Mbarikiwa video kutoka studio Tenzi no 12 Roho wa mbinguni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 37

  • @MussaMataya
    @MussaMataya Рік тому +1

    Nyimbo nzuri Sana, MUNGU awabariki na kuatia nguvu kwenye kipindi hik kidgum, jina la bwana ribakiwe

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 2 роки тому

    Ujumbe mzito sana umejaa neema sana naamini ipo siku na mimi nitamwimbia MUNGU ktk levo ya kububujika . Mbarikiwe sana baba yangu na mama yangu

  • @MulemaFamily
    @MulemaFamily Рік тому

    Uko vizir mungu awabaliki

  • @graceyona3377
    @graceyona3377 Рік тому

    Hakikanamwona Mungu akishuka kwangu

  • @philemonmkumbo2095
    @philemonmkumbo2095 Рік тому

    Mungu akubariki mtu wa mungu japo tufani itakavuma hakika mungu hataweza kukuacha wataaibika na kifedheheshwa maadui zako

  • @AboMunzuYImana
    @AboMunzuYImana Рік тому

    Asante sana mtumishi

  • @rehemakaijage1364
    @rehemakaijage1364 3 роки тому

    Wow👌
    AMINA, AMINA, AMINA.
    MUNGU AND ATIE NGUVU ZAIDI.
    OH HALELUYA.

  • @felistaminja3034
    @felistaminja3034 Рік тому

    Mkono wa,Mungu uwe na nyinawapenda sanaMungu awatunze amina

  • @milliammwinami2745
    @milliammwinami2745 3 роки тому +1

    Kikosi hiki nabarikiwa nanyi kwa jinsi wanawake wanavyomuwakilisha kristo kwa mavazi yao hakika Mungu awape nguvu mpaka mwisho safari yenu ya kwenda mbinguni iwe njema

  • @simonsute6772
    @simonsute6772 3 роки тому

    Nakukubali sana, wewe nijembe layesu!

  • @rehemakaijage1364
    @rehemakaijage1364 3 роки тому

    MUNGU AWATIE NGUVU ZAIDI

  • @jeradbendiliba3828
    @jeradbendiliba3828 3 роки тому

    Wimbo unamafuta aise mbarikiwe

  • @AscriteMgaya-qr8eo
    @AscriteMgaya-qr8eo Рік тому

    Roho mtakatifu uje kwetu na ufanye makazi yako ndani ya mioyo yetu

  • @jimani4529
    @jimani4529 4 роки тому +1

    Amena, Mungu azidi kuwabariki Kikosi kazi, wimbo huu umenibariki sana, nawapenda!!!

  • @tumainiabel4656
    @tumainiabel4656 10 місяців тому

    Ameen nashukuru sana

  • @FridayMzuzu
    @FridayMzuzu 10 місяців тому

    Praise the Lord

  • @francislovemore3858
    @francislovemore3858 3 роки тому

    Nchi kavu, itakua ni yenye barakaa!!

  • @nsimirrlove2139
    @nsimirrlove2139 2 роки тому

    Ameeeen

  • @harrietcheredi9768
    @harrietcheredi9768 3 роки тому

    Hapa Kenya napenda nyimbo zako barikiwa sana

  • @shangwe1
    @shangwe1 3 роки тому

    Nawapenda mnooo kikosi kazi, yaani nabarikiwa na nyimbo zenu, asubuhi nikiwa kwenye foleni ya magari niko nanyi na jioni pia

  • @danielkamau2554
    @danielkamau2554 3 роки тому +1

    Wewe ni wa baraka kwa maisha yangu , Mimi ni mchungaji Daniel Nganga Kamau kutoka KENYA ASSEMBLIES OF GOD MATHARE,

  • @doreenmartin3105
    @doreenmartin3105 3 роки тому

    Amen amen

  • @simonkitambei
    @simonkitambei 4 роки тому

    Amina mtumishi wa Bwana, nakupenda Sana mbarikiwa....nafuata nyayo zako kaza mwendo

  • @rhodamatonya2521
    @rhodamatonya2521 3 роки тому

    Nasikia kupata nguvu upya,asante Yesu wa mbinguni

  • @roycesteven6017
    @roycesteven6017 4 роки тому

    Barikiwa na Bwana

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 роки тому

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @kusifunakubudukarismatiki
    @kusifunakubudukarismatiki 4 роки тому

    Amina sana

  • @dicksontoyi344
    @dicksontoyi344 3 роки тому

    Amen

  • @pendomathayo2667
    @pendomathayo2667 4 роки тому

    Amina mbarikiwe

  • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
    @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 4 роки тому

    Aaaaaameni!!!!!!!!!!!!!

  • @mestonsimzosha2899
    @mestonsimzosha2899 4 роки тому

    Asanteeeee

  • @FridayMzuzu
    @FridayMzuzu 10 місяців тому

    Praise the Lord

  • @daddysalha5883
    @daddysalha5883 Рік тому

    Amen

  • @rhodamatonya2521
    @rhodamatonya2521 3 роки тому

    Nasikia kupata nguvu upya,asante Yesu wa mbinguni