Jinsi ya kuandika sample business plan ya biashara (How to write sample Business Plan)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Kuna wajasiriamali wengi ambao wamekuwa wanaanzisha biashara bila kutengeneza Business Plan.
    Huwezi kuanzisha biashara mpya na kupata mafanikio ya haraka bila ya kuwa na Business Plan.
    Business Plan ni idara ambayo itakuongoza njia za kupita wakati wa harakati ya kuanzisha biashara mpya.
    Bila ya Business plan unakuwa sawa na dereva anaye endesha gari wakati amefunika macho yake kwa kitambaa.
    Mwisho wa safari ya dereva kama huyo inakuwa ni ya mashaka. Kama wewe unataka kuanzisha biashara mpya au unataka kupata mkopo kutoka benki ni muhimu kwako kutengeneza Business Plan.
    Wapo wajasiriamali ambao wanataka kutengeneza Business Plan lakini hawajui waanze vipi na kumaliza vipi hiyo business plan.
    Kwenye video hii nitaeleza mambo muhimu 7 ambayo yanatakiwa yawekwe kwenye business plan. Business Plan imegawanyika katika sehemu kuu 7 ambazo zinaonekana kwenye muhtasari wa kwenye video.
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 8

  • @thomasphilipo2009
    @thomasphilipo2009 10 місяців тому

    Ubarikiwe sana kwa Maarifa mazito na adimu

  • @lubzrashid177
    @lubzrashid177 Рік тому

    Naomba business plan na ideas za kufungua kibanda cha chakula ili nisome nielewe.Asanteni.

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  Рік тому

      Nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kutengeneza Business Plan. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia WhatsApp Number +255 716 682439

  • @eflasiahaule1666
    @eflasiahaule1666 Рік тому

    Mfano kama mjasiliamali n mdogo na hana wafanyakazi au wamiliki wenza kipengele cha saba atakijaza kwa makisio au atakiruka

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  Рік тому

      Huu ni mfano wa jumla kwa wajasiriamali mbali mbali. Sio kuwa wajasiriamali wote wafuate kila kitu kwenye huu mfano. Unaweza kufanya marekebisho kutokana na mazingira yako ya kufanya biashara

  • @chrispinmkanda6097
    @chrispinmkanda6097 2 роки тому

    Plz!! Naweza kupata business plan ya biashara yeyote ile uliyokwisha andikwa ili nisome nielewe vizr ili niandike yakwangu !?

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  2 роки тому +1

      Wasiliana nami kupitia WhatsApp +255 716 682 439