Majibu ya Nay wa Mitego kwa Mchungaji Anthony Lusekelo Mzee wa Upako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Majibu ya Nay wa Mitego kwa Mchungaji Anthony Lusekelo Mzee wa Upako

КОМЕНТАРІ • 344

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 роки тому +1

    Hongera Nay mungu akusimamie kujenga nyumba ya bwana...hao wanaokupinga juu ya nyimbo zako kunavitu umewagusa..makanisa ya sasa yamekuwa biashara...hongera tena hongera nimekupenda bure kwa maneno yako.

  • @yonamakeleleilenge2545
    @yonamakeleleilenge2545 4 роки тому +1

    Genga kaka kwa kuwa Mungu ata zindi kuku bariki kwa ile kazi muchugaji afaye kazi siyo sadaka pesa sadaka una takiwa kutowa kilisho dani mwako

  • @tumainibihemo7755
    @tumainibihemo7755 7 років тому +13

    Toka naanza kukuskiliza Ney , Leo ndo Nimeona unaongea maneno yenya busala , Jenga kanisa, Maana katika vitabu Vya Mungu vinasema kanisa litajengwa na wenye Moyo, Wazo lako ni Zuri kama kweli Unajenga kabisa kwa ajili ya kuabudia Mungu wa kweli ni Sio Miungu watu, ama Mashetani Big up Ney.

    • @chazbhai9268
      @chazbhai9268 7 років тому +2

      mkubwa ney auciwaze maneno ya watumixhi feki wewe fungua uciwazelongo Kongo za wanaojifanya niwatu wa mungu kumbe ni mapepo tuuuuuu??!!?fully xana bb mdogo

    • @yassinchora2820
      @yassinchora2820 7 років тому +1

      Tumaini Bihemo

    • @emmanueldanniel936
      @emmanueldanniel936 6 років тому

      Tumaini Bihemo ongela ney kwa kujenga kanisa

    • @mahonashile2479
      @mahonashile2479 6 років тому

      Tumaini Bihemo ney yupo vizuli

    • @verynicestanley5786
      @verynicestanley5786 6 років тому

      Tumaini Bihemo mmh ivi we umelielewa ilo kanisa lenyew mungu amsaidie kwakweli

  • @verynicestanley5786
    @verynicestanley5786 6 років тому +4

    Naona comment nyingi Za hongera kwa ney but naimani na ninajua hamna mlichoelewa mungu awasaidie siku mwelewe Dunia inapoelekea

  • @TheGame-nz7um
    @TheGame-nz7um 7 років тому +3

    Saaaaaafi umenisaidia Ney... Mi mzee wa upako moyo wangu umemgoma kabisa Mungu anisamehe.

  • @mikentoga1358
    @mikentoga1358 7 років тому +7

    kwel Majibu yako yanaukwel mnoo ndani yake daah umeongea vzur ad nimeioenda hongera Ney....you did

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 роки тому

      Nami nampa hongera sana ukweli ndo umemuuma huyu mzee wa upako...huwenda haya makanisa kuna vitu viko nyuma ya pazia.

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 4 роки тому +5

    Hiyo ni hekalu la freemasons mm nimekuelewa vizuri sana kua Mungu wa kujibu maombi wakusaidia watu sababu Freemason unachokitaka wanakupa Mungu wakweli hakupi kwa haraka lazima akupime ajue kma uko na imani umeeleweka tu

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 роки тому

      Msihukumu ili nanyii msije mkahukumiwa.....

    • @aboujanomarion6121
      @aboujanomarion6121 4 роки тому

      @@esterelias8189 ungelikua wajua dini ungeelewa kua ney wamitego nikafiri kama angelikua anamtambua Mungu hangeongea kufuru anataka kujenga kanisa na yeye hatambui kama Mungu yupo Estar Mungu alisema sio watu wote duniani watakaomkubali na sio watu wote watakao mkataa sasa jiulize kwanini tusihukumu wakati nay ashatuonesha dhahiri hatambui kama Mungu yupo Mungu anasema ukiona MTU anafanya kitu chakumuudhi Mungu basi mkanye nakama huezi kumkanya basi chukia lile jambo nimarangapi nay anaimba nyimbo zakukufuru kma kweli anatambua Mungu angeskiza tu mashabiki wanavyo muongelea akajua nakosea but ata hajutii so licha yeye hata wewe unaeteta Mungu anakusubiri

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 роки тому

      @@aboujanomarion6121 neno kafiri lina maana gani?

