Wale mnaotaka like hayo mambo ya kitoto we badala ya kuangalia kazi na ushauri nini aboreshe ili afanye vizuri wewe unawahi kucomment eti mimi leo wa kwanza nipeni like zenu, zitakusaidia nini wewee😏😏
Hii imependeza kwelikweliii😂😂😂😂,,,ila cjui ndaro alikuwa wapi?? Angewekwa kwa afande wa lodging 😂.. Anyway iam always happy to see you steve mweusi😂❤❤ Much love from Kenya, Kiambu _ Ruiru Ndaniii💓💓💯
❤KUBABABAKE YANI STEVE MWEUSI BHANA NIKAMA MWEU FLANI IVI JAMANI. GUYS INATAKIWA. TUCHANGISHE PESA KIDOGO ILI TUKA. MPELEKE STEVE MUIMBILI. ILI AKAPIMWE AKILI KWANZA 😅😅😅😅
Kama kweli steve kapendeza angusha like ya upendo
Ila kofia kaazima,huoni hajatoa ata Lebo yake
Y
@@shericktv509BBB CTT gt BBB d
😂🎉😢
Wa kwanza leo toka kenya 🇰🇪 naombeni likes ❤
hivi izo likes huwa mnafanyia nini😂😂😂
@@DallyDalton huwa tunazipika tunazikula
@@mutugifred2323😅😅😅😅
@@mutugifred2323🤣🤣🤣🤣🤣umejibu vzuri
@@johnsilima1629 vile inafaa🤣🤣🤣
Kakangu Steve uko kigangari kinoma.mungu akubariki Kwa Haya mafunzo Kwa dunia mzima hasua Afrika mashariki..aizee pamoja.kutoka Kenya.
Jembe limelud kazini big up steve
Steve Musa Mungu akuweke Sana kaka unajua Sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wale mnaotaka like hayo mambo ya kitoto we badala ya kuangalia kazi na ushauri nini aboreshe ili afanye vizuri wewe unawahi kucomment eti mimi leo wa kwanza nipeni like zenu, zitakusaidia nini wewee😏😏
Matahira hao😅
Motooo sana bro 🔥🔥🔥💯@bamburi tv
Team mweusi 2juane all the way from somalia
Tupo gafane
Steve kweli watufurahisha kama sisi wakenya 🇰🇪tunakupenda ❤
Wa kwanza leo nipeni like zangu❤❤🇨🇩🇨🇩
Wakwanza mim naomb laik
Zikusaidie Nini ?
Sio laik
nafika leo jamani ,🎉😂😂walai karibu nichelewe na kucheka jamani steve 😂😂😂😂love your content from Kenyaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Steve unanichekecha sana tenasana weye kama unatocha wapi maneno rafikiyangu
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
Wachoma bwanji
wa kwanza kutoka kenya🇰🇪🇰🇪wapi likes zangu
Hii imependeza kwelikweliii😂😂😂😂,,,ila cjui ndaro alikuwa wapi?? Angewekwa kwa afande wa lodging 😂..
Anyway iam always happy to see you steve mweusi😂❤❤
Much love from Kenya, Kiambu _ Ruiru Ndaniii💓💓💯
Wakwanza love from USA❤
Amna aukowakwanza nimekuwaiya😊
Mi napenda ukorofi wake tu kwenye maneno😂😂
Hey
Any connection from usa
😂😂😂😂 Steve kichwa kibovu
Steve nachiye tunakupenda apakonco mungu akuinuwe sana ❤❤❤
Steve zamani nilikuwa nafata kicheche satunili fata biako ukanifuraichasana uko comedie wangufu nakwamini
Steve banakuiba unapanamachauri sana comedie zakonizamachauri
Yn steve nakukubali sana unajuwa ❣️💔❤️❤️💖💝
Kama wamkubali Steve dondosha like yako😅
Animbie mm mboya❤❤❤ baadayeeee❤❤❤
Too much love from Comoros 🇰🇲
Shout out from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Yani leo nimecheka kifala wallah😂😂stivu utakuja kuniuwa weye😂😂 love u from 🇧🇮
