UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • ndoto hizi ukiota ni alama ya kwama dua zako zimejibiwa bi idhni llahi tazama mada hii mpaka mwisho

КОМЕНТАРІ • 24

  • @destineluna5768
    @destineluna5768 2 місяці тому +1

    Shikrani sheh allal ukupe janata firdaus

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 Місяць тому +1

    Shukran shekhe wangu

  • @aminaibrahim7438
    @aminaibrahim7438 4 місяці тому +1

    Shukran sheikhe

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 15 днів тому +1

    Jazakallah

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 3 місяці тому +1

    Mashallah

  • @MukeshimanaHamida
    @MukeshimanaHamida 16 днів тому +1

    Sheih naotaga Niko nashika udhu naenda kuswali nikika hPo wanatoa Adhan

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  11 днів тому

      hiyo ni ishara ya kupendwa na Allah yaani kama hufanyi ibada uanze na kama una fanya basi unapendwa na Allah wallahu a' lam

  • @kkkm6404
    @kkkm6404 День тому

    Shehe mimi nimeota nasikiliza kuruan naninasoma

  • @MimahYaseen
    @MimahYaseen 11 днів тому

    Shekh niliota ya mbingu nikaon alama ya tik na nyayo huku huku kuna watu wananikimbiza nikiw nasema laila ila anta subuhanak inkutum minadhwalimin

  • @JumaGishanga
    @JumaGishanga 18 днів тому +1

    Je ukimuona Mtume unapoanza Dua hiyo ina maana gani

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx 3 місяці тому +2

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @user-rk9sd4kc4d
    @user-rk9sd4kc4d 27 днів тому

    A salamu, Alaykum, niliota niko msikiti wa madina ili niko nije, ya msikiti ila niko swahaba Alli bn Abitwalibu Ila tukaskia kipaza sauti kiki gongwa gongwa Alli aka sema mtume Ana,taka mtu akapige adhana mimi nikapatwa namshituko nika muuliza mtume Yuko ndani, akajibu ndyo, Alli akaniacha kumuwayi mtume ili akapige adhana mimi nikawa naenda taratibu huku nalia nikaja nikaingia kwenye lango la msikiti wa madina , nilipo ingia Alli na yeye akawa amemaliza adhana sasa mimi shauku yangu nimuonemtume nikaangalia msikiti wote sikumuona nikajampaka kwenye membari yamsikiti nikamkuta kwandani kwenye kile kinyumba cha membari amekaa kwenye bechi yeye namzee mmoja nikawatizama wote wawili kutaka kujua nani ndy mtume Wallahi nilimjua nikampwenti nikamwambia hakika wewe ndy mtume akanijibu swadqata umesema kweli, nikashika mapaja yake kwamikono yangu af nikaingiza kichwachangu kwenye mapaja yake nakuanzakulia kichwa kikiwa chini yamapaja yake nikasema Moyoni nimuombe aniombee dua Allah ani samehe makosa yangu sasa nikawa napandisha kichwa kutoka chini wakati nime fikausawa wakuangaliana mimi na yeye akaniwayi akasema hongera umefanikiwa mambo 7 kwafuraha nikarudisha kichwachini nikawa nalia naomba maana ila bado ndoto inaelelea

  • @hyy4114
    @hyy4114 4 місяці тому +1

    Shekhe Nakutafta in Shaa Allah kwenye Whtsp

  • @kkkm6404
    @kkkm6404 День тому

    Tena siku hiyohiyo nikaota nakunywa maziwa nini maana yake

  • @cutefaaherbal4107
    @cutefaaherbal4107 Місяць тому +1

    Niliomba dua nikaota nimepewa halua usingizini maana yake ni nini

  • @AbdulrazackMussamzee
    @AbdulrazackMussamzee Місяць тому +1

    Sheikh nmeota napambana na maadui bsdae nikasema ntaka nipae na nikapaa nikagsnda kule juu nikawa nssoma surat ikhras pia hii inajirudia nsota nspata matatz ucngzn then naota nasoma ayatul qursiyu na ikhras hii inamaanish nn

  • @SADIKIMALISAWA-ou8sk
    @SADIKIMALISAWA-ou8sk 2 місяці тому +2

    Sheikh ukiota basi unakhutubu wala unaswalisha Wati inaashiria nini

  • @shemmaster7swaleyuun228
    @shemmaster7swaleyuun228 4 місяці тому +1

    Shukran Sana shekhe