    • @aboujanomarion6121
      @aboujanomarion6121 4 роки тому

      @@esterelias8189 MTU hatambui Mungu anaitwa kafiri kwa bibile iko angalia kwa maneno magumu na maana zake utaona maana ya kafiri

    • @ornellakezakimana7844
      @ornellakezakimana7844 4 роки тому

      @@aboujanomarion6121 mustari gani kwene bible???

  • @jeremiahmayunga5440
    @jeremiahmayunga5440 7 років тому +7

    jenga bwana mungu sio wa Anthony pekee mungu ni wote

  • @veronicalucas580
    @veronicalucas580 7 років тому +11

    yes kujenga kanisa kila anapaswa kama umejaariwa coz hyo sadaka haifutiki dunian na mbinguni so god bless you ney

    • @racheldickson5238
      @racheldickson5238 4 роки тому

      Kujenga kanisa kwa pesa ya kishetan ni sawaa n bureee shiiit

  • @salimmohammed111
    @salimmohammed111 4 роки тому +1

    Ss mungu yupi huyo na yule uliye muimba kwa nyimbo kuwa hauamini kuwa kuna mungu ss vp tuelewe

  • @sammabula7359
    @sammabula7359 7 років тому

    sawasawa kaka true boy, najua watu watadis maana wanakawaida ya kudis kila kitu. kama umeguswa kumtumikia Mungu kwa mali zako fanya, maana hata wanaojihesabia haki eti hufai kujenga kanisa, mbon huko makanisan ikitokea michango ya kujenga kanisa kwa mfano, wachungaji hawabagui kama wewe ni muumini au mwenye dhambi wanapokeaga pesa tu bila kuuliza. pia utakuta wanaleta wanasiasa kwenye harambee zao bila kujal kama kaokoka au hajaokoka. fanya kazi ya Mungu

  • @gloshyjm2375
    @gloshyjm2375 7 років тому +8

    Truly,umeongea mambo ya ukweli sn

    • @fortunatakiria4685
      @fortunatakiria4685 7 років тому +1

      kabisa yani kusema ukweli Mimi mwenyewe ningekua na ela ningefungua la kwangu

  • @shukurukaliwali5367
    @shukurukaliwali5367 7 років тому

    Mungu adhiakiwi kaka Ney kama umekosa la kufanya bora ukalime Mungu ndie mtoaji napia Mzee wa upoko unashindwa kumuelewa tu Yeye ameshaona kitu kwako ata mm nakujua kuwa wewe ufai kujeng hekalu kwasababu ya matendo yako Ila yote haya yameandikwa kwenye biblia wewe unataka kutimiza tu ukweli kaka Mungu adhiakiwi kwanza chiki kazi yako ya mizik napia Eti ufungue kanisa Tubu dhambi zako

  • @mabrukimateleka1832
    @mabrukimateleka1832 7 років тому +3

    I'm support u on that god bless u

  • @madamjudith9344
    @madamjudith9344 6 років тому +2

    Hekalu la Mungu ni moyo wa mtu.Majengo ni mazuri ila nafsi ziokolewe kwanza na matendo yatakuwa mema.

  • @hilarygodfrey4376
    @hilarygodfrey4376 7 років тому +3

    wee noma broo fanya yako ney wache waseme adi wachoke

  • @sullepeter4722
    @sullepeter4722 7 років тому +5

    jenga broo, achans nahao wapiga ela kwa kutumia dini

  • @elisantennko8222
    @elisantennko8222 7 років тому +8

    Hata Koresh wa Babel alitoa maagizo na nabii Ezra , Nehemia walifanikishwa kurudi Israel kujenga Hekalu. Na Herode ndie alijenga hekalu la pili la Wayahudi.Haikatazwi mtu, mfalme, Rais yeyote akiwa na uwezo na akapata msikumo wa kutoa pesa kujenga hekalu ni Ruksa haikatwazwi.

