Wa kwanza mie jamani naombeni likes zangu🙌
Wallah ww Steve napenda Tu video zako mungu akupe maisha mema
Stive God bless you bro 👍..mkiwa na Ndaro mpo juu
Steve unaua jamaa yangu good talent, halafu hajira ana deserve kabisa kuwa mwalimu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mwalimu ndaro unawakunywa kweli congratulations
Wakwanza nipeni likes ata mbili basi😂
Alafu mweusi una behavior za mwanafunzi kbsa lakini tunafurahii sana hapa Rwanda
Thumbs up kama Steve ni day maker kwako
Hello Elena lile beberu Bora chinja na kisu jaman steve 😅😅😅😅😅 mbavu sina
Following you from USA 🇺🇸 I am a very courageous
Leo wa kwanza naomba like zenu wadau wangu wa nguvu
Mungu akueke pema Peponi charming
Rip Charles charmi mungu pekee ndo ajuaye kesho yetu
Steve WE number one of tanzania😂😂😂
Teacher ndaro nakubali mzaz
Daaah Steve umeshindikana 😂😂😂
Ndaro umetisha Sana
Nakukubali sn kaka Stuve tunakupenda sn kutoka Burundi
we wanibamba sanaaaa.kazi zenu murua sana jamani.kazi nzuri
Leo nime furahi sana kukuona sele
Oe isiishe iwe iko kila cku kama kipindi chakawaida mko vzuri sana
Steve mweusi uko juu sana
Jamani mna juwa kuigiza kishule shule mmependeza sanaaa
😅😅 I like now Steve acts like crazy
😂😂😂 Yan mbavu hadi zinauma wazee daah
😂 😂 kzi njema san
I couldn't stop laughing 😂
Mambo vipi mkuu
Daah ndaro kala userious😂😂
Crazy talented team 🙌😁
Wakwaza nipeni like
Aloo we mtaniua na mbavu zanguuu
That is good Steven, nineza cyane
Steven umenikumbusha mbali sana😅
Watching you from Kenya🇰🇪🇰🇪
😂😂🤣🤣Steve unajua hujui
Q BUENO ESTRIA Q PONGAN TRADUCTOR EN ESPAÑOL YA Q SOS VIRAL EN MUCHÍSIMO PAISES ME GUSTA MUCHO SUS VIDEOS
Dogo sele kauwaaa😂😂😂😂🎉
Niijua atasema..chinja na kisu😂😂
Umeuwaaa mwambaaaa steeeeveeeniiiii
Hahahaaa!! Et mawasiliano ni kuwasiliana
Mazingira ni maeneo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😁 ndaro kavaa vizuri wajuba 😂
af suti kapeleka wapi 😂😂
🤣🤣🤣 mutupatie partie yakufatia
Kuingiza vitu kichwani shida, kuja kula uku chakula shida 😂😂😂 you made my day kaka Steve.
Much love from Congo 🇨🇩
Ndaro katishaaa
Wakenya wote tupatane hapa
Nimeangua kicheko pekee yangu😂😂😂
Kali ya mwaka😂😂
Wa kwanza like zang
😂😂😂😂 i can’t stop loughing for sure
Mazingira 😂😂😂😂 wanafungwa mashati 😀😀😀 ATI niwanjingaaa
Steve umetisha umewahi ugar nyumbani 🤣🤣🤣
Nakubali stive
Confirmed By Vihiga Finest Official 👑 254
😅Weweweweweweee eti nilikuwa nasoma viatu vikubwa hahahahaha
Mwanang we star sanna 🌟 🌟 kwa Tanzania
Na kubali san kaka stivu
My best comedian ever
Mnatisha makamanda by sura ya baba🎉
Kazi safi steve
Hongera xan xteve❤❤❤
Nipo Badosijachoka 😂😂haki😂😂😂
Nibora wapate sufuri😅😅
😂😂😂😂😂 nko dani npo Kenya 1:34
Wapewe shule Yao 😂😂😂
You really make me happy
Nkiona kufungwa masharti nakumbuka shule 🤣🤣🤣
Njia na mtihani vinausiana ninii stevee jqmni dah
Trending Steve
Nyieeee kofiaaa 😂😂😂😂😂
😅😅😅 Chinja na kisu
Jamn steve me ananifurahisha jamn😂😂😂🤌nampenda
😂😂nampeda na ujinga wake
Mr rama❤❤❤
Sawa, Steven Moses
Eti nikirud nisikukuti Usimkute kwao et 😂😂😂
Naona Sele Yuko rikizo Sasa kaingia kazini😊🤣
Sele mtajie 19🤣🤣🤣🤣
Good Job Mr Steve
Every the youngest child every house is the spy of the house
Wamuhila unachekesha sana
I like it
Chinja na kisu😂😂😂😂😂😂
Duuuuuu anakiu 😂😂😂
Good sana
Powa Sana kamanda wng
Cherming😢😢❤missingi you bri still rip🥺😭
Kama ni kali nipeni likes ❤
Ndaro mnoko kama mwalim wa hesabu
Safi sanaaaaa
Asante umetuchekesha
Sana
Chinja na kisu 😂😂
Good work
Kama unamkubali STEVE Mweusi, Gonqa Likes 👍 Apaaaa tujuane::