANDIKO Kaa kimyaaaaaa. Mjinga mkuu wewe