  • @cornelm9
    @cornelm9 7 років тому +9

    mzee wa upako kupanic kule aje kwan? mambo ya kumtembelea kucha nn sasa....

  • @happybraysoni7373
    @happybraysoni7373 7 років тому +17

    Jenga kanisa kaka ney watu wamwabudu mungu mungu akutie nguvu na akulinde ubarikiwe

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 7 років тому

    baridi tuu Mimi muumini number moja nimeipenda hii maana hizi bahasha makanisaini na wenye njaa kukimbilia makanisani kupata msaada imekua kawaida bora huko nitasari nakuongea na Mungu wangu na natoa chochote kama sina nasepazangu

  • @mlasiferuzisuma9450
    @mlasiferuzisuma9450 4 роки тому +1

    Kwani promo nini? Hata iyo nipromo pia . Ila nimependezwa na mwanamuziki kujenga hekalu la bwana uwa wanamuziki tunaonekana wahuni hatumjuwi mungu hongera sana

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 7 років тому +8

    Nafikiri watu hawajamuelewa Ney amesemakujenga kanisa hajasema kuwa mchungaji kwanini mmnamsonga mbona watu wanajenga mabaa namagest hamuasemi?

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 7 років тому

      steshu steshu umenena kweli

    • @samirhoo6030
      @samirhoo6030 4 роки тому

      Wewe ndo hujamuelewa ivi yeye haendi kuwa mchungali nisawa jee kanisa linaashiria nini si nikwamba nisehemu ya ibada wakati yeye alishakanuka kuwa mungu yupo

  • @lutenganokajeti937
    @lutenganokajeti937 4 роки тому

    Umeongea poon sana juu ya wachungaji. Big up. Nay wa mitego.

  • @mullahflavour5482
    @mullahflavour5482 7 років тому +5

    kama mtu anania ya kujenga kanisa kwa ajiri y a watu kumwabudu Mungu hapo akuna kosa.

  • @zuwenasalim38
    @zuwenasalim38 7 років тому +6

    umenichekesha sn Leo lkn ungekuwa ww bwana mchungaji hahahahah

  • @oceanocean9585
    @oceanocean9585 7 років тому

    Ney the True boy 966 saf sana hakuna raha kama ukijua unachokifanya hakika unajua unachokifanya waache wabishane tatizo hawana action jenga kanisa

  • @jennlafilin2251
    @jennlafilin2251 6 років тому

    Mungu akutie nguvu bro,God bless you always

  • @ahhe9035
    @ahhe9035 4 роки тому +1

    Ney unasema kweli hawa wachungaji wamezidi washirika masikin nawao ndio wanao toa

  • @emilylwambano2026
    @emilylwambano2026 4 роки тому

    Nimekukubali majibu ulioyatoa kwaviongozi wadini big up

  • @andrewasagwile7162
    @andrewasagwile7162 7 років тому +10

    Uchungaji siyo mchezomchezo na hauji kama vitu vingine na pia uchungaji ni karama na pia uchungaji unahitaji hekima

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 7 років тому +1

      mungu huandaa watu kama hao hajasomea popote lakini katukumbusha wachungaji wa mshahara huenda mungu anamuandaa kuleta kweli hata mm napenda mtu asali bila kuogopa akiwa nacho atoe hana awe raha

    • @ngugimmoro4988
      @ngugimmoro4988 7 років тому +3

      Nay serous nakkubali sana than nakuombea sana ufanikiwe katka mipango yako in short ishu essucfull.

    • @ngugimmoro4988
      @ngugimmoro4988 7 років тому +1

      Nay serous nakkubali sana than nakuombea sana ufanikiwe katka mipango yako in short ishu essucfull.

