TAFSIRI ZA NDOTO ZA MATUNDA EP 1 / Imamu Mponda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @yusrashaban8138
    @yusrashaban8138 5 місяців тому +2

    Sheikh niliota jazu ati nachuma passion zilizoiva kwa jirani yangu lakini kwa mti yalikua na mbichi

  • @noorischmutisch5321
    @noorischmutisch5321 3 місяці тому

    Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh,,mimi nimeota mti mmja umetoa matunda tofauti tofauti nilipogeuza macho kuangalia hayo matunda nikashangaa na kufurahi sababu nilizungukwa na maembe,mapapai,matikitii maembe ya apple,,na ndizi kisukari mashaallah nikasema nitatunda niwape na majirani wangu pia!

  • @AshaIrankunda-m2j
    @AshaIrankunda-m2j 8 місяців тому +3

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh mim nimeota naona nachuma limau ndimu kweny mti limao lenye kuwiva larangi yanjano

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 6 місяців тому +2

    Mm nimeota wadogo wangu wamekuja na zambarau mzur

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  6 місяців тому +1

      hiyo ni bishara ya kufunguliwa milango ya rizki

    • @Dil-nawadhFt
      @Dil-nawadhFt 6 місяців тому +1

      @@mpondamedia2416 Aslam alykum mm mmeota mume alioniacha kaniowa ten anaozishwa imekuj ten glafla Kam ymwanz

  • @Hidaya-e7x
    @Hidaya-e7x 9 місяців тому +2

    Mm nmeota nakula tunda lkn limeoza, nkalitupa

  • @AlimanuroAli-sv3os
    @AlimanuroAli-sv3os 6 місяців тому +2

    A alaikum shekhe ukiota unapewa ndizi alafu umewolewa?

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  6 місяців тому

      Wa alaykumu ssalaamu hiyo ni bishara ya kupewa habari itakayo kufurahisha au upana wa rizki zako

    • @AlimanuroAli-sv3os
      @AlimanuroAli-sv3os 6 місяців тому

      Chekhe nimeota babá yango ananipa pesa nikanunuwe simu alafu yeye kafariki zamani

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Місяць тому

      ​@@mpondamedia2416ukiota umeletewa ndimu nyingi sana maana yake nini

  • @blackdragon2017-i9q
    @blackdragon2017-i9q Місяць тому

    Asalamwalakum warahmatulahi wabarakatuh mwalimu mimi nimewota nanda kwa mubibi umodja simujuwi nikalala cyini yamuti walimawo ala nikakula limawo limodja nikamwambiya bibi mbona unalimawo lingi uwe unaleta kulekwwtu uziwuze akakata akanambiya mimi siwezi kuwuza limawo zangu iyo inasema noni?

  • @iqrahiqrah377
    @iqrahiqrah377 Рік тому +3

    Je ukiota unapita kijiji au sehemu kuna ma fenesi mengi mashambani.

  • @FatimaAhmed-xe1gt
    @FatimaAhmed-xe1gt 4 місяці тому +2

    Nimeota mapapai mabichi mengi na Moja lime hiva

  • @RoseJohn-j2z
    @RoseJohn-j2z 5 днів тому

    Asalm aleikum mm nimeota nikiwa na ndiz nne mbil nikala mbil nikampa mwanaume ale

  • @MwanamisiTenga
    @MwanamisiTenga 10 місяців тому

    Asalam alykum mm nimeota napeana matunda nagawa matunda mabich lkn matunda aina yote ovacado,papai,ndiz ,tomatoka yan vitu vigi matunda aina yote na ndizi lkn vyote vilikuwa green

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Рік тому +1

    Shekh.mara kwa mara naota nipo katika nustan kubwa na nzuri matunda yameiva vizuuri mitini.lakini kila nikichuma nachuma matunda 3 ndizi 3 papay 3 kila kitu haizidi 3.matunda yote rangi ya njano yanavutia.ndoto hii inamaana gani?

  • @MercilineMercy-x2d
    @MercilineMercy-x2d 6 місяців тому +1

    Mimi nimeota mambonga mara nyingi sana Tena hua makubwa na yenye afiya.juzi nimeota ya kwamba nimeona mambonga lakini yameoza.

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  6 місяців тому

      hiyo ni bishara ya kufanikiwa kimaisha alafu utashuka kama unafanya biashara utafilisika unatakiwa ufanyiwe dua ya kinga na kuepushwa na mabalaa

  • @ayubuidd6664
    @ayubuidd6664 Рік тому

    Shekh me nimeta nalishwa tikiti maji je hii imekaaje?!

