Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MPANGO KAZI BORA WA BIASHARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 бер 2020
  • MPANGO KAZI BORA WA BIASHARA
    Kabla hujaanzisha baishara yoyote kuna mambo ya muhimu sana ya kuzingatia ili kuweza kupata mpango kazi wenye kuleta manufaa katika biashara yako.
    Fuatilia somo hili kwa makini na usiache kutuambia nini umejifunza au kama una maswali kwa mwalimu wetu tafadhali tuandikie na tutakurudia.
    Kwa ajili ya matangazo/ biashara tafadhali wasiliana nasi kupitia:
    ezdenjumanne‪@huongqugmailcom‬
    (+255) 759191076 Texts/ Calls/ Whatsapp

КОМЕНТАРІ • 8