    • @johnmophat5300
      @johnmophat5300 4 роки тому

      Kwakweli dah

  • @joshualkamosi3852
    @joshualkamosi3852 7 років тому +3

    umejitega na jina lako la mitego wafundishe kuto vaa vichupi hao mabindi unao wachezesha uchi

  • @yahayaplatnaumz7197
    @yahayaplatnaumz7197 5 років тому +1

    ney tunakuelewa sana pambana kaka naminl nakuelewa sana broo

  • @minadecosta9629
    @minadecosta9629 7 років тому

    illuminate washakutuma uwajengee kanisa uzid kuwavuta fanyen yenu tuu ila Mungu anawaona mnatufanya sis vipofu ila Mungu si kipofu tushakuelewa sana

  • @fikirisaidi7078
    @fikirisaidi7078 7 років тому +4

    yote kwa yote nimemwelewa aliposema mtumish wa mungu hafanyi promo unatumia mamilion ya pesa kwa sababu ya airtimes on tv na radio unadhan zitalud vp

  • @mstafahassan3989
    @mstafahassan3989 5 років тому +1

    ney upo vizuri umesema kweli kanisa hadi promotion iyo biashara umesema kweli

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 роки тому

      Ndio maana wamekuja juu hao wafanya biashara ya makanisa kasema ukweli

  • @ayubumvungi70
    @ayubumvungi70 7 років тому

    sikilizenii wimboo wa nay wa mitegoo unaitwaa mr nay mtaniambiaa teeenaa muusikizee na kuuelewaaa piaaa ukipataa kuuelewaa naambiee kituu paleeee

  • @sadikimwalongo7871
    @sadikimwalongo7871 5 років тому

    Ney hukuwahi kwepesha moja ya wasanii wanao imba maisha ya kweli upo wewe tu

  • @foreverrich7978
    @foreverrich7978 5 років тому +2

    qweli kabsa nyimbo zko huwa zna make ness

  • @mchawindalu4289
    @mchawindalu4289 5 років тому +1

    Wachache tyuuu weye moyo kama wako mungu akutie nguvu ufikie malengo

  • @simonfundi5472
    @simonfundi5472 7 років тому +1

    .that's true bro kuna wachungaji wa mshahara

  • @mryplus
    @mryplus 7 років тому

    hivi mnajua maana ya kanisa?
    ukikosa busara hata kwenye mambo ya Mungu,ujue unajipalilia matatizo makubwa sana maishani mwako...

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 7 років тому +4

    Mbona nyote mmeiona hii clip??? Simu zenu si zina bando??? Mlitoa katika pesa zenu mkanunua simu. Baadae mkanunua bando. Yee nae hutoa katika pesa zake akajenga hekalu. Na hata wale mlopewa simu zenu na hela ya vocha, ni sawa na wale watakaoabudu hekaluni humo pasipo kutoa chochote. Watajisikia vibaya na hawataendelea sana!

  • @oscarwilliam8341
    @oscarwilliam8341 2 місяці тому

    Ney kunamda watu wanasema humjui . Mungu wao ndio hawamjui

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 5 років тому

    Hili litakuwa ni kanisa lako, km ni la Yesu, masharti ya liwe namna gani hayabaki kuwa yako!

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 5 років тому +2

    Umesema vema Ongera sana kwa kumuabudu Mungu kwa kumjengea hela la wamwabuduo. Ilo kanisa liitwe UPONYAJI NI BURE SHUKRANI NI KWA MUNGU.

    • @herielshedrack4730
      @herielshedrack4730 4 роки тому

      Hujaelew kitu masikilize wimbo ndo uelewe kanisa analotaka kujenga

  • @mikentoga1358
    @mikentoga1358 7 років тому +8

    kaka jenga kanisa kaka Mungu atazdi kukujaalia wazo zurii kaka.