  • @LoicyBarasa-ey2gn
    @LoicyBarasa-ey2gn 10 місяців тому +2

    niliota nakula ndizi lililo hiva

  • @tatuhassani3769
    @tatuhassani3769 Рік тому +1

    Shekhe mm naimeota ndoto5 zinazo ashiria kutolewa lakn bado sjaolewa

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  Рік тому

      Yawezekana una jinni Ummu subiyani au umefungwa kichawi usiolewe ukihitaji dua nitafute whatsap 0652286323

  • @dmshana4242
    @dmshana4242 Рік тому

    Mim nimeota malimao mengi kwenye kap nimepawa na bib angu Ila nikawape mbuzi lakin Cha ajabu nikapewa na hela mkononi

  • @aishaKaimbi
    @aishaKaimbi 7 місяців тому +1

    Mi nimeona mti WA mlimao imependeza na kuna nyanya zimependeza Ila hazijaiva ila zimependeza Sana mpaka nikazitamani nikisema safari hii tunakula nyanya nzuzi ila Kwa pembeni kulikuwepo zingine zimefungwa kwenye mifuko meupe zimependeza

  • @Albert-p4y
    @Albert-p4y Рік тому +1

    Mim naota mti wakwanza una machenza yapo yamezoea juu ndege wanakula na wapili mchenza nilipoukalabia nikaushika na kuutikisa yskapilomoka mengi skua na mfuko nikakunja tisheti yangu nyeupe niliokua nimevaa nikayaweka nikapeleka nyumban na nilikua kijijin kwetu

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  Рік тому

      Hii Ina ashiria nyumbani kwenu itaingia neema ya rizki kubwa kwa uwezo wa Allah

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ 9 місяців тому +2

    Shehe ukiota upo choni

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  6 місяців тому

      hiyo ni bishara ya kuwa na mashetani mwilini mwako

  • @TwanaMapesa
    @TwanaMapesa Рік тому +1

    Shehe nimeota nachuma machungwa mengi sana watu wanachuma ila nikitaka kula nanyimwa nikapewa viembe vidogo dogo nile nikakataa

  • @DianaJustine-q3f
    @DianaJustine-q3f Рік тому

    Shehe habar mie Leo nimeota kwanza ninamimba kubwa sna lakin badae nikapita sehem nikachuma matunda mekundu yapo kama makoma manga au maepo ma3 nikaanza kuyala maanake nn

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ Рік тому +1

    Shehe ujiota karafuu zipo kwenye mti

  • @EnduBoy
    @EnduBoy 2 місяці тому

    Ukiota unakula. Ndizi

  • @mwachamwacha-ko6jq
    @mwachamwacha-ko6jq Рік тому

    Nimeota naokota maembe chini ya muenbe na yapo mafungu na mengine naya kusanya nayaweka seem moja

  • @EstaGodfrey-e6j
    @EstaGodfrey-e6j 3 місяці тому

    Shee nimeota mzabibu una zabibu nyingi mbichi lakini taji1tu ndo limeiva na zabibu zilikuwa zinadondoka naokota nakura.Sijaerewa mahana ake

  • @HamisRajabu-w6l
    @HamisRajabu-w6l 7 місяців тому +1

    Naomba tafsiri ya ndoto ya korosho

  • @winnymbula
    @winnymbula 4 місяці тому +1

    Kwanini upendi kuogea Kiswahili

  • @eliamlomo6620
    @eliamlomo6620 Рік тому

    nimeota nimeona mwali ukiwa kitandani

  • @FattywaIssaNazli
    @FattywaIssaNazli 3 місяці тому

    Nimeota nakula tende

  • @faithwemamusic5266
    @faithwemamusic5266 3 місяці тому +1

    Pia niliota nikila ndizi lililoiva

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  3 місяці тому

      hiyo ni ndoto nzuri

    • @fatmahussein2146
      @fatmahussein2146 3 місяці тому

      Mm nimeota kuna watu wanakamata watu na kuwanyanyasa na kuwapiga vby wakawa wanankimbiza na Mimi wanawake watatu Ila walikuja kunikamata wakanipeleka kwenye jengo la ghorofa ili na Mimi wanipige nikawa nawaambia naombeni msinipige msiniue Nina mtt mdogo mm mwanamke mwenzenu Ila waligoma kunielewa baadae nkafanikiwa kuwatoroka Ila ktk kutoroka ikaonekana ni kitambo kimepita narudi kwenye lile lile ghorofa na kuishi humo nkakutana na watu wengine ktk Hilo ghorofa tukawa tunamenya machungwa matamu sana tunakula je hii itakuwa na Mana gani shekhe wangu naomba msaada wa tafasiri

  • @faithwemamusic5266
    @faithwemamusic5266 3 місяці тому

    Niliota nikichuna nyanya Kila kunapokucha

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ 9 місяців тому +1

    Ukiota fenes au embe unaiyokota

  • @SeifSuleiman-l3t
    @SeifSuleiman-l3t Місяць тому

    Ukiota unachuma zabibu maana yke nn

  • @tatuhassani3769
    @tatuhassani3769 Рік тому +1

    Ukiota unakunywa maziwa au unaoga inamaanisha nn

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ 9 місяців тому

    Shehe ukiota upo choni