❤KUBABABAKE YANI STEVE MWEUSI BHANA NIKAMA MWEU FLANI IVI JAMANI. GUYS INATAKIWA. TUCHANGISHE PESA KIDOGO ILI TUKA. MPELEKE STEVE MUIMBILI. ILI AKAPIMWE AKILI KWANZA 😅😅😅😅
Steve we mkali sana❤ from USA
Sasa mama yangu kichaa iko wapi tena❤❤❤😢😢😢😢😂😂
Asiyesikia mwenye ndefu atafaa nguo za kike tu😂😂😂😂😂😂😂😂
One day uta zi uwa mbavu zangu Stiven 😂🇨🇩
From DRC Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩😂 😂😂😂 ongeza kiasi steve
Yani umeuwa kinoma bro 👌👌😂😂😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Steve unatupa machauri sana Congo love
Nimecheka yangu yote😂😂😂
Majeshi ya steve 2juane
Gud sana kaka nakufwatilia sana lakin pia naomba unisapot kaka
likes za 254 banaa hapaa kwa steve mweusi
Kijora na kubazi Steve zimekukaa kinoma
Kijora kimemkaa😂😂😂😂😂kijora changu jamaniii mbona 😂😂😂😂
Wa kwanza from TzA
Pole sana umeibiwa KBS🫢 comedy hiyo nzuri sana ❤️🥰
Steven umetisha Pamoja na timu yako😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
Hongeren kwa kuburudishaa mmetsha knoma nomaa
Wakwanza kutoka USA ❤
Mary umeua My sister.. Steve anajua balaa.. Madevu anakuja na kasi
Da stev kijora kimekukaa vzr
Wakwanza mwenyewe naombeni like zenu hata 10 ❤❤❤
wa kwanza naomb lake🎉🎉🎉🎉😂😂
Umetisha bor stev ongrea
Sana bro wew mtt wa mjn
inachekesha sana tena sn😂😂😂
Steve ni hatari kabisa
😂😂😂😂😂 Steve wewe 😂😂😂😂hii kali
Wa kwanza Leo wakuuuuuu STEVE BIGGIE
Steve weyeninoma sana unachenkechasana
Uzuri uzuri uzuri uzuri uzuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Moçambique chelaaa
Pole Amen kucha NGA ya kbs😂😂❤
Steve ufai mdogo wangu sikuwezi😆😆😆😂😂😂😂
Wa kwanza nipen like zangu
Wananiita july taks mtoto wa mwanza 😁😁😁
JULLY TAX
Nakubali broo mm nipo kenya
hiyo ni nzuri sana 🇨🇩
😅ndani ya kijola pambe ety umepoa haaaaa
Gud from englandro
Da umetisha Sana big up
Steve hayo mambo ya maderaa waachie dulivan joti na mboso kanii wanaotamani kuvaa nguo hizoo😊
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Big up bro
😅😅😅😅😅hii inaitwa asiyesikia la mkuu huvunjika mguu, wajinga ndio waliwao. Steve Leo kapatikana😅😅😅
Steve Leo umeweza nimewahi leo
Mbavu zangu jamani Steve 😂😂😂😂umeweza na ndela
❤❤❤
ulikuwa umepiga swaga kaka❤😂😂
Kijora kimemkaa vzr bb ako
Jaman mweus hizopigo Zina mfaa kabisaa
Hii imeweza Steve 😂😂😂
Nawakubali Xana Hawa Watu❤🎉🎉
Ww fundy wao kwa sasa
Kaka unanikosha sana❤
nakukubar mwanangu niuna jua kujiche2a
Steve kauwa vibe😃😀😃😀
Steve umepoa 😂😂😂😂 umepoa mkuu🙌🙌🙌
Asiesikia la mkuu
Steve pongezi kwa kutuvunja mbavu
Am the one from COREA 🔥🔥🔥
pamoja saana iyo ndo kazi tako siyo mambo ya par mach
Leo Steve kavaa kistaa🤣🤣🤣🤣🤣
Wakwanza mm🎉🎉🎉
Yaani bro umetisha😂😂😂
Hahaha ❤ hatar Steve nakukubali
Kaka sasa hivi mapigo yako naykubari san
❤❤❤❤🎉nahipenda hiyo
Umependeza sana na izo zara
Kumewaka moto sana😂😂😂😂
Mkuu hii nomaaa😅😅😅
Umetisha bloo
Kak utafika mbali sana 🎉
Uko sawa stiv😂😂😂😂😂❤❤🎉🎉
Stevu anavyokimbza wanafunz ni balaa kabsa
Huyuuu boya leo kanichekesha sana😂😂😂😂