    • @fredyphilipo2202
      @fredyphilipo2202 7 років тому

      jenga kanisa tu mungu atakuzidishia *100000000000

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 4 роки тому

    Ili mchungaji akaishi kwenye gorofa hahahahhahah

  • @jacksonmembe8837
    @jacksonmembe8837 7 років тому +6

    mungu akujalie ufanikishe ndoto yako amin

  • @susansusan6898
    @susansusan6898 7 років тому +1

    jamani nay ametaka kuokoka alafu ajamwelewa nay God bless u

    • @erickabdulrashid
      @erickabdulrashid 5 років тому

      Naitaji kujua mahili kanisa ilipo ili nishiliki naye Unajuwa wengi hawako Tanzania ndani wako inze yahichi tutaingiaje kwaiyo kanisa nataka kujiunga naye nay wamitego nakupenda sana nataka mafanikio kutoka kwako +25428113055 yangu nambari yasimu nakuitazi sana

  • @elizabethkea6431
    @elizabethkea6431 7 років тому +6

    jenga baba kanisa lako achana na maneno hayo ni ya wanadamu, kama una iman ya kwel timiza lengo lako mkuu

  • @bone102
    @bone102 7 років тому

    sioni tatizo kwa Nay wa mitego kujenga kanisa mbona hata sisi tumejenga makanisa mengi kwa sadaka zetu au mnafikiri sadaka mnazotoa kila jpili au ijumaa au siku yoyote zinaenda wapi nay anajenga kanisa sio yeye awe Mungu anaabudiwa kama akina Jay z bhana msimfikirie Nay wa mitego vibaya

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 7 років тому

    amina mungu akujalue na akuepuse na majaribu haki mungu akufungulie njia

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 роки тому

      Amina namimi pia namuombea..maana makanisa ya sasa yamegeuzwa kuwa pango la wanyang"ananyi na soko la biashara

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 4 роки тому

    Safi sana kaka Ney

  • @ngugimmoro4988
    @ngugimmoro4988 7 років тому +4

    Nice

  • @winsleymwasha1103
    @winsleymwasha1103 7 років тому

    Hajui anacho ongea huyu hajui kilichowakuta watu wa babeli na mnara wao! Cheza na basata na wasanii wa bongo muvi ila s Mungu....ldb km so Mungu anaabudiwa watu wote

  • @leonardsr8994
    @leonardsr8994 4 роки тому

    Labda ni kanisa ila sio madhabahu ya Mungu. Msiyachukulie kirahisi, Mungu ana mambo yake

  • @dainesszuberyguii6040
    @dainesszuberyguii6040 7 років тому +4

    ni kweli Adrewis maana ni mishidadaaaa...

  • @esterkelvin2612
    @esterkelvin2612 7 років тому

    Da siku za mwisho zimefika watu amemgeuza Mungu kua kitu cha kawaida sana mungu wangu wape macho ya kiroho wanao wanaangamia.

  • @liviniusijoseph7107
    @liviniusijoseph7107 7 років тому

    asante sana kaka ney kwa kujenga kanisa.

  • @lightnessgodfrey7843
    @lightnessgodfrey7843 6 років тому +1

    Mmmmh! Tumekwisha hadi Ney (pepo)

  • @Mimi.Official76
    @Mimi.Official76 7 років тому +3

    Unafikiri kuwa paster ni mchezo mchezo kama unavyofikiria. Kijana au mtu aliye okoka ukimuona tu utajua huyu ni mkristo au huyu ni mslam.kabla huja muuliza utajua

    • @charzabdallah5954
      @charzabdallah5954 6 років тому

      safi sana

    • @joelbuchuma327
      @joelbuchuma327 4 роки тому

      Mtu aliyeokoka??? ivi mtu akiwa ndani ya nyumba,wakati huo nyumba inawaka moto...akaanza kujisifia kua ameokoka Kwenye ajali hio ...utamfikiliaje? Waliookoka wanakua tayari wapo nje ya janga flani.... Duniani ni sehem ya kupita tu ..na ni sehem ya kutujaribu mpaka pale pumzi ya mwisho....Ukifika mbinguni hapo ndo umeokoka...

