Jinsi ya kutengeneza budget ya duka la vinywaji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Kutengeneza budget ya duka la vinywaji kuna changamoto nyingi ambazo huwakabili wajasiriamali.
    Kuna kushuka au kupanda kwa mauzo ambayo hayawezi kutabirika na hutokea wakati wowote.
    Kuna kupungua kwa bidhaa kutoka kwa wazalishaji wa bidhaa au maajenti wa wazalishaji bidhaa.
    Lakini pia kuna suala la ushindani wa kibiashara kutokana na uwepo wa wafanyabiashara wengi ambao wanauza bidhaa za vinywaji.
    Kutengeneza budget ya duka ambayo ni kamilifu inaweza kusaidia kupunguza athari za upungufu wa bidhaa, kushuka kwa mauzo ya vinywaji na ushindani wa kibiashara ndani ya soko husika. Sasa basi, budget ya duka la vinywaji ni kitu gani na huwa ya inatengenezwa vipi?
    Video inaeleza mambo muhimu 5 ambayo itabidi yatekelezwe ili kufanikisha utengenezaji wa budget ya duka la vinywaji.
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 4

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 2 роки тому

    🙏🌹

  • @pendomtobela5238
    @pendomtobela5238 2 роки тому

    Mimi nataka kufanya biashara hiii lakin nashindwa wapi pakuanzia

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  2 роки тому

      Nakushauri ujiunge na WhatsApp group la Tan Business Number +255 716682439, tutakusaidia