Sauti ya Kwanza, Fanya hilo Zoezi. Part I.
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Ni vizuri sana kufanya Mazoezi ndani ya Mipaka ya Sauti yako. Katika Somo hili Sauti ya Kwanza yeyote yule atakuwa na uwezo wa Kuongeza Mipaka ya Sauti yake. KARIBU TUJIFUNZE.
_________________________
JRMI ONLINE VOCAL CLINIC:
kupitia hizo Link unapata furusa ya Kujifunza yale ambayo hukuwahi kujifunza hapo Kabla. 👇👇👇
1. MAZOEZI SAHIHI KWA MUIMBAJI
• #VocalClinic - Mazoezi...
2. JINSI YA KUIMBA SAUTI YA PILI.
• #VocalClinic - Kwaya P...
3. UTAMU WA SAUTI YA TATU
• #VocalClinic - Kwaya. ...
na endapo utahitaji Mafunzo binafsi ya Uimbaji Sauti na Muziki, wasiliana nami kupitia Namba hiyo: 👇
WhatsApp +255 (0) 755 340532
_________________________
JRMI MUSIC SHOP
Online Music Promotion & Music Distributer
fuata hizo 👇👇Link kuingia Dukani ili kustream na kudownload Njimbo za Injili
DISTROKID:
distrokid.com/...
FACEBOOK:
/ jrmimusicshop
FACEBOOK - (Golden Harp Singers-Tz)
/ goldenharptz
_________________________
SUBSCRIBE
Kumbuka KUSUBSCRIBE channel hii ili Usipitwe na Nyimbo za Injili pamoja na Mafunzo ya Uimbaji Sauti na Muziki yatakato kufikisha kwenye Ndoto yako.
👇
/ @jrmimusic24hrs
_________________________
Naitwa:
Mtayarishaji Yusuph Johnson.
Mwalimu wa Sauti.
Mtayarishaji wa Nyimbo za Injili.
Pia Kwa Mafunzo ya Uimbaji Sauti na Music.
Unaweza nifuatilia katika hizi Link:
👇
INSTAGRAM:
/ mtayarishaji_johnson
FACEBOOK - (Mtayarishaji)
/ mtayarishajyjohnson
+255 (0) 755 340 532
@jrmistudio
Barikiwa Mwl wetu
Nina swali Mwl
Hongera Sana mwalimu
Asante sana, tunaweza kuwasiliana zaidi 0755 340 532. karibu sana
Samahani Mwl,,Mimi nina uhitaji wa kujijua kuwa nipo sauti ya ngapi maana naimba japo sijawahi kufundishwa na Mwl yeyote,,napenda nijue mimi nipo sauti ya ngapi kati ya 1,2 au 3 mimi ni Kijana wa kiume
Msaada wako Mwl.
bila samahani, utanitumia Voice Note ukiimba wimbo usizidi dakika moja, ili nikufanyie Tathimini ya Sauti yako. Utanitumia WhatsApp +255 755 340 532.
Nahitaji tu kujuwa kuimba
Karibu, inawezekana. tuwasiliane 0755 340 532