  • @erickkitsao2500
    @erickkitsao2500 3 роки тому

    Unapomuona Freemason anasema anajenga kanisa, Ni Jambo la kutuamusha kiroho na kujua Ni Nyakati za mwisho ambapo tunahitaji kuomba na kukemea maovu Kama hayo

  • @mugishavicent9786
    @mugishavicent9786 4 роки тому

    Safi ney wamitego nakukubali sana jembe jenga tupo oni

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 років тому +3

    haya kumekucha mungu tusaidie tukutambue zehebu gani?

  • @malekangunza8609
    @malekangunza8609 3 роки тому

    Fungus brother nashida Sana hela mm

  • @ashamohammedashamohammed7401
    @ashamohammedashamohammed7401 7 років тому

    mimi nahisi sasa kiyama kishafika, kwa kweli acheni mimi nitangulie jehannamu, maana nikisubiri zaidi nahisi nitaukita wawaka zaidi

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 років тому

    nikwel mi huwa nakuelewa sana tu ney nyimbo zako huwa ni ukwel mtupu

  • @jumaamwarabu6775
    @jumaamwarabu6775 5 років тому

    Safi sana kamkubwa ney

  • @Manshyne
    @Manshyne 7 років тому +2

    ney on 🔥 duh sijuiii

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 4 роки тому

      Pole muungu anaabudiwa Kwa Qraani jidanganyeni tuu

  • @alfanihanasi3788
    @alfanihanasi3788 4 роки тому

    Namkubali sana ney anaongea vitu vya kweli kabisa

  • @johnmophat5300
    @johnmophat5300 4 роки тому +1

    🤣nimekuelewa mdogo wangu wacha wapanic Mungu atawapa wanachokisubiri

  • @clinthonmworsho9848
    @clinthonmworsho9848 6 років тому +1

    God bless you Good

  • @assachibaya3995
    @assachibaya3995 5 років тому

    Mungu nimwema kama nikwel unetengeneza kanisa mungu atakubaliki ila kama nilauongo munguatakuchoma moto

  • @wisetreasure1855
    @wisetreasure1855 7 років тому

    Mathayo 16:18 KANISA ni 1 tu hayo mengine semeni kweli kuwa Fre mason wamewaelekeza hivyo mteke wengi

  • @dicksonmanyamba1063
    @dicksonmanyamba1063 4 роки тому

    Kweli kaka waheshimu watumihi w mungu

  • @saidakare8193
    @saidakare8193 4 роки тому

    This guy is wise

  • @salmasaid7254
    @salmasaid7254 7 років тому +2

    uko vizuri. nay

  • @kantonankwela787
    @kantonankwela787 6 років тому

    we we jenga tuta sali nakwamungu tutafika kwani kujiunga nimamuzi ya MTU mwenyewe sio kanisa,nakutaki ujenzi mwema.

  • @allyjuma5928
    @allyjuma5928 5 років тому

    Ibilis anazidi kunguuka dunia kueni makini nameelezo ya huyu mkufulu mungu.

  • @benwater4957
    @benwater4957 4 роки тому +1

    Huyu anaongelea Mungu gani huyu simuelewi 😈

  • @wakishuakutokatz4737
    @wakishuakutokatz4737 4 роки тому

    Yaan bro mi nakuunga mkono coz wachungaji kibao ni wapigaji na wapenda hela.kifupi asilimia mkubwa ya waumini wanaishi maisha magumu ila wachungaji fake wanakula bata na watoto wao wanasoma ulaya

  • @amondmani5432
    @amondmani5432 7 років тому

    kuanzia sasa nimekukubali sana

  • @ludovickharsonharson3564
    @ludovickharsonharson3564 4 роки тому

    Hahahahaaaaa kweli mm namkubali sana ney. Na huyo lusekelo hana lolote anamaneno machafu sana. Ukimfatilia vizuri

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 роки тому

      Tena sana mzee wa upako me simpendi kbs wala mahubiri yake huwa siyangalii wala kuyasikiliza....

  • @amidugodfrey5725
    @amidugodfrey5725 5 років тому

    Sana bro wasugulie

  • @glorykweka1631
    @glorykweka1631 7 років тому

    wanajilengesha wenyewe. Nimeipenda hiyo. pilipili iko shamba yamuwashianini

  • @philipomoze4807
    @philipomoze4807 6 років тому

    kitu cha ukweli umemuona kapaniki kwasabu huna heshima adabu pia huna yule humfikii hata kidogo hizo nisifa tu za kipumbavu yan kama umerogwa vile kinywa chako kimejaa matusi wajifanya wajua sijaona msanii wa aina yako wewe nay aya we ona ni sifa tuuuu

  • @fleojoseph722
    @fleojoseph722 3 роки тому

    Aisee ni mwaka wa 4 huu nay hajafa 😁😁🤣

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 роки тому

    Na hiyo lebo kifuani inamaanisha nn mzee nay au ndo ndege make siion vzuri! Hahahahahaaaaaaaaa!!!

  • @nicholusodhiambo3910
    @nicholusodhiambo3910 5 років тому

    ny your true but wanao fanya kw madhabau ula hapo like 10 percent sadaka that's must

  • @lavanhussain8995
    @lavanhussain8995 5 років тому

    ni kweli Mr nay wamitego

  • @alicedusabe3988
    @alicedusabe3988 6 років тому

    Nikweli umejiunga kbs eti mungu wawo

  • @mstafahassan3989
    @mstafahassan3989 5 років тому

    kuabudu mungu ambae yupo hai ambae unampa mtu anachokitaka ww noma

  • @seurisanare8015
    @seurisanare8015 7 років тому

    Jenga kanisa kaka kama uwexo upo ubarikiwe sana kwa maono yako

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 років тому +3

    chibu nae c kajenga mski alisema haya tuendeleee

    • @bone102
      @bone102 7 років тому

      DINI ZOTE hazikubali kujenga sehemu pa kuabudia kwa pesa haramu so usiweke tabaka

    • @bone102
      @bone102 7 років тому +4

      unaamini vipi lusekelo kama kweli mchungaji? kanisani tunaimba nyimbo za kuabudu na sio muziki tofautisha hvyo vitu. tumepewa vipaji vyetu kumtukuza Mungu na sio vingnevyo so kanisani ni sehemu ya kumuabudu mwenyezi Mungu na mbona hata waislamu wanaimba pia Dini zote zina principle sawa Muziki wa kidunia haikubaliki kwenye dini yeyote so usiseme Dini flani ni bora na dini nyngne inatenda dhambi no zote znakataa zambi na sasa hv hakuna dini ambayo haichezewi na watu wanaotaka mari islamu na kikristo wote kuna watu wanataka kuchafua dini ili wapate hela so Dini zote ni sawa hakuna bora zaid ya nyngne

    • @bone102
      @bone102 7 років тому +2

      so lusekelo kaimba yeye kwenye kanisa lake usiseme makanisa yote wanaimba hvyo mimi leo naweza kuanzisha kanisa na nkafanya ujinga ili mradi niichafue dini flan so hawa watu wanaotumia kanisa au misikiti kuchafua dini fulani isiwe kigezo cha kusema wakristo or waislamu ni wahuni so think positive dini zote ni sawa hakuna bora zaid ya nyngne respect islam and respect Christians

  • @catherinemukami2505
    @catherinemukami2505 6 років тому

    Sikio la kufa halisikii dawa. It's was prophesied by the Holy book.

  • @Mwalazanyi
    @Mwalazanyi 7 років тому +5

    tuache mchezo....wamemtuma?

  • @emanuerymlelwa2748
    @emanuerymlelwa2748 6 років тому

    yesu atakuzidishia

  • @mchomvuthuma8329
    @mchomvuthuma8329 7 років тому

    Ney
    kweli
    bwana
    tunaangalia
    madawa
    ya
    kulevya
    wanaofanya
    dini
    biashara
    nao
    wakamatwe
    waongo
    tu

  • @denislyrette4414
    @denislyrette4414 7 років тому

    Amennnnn mubarikieeeeee